PART 1: DR. MWAKA AIBUKA, HAJAKUBALI NDOA KUVUNJWA, AMVAA SHEIKH WA DSM "HAYA NI MATAPISHI, AIBU".

  Рет қаралды 186,823

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 930
@deejulesdonatha4107
@deejulesdonatha4107 Жыл бұрын
Baby lets go vacation ukiachwa achika mwanamke mpaka adai talaka ujue kavumilia mengi
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 Жыл бұрын
Sio Kavumilia mwanamke akipataga mwanaume wakumdanganya anaanza kudai taraka kwa nguv sio kma anakua ananyanhaswa
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 Жыл бұрын
Ushauri wangu kwako Mwaka. Kwakua Mke wako ameshasema kwamba kwambahakutaki na anataka talaka yake ni bora ukampa talaka yake kwa kheri na salama mukatengana kuliko kuja kulazimisha kutomuacha kisha aidha wewe ama mke wako mmoja wapo akaja kufanya jambo kisha akaja kulijutia maisha yake yoooote.
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 Жыл бұрын
Kaka hapo utambue Jambo 1.la msngi dr hakatai kuachana na mkewe ila hapo kuna Jambo nyuma ya pazia analihofia kua yawezekana wabaya Wake wakatumia nafasi hiyo ya ugomvi na mkewe kumuarest anachotaka ni vipengele vya sheria ya mungu kufuatwa
@nemecymsanya4952
@nemecymsanya4952 Жыл бұрын
Bro Acha na social network endelea na maisha yako na biashara zako cha msingi lea watoto wako. Ushauri wa bure Dr mwaka piga kazi askari wangu.
@jescadeogratias5292
@jescadeogratias5292 Жыл бұрын
Akitaka janja janja ya kukwepa kulea.Talaka ishatoka,na unapangiwa matumizi ya watoyo
@hamidudongo1879
@hamidudongo1879 Жыл бұрын
Sio suala la social media. Yule Mwanamke amefanya katika social media ili kumuhaibisha Dokta Mwaka. Kuna watu wamekatwa masikio na wengine wamekatwa Uume, lakini hatuja wahinkuwasikia mambo yao ya kuachana. Yule Mwanamke anajua fika kwamba dokta mwaka social media guy and I don't agree with most of things anavyoongea kwenye vipindi vyake. Ila hili hapa hiyo ndio ilikuwa dawa yake yule Mwanamke
@amirishauur5795
@amirishauur5795 Жыл бұрын
apo kuna mali iningia pasu babuu uspoongea unaeza ukapishana
@universitylink
@universitylink Жыл бұрын
Doctor mwaka uko right kwa haya unayoyaongea tunakuomba uwende usuluhishe issue ya mkeo kifamilia na kwa kadhi vizuri sana Allah awalipe kheir wote nyie
@tmt2642
@tmt2642 Жыл бұрын
Jamaa kachanganyikiwa huyu..hajakubali kuachwa😂😂😂😂
@krintonnyembo4759
@krintonnyembo4759 Жыл бұрын
Kaka uliambiwa uombe radhi ukagoma,hata kama huna nywele Kaa,tulia wakunyoe vyema sasa.
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 Жыл бұрын
🤣
@fadhilhelebula664
@fadhilhelebula664 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 Жыл бұрын
😂😂😂😂 hilo neno
@betridajulias7676
@betridajulias7676 Жыл бұрын
Nyie wanaume Mungu tu awasaidie tena nyaza tu.Nyie upenda kunyanyasa wanawake nasi tumeumbwa tunamoyo pia ndokashachoka mwenzio.Ukiachwa achika,ulitaka umuache mke maana ndo imekuwa kawaida ila mwanaume kuachwa niaibu
@betridajulias7676
@betridajulias7676 Жыл бұрын
We siunzonga pesa sasa umeumbuka
@zuwenaadja2261
@zuwenaadja2261 Жыл бұрын
Unachokilalamikia nini Dr hapa😂 ukiachwa achika basi.
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
Mali zake xitaend
@sifaisack7470
@sifaisack7470 Жыл бұрын
😅😅😅
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Mwaka mzima hujamgusa mkeo 🙄 huduma huna lakini kumtumia police pia hapana ndoa hapo muache atapata mwengine 😄 mwanamke mzuri kama yule
@augustkisaka5107
@augustkisaka5107 Жыл бұрын
Kama amuneshi mwelekeo
@buthainaayoub9107
@buthainaayoub9107 Жыл бұрын
Wewe hujui chochote hebu olewa ndo utajuwa anachoongelea mwaka, mnaishi na maboyfriend mnaacha kihuni huni basi unadhani pia ndoa zinaenda hivyo
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
@@buthainaayoub9107 Pole sana usichokijua sawa na usiku wa kiza mimi naijua ndoa ndio maana nikajibu ndoa sio vita ndoa nimakupaliano ya watu 2 mmoja akichoka hakuna ndoa hapo
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
@@buthainaayoub9107 hivi wewe mwanamme alie oa anawezaje ukishi na mwamke bila kumgusa wakati ndio kilicho waunganisha wakaingia kwenye ndoa tendo la ndoa
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Hao mashehe anafunjwa ndoa yako kwasababu,hio ndoa alifunga ndo mashehe hao ,ww nenda kwenye mahakama wao atagawa Mali,kama ww muislamu kweli kama ujakaa nae mkeo Kwa cku 40 basi hio ndoa imefunjwa ww mwenyewe
@iam_mobam
@iam_mobam Жыл бұрын
Dr. Maisha Hayana Tafsiri Kaka.🤝🏾
@neemashuma5595
@neemashuma5595 Жыл бұрын
Ngazi ya familia ya nini muache Queen aendelee na maisha na wewe na baby let’s go vacation endeleeni
@habibahmed7678
@habibahmed7678 Жыл бұрын
Umeoona 😅😅
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Жыл бұрын
Kwan huyu Mwaka kwann hataki kutoa talaka? Tuanzie hapo kwanza, maana kupelekwa bakwata ni kuwa kagoma kutoa talaka na bado anaonesha hataki kutoa talaka! Sasa kwann usimpe mwenzio talaka awe huru? Haupo nae zaid ya mwaka mzima, hakutaki nawe humtaki kwann usimpe talaka? Unaonekana kama tahira flan hv, manaume ya hv ni masenge sana, linakung'ang'ania na wkt hampo pamoja. Shame on u Mwaka
@lissamnyingi6457
@lissamnyingi6457 Жыл бұрын
Siri anaijua yy Dr Mwaka Kama alikuwa anatembelea nyota ya qeen akisha muacha Kila kitu kinamfuata muhusika.
@joharikasuwi6973
@joharikasuwi6973 Жыл бұрын
Tena yeye anajiona Yuko sawa wakati alishampeleka mwenzie polisi. Usingeenda polisi kaka wanawake tukichoka tumechoka usiombe yakukute sasa vumilia
@ahmedsalim4930
@ahmedsalim4930 Жыл бұрын
Well said brother ilikua haina haja kuiweka vedio kidunia ur in good thinking tomorrow may Allah protect you
@chumaulete7273
@chumaulete7273 Жыл бұрын
Kwa ninavyo kuona tutasikia suala la watoto umepelekwa tena mahakamani....
@amraniramadhani4148
@amraniramadhani4148 Жыл бұрын
Soma vizuri katiba ya bakwata, baraza la masheikh la mkoa lipo ktk katiba, hio ishu imeisha Isha uza TU dawa
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 Жыл бұрын
Tatizo lugha zako sio nzuri na ujuwaji mwingi siungi mkono yote ila jitambuwe kabla ilitokea matatizo wew na huyo sheikh wa mkoa sasa unawaingiza wengine kuwa wahuni. Kauli sio nzuri
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Жыл бұрын
Kuna mambo ya kukushauri dk. Mwanak 1. Jambo la Kwanza fitna huzimwa kwa uchamungu japo kupigania heshima yako Ni sehemu katika jihadi 2. Ndoa inaweza ikavunjwa na qaadhi au hata sheikh ikiwa hamna qadhi ndio maana katika sheria Kuna anaitwa muhakkam kiujumla Ni mjuzi wa mambo ya kisheria 3. Jambo la tatu shida sio sheikh wa mkoa shida Ni mkeo cs popote mtakapoenda
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Usituchoshwe kama umeona ujatendewa haki mufti kasema ukate rufufaa kwendaaa
@muhan_de_coco3567
@muhan_de_coco3567 Жыл бұрын
mihemko!
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Жыл бұрын
Huna tatizo kuvunjika kwa Ndoa kwa sababu unajua Utaenda kuoa Mwanamke mwingine Umchezee tena. Watu kama nyie ndio mkikatwa neti zenu mnalalamika kumbe ni history na tabia chafu za kucheza na maisha ya wanawake
@eliaskahory7116
@eliaskahory7116 Жыл бұрын
Mmmm vp yamekukuta
@lissamnyingi6457
@lissamnyingi6457 Жыл бұрын
Kabisa wanatuona hatuna akili unavumilia weee mwenzio anaendelea kula Raha, Mwanamke akishasema Baasi Mzee utahis unaota ila ndo uhalisia si wanadhan mapenzi ni Pesa waoe Bank sasa kunguru wasio fugika
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
@@eliaskahory7116 😆😆😆😆😆
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
Kwan kutoa taraka kuna kaz kwanza maan ukiona mtu anaitaj taraka ujue amekuchoka
@mohameddjair1739
@mohameddjair1739 Жыл бұрын
Good point
@ummimohammed-pn1oz
@ummimohammed-pn1oz Жыл бұрын
Talaka ni haki mwanamke akikukata ni haki yake muhimu akurejeshee mahari yako aendelee na maisha yake. Nimemuona kwa macho yangu mwanamke mwenzangu akilia anadai talaka yake mpe usimsumbue maisha mafupi usihadaike na pumzi sote tutakufa na vyote tutaviacha mwacha mwanamke aende salama.
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Mume na mke ndio wanahusika na suluhu na kiukweli sio vizuri kufanya haraka kwenye talaka ila ingetakiwa wawaite wakae pamoja family ikishindikana kabisa yote talaka itoke au ajivue ndani ya ndoa mke kwa kumrudishia mahar yake, maana sisi ni binaadam na ndoa siku hizi watu huhujumiana katika ndoa kuharibiana kama wana vinyongo na mtu akapata nafasi ya kuharibu ndoa ya mwingine. Kisheria mwanaume ana haki zaidi katika sulhu yeye na mke wake n mazungumzo yangesimamiwa ikishindikana ndipo itoke, ila umashuhuri nao na macho ya watu. husda na uchawi n.k huchangia mengi watu wakachukiana bila sababu. tusishabikie maana ndoa sio kitu chepesi maana kuna wapambe wengi na mahasidi kila pande. sio vyemakushabikia ugomvi maana hujui tatizo liko wapi nje au ndani au kutokana na remote za kichawi
@zuwenaadja2261
@zuwenaadja2261 Жыл бұрын
Alivyokua anatamba marekani na mke mwingine hakujua anamgogoro akatengeneze kwanza na mwanamke wake kwa familia mbona mda wakutamba aliupata? Ndoa ina mwaka akiwa kwenye vurugu kwanini mme yeye asingelipushi kifamilia zaidi anadai kupushi sasa hivi by the way mke kakataa kushuruhishwa hata wangeenda popote kama ameshaamua kuachana unadhani kuna mtu angemstopisha pale maana mke ndie alie amua sio ngazi yoyote ilioamua akiachwa akubari kuachika maana popote atakapoenda kudai matoke yatatoea tu kupewa taraka yake maana ndie hataki kuishia nae sasa na mapenzi hayarazimishi…
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 Жыл бұрын
Fact
@amarually5457
@amarually5457 Жыл бұрын
Nduguyangu wewe umeongea walichotakiwa kuongea wahusika lakini wahusika ndio wanachochea talaka baada ya kusuluhisha wao wanashabikia sasa sijui inaleta imanigani kwetu mtu anaetakiwa kupatanisha anafarakanisha hakuna mkamilifu mtu anakosea mpenimaelekezoiliajue alipokosea nini maana ya usuluhisho
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
@@zuwenaadja2261 ila unajua kitu kimoja kama ushawahi kukaa katika ndoa au ukasuluhisha migogoro ya ndoa kuna maneno mengine yanayosemwa na.mmoja wapo au wote ya kusikia kutoka kwa mtu fulani anamuambia mke wako.kafanya kadha wa kadha au mume wako kasema.kadha wa kadha na kumbe mtu akachukulia kw kuwa.wana ugomvi na wakautoa wapo wachonganishi wazuri na wakati wa sulhu wakiitwa wanakimbia, pili kuna maneno ya dhana kabisa mtu anaweza akamdhania mwenzie kupitia vitu fulani au kuona akadhania tu, na tatu kuna maneno ya kutengeneza.mtu akoleze chumvi aonekane yupo sawa na pia katika pande zote hasira huwa juu kila.mmoja anataka mwenzie ajishushe na kuna kahuruma pengine na mapenzi yapo nimeshuhudia ndoa mtu katoa talaka.mpaka tatu na anampemda mkewakena mke bado anampenda mume lakin kuna tishia nyau tu. mnaweza kukuta mambo yanabadilika kwa wengine, mambo ya kuingia sana na kuwasemea wana ndoa yashaumbua baadhi ya wazazi. kuna watu eamepeana talaka tatu kitu ambacho hawaruhusiwi tena kuish pamoja mpaka ipite ndoa mke aolewe na mtu mwingine kisha aachike mtu anafanya hadaa na kumwambia rafiki yake aoe kisha amuache siku mbili waweze kuoana tena na hii haramu. sio kila wanaotaka kutalikiana wanachukiana wakati mwingine wanaopendana hugombana na siku mbili washakuwa pamoja, wangapiwanatiana magumi lakin wanapendana sana. kuna jamaa walishabikia ugomvi wa ndoa ya dada yao na shemej yao wakawa wanamuna shemej yao kama taka na wakakuta siku chache mbele wenzao wanarudiana na kuitana wapenzi na wao wanaonekana washenzi, mapenzi ni kama lenzi, hu zoom moyo wa mwenzi, wakigombana wapenzi, hata wakipigana konzi, usijejitia tanzi kwa kuingilia penzi, wakipatana wapenzi, watakuita mshenzi,
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Жыл бұрын
Ni rahisi kuongea huwezi kujua maisha ya hyu dada
@jeremialyati6092
@jeremialyati6092 Жыл бұрын
Queen anatakiwa Baba 🤣🤣🤣🤣
@ameirothman805
@ameirothman805 Жыл бұрын
Umekosea sana kuwaita viongozi wahuni dah kaka ni ngumu sana viongozi kukuunga mkono pia ndoa inapo ingia dosari ni muhimu kutatua ttz ila kesi ishakua kubwa cha muhimu stay humble ila usisusie watt chengine zingatia sheria za dini Kuna wakt utaingia mattz bila ya kujua muachie mungu wasichn wpo wengi sana
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 Жыл бұрын
Mlaumu aliyekuwa mke wako yeye ndio alitangaza kwenye social media Usitupigee kilele bwana Mwaka mmoja umeshindwa kuweka Sawa migogoro ya ndoa yake Mpaka limekuja social media wewe uko wapi? Iyo aibu yako ibebe tu kubari kushuka Muungwana akivuliwa nguo uchutama
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
mwanamke hakutaki toa taraka bhana
@sashambonde7258
@sashambonde7258 Жыл бұрын
naludia Tena mwaka acha kelele Wala so we will be Qeen anaolewa mwezi ujao na mchumba ndio mm akutaki amesema mbele ya Shee wetu wa mkoa tuwachie nafasi na sisi tumuudumie Qeen wewe umeshindwa Tena ukiendelea ntakushitak kwasasa Qeen ni mke mtalajiwa acha fujo kumtunza ulishindwa acha tukuoneshe maisha ya mke anavo tunzwa mwaka ukiachwa achika
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
we unaitwa sasha unataka kuowa kaka ako🤣
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@FREENETNAME
@FREENETNAME Жыл бұрын
Huyu mume si mwema wallahi sikiza kicheko chake cha uwadui Subhan’Allah mungu amlinde Queenie na wanawe oenfine aliona mkewe hawezi kumuacha ndio kihere here munaendeleya mungu anaona kila kitu ndani ya nafsi na moyo wake anaweza hata kumuawa huyu mama na watoto wake kwa hasira na nyuso za uadui na unyanyasaji na udhalilishaji mungu amuongoze siratul mustaqeen ammiyn
@bupeisaya9063
@bupeisaya9063 Жыл бұрын
Ongea yooote lkn kumbuka,,tulikuheshimu ila umejivunjia heshima pia ungekata rufaa iko wazi usingekuja hapa kujitetea,,,.mwanamke mwaka mzima hakuna huduma ??????? Mungu akujaalie queen upatege ridhiki Kwa ajiri ya wanao
@ramadhanfara2302
@ramadhanfara2302 Жыл бұрын
Mwaka mzima hautumi hela ya matumizi ya watoto
@aishamrisho6860
@aishamrisho6860 Жыл бұрын
😆😆😆😆
@mohammedmakarani2802
@mohammedmakarani2802 Жыл бұрын
Uko sahihi doctor ila ulijisahau sana shekh wangu vitu vyako ulivianika sana mambo mengine siri ila mambo ya kifamilia yanahitaji siri sana uliyaanika sana hazarani hukujua kua kuna hasadi ila ushauri wangu mwache aendee hapo hakuna tena mapenzi shekh
@angelbarnabas7075
@angelbarnabas7075 Жыл бұрын
You are wife she is not happy let her go , ujuaji mwingi mno maneno mengiii mke wako atakufa na brood presha and she don’t want to be with you . Thank you
@dicksoncosmas1368
@dicksoncosmas1368 Жыл бұрын
Mimi nakuelewa sana dokt #yatapita
@gaudencemihungo4348
@gaudencemihungo4348 Жыл бұрын
Kama unataka kuongea na muft kwa nini usiende kuonana naye ofisini kwake, hapa uongei na muft, unaongea na umma kwa lengo la kuleta vurugu. Kama mke ulimshawishi wewe mpaka mkafunga ndoa, unashindwaje kumshawishi mkeo arudi kwako? Nadhani umeshindwa kukaa na mkeo. Kwa sasa huna ndoa na Queen, mlianza sirini mnamaliza hadharani, tena mitandaoni. Acha vurugu, tunajua una bifu na Shekhe wa mkoa. Jitahidi kuuza dawa zako achana na Shekhe wa mkoa. Queen ameenda,
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Жыл бұрын
Huyu ndoa imemshinda
@mercynadia3140
@mercynadia3140 Жыл бұрын
Hii msg ikufikie Mwakastress kubali matokeo sio mume mzuri
@zigzag4487
@zigzag4487 Жыл бұрын
Huyu sheikh wa mkoa aliekua anamuita magu ni Mungu au yupi
@husseinally5550
@husseinally5550 Жыл бұрын
Ushabiki
@gd1926
@gd1926 Жыл бұрын
Kweli wewe kiazi kweli kweli kwaiyo hata huoni kuwa huyo sheikh kakosea
@Boyhoodking
@Boyhoodking Жыл бұрын
Mwezi March nafunga ndoa na queen. Mtoto mashaallah. Acha sisi tumuhudumie wewe si umeshindwa bwan kaa kwa kutulia. Mwanamke hakutaki Sasa unalizmisha mzee!? Mwaka mzima hujamgusa una haki gani kuwa mume? Fakeni taipu😂
@asmamwadini3127
@asmamwadini3127 Жыл бұрын
Hahahaa
@habibaomary3834
@habibaomary3834 Жыл бұрын
Haaaahaaaa ukiona cha nini wenzio wasema nitakipata lini ,shamba limekushinda kulima waache wenzio waliiime ,Achia ngazi
@habibaomary3834
@habibaomary3834 Жыл бұрын
Watu oyoooo hutakiwa bhana km dollar dollar zako muache mrembo wa watu
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 Жыл бұрын
Umeambiwa kwenye hilo baraza kadhi nae yumo kaka usipanic tuliza kichwa wanaokushauri kufanya hili wanakupotosha muungwana akivuliwa nguo huchutama
@hannanommy302
@hannanommy302 Жыл бұрын
Usimwite Shekh wetu Muhuni ,ndoa huna bwana, hakuna wahuni muhuni ni wewe, Mimi ningekuwa Shekh wa Mkoa Namuoa Gueen harakaaaaa 🤸‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@banajuliana758
@banajuliana758 Жыл бұрын
Uliacha kuwahudumia ukifikiri unawakomoa sasa jnalalamika nini? Koma msosi 👌
@hoseamgema9107
@hoseamgema9107 Жыл бұрын
Mwalim wa ndoa za wengine ame fail kwenye ndoa yake . .
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Hahahaha,,,,
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@samiahmlimanzila6406
@samiahmlimanzila6406 Жыл бұрын
Dr ushauri wangu kwa maelezo ya mkeo ki dini unamakosa iletu. Mwaka mzima hupo nae wakati matalaa sio haki kikubwa toa taraka maisha yaendelee kingine ki misingi ya kidini bado unamkosea Mungu kusema mashekhe kua ni wahuni
@ameirothman805
@ameirothman805 Жыл бұрын
Mukiendelea na mvutano huo watt mtawapa wakt mgumu sana endelea na matibabu kwa wagonjwa pia nafc unayo ya kuoa mke mwengine usimize kichwa mpe haki yke mkeo kitokea nyumba Fata taratibu za dini n nchii pia uc force kusema ndoa haijavunjika ila kk kosa kuwaita viongozi wahuni inauma sana hakuna sehemu utakayo enda ukashinda juu y hii kesi
@richardmaimu9596
@richardmaimu9596 Жыл бұрын
I am sooooo confused here!
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Kamuowe monalisa. Janaume gani lina wanawake 3 ila bado wazini na wazaa hadi watoto.
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
Toka hapa bwana umekaa mwaka mzima hutoi matumiz na ukamshitaki mkeo eti amekutapeli nyumba ukamtumia police, tulia dawa ikuingie
@malolatshahala
@malolatshahala Жыл бұрын
Aww. My mwaka anaona mbali japo pia penzi bado lina tawala nafsi yake 90%. Kuvunjika kwa ndo ni maamuzi kati ya mke kuolewa na mume maana hao 2 ndio wana ndowa.kwanza mke alipo wapokea wajumbe kutaka suluhu akakataa,alipokwenda kudai talaka ina maana hataki ndoa tena maana si kwamba amekurupuka,hayo ndio maamuzi yake kutoka moyoni. Familia zote 2 pia na vyombo vyote vyo sheria havina maamuzi zaidi ya hayo yy kama yy kutoka moyoni mwake. Anaweza akageuza maamuzi kwa kuwaokopa wazazi ao yeyote anae mweshim ,mkarudisha ndoa yenu lakin maisha yako yatakuwa hatarini. Kwanza: hatokubali tena kuzaa na wewe,pili:akikuondoa duniani kwa njia yeyote,atakuwa amefanikiwa katika yale mapungufu yako yanayomkera na kudai sasa balaa limeondoka na sasa ntaijoy. Nb.achana nae.
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
Tia talaka unaongea sana kama mwanamke
@eliaskahory7116
@eliaskahory7116 Жыл бұрын
Acha Story Kaka sema Ufundishwe Jinsi yakuishi na Mwanamke, Wew Endelea kuwaelekeza watu jins yakupata watoto.
@user-mo5mi6bt6v
@user-mo5mi6bt6v Жыл бұрын
✊🏼🤣😁😁😁
@habibaomary3834
@habibaomary3834 Жыл бұрын
Haaaahaaaa haswaaa toa dozi
@deusisindwa616
@deusisindwa616 Жыл бұрын
Hapa huongei na mfti Ungekuwa unaongea na mufti Ungeenda ofsi kwake,, Cyo unakuja kwenye mtandao ya kijamii,,wewe syo wa kwanza kuachwa,,ukiachwa achika maisha yaendele,,mwanamke akishasema (NO)huwezi kumubadilisha,,neno (NDOA)ukiondoa helufi(N)inabako DOA,,
@deogratius1790
@deogratius1790 Жыл бұрын
Acha nae uyo she ameshapata mume mwngine
@msakuzikondo536
@msakuzikondo536 Жыл бұрын
Yupo sahii kabisaa.Chombo pekee chenye uwezo wa kutoa talaka ni Mahakama tu.Sheria ndio inavyosema.Maamuzi ya Bakwata haina mamlaka ya kuvunja ndoa.
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Жыл бұрын
Kwass waislam hatutambui kitu kinaitwa mahakama labda km mumefunga ndoa ya kiserikali. Huyu mwamba kasitisha huduma mwaka mzima kampeleka mkewe polis ili atoke nyumbani na watt huyu Jamaa ni zaidi ya mnyama
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 Жыл бұрын
Acha uzwazwa,Bakwata ina mamlaka ya kuvunja ndoa kupitia Kadhi,Ndoa zenu za kikristo ndio zinavunjwa na mahakama
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
Usilete udini apakichaa wewe
@ailenyanthony1550
@ailenyanthony1550 Жыл бұрын
Mhmhm, Nani aliyekudanganya? Hata hiyo Sheria unayoijua wewe haiwezi kutoa talaka kwa ndoa zote mpaka wapitie masuluhishi sehemu mlipofungia ndoa
@mnyamamkalitv6575
@mnyamamkalitv6575 Жыл бұрын
Wew iyo serikali nikwanyie makafir
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Жыл бұрын
baraza halijakosea kaka wameshughurikia tatizo ni wazoefu sana kina Mufti na mashekhe katika mambo hayo na wana hikima.wewe mfuate mke wako mweke sawa anaonekana napenda sana kuheshimiwa na hapendwi tukanwa,ila pole naelewa una machungu na kuachana si jambo jemaa kma ulivyosema,Mungu akupe busara zaid katika hili
@manhajsalafafrica
@manhajsalafafrica Жыл бұрын
Katiba ya Bakwata haimpi mamlaka Sheikh yoyote wa Bakwata kuvunja ndoa,
@rickyjames8495
@rickyjames8495 Жыл бұрын
Hakuna ndoa ya perfect ! I am married myself , lakini ikifika mahali that you wife hasikwilizi, basically now she is appealing to authority to be listen to , come on Dr Mwaka, it’s gone too far ! Ana haki yake ya kuvunja ndoa! It’s her decision !!! Don’t be angry at Bakwata jilaumu wewe mwenyewe! Stop trying to find loopholes in the bakwata constitution brother , it didn’t work out with you and her ! You failed to reach out to her , tharau!!!!
@venancegaspatv1961
@venancegaspatv1961 Жыл бұрын
Mimi ni Mkristo ila Dr. Mwaka ameuliza maswali mazuri sana kwa kuwasaidia waislam japo wengine wanashindwa kumuelewa,sijawahi ona sehemu yoyote Duniani Kiongozi wa dini anatangaza kwenye Press kuvunjika kwa ndoa tena na miwani ya kutoa aibu,pia Kisheria ndoa hiyo haijavunjika mpaka pale mahakama tiakapotamka ndoa imevunjika Bakwata ni sehemu ya Ushahidi tu
@salimiddy7769
@salimiddy7769 Жыл бұрын
Pole sana doctor Mwaka kwa madhila yalio kukuta
@beatriceswai2608
@beatriceswai2608 Жыл бұрын
Umeachwa kubali kuachika
@lissamnyingi6457
@lissamnyingi6457 Жыл бұрын
@@beatriceswai2608 Huwa wanaona raha kituumiza sasa kubali matokeo
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Penz kiberiti washa 🤣🤣ukiachwa achika by barnaba classic
@vincej9275
@vincej9275 Жыл бұрын
Ndoa sio kwa lazima , kama mkee amechoka na wewe, mwache aendelee na maisha yake. We can try to save our marriage but it's wrong to force one party to stay if they no longer want to.
@btylove1870
@btylove1870 Жыл бұрын
Kunywa soda nitalipa. Nimesema hivyo hivyo kwani maneno yote ya nini?? Mtu kaomba talaka yake mpee!
@rehmamoshi4693
@rehmamoshi4693 Жыл бұрын
😄😄😄pole sana labda unaogopa kugawa mali sasa kama mwanamke hakutaki shekhe afanyaje
@hannanommy302
@hannanommy302 Жыл бұрын
Rehma umenena huyu anaugomvi na Shekh Alhad apuuziwe mke hamtaki hamtaki ,yeye anaugomvi na Shekhe, Naona Aibu mimi wallah wake wa mwaka wamevumilia mnooo huyu baba ananogwa anajua kutesa hajui kuacha,
@vincej9275
@vincej9275 Жыл бұрын
@@hannanommy302 kweli kabisa
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Ndio anataka kuchukua kila kitu mwanamke asibaki na kitu
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Kabisa na hasa hyo nyumba aliomuandikia ndio inayomuumiza kichwa uyu mali ndio inayomtolea mate kusema hapa
@khamiskiandiko2965
@khamiskiandiko2965 Жыл бұрын
Ofisi ya kadhi sio wahuni kwanza inabidi uombe msamaha ndio mufti atakujibu maswali yako bila hivyo sidhani
@christophermsekena616
@christophermsekena616 Жыл бұрын
Mara paaaap shehe wa dar kumuoa mke wa Mwaka
@piusjuma7384
@piusjuma7384 Жыл бұрын
Kisheria barza la kiislam Lina mamlaka ya kusulh8sha tu kwa kitendo Cha barza kutamka kuwa ndoa imecunjika ni kinyume na sheria
@mickyiron308
@mickyiron308 Жыл бұрын
Matapishi gani wakt he's telling the truth sema yeye alikosea kufikiri ukimwagia mwanamke madola ndo utamtuliza kumbe ndo unamzuzua!!Wanasubiri umwache watu wamnyakue aanze kuwapa Ile midola yako ulikuwa unamwagia 😹😅
@azizimkwawa7711
@azizimkwawa7711 Жыл бұрын
Shekh Muhuni dah to be honest kaka umetutukana waislam wote kwa kifupi umekosea sana na umejikweza sana nakushauri jishushe kaka mbele za Mungu na atakusamehe
@idrisargevar4557
@idrisargevar4557 Жыл бұрын
Sheikh muhuniii mimi nimesemaa😎
@coin9007
@coin9007 Жыл бұрын
@@idrisargevar4557 Mkiachwa achikeni 😂😂😂
@idrisargevar4557
@idrisargevar4557 Жыл бұрын
@@coin9007 hivi mtu kama dr mwaka akabembeleze demu? Demu mwenyewe yule😂😂😂 Mafiiiiii
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Жыл бұрын
Nazani kama ulioa kwakufuata shelia yadini basi angalia dini inasemaje kuhusu ndoa nasheliazake utajua muongozo ukoje hiki unachofanya unatokakwenye misingiyadini muogopemungu natendahakipale inapopaswa
@ameirothman805
@ameirothman805 Жыл бұрын
Stamina kashasema ndoa za bongo zinafungiwa chumbani na zinavunjikia instaa
@othumaniabdallah6848
@othumaniabdallah6848 Жыл бұрын
Ndugu yangu sheikh alhad mussa amekurupuka Allah akupe subra
@muhan_de_coco3567
@muhan_de_coco3567 Жыл бұрын
kwa nilivomsikiliza nimemuelewa vzuri sana
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Жыл бұрын
Ww wake zako uliwatangaza kwa press sasa ili watu wajue mzee hauko tena pale lazima ifanywe press , tena ingetakiwa ilipiwe iwe promoted , mashekh huyu mtu anawaibisha sana
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Жыл бұрын
Si ndo hapo na wakirejeana chumbani ataita yy Mwaka ataita press km kawaida yake, tena nn???
@safiahassan6121
@safiahassan6121 Жыл бұрын
Hii ndo ile mtu hakutaki na bado hataki kukuona ukiwa kwa mtu mwingine kwasabab anajua yeye ndo mwenye makosa
@hassanmohamedi9966
@hassanmohamedi9966 Жыл бұрын
Yote ni yote Dr Kubali yaishe, Viongozi wetu wa BAKWATA naomba muwe maki I ktk kufanya maamuzi hasa yahusiyo ogogoro baina ya mnaotuongoza hasa ya ndoa,mara nyingi mueni wapatanishi ili kujijengea imani na heshima kwetu sisi mnaotuongoza Kwa kweli mnatusimamia vizuri .Endeleeni kusimamia HAKI
@sifamushi1747
@sifamushi1747 Жыл бұрын
Kama Mke HAKUTAKI, NA KUKIRI HIVO, haina haja ya kua...isha maneno/mgogoro na wakuu wa dini. Wao wasingejua kama mmoja wenu htaki
@nervenb2831
@nervenb2831 Жыл бұрын
Hakuna. Cakurudiana. Muace atapata. Rizkiyake. Weye. Sulimuaca mkaenda ulaya. Kula upepu ataposho hamkumupa uyo. Alikuwa. Mke. Akirudi. Atakuwa. Amezalilisha. Masheikh🙏
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Жыл бұрын
Akili nyingi point nyingi!mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!Mwaka yupo sahihi
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
😁
@faizaldaud7628
@faizaldaud7628 Жыл бұрын
Huyu jamaa anaboa
@cholombuda1658
@cholombuda1658 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana doctor mwaka naamini ww sio kama utadhulumika kwa kuachana namkeo ila ulihitaji zaidi amani kwasababu kwanza unaonesha kwamba bado muhitaji mkeo pamoja na watt napia hata mkiachana basi iwe kwakheri sio shari coz mlishazaa watoto watajifunza nn kutoka kwa wazee wao
@wardafusi6012
@wardafusi6012 Жыл бұрын
Kwaiyo mashehe ni wahuni duu kwakweli mwaka ww ni mwaka kweli mwenyez mungu akusamehe Sana, usingetaka yafike Apo ungetoa talaka chapu chapu
@henrymushi8340
@henrymushi8340 Жыл бұрын
Huyu jamaa anajifanya kufundisha Mambo ya ndoa,kumbe anamnyanyasa mke asee ni hatari,usimwamini mtu
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Ndomana watu tunaambia tuache kuangalia watu kwenye TV wakitufundisha ndoa wakati wao awajaolewa
@DealDeskPro
@DealDeskPro Жыл бұрын
kiukweli mengi yanaweza kusemwa hapa...lakini swala la kuzungumzia masuala ya ndoa ya mtu katika mitandao ya kijamii regardless what, sio sawa..viongozi wetu wa dini wanapaswa kutumia sana busara kwenye kufanya maamuzi. Dr. Mwaka might be a low person kwenye elimu ya dini lakini katika hili, ofisi ya shekhe wetu wa mkoa inapaswa kujitathimini sana katika hili..how comes wanatangaza kuvunjika kwa ndoa ya Dr. Mwaka..it is totally wrong.......
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
SHEIKH MKUU AMEINGILIA MGOGORO AKIWA NA INTEREST, HAWEZI KUWA HAKIMU WA JAMBO HILO TENA KWA KUTANGAZA KWENYE VYOMBO VYA HABARI. HAWA NDIO VIONGOZI WA BAKWATA
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 Жыл бұрын
Uko SAWA kabisa Tena sana na nikupongeze sana Doctor Mwaka ., Ahsante sana ... ALHADI alipaswa asijidumbukize kabisa kwenye jambo Hilo Tena huwenda pia kavutiwa na mkewo ndio MANA anajihukumia
@abdulrazaqmusa3192
@abdulrazaqmusa3192 Жыл бұрын
😂
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Жыл бұрын
Mwanamke mrembo Sana aisee
@soudbako5925
@soudbako5925 Жыл бұрын
Mwaka kapigwa na kitu kizito kumbe bado anampenda
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 Жыл бұрын
unaitaji kutufundisha au unajitetea kama mwanammke kaamuwa miachane basi mwache afanye yake
@husseinaziz8284
@husseinaziz8284 Жыл бұрын
Sawa
@youandme1593
@youandme1593 Жыл бұрын
Kwa kiwango chochote ambacho Dr Mwaka amemkosea mke wake hakifikiii kiwango ambacho sheikh wa mkoa kaukosea uislam na waislam!!!He doesn’t deserve to be on that chair!
@samsonzablon
@samsonzablon Жыл бұрын
Kisheria, kama sikosei haivunjwi na shehe, wala mchungaji au dini, bali kisheria Ndoa hapa Tanzania inavunjwa na mahakama tu. Mabaraza mengine sheria inawapa fursa ya kushauri na kuwa mashahidi tu kwamba ndoa imevunjika kiasi cha kutokurekebishika. Kama naakosea, tafadhali naomba pia ufafanuzi
@ommythetruth5449
@ommythetruth5449 Жыл бұрын
Kakate Rufaaa acha kutuchosha sisi kama ni meseji kwa Mufti c uende oficn kwake au umpigie simu yanini kutupigia kelele huku mtandaoni ,,Kwani ndoa lazima mdada wa watu kakuchoka hakutaki Tena muache aende zake acha kutia Huruma mitandaoni
@gd1926
@gd1926 Жыл бұрын
Tuliza kinyeo wewe umetumwa uangalie hii clip
@shaushishaushi
@shaushishaushi Жыл бұрын
@@gd1926 matusi yanini nafasi yarufaa ipo
@sifaisack7470
@sifaisack7470 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ommythetruth5449
@ommythetruth5449 Жыл бұрын
@@shaushishaushi hebu mwambie huyo
@adildewji
@adildewji Жыл бұрын
MashaAllah. Absolutely spot on.
@ngoni7944
@ngoni7944 Жыл бұрын
Hizi ndoa za kiislamu ni lazima wabadilishe sheria hii ya ukandamizaji kwa wanawake, mwanamme anaweza kumpa talaka mwanamke kwa maneno tuu ila mwanamke lazima aende bakwata au serikalini. Wanawake wa kiislamu amkeni mkatae huu unyanyasaji dhidi yenu. Wanaume wamejipendelea kwa kuwaoa wanawake wengi na kulala na nyie kwa zamu pia talaka mpaka atoe kadhi?
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
@Ngoni good point lakin ukiona watu wameganda kwenye special waislam ujue wanafata sheria ya Allah. Na ukimona muislam anaacha sheria ya Allah ujue ameamua sasa atuwezi vunja sheria ya Allah .
@mzamirmfuruki6668
@mzamirmfuruki6668 Жыл бұрын
Mwaka raana inakusumbua tu!Ww ndie unavuna ulichopanda maisha yako umeyajenga hivyo,unapenda sifa zisizo na naama kwanza Huna elimu ya Dini zaid ya hayo maneno machache unayoyataja kwa lugha ya kiarabu haya unaita mitandao na unajiita ww ni muumin hujui ofisi za Bakwata zilipo au ofisi ya Mufti ilipo!Punguza Show off!
@fatma2496
@fatma2496 Жыл бұрын
Tatizo wanaume kama nyie mnapenda kuwatesa wanawake kwa kuwanyima talaka zao wanawake, mnamueke mtu hajijui yupo kwenye ndoa hau aupo? Huwezi hata kumove on kwa sababu mnagoma kutoa talaka
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Жыл бұрын
3. Popote mtakapoenda mkeo atakuwa mshindi kwasababu tu hataki 4. Kitendo cha mkeo kushinda kinaleta tafsiri kuwa wewe unalazimisha mapenzi kitu ambacho wewe unapigania taratibu 5. Wanawake by nature sio watu wenye uoni mkubwa wa mbali Kama huyo mkeo japo sijamsikiliza saana hoja zake kubwa unapopishana na mwanamke jst get cool for some while 6. Jambo lengine unaongea fact but unataja vitengo vingi Kwa wakati mmoja , mufti, qaadhi, haiat ulaamaa Kitu ambacho hizo department zengine hazifanyi kazi ya uqaadhi but wanakazi labda za kufutu masaala na mfano wake 7. Andika barua kwenda kwenye tanzu tofauti ili kulipush Jambo lako ni educative way more than the way you move cs you can't learn from wrong doers
@nyungurehassan2779
@nyungurehassan2779 Жыл бұрын
Wewe unjua huy hatuelewani kwnn uwehakimu? wahivyo mmmmmmmm
@tonygee5680
@tonygee5680 Жыл бұрын
Kabisaa
@hamidudongo1879
@hamidudongo1879 Жыл бұрын
Ameshasema hana tatizo la kumuacha yule Mwanamke. Alikuwa tayari pamoja hakutaka yeye amuache. Anampenda lakini hataki kuishi naye. Lakini Mwanamke kwenye Uislamu anaweza kumuacha mwanamme kwa kusema tu na kumrudishia Maali yake na kusema. Ila unajua adhabu za Allah kwa mwanamke anaye muacha Mwanamme kwa mambo ya kidunia?? Pamoja Mwanamke hana Haqqi yankutoa taraka kwani taraka iko kwa Mwanaume. Kwani hakuna Nwanamke au Wanawake walioomba taraka kwa kurudisha maali yake wakati wa mtume Muhammed SAW na maswahaba ?? Ndio maana Mwanaume akapewa Haqqi yankutoa taraka wewe Maulidi usiwe kama Kuffar. Kwa sababu angalau sisi tuna logic and thinking via our brain not emotions. Una uhakika mwanamke alikuwa hapati matumizi wewe?? Wanawake wengi sasa hivi wanaangalia Maslahi ndugu yangu. Kama hauna kitu kwangu pakavu tia mchuzi, wala usijali kwani huna kitu anyway. Lakini kama una hali nzuri ya kiuchumi, kiwa mwangalifu ndugu yangu. Huyu Mwanamke ni Gold digger na ana ndugu wale ukiwaangalia wote they are after money and wealth. Mali ni za Dokta Mwaka na akiamua kumpa chochote yule mwanamke kwa sababu tu tuachane kwa wema tu. Watoto wake dokta mwaka ni wakubwa above 7 years old. Anaweza kuishi nao na yule mwanamke kutambaa zake. Pili, dokta Mwaka amesham replace yule Mwanamke na alikuwa tayari amepanga kumuacha lakini kuna issue za mali kwani yule Mwanamke alikuwa amekabidhiwa mali ambazo zina fungamana na watoto wengine. Kwanza mtu wenyewe ameshakuwa mzee yule. Dokta mwaka ameshakamata katoto kazuri, kabichi cha miaka 20s huko...😂😂😂😂. Kudadeki..... High Value Man always has options. Wewe ukisusa watu wanakubadilisha tu. Marekani na Ulaya watu kama akina dokta Mwaka, wanawa sainisha Wanawake zao kitu kinachoitwa PRENUP PAPERS. Yaani, ikitokea ndoa imekufa, Mwanamke anaondoka na nguo zake kama alivyokuja tu. Kwani wanaume wamechoka kudhulumiwa mali kutokana na kisingizio cha ndoa. A lot of men in the western countries, lost everything because of divorce. Tena huko nwanamke amepewa taraka mkononi. Wanawaacha Waume zao right and left. Women walk away with kids, money and wealth. Men remain bankrupt. Tena hapo bado child support and spouse support on top of it. Sisi tuna geza tu. I know these kinds of women. They are Gold digger..... Wanakuzalia watoto wawili au watatu na halafu wanasingizia huwapi matumizi, unawanyanyasa , umpendi au sababu yeyote ile na kudhalilisha mbele za watu kama vile. Bora Mwaka afuate sheria aliache lile zee na kuleta chombo kipya. Wazuri wanazaliwa kila siku. Hata mimi wacha nikaongeze Mke wa 3 sasa hivi. ... 😋😋😋😋😋 Yule mwanamke sio mpumbavu anajua adhabu ya
@cheka480
@cheka480 Жыл бұрын
@@hamidudongo1879 hakuna atakaeingia kaburini kijana, jaribu kuangalia vidole vya mkono uloumbiwa na Allah
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
💯%
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Kwanza adabu huna yani leo masheikh unawaita wahuni, subhanallah
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
Wahuni tu hao bakwata
@deeruta9894
@deeruta9894 Жыл бұрын
Kwani unalazima gani na huyo mke wakati wewe mwenyewe yasemekana umetelekeza family yako kwa kila kitu. Mpe talaka yake na maisha yasonge mbele dr. Kuowana kwa heri na kuachana pia kwa heri na sio vita
@irenegeorge3501
@irenegeorge3501 Жыл бұрын
Wewe ni mkorofi tunakujua unatukanaga adi mashehe kwenda uko kuonea tu mwanamke wako ovyo🤨
@jabahmagai9030
@jabahmagai9030 Жыл бұрын
Hapa mwaka imekula kwake.
@boaskabate1229
@boaskabate1229 Жыл бұрын
Dr. Mwaka mi naona suluhisho la haya yote ufike foreplan clinic ubungo plaza wakutatulie tatizo lililoko kwny ndoa yako.
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
Huko mwaka kunamuusu nini
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Жыл бұрын
@@tatotato506 🤣😂
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Boaxi umenivunja mbavu
@nurukwilabya2790
@nurukwilabya2790 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🥂
@razackkambi7785
@razackkambi7785 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@eppiemodest
@eppiemodest Жыл бұрын
Dr. Mwaka una busara sana. Unajua kujieleza. Very inteligent man.
@natumsifumbajo7578
@natumsifumbajo7578 Жыл бұрын
Ila anapaswa ampe talaka mwanamke mana mwanamke akisema basi ni basi istoshe uyo mama bado nikijana anawitaji kimwili, na na huduma nyengine yeye amemuacha mwaka mzima bila kumpa dudu wala maitaji wanawake awapo ivo wanaitaji kubembelezwa na kuskilizwa
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Ajabu Kile Ambacho Upendi Mashee Wakifanye Ndicho Unafanya Wewe Utaki Habari Kwa Mtandao Nawewe Uko Kwa Mtandao Unasema Ugomvi Wenu Na Shee Wa Mkoa Akutakiwa Awe Ndani Sasa Ugomvi Wenu Na Maneno Ya Mungu Vinausiana Nini Mnagomana Kama Wanadamu Lakini Kwenye Maneno Ya Mungu Ampo Umo Nilazima Asimame Hata Mngekuwa Mmepigana Jana Leo Akutakiwa Aseme Sitaki Kutatua Sasa Inamana Angesema Ivo Nisawa Na Kukufananisha Na Mungu Anaogopa Aseme Nini Lakini Wewe Nimtu Kaseme Na Mkeo Mmalize Mashee Wako Sawa Mke Akutaki Ndio Maana Kaenda Kwa Watu Wa Kuisimamia Dini Na Kutoa Miongozo Na Amli Walizosomea Kwenye Kitabu Tukufu
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 Жыл бұрын
Lkn inavyoonekana mkeo queen hakutaki tena. So ni sawa tu kupewa mkeo talaka.
@donjb3178
@donjb3178 Жыл бұрын
Talaka hazitolewi kuolela na kwanza hairuhusiwi kwa Mungu
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 Жыл бұрын
@@donjb3178 mapenzi yakifika mwisho huwa hakuna mjadala ndg, ukilazimisha sn huwa kuna matukio makubwa yanakuja. So ni vyema kuachana Tu.
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Жыл бұрын
Mungu awape kheri mlimalize , maana kesi ya ndoa ni ya wawili wenye ukweli na wakitaka kulimaliza ni wao wenyewe . Rudini pale mlipoanzia kutongozana ,rudieni yale maneno mliyokuwa mkiambiana ,kumbukeni yale mahaba yenu , mkalimalize hili mlee familia yenu. Yooote mtafurahisha watu tu na kujiabisha na kuwaaaibisha viongozi wenu, mambo ya ndoa yamalizeni wenyewe yoote haya mengine ni kama kucheza segere wakati ngoma yako mdundiko.
@hawamashauri1218
@hawamashauri1218 Жыл бұрын
Swadaqt 👌👌
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Жыл бұрын
Umesema safi sana,na mimi nakuongezea,Mwanaadamu atabaki kuwa mwanadamu tuu,hata akisoma vitabu vyote vya dunia na akawa na shahada kila pembe ya ukuta wa sitting room yake na akashika nyakfa za juu kabisa,nusla ya kuabudiwa, BASI usimwabudu,hana tofauti na wewe darasa la pili unayelima mihogo kijijini ba huenda una amani tele na ni kipenzi cha mwenyezi Mungu.bibilia inasema, waacheni watoto wadogo wake kwangu.tafsiri yangu ni kwamba,hata Mungu kachoshwa na hawa watu wanaojiita WASOMI.
@johnjulius6986
@johnjulius6986 Жыл бұрын
Kakate shauri lako.Mahakamani, utapata taratibu nzuri... Maana kidini zoezi zima lime kaa BIAS kukuthurutisha upande wa Mali.....! Thas is not fair.... kwasababu, kama migogoro imekaa ndani ya mwaka mmoja pasipo raia kutambua, ndani ya siku moja linatangazwa nchini....., hapo hekima ya Mungu haipo bali hekima ya kibinadamu
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 Жыл бұрын
Pale tunapoiacha njia ya Mungu ndio haya sasa...kweli Dunia ni starehe za muda mfupi
@samirelhiad1243
@samirelhiad1243 Жыл бұрын
Dr. Umeongea vizuri sema unacheka kama unataka kulia hivi dah!!! Kweli mapenzi yana nguvu Allah ainusuru ndoa yenu inshaallah!!!
@aminaseif9577
@aminaseif9577 Жыл бұрын
Mwanaume kupe huyu.... Ndoa imekushinda.. Sasa nini keleleeeeee bhana, hebu usituchoshe😄
@limoghasia321
@limoghasia321 Жыл бұрын
Wanajisahu hawa wakipendwa
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Жыл бұрын
Huyu ni mnafiki tu
@deuslucas2256
@deuslucas2256 Жыл бұрын
Unajiaabisha mwanamke hakutaki usi force
@dihemwamwenemilao2055
@dihemwamwenemilao2055 Жыл бұрын
Dr Mwaka upo vzuri umeonekana kama unamuonea mwanamke lakini hawajui mwanamke mpumbavu ukimuolea mwenzie hapendi lakini. Huyu Alhad Musa hana hakili huuyu ni na hafai kua kiongozi wa aina yeyote.....
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 Жыл бұрын
Afu nyie c mnabifu lenu..ngoja tuwaache
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 37 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 207 МЛН
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17