No video

OFA YA SIMBA KWA MCHEZAJI ELIE MPANZU YATHIBITISHWA NA MUANDISHI HUYU KUTOKA CONGO/MSHAHARA MNONO

  Рет қаралды 18,716

SIMBA PRO

SIMBA PRO

Ай бұрын

Simba Pro tumefanya mahojiano na muandishi kutoka nchini Congo na kutueleza kwa kina kuhusu dili la Elie Mpanzu kutua katika kikosi cha simba imekaaje
Muandishi huyo pia ametupitisha katika Ofa ambazo amezipokea mchezaji na klabu yake ya AS Vita Club huku akisema pia kuhusu ofa ya dola 120,000 Kutoka Simba na mshahara wa dola 7000
Kama unataka kuungwa kwenye group letu la Simba Pro tuchek kwa namba 0626629644 ili tuweze kukuunga

Пікірлер: 22
@user-nj9vx7bi8e
@user-nj9vx7bi8e Ай бұрын
Mpanzu ni mhimu kwetu Mwenyezi MUNGU awafanyie wepesi viongozi mmsajili.
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Ай бұрын
Kama Elie Mpanzu ni mchezaji mzuri na muhimu Kwa Simba. Tuongeze dau tumchukue. Mchezaji mzuri ni expensive. Simba lazima tusajili wachezaji ghali kwasababu ndio wachezaji bora
@PROPHETPCANTENA
@PROPHETPCANTENA Ай бұрын
@@jonamnyone8014 nikwel kabisa, maana tukitaka kushinda Vita kwa wepesi Basi NIVEMA KUPIMA SIRAHA ZA ADUI ZETU , Zen tunaenda juu yao
@mwinyiabubakarmwinyikheir8691
@mwinyiabubakarmwinyikheir8691 Ай бұрын
Elie MPANZU ametuliza fujo na vurugu zote zilizokuwepo Simba, amefunika amekuwa kipenzi cha wanasimba kabla hata hanaja Simba, Viongozi kazi kwenu,
@PROPHETPCANTENA
@PROPHETPCANTENA Ай бұрын
Simba Jaman TUNAOMBA SAANA TUMPATE MPANZU Hapo Wapinzan nawaje tuu
@MilyaLemanda-lr2vu
@MilyaLemanda-lr2vu Ай бұрын
Jaman huyuu ni muhimu sanaaa
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp Ай бұрын
Elia mpanzu ni mchezaji mzuri viongozi tia mpunga mchezaji aje kutusaidia simba nguvu moja
@mlungumasaba1786
@mlungumasaba1786 Ай бұрын
Huyo dio mshambuliaji wakuisaidi simba toenihella mumuletehuyo yatakuwa yaleyale ya mazoki😂😂😂
@AshelyAbel-kg4kx
@AshelyAbel-kg4kx Ай бұрын
Shida ya tray agin nimbabaishaji hana ushawishi anapenda kubagain sana mwisho wasiku tunawakosa wachezaji wazuri wakuongeza nguvu ili timu iwe tishio
@saidmfaume1282
@saidmfaume1282 Ай бұрын
Akikosekana Mpanzu apatikane mchezaji mwingine mkubwa na hatari, timu imesajili lakini inaonekana nyepesi sana.
@PROPHETPCANTENA
@PROPHETPCANTENA Ай бұрын
@@saidmfaume1282 💯 collect, na sjui Kama wanaliona hilo
@MAJIDMNONGANE
@MAJIDMNONGANE Ай бұрын
Inshallah. Mungu atafungua njia Amin.
@PROPHETPCANTENA
@PROPHETPCANTENA Ай бұрын
@@MAJIDMNONGANE Ameeen
@fedinandnjeleka4102
@fedinandnjeleka4102 Ай бұрын
Tray asingeweza wababaishaji tu hawa walishindwa kwa k wataweza kwa mkongo?
@AllyChilunda
@AllyChilunda Ай бұрын
Tutamshushatu iyo
@BleanceKigwila-u2l
@BleanceKigwila-u2l Ай бұрын
Muachen asitumiize vichwa
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s Ай бұрын
simba nguvu moja 😊😅
@AshelyAbel-kg4kx
@AshelyAbel-kg4kx Ай бұрын
Magori malizeni hilo dili
@mlungumasaba1786
@mlungumasaba1786 Ай бұрын
Wakishindwa kwa mpanzu yanga nampaubingwa
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
SASA KM WAMEMRUHUSU ELIA MPANZU KWANN VIONGOZI WASIENDE WAKAMCHUKUE?SIMBA MSILETE UTANI KWENYE USAJILI
@GermanaangeloMkemangwa
@GermanaangeloMkemangwa Ай бұрын
Kila wachezaji wazur hawaji
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 Ай бұрын
Pombe kubwa
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 54 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 8 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 35 МЛН
Elie MPANZU, the CATALYST (skills, goals & more)
5:31
11leopards
Рет қаралды 136 М.
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 54 МЛН