NYIMBO ZA KATOLIKI: MTUNZI ALOYCE GODEN KIPANGULA TOLEO LA 2. KWAYA CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM

  Рет қаралды 103,684

Aloyce Goden Kipangula

Aloyce Goden Kipangula

Жыл бұрын

Nyimbo hizi NI toleo la Pili la nyimbo za Dini zilizotungwa na Aloyce Goden Kipangula kutoka Parokia ya Chang'ombe. Toleo la kwanza ni Albam inayoitwa "Nimekosa Nihurumie". Karibu kusikiliza nyimbo hizi Za Tafakari.#nyimbozakatoliki #kanisakatoliki #kwayakatoliki #nyimbozainjili

Пікірлер: 69
@user-hv7yp9yw4e
@user-hv7yp9yw4e 14 күн бұрын
Huu ndio uimbaji halisi wa kikatoliki na muziki uliokamilika big up,si muziki wa biashara
@sekelagatusekelege9325
@sekelagatusekelege9325 Ай бұрын
Tunamshukiri Mungu kwa huyu muinjilishaji kwa njia ya nyimbo.Tunabarikiwa naye saaana
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Ай бұрын
Asante Endelea kuniombea Ndugu Ili kupitia utume wangu wa kutunga nyimbo ili Kristo aeleweka kati ya watu
@mercedesntilla7265
@mercedesntilla7265 Жыл бұрын
Hongera sana mtunzi. Nyimbo nzuri sana zinabariki
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Sana Ndugu Mercedes🙏
@user-ym6jf8zo7j
@user-ym6jf8zo7j 6 ай бұрын
Kipande cha wimbo huu kinanigusa,Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 6 ай бұрын
🙏
@obedeobed4236
@obedeobed4236 Жыл бұрын
That the songs is interesting for me and for us Go bless you Dj
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@eliudstationery4003
@eliudstationery4003 10 ай бұрын
Hongereni sana kwa utume endeleeni na myo huohuo Amina💖💕
@enockkiptanui2548
@enockkiptanui2548 Жыл бұрын
Hongera Kwa utunzi , mzuri sanaa
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante kwa Ndugu Enock
@stanslausmchonde7892
@stanslausmchonde7892 Жыл бұрын
Barikiwa ndugu Kipangula na waimbaji wenzako
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amina. Tumshukuru Mungu.
@juvenarylukiza6371
@juvenarylukiza6371 Жыл бұрын
Hongera sana kaka kwa utume mwema uliotukuka Mungu akubariki katika karama yako ya mumwimbia Mungu
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Sana Ndugu Juvenary. Tumshukuru Mungu kwa Yote
@piamassawe1575
@piamassawe1575 Жыл бұрын
Naamini kuimba ni kusali Mara mbili mungu akubariki sana nauzidi kusonga mbele
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amina
@user-db6ml1um1q
@user-db6ml1um1q 5 ай бұрын
Amen
@paulinemutua6937
@paulinemutua6937 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri saana💕💖💖💖💖
@VisentiKigomba
@VisentiKigomba 3 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 3 ай бұрын
Asante .Tumshukuru Mungu
@sophiesophie6452
@sophiesophie6452 Жыл бұрын
Baba uliye mbinguni naomba uniepushe, na tamaa za mwili zipinganazo na Roho,nienende sawa na mapenzi yako,nashukuru kwa kutupa ujumbe wa mungu kupitia nyimbo
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Tumshukuru Mungu anayesema nasi kwa njia nyingi na kwa sehemu kupitia mwanaye Yesu Kristo
@proscoviapastory3831
@proscoviapastory3831 Жыл бұрын
Asante kwa wimbo nzuri. Hakika nabarikiwa sana.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante endelea Kutufuatilia. Nitakuletea hapa nyimbo nyingine nilizotunga hivi karibuni🙏
@bernardmruma4510
@bernardmruma4510 Жыл бұрын
MUNGU akubariki sana kwa utunzi ulioendana na andiko la Hagai
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@getrudamwakalambile4345
@getrudamwakalambile4345 Жыл бұрын
Hongera Sana mwl kwa utunzi wa nyimbo nzr. Mungu akubariki. Tunaomba nota za nyimbo hizi ili tuweze kujifunza wote na kumsifu Mungu kwa njia hii ya uimbaji.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Tumshukuru Mungu. Nota zake utazipata naomba unitumie ujumbe kwa watsap namba zangu zipo hapo kwenye kava, zote Mbili zinasoma watsup. Karibu Ili nikutumie Nota za Nyimbo hizo ulizozisikiliza hapa KZfaq
@carolinep.maziku2922
@carolinep.maziku2922 Жыл бұрын
Barikiwa Sana baba Mungu akubariki mno akuzidishie umri
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Sana Caroline Maziku. Tuombeane Ili utume wetu wa uinjilishaji ufanyike kwa sifa na utukufu wa Mungu
@user-tm4bk8qn8i
@user-tm4bk8qn8i 10 ай бұрын
Mungu akutie nguvu kwa majitoleo yako kaka❤
@FlorenceKathina
@FlorenceKathina 2 ай бұрын
Amen
@adamelneus1549
@adamelneus1549 Жыл бұрын
mungu.akubaliki..kwakujitoa..kwa.mungu.🙏🙏🙏
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏🙏
@VenelandaKabura-bc8dk
@VenelandaKabura-bc8dk 10 ай бұрын
Hongera sana unatukumbusha ujana wetu japo kuwa tumezeeka
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 10 ай бұрын
😀😀👏👏
@user-hv7yp9yw4e
@user-hv7yp9yw4e 14 күн бұрын
Kweli mtumishi wa MUNGU kwa hiyo
@PascaliaMutheu
@PascaliaMutheu 7 ай бұрын
❤❤
@faithmueni8770
@faithmueni8770 Жыл бұрын
Wapitaji na wasafiri na msiape kabisa uwa inanibariki sana.mungu akubariki sana Aloyce Kwa utunzi kwako
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amina
@MwombekiMushumbusi
@MwombekiMushumbusi 11 ай бұрын
​@@AloyceKipangulappppppppppppppppppppppppp!😅😅
@benedictokapere3641
@benedictokapere3641 7 ай бұрын
Tunamshukuru mola kukupa kipaji hiki unatuinjilisha vyema❤
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 7 ай бұрын
Asante Ndugu Benedicto
@sr.jovithavincent4119
@sr.jovithavincent4119 Жыл бұрын
Uzidi kubarikiwa kaka kwa uinjilishaji wako
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Sana Sr Jovitha Vincent. Nakushukuru naomba uzidi kuniombea Ili nifanye haya yote kwa sifa na utukufu wa Mungu 🙏
@julianaluhendemaliponihapa6784
@julianaluhendemaliponihapa6784 Жыл бұрын
Hongera mama mwenzangu hongera sana
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@user-fr6ml5pu3h
@user-fr6ml5pu3h 10 ай бұрын
Amina Amina Amina, 3:28
@evamwambogolo3134
@evamwambogolo3134 Жыл бұрын
Asanteni Sana.Kwa tafakari nzuri kwa njia ya uimbaji
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@emilyjunior3916
@emilyjunior3916 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana zinanibariki
@BonifaceDavid-ob8qm
@BonifaceDavid-ob8qm 2 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 ай бұрын
🙏
@patrickmulei3812
@patrickmulei3812 Жыл бұрын
Mapenzi Yako BABA yafanyike.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@sylvanusmillanzi
@sylvanusmillanzi Жыл бұрын
Hizo ndizo nyimbo za kanisa katoliki sio haya mambo tunayoletewa ya kilokole,tubaki katika itikadi yetu ya kikatoliki hasa masuala ya nyimbo,uimbaji na upigaji wa vinanda vipigwe kikatoliki,hili ndilo la kweli aliloliacha Yesu
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amina Tubarikiwe sote. Na namshukuru Mungu aliyenipa kibali Cha kutunga Nyimbo hizi Pamoja kuzirekodi Ili ujumbe uweze kufika kwa wengi na Taifa la Mungu lipate kuinjilika
@AdelinaBruno-mz2rx
@AdelinaBruno-mz2rx 7 ай бұрын
Mbarijiwe mno ila tunaomb na hizo nyimb ambazo mlizipiga mwishon km kionjo baad ya albam hii ya nyimbkuisha nazo mrutolee tuzisikiloze
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 7 ай бұрын
Kila wimbo uliousikia kama kionjo hapo mwishoni zote zipo KZfaq tafuta huko utazipata
@clareatema8480
@clareatema8480 Жыл бұрын
Bad!!!!!!!!!!!!!!!!
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@christianmenas9528
@christianmenas9528 Жыл бұрын
Wivu tuu😒😒😒huna lolote. Mwache afanye kazi ya Bwana aliyomtuma.
@user-hv7yp9yw4e
@user-hv7yp9yw4e 14 күн бұрын
Huu ndio uimbaji halisi wa kikatoliki na muziki uliokamilika big up,si muziki wa biashara
@user-db6ml1um1q
@user-db6ml1um1q 5 ай бұрын
Amen
@user-hv7yp9yw4e
@user-hv7yp9yw4e 14 күн бұрын
Huu ndio uimbaji halisi wa kikatoliki na muziki uliokamilika big up,si muziki wa biashara
@user-hv7yp9yw4e
@user-hv7yp9yw4e 14 күн бұрын
Huu ndio uimbaji halisi wa kikatoliki na muziki uliokamilika big up,si muziki wa biashara
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 6 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 5 МЛН
NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA
57:34
ELIPIDIUS RESPICIUS
Рет қаралды 755 М.
AIC CHANG'OMBE CHOIR. MIX OLD SONGS PART 1//SOPHIELINAH TV
51:42
BEST OF EKARISTI SONGS || NYIMBO TAAAMU ZA ALHAMISI KUU || BENEDICTION SONGS
3:12:17
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 67 МЛН
KeshYou x Snoop Dogg - Forever Sunday (Official Music Video)
3:06
BM PRODUCTION
Рет қаралды 239 М.
IL’HAN - Bir aida (official video) 2024
4:01
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 101 М.
Nurmuhammed Jaqyp  - Nasini el donya (cover)
2:57
Nurmuhammed Jaqyp
Рет қаралды 743 М.
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 1,3 МЛН
Munisa Rizayeva - Aka makasi (Official Music Video)
6:18
Munisa Rizayeva
Рет қаралды 15 МЛН