Рет қаралды 6,739
IMEANDALIWA NA AISHA SAID
Katika sehemu ya 23 ya Nutrition tunakuletea kitunguu maji, ni vyema ukafahamu faida za kitunguu maji katika mwili wa binadamu, wengi wetu tumekuwa hatufahamu faida za kitunguu maji, katika sehemu hii ya 23 tunakuletea faida zoote muhimu za kitunguu maji na kwanini ulaji wa kitunguu maji ni muhimu kwa afya ya mwili wa binadamu.