No video

Part 1.Usiyoyajua kuhusu Bando Mc, Ugomvi na Baba yake Mzazi, Kifo cha Babu yake!

  Рет қаралды 2,327

Msanuaji

Msanuaji

Күн бұрын

#ghetto #msanuaji #bando

Пікірлер: 16
@wabongoughaibunimediaprodu4471
@wabongoughaibunimediaprodu4471 4 ай бұрын
Bando keep it up mwanangu, story yako inagusa ila dhahabu haiwi dhahabu mpaka ipite kwenye moto mkali
@richardchami3575
@richardchami3575 4 ай бұрын
keep broo
@violethkalinga2980
@violethkalinga2980 4 ай бұрын
Duuuuh huyo baba 🙌
@appolokelebuka2218
@appolokelebuka2218 4 ай бұрын
No 2 kaka we are waiting
@mariamkitina196
@mariamkitina196 4 ай бұрын
Wale wa two six
@mariamkitina196
@mariamkitina196 4 ай бұрын
Sitosahau msoto wa jambo gineli shifti ya usiku mnakesha mnafanya kz ukikutwa umelala unakatwa hela nyie haya maisha ila mkipanda lile gari vibe lake humo walala hoi nyie ni shida kulikuwa kuna kazee kamoja ka kiarabu kamzee nassor kalikuwa na maneno kitu kidogo tu unaweza kukosa kazi
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r 4 ай бұрын
That why ihi mwamba ina andika vizur
@SophiaEvalisti-ms7hv
@SophiaEvalisti-ms7hv 4 ай бұрын
Ghetto family kubwa
@mugga_
@mugga_ 4 ай бұрын
family
@erickismail4205
@erickismail4205 4 ай бұрын
Kubwa sana hii
@crownisackmussa3581
@crownisackmussa3581 4 ай бұрын
Bando inabidi awe na kumbukumbu sababu nimetoka kuangalia now interview yake na sns kasema jina la Bando ni jina lake la ukoo
@amankingu3525
@amankingu3525 4 ай бұрын
Uyu mwamba huchoki interview zake 😂😂
@MJB-Africa
@MJB-Africa 4 ай бұрын
Sasa mbona muonekano wa ghetto hauko tena vipii
@Msanuaji
@Msanuaji 4 ай бұрын
Hii ni bonus tu, Muonekano ule Upo vizuri
@benjaminikazi
@benjaminikazi 4 ай бұрын
@@Msanuaji umetujibu wengi sana.
@goddymemberg3155
@goddymemberg3155 4 ай бұрын
Huyo mtangazaji kama sio Jimmy mmh bahat
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 9 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН