Duh joto la juwa limekuunguza kwelikweli steve wausi unazidi kuwa mweusi kabisa kama ilo gari la rangi nyeusi howa binti wa kiarabu au wakizungu mshikaji wangu changanya rangi.kabla nilikuwaga nafikiri kwamba mery ndo mchumba wako kumbe sio.ila mnaendana na merry.vipi huyo boss wako ameoliwa ikiwa hajaolewa nivema tujuwane.sio mbaya.
@EdiAbooloАй бұрын
Mpumbavu Mkubwa wewe,, Steve mweusi sio levo zako Pesa inahongeya kuku wewe Steve mweusi nakukubali❤❤❤❤