PART 3: JINSI YA KUTENGENEZA LAYERS MASH

  Рет қаралды 2,196

Frida Homestead

Frida Homestead

Жыл бұрын

Chakula cha kuku wanaoanza kutaga huwa na kiwango muhimu cha Protini (Digestible Crude Protein) kuanzia asilimia 16 . Chakula hicho ni muhimu kikawa na madini ya Calcium (Chakula chenye chokaa) kwa ajili ya utengenezwaji wa magamba ya mayai. Kuku ambao wana kiwango kidogo cha calcium hutumia akiba ya madini haya ya calcium iliyopo kwenye mifupa yao kutengenezea magamba ya mayai. Anza kuwapa kuku chakula hiki wakifikia umri wa kuanzia wiki ya 19

Пікірлер: 16
@RWATOMIXEDFARM-pd4lj
@RWATOMIXEDFARM-pd4lj Ай бұрын
Asante sana dada, Kuna watu wanauza elimu kama hii youtube lkn wewe umeitoa free kabisa. Mungu akubariki sana
@maxmillianmarwa5943
@maxmillianmarwa5943 5 ай бұрын
Asante sana
@onesmorobert2839
@onesmorobert2839 Жыл бұрын
Hadi raha!!, Kazi ipo kwenye damu kabisa. Asante sana Daktari, nakubali, The Quality of Food begins at farmfield.👏🏾👏🏾
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@uwesuSakina-dt2hc
@uwesuSakina-dt2hc Жыл бұрын
Asante sana mwalimu nakuelewa sana asante kwa elimu nzuri
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@yuzhoshaban5367
@yuzhoshaban5367 11 ай бұрын
Asante sama madam umenisaidia sana Mungu akuzidishie
@kokusimamtumbi3442
@kokusimamtumbi3442 8 ай бұрын
Na kuhusu magonjwa dr
@anastaziabikuba5517
@anastaziabikuba5517 Жыл бұрын
Asante Daktari kwa Elimu nzuri😊🙏🏻....
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 Жыл бұрын
Amina Anastazia 🙏🙏🙏🙏
@filipinadaud885
@filipinadaud885 2 ай бұрын
tunaombs no yako ya cm
@sephaniamwampashi2132
@sephaniamwampashi2132 Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@domcityfarmingcenter7754
@domcityfarmingcenter7754 Жыл бұрын
Shukrani sana 🙏 Nilikua nasubiri ili Somo kwa hamu tunashukuru kwakua sio mchoyo wa maarifa watu kama wewe ni wachache sana Mola akubariki Akupe Umri Mrefu Na mafanikio tele🙏🙏🙏🙏
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 Жыл бұрын
Amina ndugu 🙏🙏🙏
@user-io3ip3pw5x
@user-io3ip3pw5x Ай бұрын
shukurani sana dada n'a mungu akulinde Ila kuhusu maswali zingine hakuna namba ya simu ili tuwezi wasiliana?
How To Grow Hydroponic Fodder
10:00
Hand in Hand Eastern Africa
Рет қаралды 143 М.
Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Ufugaji wa Kuku
13:53
Frida Homestead
Рет қаралды 1,2 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 21 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
PART 1: UTENGENEZAJI WA  CHAKULA CHA KUKU  WA MAYAI (CHICK STARTER)
14:41
FAIDA YA KUFUGA KUKU KWA KUWAACHIA  WAJITAFUTIE CHAKULA
11:21
Frida Homestead
Рет қаралды 672
Je sasso 100 watakula chakula kiasi gani kwa siku ?
5:17
Layers Pro
Рет қаралды 3,1 М.
JIFUNZE MBINU MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA GHARAMA YA CHAKULA CHA KUKU
11:36
Uchanganyaji wa Chakula Cha Kuku wa Kienyeji - Kienyeji Layers Mash
5:01
AINA 8  ZA KUKU BORA WA MAYAI /8 best layers chicken breeds
10:10
Fahamu tofauti zilizopo kati ya kuku chotara aina ya Kuroiler na Sasso
9:11
Bajeti Ya Kufuga Chotara 400 [ROUGH BAJETI]
11:05
Layers Pro
Рет қаралды 14 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 21 МЛН