No video

Part 4: "Nisingekaza SENSEMA ingeuoteza Wimbo wangu/DIAMOND Alishauri hivi

  Рет қаралды 16,225

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Mwanamuziki Lavalava amesema kuwa kama asingeachia wimbo mzuri basi angekutana na upepo wa Sensema ya Ravanny na Harmonize ambayo ingeweza kufunika wimbo wake mpya "MAJI"
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe KZfaq channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
#Lavalava #rayvanny

Пікірлер: 29
@mohamediahmedi3361
@mohamediahmedi3361 2 ай бұрын
Mimi wa mwisho naombeni mkopo
@Mjomba_Side
@Mjomba_Side 2 ай бұрын
Kuna bonge moja la mkopo hapa kwetu jalalani njoo uchukue
@strong8534
@strong8534 2 ай бұрын
Rick, nimependa jinsi mlivyoweka hii intavyu kwenye vipande vipande. Kwa mtindo huu mtu anaangalia bila kuboweka. Hongereni sana
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Ай бұрын
Inafaa ivi🎉🎉🎉🎉
@FabianFabian-t3c
@FabianFabian-t3c 21 күн бұрын
Pamoja msanii wanguu lavalava nakubali kazyakoo
@HunchoQuavo-di4os
@HunchoQuavo-di4os 2 ай бұрын
Wakwanza naombeni like zangu 🎉
@IsayaTarakwa
@IsayaTarakwa 2 ай бұрын
Wakwanza nini toa koment wakwanza upewe wewe ndio unazungumza
@HunchoQuavo-di4os
@HunchoQuavo-di4os 2 ай бұрын
@@IsayaTarakwa Ila Wew nisha kuelew bangi iz
@mohdmassoud3052
@mohdmassoud3052 2 ай бұрын
Toka hapa ww paka omba pesa like zikusaidie nini
@njoroboihastla
@njoroboihastla 2 ай бұрын
BtGang🔥🙌
@hamidabdallah5841
@hamidabdallah5841 Ай бұрын
Mm hua nakubali kazi za lava lava anajua sana ila nyota t
@richkaja3317
@richkaja3317 2 ай бұрын
Lava boy unajua sanaa janja
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 2 ай бұрын
Lava lava ashakufa kimuziki
@bizoboy1168
@bizoboy1168 2 ай бұрын
nenda ukam fufue bs
@user-hd7vt8fk5t
@user-hd7vt8fk5t 2 ай бұрын
Embu tuambie lavalava Amekufilia wapi
@IrfanIdriss
@IrfanIdriss 2 ай бұрын
kundu lako j
@khalfannyanje8970
@khalfannyanje8970 2 ай бұрын
Mfufue yesu😂😂😂
@babuwasa6122
@babuwasa6122 2 ай бұрын
Na mimi ndio nilie mtoa roho😂😂😂
@Robinson24560
@Robinson24560 2 ай бұрын
WCB nisawa na jela tulia hapo chini king azidi kua king
@FatumaShabani-mp9vt
@FatumaShabani-mp9vt Ай бұрын
😂😂😂 pole king mwisho kwa mama watoto Kenya ndyo King uyo ata Rwanda asikiki toba kweri king tunae 😅😅😅
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Ай бұрын
Anasubiri mkataba uishe afanye mambo yake...hana hela za kulipia kuuvunja
@Mizahh-ll5lu
@Mizahh-ll5lu 2 ай бұрын
Acha uongo dogo huna kolabo ya nje
@DavidHokororo
@DavidHokororo 2 ай бұрын
Lava lava bora yangu mimi najua kuimba 😂
@DavidHokororo
@DavidHokororo 2 ай бұрын
Alafu oyo mdada mbona abadilishi hyo blauzi 😢😢
@IrfanIdriss
@IrfanIdriss 2 ай бұрын
mamako j
@khalfannyanje8970
@khalfannyanje8970 2 ай бұрын
😂😂😂Mnunulie
@timothykaiza327
@timothykaiza327 Ай бұрын
Sare ya ofisi,
@mrsavage7603
@mrsavage7603 2 ай бұрын
Mi mwenyewe nilienda kuiskiza kwasababu aliichalenge na sensema ila bado kabisaaa, hajafanya kitu, that song is a traaash 🗑
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Ай бұрын
Nobody listens to you mate 😅
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 39 МЛН