No video

Part1:USHUHUDA WA MUSSA CHESSA ALIYEKUWA JAMBAZI SUGU

  Рет қаралды 27,804

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Karibu sana katika sehemu ya kwanza ya simulizi ya kweli ya ushuhuda wa Musa Chesa aliyekuwa jambazi sugu na kufanya matukio mengi ya uhalifu na ushirikina lakini baadae aliacha na kuokoka,kipi kilimpata tafadhali fatilia mpaka mwisho

Пікірлер: 74
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 4 жыл бұрын
Mungu awe nawe kwa kumpokea Yesu Kristo Mussa Chessa ahsante kwa kutubu dhambi zako na kumludia Mungu muumba wa vitu vyote.
@vj8313
@vj8313 4 жыл бұрын
Dah be blessed Jactan kutuletea shuhuda hizi, zinatujenga kwakweli. Be blessed bro Musa kumpata Yesu .
@chumachadollar5917
@chumachadollar5917 4 жыл бұрын
Nampenda Yesu Ni mwanaume juu ya Wanaume❤🙏
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Amen
@aonicamligo9531
@aonicamligo9531 4 жыл бұрын
Duh! Ahsante kaka tunayajua mengi hakuna kama yesu.
@vumiliahalimeshi3133
@vumiliahalimeshi3133 4 жыл бұрын
Yesu ndo habari ya mjini
@aliounendiaye5738
@aliounendiaye5738 4 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu jactani ni kweli Dr.wa Kiroho
@obbymark8556
@obbymark8556 4 жыл бұрын
Ubarikiwe kijana kwa kazi nzuri
@renatusrwazo7421
@renatusrwazo7421 4 жыл бұрын
Ongera Sana kwa kuokolewa na kumpokea Yesu Kristo
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 жыл бұрын
Karibu Sana nyumbani mwa BWANA YESU
@johnbernad6806
@johnbernad6806 4 жыл бұрын
Maria maria
@jubethraphael9909
@jubethraphael9909 4 жыл бұрын
Mussa Tabora kata ya ngambo kuna wizi hatari hata majambazi wapo Sana mimi nimevunjiwa duka langu Juma mosi tareh 12 wakaiba kila kitu Tabora kuna wizi hatari
@thobiasntobi363
@thobiasntobi363 6 ай бұрын
Mnafeli sana nyinyi. Huyu mtu kafanya matujio mengi. Hapa badara ya kueleza jinsi alivyo execute matukio anafanya analysis ya matukio yake. Hapa mtu akitaka kutrngeneza movie ya matukio yake awezi. Anapasa kueleza tukio moja alivyolifanya. Alianzaje alishirikiana na nani iwe kama mtu ali m video wakati anatekeleza tukio. Cheki kwa ananias edger
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
Great work Mr. Jacktan
@ildephonsentahomvukiye5410
@ildephonsentahomvukiye5410 4 жыл бұрын
Ahaaa kumbe niwewe??? Hiyosiku sitoisahau katika maisha yangu.ila mungu mukubwa amekuokoa
@alawifarahani4788
@alawifarahani4788 2 жыл бұрын
Ilikuaje tusimulie kidogo
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 4 жыл бұрын
Mbona kama umeirudia hii story mpendwa, but we still love it, barikiwa Jacktan mdogo wangu
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Uliiona wapi kabla?
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 4 жыл бұрын
@@PromovertvTz hapahapa
@ellymusa5598
@ellymusa5598 4 жыл бұрын
@@PromovertvTz Amina Mtumishi
@fredchaki6712
@fredchaki6712 3 жыл бұрын
Aijaludiwa story ila huyu jamaa amishatoa story yake ya shuhuda kwenye channel ya davista mata
@fredchaki6712
@fredchaki6712 3 жыл бұрын
Hapana ila huyo jamaa amisha fanya interview na channel ya davista mata DM TV hivyo story ni hiyo hiyo tofauti aina tu ya usimulizi
@annkim2690
@annkim2690 3 жыл бұрын
Thank God for saving this soul
@mocranaburugi3486
@mocranaburugi3486 4 жыл бұрын
Aisee
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Simulizi inasisimua sana.
@WinWilly4162
@WinWilly4162 4 жыл бұрын
Enzi hizo Mlivuma sana na akina Hamenya na Mkwakwa,Hamenya alikua jirani yangu na police walimbutua ubongo wote kumwagika,Mungu alikua na kusudi na wewe ndo maana bado uko hai.
@bibiayeiya6901
@bibiayeiya6901 3 жыл бұрын
Huyu bado hivi sasa anafanya utapeli
@daimavlog
@daimavlog 2 жыл бұрын
@@bibiayeiya6901 khe! Kivipi?
@bibiayeiya6901
@bibiayeiya6901 2 жыл бұрын
@@daimavlog Namjua huyo kuna mtu alimtafuta hana icha Yesu
@daimavlog
@daimavlog 2 жыл бұрын
@@bibiayeiya6901 weee
@bibiayeiya6901
@bibiayeiya6901 2 жыл бұрын
@@daimavlog im warning you guys
@seifhamad9817
@seifhamad9817 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@winfridaadam2813
@winfridaadam2813 4 жыл бұрын
Jehovah 👏
@askalongo2030
@askalongo2030 Жыл бұрын
Ndo huyu😢😢😢
@marygregory7566
@marygregory7566 4 жыл бұрын
Ila Yesu Ni kiboko duh,
@salehmdemu5722
@salehmdemu5722 4 жыл бұрын
MUNGU ni mwema!
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
KUPATA MWENDELEZO BONYEZA LINK HII kzfaq.info/get/bejne/g9ycfZekm9GnZo0.html
@arielninga1415
@arielninga1415 4 жыл бұрын
Jacktan Msafir
@mtwamvuyekule3349
@mtwamvuyekule3349 4 жыл бұрын
Namshauri atoe kitabu
@phineruge3480
@phineruge3480 4 жыл бұрын
Stori nzr ila jitahidi kwenda kwenye point kwan unatoka kwenye point unaanza maelezo mk inachosha, Ila yote kwa yote Yesu ni mzr
@issackcmasabile9190
@issackcmasabile9190 4 жыл бұрын
Naweza kupata mawasiliano nae?
@annkim2690
@annkim2690 3 жыл бұрын
Young boy kweli shetani hana huruma
@bibiayeiya6901
@bibiayeiya6901 3 жыл бұрын
Hivi Jactan hawa watu unawajua undani wao.? Wewe ni Docta wa roho mwulize Roho Mtakatifu kabla hujawapost wengine sio wanatafuta kuwapata wasio na Roho wa Mungu na kuwaangamiza
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen Asante kwa taarifa nimeelewa
@emmanuelminja3128
@emmanuelminja3128 4 жыл бұрын
Mbona anakazana kusema alifanya matukio mengi ila hayaelezei kiufupi hana mtiririko mzuri wa kuelezea matukio
@rosariosumbane9112
@rosariosumbane9112 4 жыл бұрын
Sifa nakujiona nagwa zaidi kwenye laana
@noelashaoona
@noelashaoona 4 жыл бұрын
Emmanuel Minja umesha wai kufanya mambo mengi mpka you confuse as yourself is this men. He just don’t know where to start but sio sifa
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 3 жыл бұрын
Jacktan come ubarikiwe,namba ya tigo pesa
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Sina tigo pesa,nina Airtel na voda tu
@adhiambocarolyn9895
@adhiambocarolyn9895 4 жыл бұрын
pat 4 inakuja lini ,wajabazi kujeni kwa yesu Awaokowe musiede kuzimu
@vj8313
@vj8313 4 жыл бұрын
Kwani part 3 tayari?
@adhiambocarolyn9895
@adhiambocarolyn9895 4 жыл бұрын
@@vj8313 yes bado pt 5
@bonniebaraka
@bonniebaraka 4 жыл бұрын
Ushuhuda wake ule mwingine tunaukumbuka mkipindisha tututajua
@s.simponda138
@s.simponda138 4 жыл бұрын
Naweza kupata mawasiliano naye?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Atatoa mawasiliano yake kwenye sehemu ya mwisho
@bibiayeiya6901
@bibiayeiya6901 2 жыл бұрын
Pole mpendwa tafuta mawasiliano na Yesu. Usiamini mtu
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
@@bibiayeiya6901 kwakweli 🤍🤍🤍, hii ni point nzur
@tatukizunga1191
@tatukizunga1191 4 жыл бұрын
Nani kaona mikono na vidole vya musa vyesi kama katoka kupima mkaa
@bibiayeiya6901
@bibiayeiya6901 2 жыл бұрын
Mkorogo haumwachi mtu salama.
@celestinapaulo3182
@celestinapaulo3182 3 жыл бұрын
Mungu mkubwa sana
@ommymp9058
@ommymp9058 3 жыл бұрын
Hivi wewe na heranya Nani mkali??
@abbyadams8691
@abbyadams8691 4 жыл бұрын
Tabora ni mkoa wa kishamba sana. Kuna vibaka wengi sana. Wanachinja mtu ili waibe baiskeli na kuku,vitu vya kijinga kabisa.
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
😂😂😂 kwakweli
@romanusfikiri3194
@romanusfikiri3194 4 жыл бұрын
Ivi uyu jamaa si ndio alisimulia njia panda ya clouds fm 2014 au sio uyu jaman?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Ndo yeye
@treyvissy9854
@treyvissy9854 4 жыл бұрын
Ndio yeye
@mtwamvuyekule3349
@mtwamvuyekule3349 4 жыл бұрын
Ndio yeye mwamba alikuwa na bonnge la stori
@treyvissy9854
@treyvissy9854 4 жыл бұрын
Mtwa Mvuyekule sema nakumbuka kama clouds hawakumalizia hii story ilikatishwa na police ?
@mtwamvuyekule3349
@mtwamvuyekule3349 4 жыл бұрын
@@treyvissy9854 ni kweli angeandika kitabu tu kAma zabloni mwita
@neemaneema4740
@neemaneema4740 4 жыл бұрын
Ameni.ila simwache.mungu kabisa
Part2:USHUHUDA WA MUSSA CHESSA ALIYEKUWA JAMBAZI SUGU
42:32
PROMOVER TV
Рет қаралды 19 М.
Part5:USHUHUDA WA JAMBAZI SUGU ALIVYOGEUKA KUWA MCHAWI GWIJI
34:48
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 6 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 28 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 52 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
Part6:USHUHUDA WA JAMBAZI SUGU ALIVYOGEUKA KUWA MCHAWI GWIJI
29:28
Part7:USHUHUDA WA JAMBAZI SUGU ALIVYOGEUKA KUWA MCHAWI GWIJI
36:12
Part4:USHUHUDA WA MUSSA CHESSA ALIYEKUWA JAMBAZI SUGU
40:29
PROMOVER TV
Рет қаралды 15 М.
Part3:USHUHUDA WA MUSSA CHESSA ALIYEKUWA JAMBAZI SUGU
39:35
PROMOVER TV
Рет қаралды 16 М.
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 6 МЛН