Рет қаралды 1,946
Oscar Nyerere msanii maarufu alivyoigiza sauti za viongozi wa Tanzania wakiwemo Hayati Baba wa Taifa Mwal. Julius Kambarage Nyerere, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Dkt Jakaya Kikwete, Dkt. Isdoli Mpango, Mizengo Pinda, Halima Mdee, na Wengineo kwenye Semina ya fedha kakola iliyoandaliwa na Mjasilia Company Limited @mjasiliahamis8346 @Oscarnyereretz