PART 1: FAHAMU MAISHA YA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZANZIBAR.

  Рет қаралды 37,503

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

5 жыл бұрын

Kipindi cha Allccess kilipata bahati yakuvinjali katika kisiwa cha Zanzibar nakufika hadi nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa wa Mji Magharibi Zanzibar Ayoub Mahmoud.Tazama hapa

Пікірлер: 75
@omarngwali3930
@omarngwali3930 4 жыл бұрын
Hongera kiongozi ayoub wewe kiongoz bora daima nitakuombea kwa Allah akuongoze maisha ya dunia na akhera....
@fatmamohd8647
@fatmamohd8647 2 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri😘
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah nakupnd sanaa mh Allah akulinde na mahasid wa kila aina krb kujenga kwetu makunduch Allah akuzidishie moyo uwo uwo
@jeaff19
@jeaff19 5 жыл бұрын
hongera sana kiongozi wetu mungu akubariki baraka tele uzidi pata uzibiti na ushupavu wakukabiliana na majukumu na akulinde na maadui. wewe ni mtu muhimu sasana.
@fauziaalbahrihuyukijanahod9318
@fauziaalbahrihuyukijanahod9318 4 жыл бұрын
Yaani ndio kazi yako unaifanya kisomo
@aboumaburaramadhan4188
@aboumaburaramadhan4188 4 жыл бұрын
Mashallha mzee kajitahid 18. Mashalha mungu atuwekee
@businessideas.1350
@businessideas.1350 4 жыл бұрын
Kupitia kauli za mkuu wetu wa kazi nimejifunza mambo mbali mbali na mm sina budi kuyafanyia kazi. Kiukweli hatuto kusahau daima . May allah bless you.
@ibrahimsuleimani6428
@ibrahimsuleimani6428 5 жыл бұрын
Namkubali sana mkuu Wa mkoa
@hamisabeid1109
@hamisabeid1109 4 жыл бұрын
Namkubali sana kiongozi mchapa kazi hongera sana kwa uchapaji wako kazi
@salehhassan87
@salehhassan87 4 жыл бұрын
Ww ni mwamba nakuombea duwa sn kiongoz wangu nakukubali sn kiongoz wangu
@manahiljamal8053
@manahiljamal8053 4 жыл бұрын
Maa Shaa Allah hongera Sana tutakukumbuka Sana kwa mchango wako mjin magharib
@wahidasalum6707
@wahidasalum6707 4 жыл бұрын
mungu akulinde na wanafiki muheshimiwa mm nakukubali sana
@neememmanuel9811
@neememmanuel9811 4 жыл бұрын
nenda ACT acha kuwa Ccm Zanzibar ACT ndio habari ya mjini
@aishanassor8057
@aishanassor8057 3 жыл бұрын
Mm nakuombea kwa Allah akupe mwongozo uliowema pamoja na sote Amin
@hajivuai3454
@hajivuai3454 4 жыл бұрын
Karibu sana Makunduchi mh koz ndo makao makuu ya Mkoa wa Kusini Unguja
@ahmadakishingo1935
@ahmadakishingo1935 4 жыл бұрын
Sio makao makuu
@rasterwangu9708
@rasterwangu9708 4 жыл бұрын
kwahio pale tunguu sipo
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 4 жыл бұрын
Shukran kwa kukuelewa historia yako
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 4 жыл бұрын
Na kupenda saana na kufatilia ni mzenj lakini naishi maskat oman.. Nimehuzunika saana kupelekwa mkoa wa kusini... Mkoa wa mjini magharibi unachapa kazi vizuri.. Mungu akusimamie ktk kazi zako na pia akulinde na hasadi za waja.. Aamiin
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 4 жыл бұрын
Huwezi kuniangusha jembe langu.. Mashallah... Tunatamani zenj iwe km omani kwa maendeleo
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 4 жыл бұрын
Hongera sana fanya kazi kiongozi
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Mapinduzi Tukufu or Mauwaji Tukufu kila mtu atahukumiwa alichokichuma insha Allah
@abdallahahmed3166
@abdallahahmed3166 4 жыл бұрын
mashallah allah akusimamie ayoub ww ni kiongozi mwema mpaka sasa sijaona ubaya wako
@allmindhir3889
@allmindhir3889 4 жыл бұрын
Mungu akupe ujasiri huo huo ulio nao ww nimfano w kiongozi ulie bora ni muda mfupi2 tumeona mabadiliko ktk mji wetu w mjini magharibi unapinga uchafu n uovu w kila aina hujali hyu ni mtoto w nani wala ananyadhifa gni piga kazi muheshmiwa unapo simama n Allah hkuharibiki kitu hta wkupeleke ppote Inshallah
@zabibujumakhamis6834
@zabibujumakhamis6834 4 жыл бұрын
all mindhir
@abdulihamadi2358
@abdulihamadi2358 4 жыл бұрын
Daa!!! Roho inaniuma kuona ayubu kahamishwa
@firstname600
@firstname600 5 жыл бұрын
Mkuu karibu kwetu.
@ALIkhelefengineer
@ALIkhelefengineer 4 жыл бұрын
ahsante,,,
@kherysamiryamsaaka5898
@kherysamiryamsaaka5898 4 жыл бұрын
Mm binasfi napenda uwe raisi wa zanzibar kwasababu unajituma san
@munguaibarikitanzanianawat9254
@munguaibarikitanzanianawat9254 4 жыл бұрын
Mashallah
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 жыл бұрын
Hyo kuhamishwa mjini wengi tumeumia kweli chema hakidumu
@salmatalhiyn3225
@salmatalhiyn3225 4 жыл бұрын
Huwezi Amini Nalia Kama Nimefiwa😭😭😭
@allyderossi9742
@allyderossi9742 4 жыл бұрын
Hussein Konz NI FITNA 2UUU ZA WA2 WABAYAA!!.
@sadraaly3410
@sadraaly3410 2 жыл бұрын
Tamaa ya ardhi babaaaaa
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 4 жыл бұрын
Utakuta WAZANZIBAR WANAMCHUKIA HUYU AYOUB KISA TU CCM kwa wensojua HAZINA HUYU KIJANA NI HAZINA KUBWA YA UONGOZ WA ZANZIBAR NA TANZANIA
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 4 жыл бұрын
Hana mpango wowote
@kassimomar7589
@kassimomar7589 4 жыл бұрын
Bimnafsi namkubali mkuu huuyu wamkowa
@mathnasaeed3806
@mathnasaeed3806 4 жыл бұрын
Mr president turejeshee Ayoub wetu mjini wa kajengwa warejeshee mtu waoo
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 жыл бұрын
Education, education, education. Hii ndio njia pekee kwa wananchi wa Zanzibar kujikomboa. Lakini tukiwa sote tuna elimu ya juu nani atataka kutumwa?
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 жыл бұрын
Kwa Africa wasomi mpaka sasa hawajatusaidia sana kwa maoni yangu. Na kadri shahada zao zikiwa nyingi na wao huzidi ujinga. Ni maoni tu.
@aboubakarmansour1189
@aboubakarmansour1189 4 жыл бұрын
Kwa viongoz wa CCM Ww ndy pekee ninayekukubal kwa kuchapa kaz bila ya uoga na huko nenda kawanyooshe
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 4 жыл бұрын
Huyu jamaa kiukweli yupo tofauti na ccm wote
@farhatmohd3285
@farhatmohd3285 4 жыл бұрын
Ndio maana wakamchukia
@jarsjam8894
@jarsjam8894 4 жыл бұрын
Nenda ukawaneemeshe wengine na ukae kwa salama
@khamischichi7169
@khamischichi7169 4 жыл бұрын
I will never seen be4 Iblve he will B Psndt o ths country
@fatmajumaa1069
@fatmajumaa1069 4 жыл бұрын
Km wewe muandishi wa habari ukikutana na mkuu wa mkoa ayuob unayepi ya kumuuliza
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 жыл бұрын
Fatma Jumaa yepi ndiyo nini?
@nachunachu7466
@nachunachu7466 4 жыл бұрын
Ndoto yangu kukuona I wish soon
@omaralyvuai4770
@omaralyvuai4770 4 жыл бұрын
tɦaռҡ ʏօʊ ɮʀօtɦɛʀ
@chocolatepudding3545
@chocolatepudding3545 4 жыл бұрын
Nenda kaaa ukoo
@hamadsaidi9376
@hamadsaidi9376 4 жыл бұрын
Eti zanzibar ipo shwari na salama sana huna haya wewe
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
😁😁😁 kulikoni tena zenj hukoo
@mbaroukhmza2892
@mbaroukhmza2892 4 жыл бұрын
Ukimuona mkuu wa mkoa anapenda sana kuonekana kwe vyombo vya habar ujue anapenda kiki fulani, kuna wakuu uko wanafanya kaz kama punda kimyakimya wakiamua kiki bac watawafunika wate ao wapenda kiki, lakini wao akah,
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 4 жыл бұрын
Mbaruku inaakili weeee.saaa.apo anakiki.gani.wacha rohoooo mbaya na uhasidi
@hajiyahya8380
@hajiyahya8380 4 жыл бұрын
Mbarouk Hmza tatizo ww ni nbinafsi.
@alimussa2655
@alimussa2655 4 жыл бұрын
Ayubu mbona wamekutowa mjini wamekupeleka shamba kuna nini hapo au nd masenge wamekupiga vibwanga dah tutakumis hapa tauni kulikuwa shwarii lakini kwa hali inavyokwend sasa ivi vidole tutatiwa vya macho
@hafsabakar6172
@hafsabakar6172 4 жыл бұрын
Big up mr Ayoub Iwill remember u. No one like u
@saidsoud5967
@saidsoud5967 4 жыл бұрын
Huyu si CCM ana damu ya ACT
@harithwhite589
@harithwhite589 4 жыл бұрын
0:51 Zanzibar ya vibanda
@hassanhajj6804
@hassanhajj6804 4 жыл бұрын
Muhimu amani ,kuna nchi zina maghorofa,mall shop ,fly over ,lakini amani wanaisikia na upendo wanaisikia tu ,Zanzibar na wanatamani wangezaliwa kwenye ivi vibanda
@stronggirl5088
@stronggirl5088 4 жыл бұрын
@@hassanhajj6804 hakika.najivunia Kua mzanzibari..napapenda nyumbani
@user-qe9ot4kl9u
@user-qe9ot4kl9u 4 жыл бұрын
@@hassanhajj6804 hakuna amani kuna uwoga, zanzibar hakuna amani kuna uwoga, Tanzania hakuna amani.
@hassanhajj6804
@hassanhajj6804 4 жыл бұрын
@@user-qe9ot4kl9u kama ww unajiamini mbona hujafanya ivo vitendo vya uvunjifu wa AMAN !!!? Ukawa mfano wa kuigwa
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
@@hassanhajj6804 umenena Kaka
@yusufally6853
@yusufally6853 4 жыл бұрын
Mashallah
#BINTI MDOGO NA MAAJABU MAKUBWA ZANZIBAR
7:10
IsleBlogTv
Рет қаралды 2,7 М.
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 11 МЛН
HALI HII YAMTOA OFISINI MKUU WA MKOA MHE.  AYOUB
7:37
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 49 М.
FUNGATE  EPISODE NO 19  | MWINYI MPEKU, KITATANGE, AMINA, BI SINA JAMBO
22:08
Vita ya maneno ya vigogo wa siasa Zanzibar haya ndo makavu waliyopeana
13:33
Я НЕ ОЖИДАЛ ЭТОГО!!! #Shorts #Глент
0:19
ГЛЕНТ
Рет қаралды 2,1 МЛН
Самая крепкая лысина в мире😁
0:30
EpicShortsRussia
Рет қаралды 2,8 МЛН
Маленький кролик-курица
1:00
КиноАнгар
Рет қаралды 1,5 МЛН
УДИВИЛА ПАРНЯ🤯👏
0:20
Бутылочка
Рет қаралды 7 МЛН