Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up
@ramadhangona90853 жыл бұрын
Yap big up sana Dav....leo naona za Mpigo...mkupuo yani....
@catherinewanjiru71363 жыл бұрын
Twende kazi mr everything 👍👍👍
@tigotv20413 жыл бұрын
Sho Kali kaka huyo aliye kutukana Hana maajabu piga kazi
@emmanelly68643 жыл бұрын
Wait a minute! anakua mke wako kimandazimandazi hivo? Hujui kwao, hujui watu wao, hujui kazi anayofanya, asema anakulinda, mama kakwambia ni jini na bado haikujii? Mungu linda watu wako jamani wah!
Shekhe Wa Tanga hajamaliza historia yake ilikuwa inafungua kuhusu nchi ilipotoka ungemaliza ya shekhe ndio ifuate hii
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaaa
@evelynbarton62192 жыл бұрын
Makini sana davistar
@lifezest62743 жыл бұрын
Mr facts sauti ipo chini, kwenye earphones inasikika upande mmoja. Fix audio issue. Tuko pamoja mtu makini
@anthonkephasglobalmedia74063 жыл бұрын
Nzuri
@lazarojohn80803 жыл бұрын
Jamani mwenzenu Vodacom walikuwa wamejifungia kuweka vocha eti kisa nimeingiza mara nyingi kimakosa so vitu kama hivi ndani ya siku 5 nimepoteza
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
So...
@seasonepisode33283 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa..tuombe maharifa jamani..mtu umjui unakubali vp aje kwenu wkt ww ndie ulitakiwa umtafute na ukafurahia mwenyewe umesaau akuna cha bure
@browskymuba69232 жыл бұрын
Mnaharibu hizo backround music
@rashidhamisi9131 Жыл бұрын
Good
@marthamaligo4583 жыл бұрын
Mtu makini sana
@husseinkonz51923 жыл бұрын
Kaz ya mara 1 kwa wik
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo
@alexjos76253 жыл бұрын
Ukipishana nayo mjini unajuaje kama ni jini?
@chingaboy69173 жыл бұрын
Uyo ana cha msaada wala nn nyege zake ndio zilimponza
@pilimusa77703 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mie uwiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Mazoea2 жыл бұрын
😊😊😊😊 😊😁😊😁 daah nacheka kama mazuri
@agnesmwaizinga54013 жыл бұрын
Tamaa mbaya jamani
@alexjos76253 жыл бұрын
Bro anzisha group la whatsap..tuwaone mr misosi aka zabroni..mzee wa bakora za kimkakati..
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
Weweeeeeeeee😇😇😇😇
@mariamndimbo88333 жыл бұрын
Mweee jini tena
@r14kgroup683 жыл бұрын
Angekuwa mwanaume asingepewa msaada
@ericalexandre2166 Жыл бұрын
Aiiiii upendo hauchagui jinsia, dini wala rangi
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Sasa broo dav niulize mzee omari story yake 🙏💪 imeisha,
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Haivutii
@mariamndimbo88333 жыл бұрын
Mjeshani 16 pls
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
Njoooni mambo mazuriiii 🌚🌚
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Nimekuja pamoja Sana
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 shukran kipenzi
@raheemaraheema54533 жыл бұрын
Nimefiika
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
@@sapnaabdallah1084 sana
@pilimusa77703 жыл бұрын
Ndiyo nimefika asante❤❤❤❤😍😍
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Mimba huzaliwa hata miezi Saba dadangu alizaliwa miezi sita nayuko sawa yategemea vile akiekwaa kwa chupa hadi afikishe tisa lkn huyo wako mmm hadi nguo ximeletwaa zamtoto bdo ufungui akili
@somoeawadh77743 жыл бұрын
Karibu iftar 😄😄😄
@djmtengwatz10993 жыл бұрын
😊😊Twajaaa
@pilimusa77703 жыл бұрын
Asantee.
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Vijana sikuhixi wanakufia kwa mwengaa kali 😄😄😄😄😄😄kumbe jini
@tayanabenard43923 жыл бұрын
Kumekucha! kumekuchaaa!
@chingaboy69173 жыл бұрын
Nyege sio nzur
@pilimusa77703 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mie uwiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@baravuga6223 жыл бұрын
Bakora za kimkakati hakuna?..😆😀😁😂
@tatuhongeranurushaus4853 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
Stry tam hiii
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Kwann umenileft kwa wasap ww mama wa gambush jmn nataka leokesho mm weka weka mwambaaaaaaa
@gmdecoration60443 жыл бұрын
Mambo nimoto kajomba ketu kataletwa saa kumi 😅😅😅niwatakiye mfungo mwema 🙏🙏
Ukisema alioa jini lisilo lakawida kwani kuna jini lakawaidaa🤦🏾♂️🤦🏾♂️🤦🏾♂️
@bisunmwamini69933 жыл бұрын
Bro unatuletea tena story zako za kuandika!yani watu wa mwanza wengi wao story zao za kutangaza biashara za makanisa,davistar pamoja na kujisafisha lakini umerudi tena kulekule kwa tapeli maziwa!mwisho wa hii story maziwa ndo aliyemuokoa!!
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Kweli na huenda maziwa ndo anaetengeneza mamuvi haya ili yawakute waje kwake mbwa sana
@matheothomas18913 жыл бұрын
Sisi wanaume uruma unatuponzagaa iv kweli porini alafu usiku ujiongezi tuu
@pilimusa77703 жыл бұрын
Tamaa tu
@nasht86043 жыл бұрын
Helow bro nimekua mfatiliaji wa vipindi vyote bt of late sauti kwa tunao sikiza kwa system ni mbaya maybe kwa sim na kama mimi inaniwiya ngumu juu ya kazi yangu siezi sikiza na earphones plz check on that one love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@somoeawadh77743 жыл бұрын
Itakua ni simu yako sauti Upo safi 💃💃💃
@nasht86043 жыл бұрын
Yeah ikiwa kwa sim iko sawa bt kazi yangu huwa hairuhusu kushinda na sim so huwa naweka sauti kwa radio bt kwa hizi simulizi tatu kufatana sauti imekua sio nzuri
@Sarah-hl9lr3 жыл бұрын
Ata kwa earphones sio nzuri
@ellyswema21133 жыл бұрын
2019 Sekenke barabara ilikuwa tayari bwana, labda jamaa kapitiwa kidogo
@chidybwax80803 жыл бұрын
Hata na 18 ilikua tayar
@seasonepisode33283 жыл бұрын
Kuna wajinga wnasema majini wapo wazuri ☻sijawah ona mpaka sasa jini zuri sijaona story yyte apa watu wanawashukuru majini sijaona..sasa sijui uzuri gn apo sijui..
@hassanissa3133 жыл бұрын
Majini wazuri huwa hawawatokei binadamu
@madetetv6576 Жыл бұрын
@@hassanissa313 sasa uzuri wake umeuonaj
@salmasalma82033 жыл бұрын
Pmj davstr ngj tusikiliz
@harididiuchile94683 жыл бұрын
Vipi kuhusu maalim mbona haijaishia wa tanga mbona haija isha
@DavistarMataMediaDM3 жыл бұрын
Inaendelea
@harididiuchile94683 жыл бұрын
Kukuchangia namba ile ile
@jeffmwangemihsc43093 жыл бұрын
@@harididiuchile9468 namba ipi???
@mgenirasimi77713 жыл бұрын
Bora we yake ilikua ya miez 8 upande wang mie yake ilikua miez 6 tu😀 Na siku anaenda kujifungua skujulishwa nilstukia napigiwa sim mtoto yupo tayari, skutaka kujua kama kajifungua salama au mtoto jinsia gani!! Nilichokifanya nikamjib ntakufrahisha, baada ya hapo mpaka leo sjawahi kuonana nae na sjui yupo wapi na stak kujua😀😀😀.
@seasonepisode33283 жыл бұрын
Usijisifu jini ni roho chafu. Usione umeshinda wkt anakuona anakufata popote ulipo. Bora ukaombewe iyo milango bado ipo wazi ww ni wao mda wwte akikutaka anakuchukua...jini sio kitu cha mchezo yy yupo kwa ajili ya kuua tuu .na kukupeleka kuzimu siku ya kiama motoni ilo ndio lengo Lao motoni wasiende peke yao..kwaiyo jini awezi kua rafiki wa binadamu ata siku 1 aijawah tokea na aitotokea..
@mgenirasimi77713 жыл бұрын
@@seasonepisode3328 wangu hakua jini ila alikua mchawi tena mchawi kweri kweri
@pilimusa77703 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@seasonepisode3328 kabisaaaa
@mgenirasimi77713 жыл бұрын
@@pilimusa7770 🙂🙂🙂
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Jini KRISTINA ANAITWA
@pilimusa77703 жыл бұрын
Lazima walisikie hilo jina. Saa zote wanasema majini ni ya kiislam tu. Sasa leo waone
@r14kgroup683 жыл бұрын
Mmmhhh
@rukiammangammanga11663 жыл бұрын
😁 😁 Ndo wanavosemagaa naendaa apo mbele
@philipoluzege32003 жыл бұрын
Makosa ya kimtandao nimekuwa wa pili
@fatmamucha44193 жыл бұрын
Pole
@philipoluzege32003 жыл бұрын
@@fatmamucha4419 asantee
@pilimusa77703 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 maneno ya mchelewaji hayo
@philipoluzege32003 жыл бұрын
@@pilimusa7770 kweri yote hayo uchelewaji tu
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@philipoluzege3200 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
wakwaza
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
@@sweetie6934 busy na ramadhan lakini nafuata sana ni vile ngumu kucomment #pill musa asinione😁😁😁😁 nataka hajue uwanja ni wake siko mtaa