#NYUMBA

  Рет қаралды 3,099

Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town

Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town

3 ай бұрын

SOMA CAPTION HII
Karibu ujipatie hii nyumba ya kisasa kabisa ambayo imekusanya sifa zote za nyumba bora ya #familia.
SIFA ZA NYUMBA HII
■Ukubwa wa eneo ni Sqm 500 ambalo linakupa nafasi nzuri ya #parking kwa ajili ya gari zako.
■Ina vyumba vinne kimoja ni Master bedroom na vitatu vinavyobakia ni vyumba vya kawaida.
■Nyumba ipo kwenye eneo la kishua (ni sehemu ambayo sio uswahilini) Mtaa umepoa na hakuna vurugu.
■ Nyumba inafikika kirahisi kutokea pale Stend (Chamazi Magengeni) kwa mguu utatumia dakika 5
■ Nyumba imefanyiwa finishing ya kisasa na imekamilika yaan unaingia na kuamia tu.
BEI YA NYUMBA
Bei ya nyumba hii ni Tsh. Milioni miamoja ishirini tu! (120,000,000/=)
46512 US DOLLARS
Usisubiri tena njoo ujipatie #nyumba hii uishi maisha matamu wewe na familia yako.
Samabamba na nyumba hii pia sisi tuna miradi ya viwanja vizuri vilivyopimwa kuanzia Tsh. 500,000/= na kuendelea
Wasiliana nasi kwa namba +255747141871
Au fika Ofisini kwetu
KISEMVULE
A tembelea kwenye accoount zetu za mitandao ya kijamii kupata updates zote!.
#kigamboni #nyumba #viwanja #investment #africancity #hati #hatimiliki #property #house #zanzibar #zanzibarbeach #zanzibar
#simba #yanga #viwanja #mpira

Пікірлер: 6
@SaoblackSaoblack
@SaoblackSaoblack 3 ай бұрын
Inauzwa bei gani jaman
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 ай бұрын
Tzs. 120,000,0000/= milioni miamoja ishirini tu.
@SaoblackSaoblack
@SaoblackSaoblack 3 ай бұрын
Jamn mm naitaj sana 😢nipo inje
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 ай бұрын
Karibu tupigie kwa +255747141871
@kassimkhalid1185
@kassimkhalid1185 3 ай бұрын
Price pls ?
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 ай бұрын
46512 US DOLLARS TZS. 120,000,000/=
🇹🇿 IPO KIGAMBONI-KIBADA JE UNAHITAJI KUMILIKI NYUMBA DAR ES SALAAM INAYOUZWA KWA BEI NAFUU?
6:53
Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town
Рет қаралды 4,2 М.
#NYUMBA BORA INAYOUZWA BEI NAFUU DAR ES SALAAM-CHAMAZI/ Residential House for Sale in Dar es salaam.
7:40
Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town
Рет қаралды 12 М.
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 17 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 6 МЛН
💥 #VIWANJA VYA BEI NAFUU #VINAUZWA #VIKINDU SEHEMU NZURI ZAIDI #DARESSALAAM
3:05
Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town
Рет қаралды 3,1 М.
RAMANI ZA NYUMBA ZA KISASA | 0679253640
3:10
RAMANI TZ
Рет қаралды 56 М.