ROHO YA UDANGANYIFU
1:08:25
2 ай бұрын
WACHORAJI WA BIBLIA SIKILIZENI HII
23:18
UKIFA UTAKWENDA WAPI ?
27:12
5 ай бұрын
PART 2  AMRI KUMI ZA MUNGU 21/2/2024
1:13:36
Пікірлер
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 22 сағат бұрын
Amina
@P.T51
@P.T51 Күн бұрын
Amen
@Mwl.WalterMrisha
@Mwl.WalterMrisha Күн бұрын
MAMBO YA KUJIFUNZA: 1. Linda ( kuwa makini ) mambo yanaingia au kutoka katika moyo wako. 2. Mungu anahukumu mabaya yaliyo ndani yako hata kama wengine wa nje wanaona unatenda vyema. 3. Chunga unachowaza, kwakuwa ijapokuwa wengine hawakijui, lakini Mungu anayajua yote na kuyaona mawazo ya moyo wako.
@CatherineNduku-os5zo
@CatherineNduku-os5zo Күн бұрын
Bwana akubariki kwa vile unatumika kutuongoza katika maombichaya
@lydiabenjaminmgalula6189
@lydiabenjaminmgalula6189 2 күн бұрын
Mungu atusaidie sana 😔
@lydiabenjaminmgalula6189
@lydiabenjaminmgalula6189 2 күн бұрын
Amen 😔🙌
@lydiabenjaminmgalula6189
@lydiabenjaminmgalula6189 2 күн бұрын
Mungu atuhurumie sana 😔
@AnnaLimbe
@AnnaLimbe 3 күн бұрын
Amen
@sarahkishaluli6087
@sarahkishaluli6087 3 күн бұрын
Amen
@lydiabenjaminmgalula6189
@lydiabenjaminmgalula6189 3 күн бұрын
Mungu atuhurumie sana kwakweli wanawake tumetekwa😔
@sabratally7688
@sabratally7688 4 күн бұрын
Eeh Mungu wengine wametoa gharama yakukutumikia mpka kuwekwa gerezani.......sijui Mimi nitatoa gharama Gani nikupendeze Mungu ulie hai.......nitetee baba kaa mbele yangu
@sophiawilliam7329
@sophiawilliam7329 4 күн бұрын
Amen
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 4 күн бұрын
Amen amen
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 4 күн бұрын
Amen amenbarikiwa sana Pastor
@ObedJKatunzi
@ObedJKatunzi 4 күн бұрын
Naam
@revojomo
@revojomo 4 күн бұрын
Amen
@wasongaedina7952
@wasongaedina7952 4 күн бұрын
Powerful message Nimebarikiwa katika Ibaada Hii Nikiwa live na kanisa takatifu la Mungu.Nimejifunza mengi sana pia nikajifunza kumfanyia Mungu kazi na kujifunza watu wa MUNGU hawakufi bila taarifa ni lazima ujuwe na upate kuwa na taarifa ama Atumane taarifa nikajifunza waliyo wa MUNGU hawakufi vibaya nikajifunza pia dalili ya kuwa na Mungu ndani yangu nikutokuwa na hofu ndani yangu Kwa hiyo waliyo wa mungu hawaogopi kifo...Mungu Azidi kuwatunza Wazazi Wangu Amen Nimebarikiwa sana
@ObedJKatunzi
@ObedJKatunzi 4 күн бұрын
Amen
@Mwl.WalterMrisha
@Mwl.WalterMrisha 4 күн бұрын
MAMBO MUHIMU NILIYOJIFUNZA LEO 1. Unapokutana na hofu ya kifo, OMBA AMANI YA BWANA ndani yako. 2. TAMBUA: Mungu amekuacha ubaki hapa duniani hata sasa ili ufanye kusudi alilokupa katika Ufalme wa Mungu. 3. Tumia nafasi uliyopewa duniani kutengeneza na Mungu ili kifo kikija, usikihofu 4. Kristo akikaa ndani yako kikamilifu, utaondolewa hofu ya kifo 5. Usiweke tumaini katika mwili wa asili kwakuwa mwisho wake huharibika na kupotea 6. Unapaswa kuogopa DHAMBI kuliko kifo.
@shaddycollins9760
@shaddycollins9760 5 күн бұрын
Huu ujumbe nauamini kabisa mie, watu wa mungu tunahitaji kuomba msamahaa Kwa mungu,
@Moses-caisedo
@Moses-caisedo 6 күн бұрын
2024 tena
@franciscomosha4125
@franciscomosha4125 7 күн бұрын
Hakika na barikiwa sana na shuhuda
@godsfavour1603
@godsfavour1603 8 күн бұрын
Ni kitambo tiskie testimony ya Mch Jonathan..anaendela aje kwa sasa
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 8 күн бұрын
HALLELUYA HALLELUYA HALLELUYA
@ABDULKARIM-sx1tb
@ABDULKARIM-sx1tb 8 күн бұрын
Mtumishi una unakulupuka tu na maandiko hakuna andiko lolote linalosema makanisa yanayo chungwa na wanawake wataenda jehanamu
@ABDULKARIM-sx1tb
@ABDULKARIM-sx1tb 8 күн бұрын
Naludia tena acha kupotosha watu hii Timotheo walikuwa wanaandikiwa watu gan Kulikua na nini Beba fundisho na siyo andiko Alikuwa anatatua mgogoro gani
@ABDULKARIM-sx1tb
@ABDULKARIM-sx1tb 8 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu acha kupotosha watu wa Mungu maana utalipwa wakornto ni watu watu gani na na kulikua nini mpaka wazuiliwe
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 9 күн бұрын
Powerful
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 9 күн бұрын
Amen amen
@PrisPeter-f2g
@PrisPeter-f2g 9 күн бұрын
Dah shuhuda hiz za nijenga nakufungua akili ,nifanye nn jmn niwe mtakatifu kila wakat😢
@user-lq6dd9pt7k
@user-lq6dd9pt7k 10 күн бұрын
Yesu nishike mkono,bila wewe siwezi,
@kashahubarnaba9719
@kashahubarnaba9719 10 күн бұрын
Amen ubarikiwe mchungaji
@rosemaryalex9786
@rosemaryalex9786 10 күн бұрын
Nimebarikiwa
@user-lq6dd9pt7k
@user-lq6dd9pt7k 10 күн бұрын
Baba naomba huruma zako nipe nguvu na hekima ya kufanya kazi yako
@user-lq6dd9pt7k
@user-lq6dd9pt7k 10 күн бұрын
Mungu niondolee uoga nikienda kutafuta roho zilizo potea
@user-lq6dd9pt7k
@user-lq6dd9pt7k 10 күн бұрын
Nasamehea kila mtu katika jina la Yesu Kristo
@user-lq6dd9pt7k
@user-lq6dd9pt7k 10 күн бұрын
Yesu nionyeshe penye nimekosea nirekebishe,ili ukija ukute nguo yangu ikiwa nyeupe kabisa,sitaki kwenda jehanamu.Yesu naomba huruma yako
@kayajaexpress8313
@kayajaexpress8313 11 күн бұрын
Atukuzwe bwana
@ElishaBensoni
@ElishaBensoni 11 күн бұрын
amen
@rowenalilie993
@rowenalilie993 11 күн бұрын
Nimebarikiwa sanaa
@rowenalilie993
@rowenalilie993 11 күн бұрын
Asante sana kwa somo zuri sana. Mbarikiwe sana ninyi nyote
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 10 күн бұрын
@@rowenalilie993 amen
@revojomo
@revojomo 11 күн бұрын
Amen
@gracemuthoni1658
@gracemuthoni1658 11 күн бұрын
Amen barikiwa sana
@marywanjiru438
@marywanjiru438 11 күн бұрын
Amen
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 11 күн бұрын
Nimebarikiwa
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 11 күн бұрын
Amen amen amen
@maikojohny345
@maikojohny345 11 күн бұрын
Amen 🙏
@Mwl.WalterMrisha
@Mwl.WalterMrisha 11 күн бұрын
MAMBO YA KUJIFUNZA Ni muhimu kujifunza nini maana ya jina lako. Kila jina limebeba roho inayomfuatilia mtu alilonalo. Jina linaweza kuzuia hatua zako za maisha katika nyanja mbalimbali. Jina linaweza likawa sio tatizo moja kwa moja, bali anayekupa alimaanisha nini wakati anakupa jina. Usimpe mtoto jina kutokana na mazingira uliyokuwa unapitia wakati anazaliwa. Si kila jina la kwenye Biblia linafaa kumpa mtoto. Muulize Mungu kwanza ili akupe jina. Abednego - linaamisha mtumishi wa Nebo, aliye mungu wa hekima wa Babeli. Meshaki - mgeni wa mfalme. Shedraka - Linahusishwa na mungu wa mwezi aliyeabudiwa Babeli. Belteshaza - Baali alimlinde mfalme au mkuu wa Baali. Anajulikana kama mungu wa uzazi aliyeabudiwa Babeli. Majina ya miungu, hayawezi kuandikwa katika kitabu cha uzima wa milele. Mch. Obedi Katunzi
@Mwl.WalterMrisha
@Mwl.WalterMrisha 11 күн бұрын
iBADA ILIKUWA NJEMA SANA. UTUKUFU WOTE UMWISHIE MUNGU WETU
@charitywangui566
@charitywangui566 12 күн бұрын
Hi ,can women plait their own natural hair?