OUR LOVE STORY W/ DJ ALLYBI & MKEWE (MAMA SIMBA) | EP 03

  Рет қаралды 67,840

Our Love Story Podcast

Our Love Story Podcast

3 ай бұрын

Our Love story Podcast is a love genre chat podcast where two love birds chitchat on ho they met and their journey so far, including how they made each other in love

Пікірлер: 282
@Jojo-lz7lq
@Jojo-lz7lq 2 ай бұрын
Ally Bi ni bonge la mwanaume mashallah 😫 mama simba mauwa yako umepata mwanaume hongera🎉❤
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 2 ай бұрын
Nasemajee nasemajee nasemajee 😂😂😂 wangapi wemetafuta interview zake zingine baada ya hii
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 ай бұрын
😂😂😂alice ni mcharo hakuna mchaga anaitwa mcharo
@user-lf7nu6gg9s
@user-lf7nu6gg9s Ай бұрын
Wanaume mnapenda Kujitetea ila mshukuru2 sisi Wanawake tuna uvumilivu san
@mickyvlogs634
@mickyvlogs634 2 ай бұрын
hichi kipindi kikue kwa uweza wa Mungu ...love is beautifull thing❤
@hamzasimbar3465
@hamzasimbar3465 2 ай бұрын
Much respect 🙌 iyi love story minapenda mnavyo and andaa ivi vipindi respect to your media 👏 ❤❤❤
@tausikahindo8750
@tausikahindo8750 2 ай бұрын
We need part 2 ❤️❤️❤️ so beautiful
@pendokissatu937
@pendokissatu937 2 ай бұрын
Hii podcast itafika Mbali sanaaa
@semkiwatz5102
@semkiwatz5102 2 ай бұрын
Mwanza mwisho ya hızı stori tujifunze kulitafuta pesa ni muhimu sana kuwa na pesa
@amakeypeace8559
@amakeypeace8559 2 ай бұрын
It need money to make a woman happy.. Hakuna mwanamke anapenda shida japo wavumilivu wapo
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 2 ай бұрын
Kabisaa 🤝
@sharifkambutu4248
@sharifkambutu4248 2 ай бұрын
Truth
@agriparose3942
@agriparose3942 2 ай бұрын
Kabisa
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 2 ай бұрын
😂😂100%
@amoskibet6252
@amoskibet6252 Ай бұрын
Huge fan of this podcast.Have learned a lot from it.
@Vision2012Tv
@Vision2012Tv 2 ай бұрын
Hiiii epsodi three kali Saana asumaniiiiiiiiii katendea aki Walah let me share 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@margaretnyamwilahila292
@margaretnyamwilahila292 2 ай бұрын
Nimewapenda sana hii couple Wako vizuri, wanapendana sana.
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 2 ай бұрын
I love your podcast ni nzuri sana
@davidngaga
@davidngaga 2 ай бұрын
This feels so real tho!
@witnessmtoi4198
@witnessmtoi4198 2 ай бұрын
Tunaomba ya nandy na billnass
@OurlovestoryPodcast
@OurlovestoryPodcast 2 ай бұрын
Soon 🎉
@user-wv6xi9iw4k
@user-wv6xi9iw4k 2 ай бұрын
@lovenesskimaro6828
@lovenesskimaro6828 2 ай бұрын
Woow I love this podcast kiukweli hope itafika mbali
@FakihiNapunda
@FakihiNapunda 2 ай бұрын
Hawa jamaa ni marafiki sana!!! 🔥🔥🔥🔥👐
@orbit_studios
@orbit_studios 2 ай бұрын
This by far the best episode, NOW this is a real love story! Hongereni kwa show nzuri and also credit to the couple they understood the meaning of the show.
@kamanapeter4751
@kamanapeter4751 2 ай бұрын
This is real jaman,these ppo are happy.
@dorismwaipembe
@dorismwaipembe 2 ай бұрын
Mama Simba ni mzuriiii balaa😍
@AmiriInnocent
@AmiriInnocent 2 ай бұрын
Sema kwel alikuwa mshamba saiv mtoto wamjin
@augustfive5279
@augustfive5279 2 ай бұрын
Dua za mke Zina make sense huu ni ukweli wa asilimia mia❤
@bongotzshorts7037
@bongotzshorts7037 2 ай бұрын
Yaani hii ni real love story. They kept it real from the beginning and had no shame explaining each other’s flaws in the relationship. Loved every minute of it💯
@OurlovestoryPodcast
@OurlovestoryPodcast 2 ай бұрын
🫶🏼🫶🏼🙌
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 ай бұрын
@@OurlovestoryPodcastleteni ya mcgarab
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 ай бұрын
@@OurlovestoryPodcastleteni ya mcgarab
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 ай бұрын
@@OurlovestoryPodcastleteni mcgarab mcgarab
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 ай бұрын
@@OurlovestoryPodcastleteni mcgarab
@joshuamollel6993
@joshuamollel6993 2 ай бұрын
Nimewapenda sana alfu DJ alibi yupo vizuri chukua taarifa tatzo sio pesa taarifa 🎉hongera kwanza mnafrahaa sana mbarikiwe
@user-dn8cz1nw3l
@user-dn8cz1nw3l 2 ай бұрын
Masha Allah ❤
@jacklinakinabo6479
@jacklinakinabo6479 2 ай бұрын
Baada ya kusikiliza hii love story nimegundua yote kwa yote bila ela love story haiwezi kuwa tamu😂😂😂😂
@rajabrajab9341
@rajabrajab9341 2 ай бұрын
Best interview ever😅😅😅
@nasraseleman4774
@nasraseleman4774 2 ай бұрын
I love this interview
@hawahashim9186
@hawahashim9186 2 ай бұрын
Hii interview nimeipenda❤️❤️❤️
@DM.2200
@DM.2200 2 ай бұрын
naomba mlete na love story ya wolper 🙏
@gladnesstarimo6035
@gladnesstarimo6035 2 ай бұрын
Mpaka sasa kwenye hichi kipind chenu hichi, wake ni wachaga wa machame si mlisema wachaga sio Wife Material hao ni kina nani Mama simba, Alice, Candy😂😂😅🙌🏽....
@happydamian903
@happydamian903 Ай бұрын
Candy so mchga
@mussatwaha5100
@mussatwaha5100 2 ай бұрын
Naomba hizi podcast ziwe podcast kweli basi! Mziweke Spotify, apple music, google podcast na nk. Sio youtube tu
@dubunation4662
@dubunation4662 2 ай бұрын
Noma sana
@ribelathaponsian421
@ribelathaponsian421 2 ай бұрын
Very nice family, Athuman tajir bwanaaa.....🎉🎉
@user-us4jy4ju4h
@user-us4jy4ju4h Ай бұрын
Nawapenda sanaaa haooo❤❤❤❤❤
@user-bs2kh4pp3x
@user-bs2kh4pp3x 2 ай бұрын
I love this couple ❤
@deedee3614
@deedee3614 25 күн бұрын
♥️ hakika palipo na upendo furaha inatawala. Mama Simba una bahati mme anakupa feedback ,yaani hiki ndio kitu nahisi ndoa nyingi zinakosa - open and honest conversations. Mzidi kubarikiwa 😊
@radephplv4976
@radephplv4976 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Nimeipenda sana asuman na mtoto wa kichagga soo fun kwa kwel
@user-ll5vz3cj6z
@user-ll5vz3cj6z 2 ай бұрын
Aliyefikiria hii adia ni noma san ❤❤❤
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 2 ай бұрын
Wow ....it's a real love story ❤
@user-yb1mv2nx6m
@user-yb1mv2nx6m 2 ай бұрын
Nawapenda jamani mko vizuri
@munyanazamda4601
@munyanazamda4601 2 ай бұрын
Nime wapenda kwakwel ❤❤❤
@rukiadady5740
@rukiadady5740 2 ай бұрын
Very nice love story🎉
@rehemasanga7662
@rehemasanga7662 2 ай бұрын
Nawapendaaa❤❤❤
@julietha_feba7449
@julietha_feba7449 Ай бұрын
❤❤❤❤ Nmeondk na changu future husband hongera kwa mke bora🎉🎉🎉🎉
@user-hj7pi7ns6p
@user-hj7pi7ns6p 2 ай бұрын
😍hawa wanapendana sana jaman
@KhadijaAli-og8eo
@KhadijaAli-og8eo 2 ай бұрын
Na urafiki ndan yake
@gametongwe3539
@gametongwe3539 2 ай бұрын
One of the Best 🎳🎯
@monicagodfreyzacharia5489
@monicagodfreyzacharia5489 2 ай бұрын
Nawapenda mmejua kunifurahisha.
@user-ik7un2ut6y
@user-ik7un2ut6y 2 ай бұрын
Kaka upoo vizurii
@ericknshimirimana6588
@ericknshimirimana6588 Ай бұрын
Bro congrats you have found the perfect right person
@wamwandu97
@wamwandu97 2 ай бұрын
Mama Simba usikue unainterfere na unga kuingia nyumbani jameni😂😂😂,Blessings always Asumaniii💪💪💪💪👊
@agriparose3942
@agriparose3942 2 ай бұрын
Wanawake tujifunzeni kitu wanaume wenye malengo haijalishi wao ni watoto wa njini kiasi gani hua hawataki wanawake wajuaji micharuko ujanja mwingi hayo hawataki
@user-wv6xi9iw4k
@user-wv6xi9iw4k 2 ай бұрын
Hahaahaa waooooh........😂❤....... jamani adi rahaaa
@fredymapunda1768
@fredymapunda1768 2 ай бұрын
Tajiri analalamika sana
@user-xk1en5sy7r
@user-xk1en5sy7r 2 ай бұрын
Romantically❤
@joachimpiusurassa2607
@joachimpiusurassa2607 2 ай бұрын
Best interview ever🔥. Asumani na mke wake forever
@zaidathmohamed162
@zaidathmohamed162 2 ай бұрын
I do like them alot jaman ad una enjoy kuwaangalia 😂😂 they are truueeeeee
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 2 ай бұрын
Very interesting love story.....
@stevesanke8767
@stevesanke8767 2 ай бұрын
Hii imeenda 🙌🏾🙌🏾🤲🏽
@hellenshayo3454
@hellenshayo3454 2 ай бұрын
Nawapenda sana ndugu zangu wa moshi....Mungu awasimamie sana mzeeke pamoja
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 ай бұрын
Wajina wangu na aunt yng nkutafuta sipo fb tena nilitoka 2021.Bado upo same?
@walizanasiri4963
@walizanasiri4963 2 ай бұрын
😂😂😂😂Nimependabapo mmbwa muongo😂😂😂❤❤
@ChameenahAhmad
@ChameenahAhmad 2 ай бұрын
Amazing maa shaa Allah ❤
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Ай бұрын
Mungu awafikishe mbali
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 2 ай бұрын
Kajenga kwao 😢😢😢😢 haya mapenz ukuondoa pesa sijui itakuaje 😮😅😅
@bujabestonlinetv
@bujabestonlinetv Ай бұрын
Nani kajifunza mengi ni Love story ❤na kucheka sana 😂 gonga like
@stellastararevocatus3187
@stellastararevocatus3187 2 ай бұрын
Tusopenda kuacha mlango wazi tuko wengi
@harunasaidy2689
@harunasaidy2689 Ай бұрын
Nasemajee nimewapenda sana allah izidi kuwatangulia
@cyubahiroclement191
@cyubahiroclement191 2 ай бұрын
Kipindi kizuli ❤
@phronimouslady1653
@phronimouslady1653 2 ай бұрын
Ila Mama simba nakupenda buree ❤❤❤
@Epiread2024
@Epiread2024 2 ай бұрын
Nawapentaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤😘
@emmymgonto4110
@emmymgonto4110 2 ай бұрын
ASANTENI NTAFURAHI MKITULETEA YA NANDY NA BILL NASI
@prince70863
@prince70863 Ай бұрын
ni story ya mapenz na maisha kabisaaa
@Lulucut
@Lulucut 2 ай бұрын
Tunaomba ya fayma na ray please ❤
@JanethMsogoti-ri6hm
@JanethMsogoti-ri6hm 2 ай бұрын
nmewapenda bure
@talentshow2024
@talentshow2024 2 ай бұрын
Nimejifunza taarifa😊
@graymarmollel6116
@graymarmollel6116 2 ай бұрын
Very nice🔥🔥🔥🔥
@GiftAbduly
@GiftAbduly 2 ай бұрын
Nimependa hiii😂❤
@florencemlay9333
@florencemlay9333 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 jinga kabisa eti hili wowowo 😂😂😂😂😂
@dubunation4662
@dubunation4662 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 ай бұрын
Eti hebu funguka shoga😂😂😂aiseee nmewapendaa
@neemaqueen8143
@neemaqueen8143 2 ай бұрын
Keep it up ❤❤❤we need more couples ❤❤
@neemaqueen8143
@neemaqueen8143 2 ай бұрын
Napenda cheko yako dada ❤😂😂
@eunicetarimo7682
@eunicetarimo7682 2 ай бұрын
Hahahahaha nmecheka sana ❤️❤️❤️❤️
@user-xk8tq1is6s
@user-xk8tq1is6s Ай бұрын
😅apa nmejifunza kitu kweli tunawachanganyaga sana kuanzisha ugomvi wakiwa kazini,najifunza wallah
@Pathro_Cavosia
@Pathro_Cavosia 2 ай бұрын
Amazing conversation ❤
@radephplv4976
@radephplv4976 2 ай бұрын
Hii ndio ndoa aiseee ❤❤ i love. Ilove
@user-ru8bo3sw6s
@user-ru8bo3sw6s 2 ай бұрын
Alooh na mm ntapitaa humu kweli
@user-kz7cy6xg1l
@user-kz7cy6xg1l 2 ай бұрын
Aseee bonge la kipindii
@carrepair-ix5yv
@carrepair-ix5yv 2 ай бұрын
Love
@Jsixty
@Jsixty 2 ай бұрын
Ila ally b bana😂😂😂
@aminajuma7520
@aminajuma7520 2 ай бұрын
Nimewapenda❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@rehemahilali4712
@rehemahilali4712 2 ай бұрын
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 2 ай бұрын
i really like it from zanzibar town
@gracechiloloma8869
@gracechiloloma8869 2 ай бұрын
Ety kujenga kwenu
@walizanasiri4963
@walizanasiri4963 2 ай бұрын
Nimependa ichi kipind❤❤❤
@wamwandu97
@wamwandu97 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂,Have been laughing the whole of this story ..Ni emotional😂😂😂😂😂🤣🤣
@chido3731
@chido3731 2 ай бұрын
Surely this is the best😂😂❤❤
@mohamedabdallah8321
@mohamedabdallah8321 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 hawa wanapendana sana hadi raha yani
@user-oh3wl2fm3c
@user-oh3wl2fm3c Ай бұрын
Bro mke mzuri sana uyo kama haungemuoa wewe basi ningemuoa mimi uyo
@RoseTega-ti5ik
@RoseTega-ti5ik Ай бұрын
Nimewapenda😂
@user-vn6wo8yq1m
@user-vn6wo8yq1m 2 ай бұрын
Ila athumn tajir ban hiyoo lughaa😊😂kudadek
@semkiwatz5102
@semkiwatz5102 2 ай бұрын
Kama anachanganya na france ivi wa four sana then dem alivyo muliza kuwa nimiezi mingapi akajibu seti month seti ni kifaransa kwamana ni saba au mimi mmesikia vibaya
@user-ei5ww8ry3j
@user-ei5ww8ry3j 2 ай бұрын
athumaniii 😅😅😅
@ummumansour
@ummumansour 2 ай бұрын
Tuleteeni Nandu na bilnass itakuwa amazing story
Be kind🤝
00:22
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 18 МЛН
КАКОЙ ВАШ ЛЮБИМЫЙ ЦВЕТ?😍 #game #shorts
00:17
NO NO NO YES! (50 MLN SUBSCRIBERS CHALLENGE!) #shorts
00:26
PANDA BOI
Рет қаралды 102 МЛН
Nandy Ft Billnass -I Love You (Official Music  Video)
2:53
What dating an emotionally unavailable woman looks like.
11:48
Jessica Os
Рет қаралды 52 М.
RBK LIFESTYLE
6:10
CHEESA!TV
Рет қаралды 52
Be kind🤝
00:22
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 18 МЛН