Woow nilijuwa imeishà kumbe badoo jina la YESU litukuzwee .naomba 😢na mm cku moja nikuonee kwa macho haya ya dam na nyama .nataman nitembeee na YESU cku zote z maisha yangu.blesd testimony.znaniinuaa
@simonliwawa864 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu maana Kama Mimi nafualiasana maono yako naunanijenga Sana kiimani Barikiwa naitwa Simon liwawa Tz
@maryandason1815 Жыл бұрын
Amen
@DenisCasey-kh8ub7 ай бұрын
Amen MUNGU wetu nimwema
@MeshackAngel-kc2gc Жыл бұрын
Ubarikiwe
@SarahSaimon Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@ivanf.lekule5618 Жыл бұрын
Wengine tunatamani kujazwa roho mtakatifu kama hawa wanatoa ushuhuda. Eeh Mungu tusaidie. 🙏🙏
@nellydeborah943 Жыл бұрын
Amen, barikiwa sana
@matthieulugerero9355 Жыл бұрын
Asante mtumishi Kwa shuhuda mzuri
@barakabaraka4508 Жыл бұрын
amina am blessed
@MulazsaideSaide-my9vj Жыл бұрын
Amina bwana
@SafiAkinyi8361 Жыл бұрын
Amen Amen 🙏 🙌 waiting ✋️ na ninaombu link ya radio tafadhali watu Mungu kwa maana somo za usiku huwa zinanipita coz sina link na mko na mafunzo mazuri😢