Mimi wa mwisho jamani sijawahi kupata like naomba mnifikirie🤣🤣🤣🤣
@mobastian50508 ай бұрын
Wew ndo mafwaila kabisa😂😂😂😂😂😂
@kladahmad33338 ай бұрын
Tumekufikiriya sasa😂😂😂😂
@maysaghjii50588 ай бұрын
😅😅😅Victor wachekesha sana
@maysaghjii50588 ай бұрын
Victoria yaniww hunamfano nimke wakuigwa
@maysaghjii50588 ай бұрын
😅😅😅😅😅Victor subutu
@KundeTz-rs9lp7 ай бұрын
Yaani kama kuelimisha munajitahidi sana kuelimisha jamii mana watu wengi pia wanaachana na mke wa ndoa kwasababu TU ya mwanamke ambae ata kwao hawakujui so Kwa hii move mwanamke kacheza vizuri sana hongera yake kwakwel
@sarahnjeri-tz8eu2 ай бұрын
Mimi naweza tembea Tz nimwone huyu Vic mwenye heshima na pia mwerevu,much love from Kenya ❤❤❤
@batofrancis69308 ай бұрын
Mwenye ameona ❤bite kwa shingo la Vick like plz 😂😂😂
@user-cd3hx4ox8x2 ай бұрын
Ha ha haa unamacho ww
@zuleykhasaid96714 күн бұрын
Na karema haitokii Hapo 😅😅😅
@user-qf2tp3px7f8 ай бұрын
Dada viky penda Sana we dada umeua sanaaaa, 😂😂😂😂 Vita baridi hiyo 😂😂😂 Kila unapo kuwa popote Mimi nipo umenibadilisha Sana we mhehe good job❤❤❤❤
@beautifulafrica68868 ай бұрын
Pamoja ❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹💋💋💋💋💋💞💞💞
@user-ou5fv1mp6f8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@user-xo7ns7bc8c5 ай бұрын
Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe hongera sana dada Vicky
@SergeKambale-mz5tn8 ай бұрын
Hongera sana Da Vicky ata mimi pia umenifunza mengi kupitiya hii movie nawafata nikiwa Provence ya ituri bunia❤
@user-no3lt4nh6y5 ай бұрын
Thanks my sstr vick my name is Marcelino Mtenga from iringa -kilolo to Bomalangombe village ,heshima kwako da vick na Fanani wote pamoja na sisi Hadhiraaaa Mwenyez Mung awazidishie ubunif zaid na zaid
@RachelThomas-ox3jr8 ай бұрын
Vick busara nyingi sana wanawake tuchukue somo kwa da v kwel kaz nzr asiyeelewa na ajifunze kupitia donta Tv big up kelvin ❤
@user-qq6mv6vh3e29 күн бұрын
Sna
@paulinekombe37538 ай бұрын
Vicky munatufudza mambo megi nakupenda bure❤❤
@TausiMiraji-vq5uw7 ай бұрын
Mimi jaman nina gundu like tu mpaka niombe hiii nyota gani ya kunguru😭😭😭😭
@Simonkakai2108 ай бұрын
Oya bro,kelvin unaweza baba,shikilia hapo hapo.,ila kenya twawapenda sana aisee ❤❤❤
@EMMAHMORAA8 ай бұрын
Wa kwanza Leo...love you my people.........from kenya
@sarahkanyuamwithi38552 ай бұрын
Nice
@bokechacha98028 ай бұрын
Kama wewe ni mwanamke mfupi km Mimi njooo tuandamane Kelvin katutusi njooo unipe like
@user-xo7ns7bc8c5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣mtawezana
@sarahkanyuamwithi38552 ай бұрын
Kabisa
@user-qq6mv6vh3e29 күн бұрын
😂😂😂maandamano tena jmn
@RizikiZiki8 ай бұрын
Wa 36 sijacelewa sana wapenzi donta TV tujuwane ❤
@chimammymohaa8 ай бұрын
Kma umejifunza kitu kutoka kwa team kelvin tujuane kupitia kwa likes ❤️🔥❤️🔥❤️🔥
@InnocentAirplaneWindow-ep3tt5 ай бұрын
Kelvin ame2 funza sana asa Mimi kuna ki2 nimeji funza
@InnocentAirplaneWindow-ep3tt5 ай бұрын
Kelvin ame2 funza sana asa Mimi kuna ki2 nimeji funza
@AffectionateBread-nv5ok5 ай бұрын
Q
@user-qw9gw8fy9c5 ай бұрын
Jaman city vingi sana
@sarahkanyuamwithi38552 ай бұрын
Good work to this guys
@ayshanani8 ай бұрын
Victoria ungelala achana na simu ya Kelvin wataka stress sio 😂😂😂😂😂😂
@user-mt1uc6ed8g8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@aminakhamis22526 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@younglee52728 ай бұрын
Nimewai wa mwisho ata likes mnipee
@EzekiaMichael-jn5np8 ай бұрын
Hongera sana kaka na shemeji Viki mko vizuri sana hongera Kwa mafundisho mazuri
@sarahkanyuamwithi38552 ай бұрын
Yangu pia wapokee
@Cathrineatieno-sm3kc8 ай бұрын
Vicky unaweza vita chino ya maji n mwenye alikuwa anakusumbua pia n mzuri hajakutambua vizuri sana congratulations 👏👏
@HedielJohn-xo9ec8 ай бұрын
LOVEBITE FROM VICKY SHINGO HAHHAHA LIKE HAPA PLEASE
@bennamush46167 ай бұрын
😂😂konkiii
@josephellytemu96452 ай бұрын
Alimnyandua kwanza 😂😂😂ili move inoge
@JanetRiziki-ut2is8 ай бұрын
Asante sana muna tufundisha mengi sana mungu awabariki viki na kelvin ❤❤❤🎉
@SusanWandera-lz7nf7 ай бұрын
Kwa kweli kupitia kwenu am humbled🙏🙏🙏🙏and dada vicky wewe ni mwanamke bomba much love from kenya
@user-ce3xw5gv2p8 ай бұрын
Huyu dad viktor huwa nampenda san❤🎉🎉🎉🎉
@florencenechesa76458 ай бұрын
Pia mm hata napenda jinsi anavyo vaa ❤❤
@user-wx7mn1yj1r7 ай бұрын
Hii moja naikubali kwa kweli ninawapenda sana❤ i from Burundi
@MonicaMkwama-xi3zs8 ай бұрын
NAPENDA MKIIGIZA PAMOJA. ❤❤❤
@helinasubila9878 ай бұрын
Vicke na Kelvin na peda sana mukiseza pamojo
@jameskimongi17598 ай бұрын
Twendee nalo......wa kwanza hapa
@joycemuenimutua45068 ай бұрын
Good work, congratulations 👏 Kenya 🇰🇪 twawapenda
@rahimaaaaa56828 ай бұрын
Unalia nini ss wakati umjui kelvin😂😂😂😂😂Viky😊😊😊😊😊
@user-gd3hw7iv5d5 ай бұрын
Kelvine vipy Kaka we mwana wakiume bana penzi ni sherehe kumbwa jemeni ❤❤❤❤🎉
@user-rm9uo1eg2d3 ай бұрын
Jamani viki uko vizuri sana wewe .mfano mzuri wa kuigwaaa❤❤❤
@NshoboleClarice3 ай бұрын
Hongera dd Vicky najifunza vingi kutoka kwako Ila mungu aendelee kukutunza mpaka uolewe❤❤❤❤
@patientluliba6 ай бұрын
Movie yenu ina fundisho nzuri na baki kwenye likies zenu.huyu dada ame cheza movie vizuri sana.
@user-xq5ld4hc1w6 ай бұрын
nimejifunza mengikupitia kwenu ❤❤❤
@AnneNiyonyishu-cq8nm3 ай бұрын
❤❤❤
@ka-maina20003 ай бұрын
Waiting mama ntilie ep.5....
@AlphonsinaSilayo-ff3pe8 ай бұрын
Ila jamani Kelvin na vickoria mnapendeza sana mkiwa mke na mume hongereni sana kwa kazi nzuri sana Mimi kikubwatu nawaombea mungu awape nguvu na afya njema mzidi kutuletea muvi nzuri zaidi
@princessmshana8 ай бұрын
aliyeona,love bite kwa dada vik aje uku tujumuike pamoja😜😜
@priverpriva41448 ай бұрын
😂😂
@mkasihamad72258 ай бұрын
😂😂😂
@OmaryMgoss2 ай бұрын
😂😂
@user-qf2tp3px7f8 ай бұрын
Waooo viky ile tu karibu mume wangu 😂😂😂😂😂 mume mwenyewe Kelvin daah nikakumbua penzi dada wa kazi 😂😂😂😂 mnafaana Sana kuigiza mume na mke 😂😂😂 😂 nawapenda❤❤❤❤
@waydaeldaudi43888 ай бұрын
Hahahahaaaaa Waoane kabisa hao,😂😂😂😂 Just kidding
@user-qf2tp3px7f8 ай бұрын
@@waydaeldaudi4388 haswaaaaa
@beautifulafrica68868 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mobastian50508 ай бұрын
Et kelvin kaoa huyu khaa😂😂😂😂
@andreamtewele44398 ай бұрын
Duuuh izi move zinanchanganya sasaaa naona namaliza tuuu bando wekeni miendelezo basiii Kila siku move mpya
@maryd15388 ай бұрын
Niko karbu sijachelew❤❤❤❤ watu wang from keny
@gaf98748 ай бұрын
hongera sana viki daah ,kelvin kaka mko vizuri sana hongera kwa mafundisho mazuri mashallah 🙏 ♥️
@HedielJohn-xo9ec8 ай бұрын
NANI AMEONA LOVEBITE KWENYE SHINGO YA VICTORIA GONGA LIKE HAPA ....... WAKINA SUDBROWN TUJUANE
@gladysosoro89635 ай бұрын
Hickey kiss💋💋
@user-pg6db8jl2y5 ай бұрын
ivi izo love bite zenyew azifutikagi 😂😂😂😂
@zuheorsalim77593 ай бұрын
kevlin kashamnyonya kumbe hawa wasanii wanadungana kwmaza 😅
@sarahkanyuamwithi38552 ай бұрын
Mimi
@MathiasMathias-cg4nf2 ай бұрын
Okay
@CatherineOrupia8 ай бұрын
Congrajulation to you vicky hii kali sana
@user-vs8nm1dp2v3 ай бұрын
Huwa na tazama nikiwa Kenya and I love the way mna act movie zenyu Mungu awabaliki sana
@user-yk4qd6qv7e8 ай бұрын
Much love from Mombasa kenya ❤❤❤
@halimamohammedsuleiman51598 ай бұрын
Victoria Asante wallah nmejifuza vitu vingi kwaajili yako❤
@fatumakidoa40068 ай бұрын
Hii imeenda wee DONTA TV wametuakilisha kweli
@dinahmoraa99438 ай бұрын
Wa mwizo kufika mnipe likes zenu
@RobertoMisigiri-lk3ld8 ай бұрын
Wa Kwanzaa🔥🔥👏
@YusuphIjengo-md8kf7 ай бұрын
Yaani hicho kitanda mnakionea 😂😂😂 any way likes zangu mi wa mwisho, natafuta likes tu😅😅
@KhadijaDaniel-zr6ll8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂utakujaaa kifaaa Victoria ilaaa nawapenda sanaa maan munatupaa mafunzo mazur sana❤❤❤❤ big up
@user-xr6xk9lb5c6 ай бұрын
Kenya Watching, twapenda
@user-vh3qe2sh9e4 ай бұрын
Vick kiukweli umeweza big up dada Vick ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@josephineuwizeye82508 ай бұрын
Much love from Burundi❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@icaptanzania-zq5lt8 ай бұрын
Ebjit
@user-yb5jm9vh8h3 ай бұрын
Hongera sana dada vick❤❤❤
@waydaeldaudi43888 ай бұрын
Wakwanza leo❤❤😂😂😂
@user-ji1su1ie5l5 ай бұрын
Vicky mwanamke Bomba na ujasiri pongezi.
@sarahkanyuamwithi38552 ай бұрын
Walai
@CeciliaMutua-pu8ds4 ай бұрын
❤❤❤❤ Vicky na Kelvin good job mnaelimisha jamii
@NasraIbrahim-dw1hr8 ай бұрын
Napenda unavyojali upendo victoria
@iddizo26698 ай бұрын
Nipen like
@basimisemusafiri485620 күн бұрын
Jaman ❤kelvin aukueeka mapati tutajuwaaje Kama ulifanyiya ibyobyashara kazi nakutoka na Victory
@elfidelebalu23045 ай бұрын
m'y favorite 👌👌
@ruthsyokau75276 ай бұрын
much love from kenya❤❤❤
@JoyceKisenga-mq8tt5 ай бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri na juhudi kubwa za kuelimisha jamii Mungu awabariki
@ashamwanganzi64008 ай бұрын
Much 💕💕 love guys nikiona vicky roho iko poa san aisei❤❤❤❤❤