Oryx Gas Tanzania wakishirikiana na Kagoli enterprises na MC Buluba wakigawa mitungi ya Gas kwa mama lishe wa manispaa ya kahama ikiwa ni juhudi za kumtua mwanamke kuni kichwani na kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
Пікірлер: 7
@rehemabuluba586Ай бұрын
Mc BULUBA na Oryx Gas ❤❤❤
@ayubudronesАй бұрын
Hatari sana.
@ayubudronesАй бұрын
@oryxenergies
@rehemabuluba586Ай бұрын
Hii ilikuwa ya moto saaana
@ayubudronesАй бұрын
Ogopaaa 😆
@rehemabuluba586Ай бұрын
Hii ni awamu ya kwanza lazima kahama ipike kistaa na Oryx Gas