Asalam alaykum wapenz wafuatiliji hii ni noma na nahic ndio safar ya gambosh hiyooo
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Mpk ahela
@rukundoibrahim8073 жыл бұрын
huyu brodher amepambana sana ALLAH amuezeshe.
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Ameen
@beatricekweka66833 жыл бұрын
🤣🤣🤣 dah story Tamu mpaka natamani ku skip ads 😣 niendeleee... 💥🔥🔥
@zumratsaidi73533 жыл бұрын
Duuuh umeniliza 😭😭😭😭Zabron pole Sana Kwa matatizo yote uliyopitia hakika Sisi binadamu ni watu wabaya sana
@mcheshcomedy58093 жыл бұрын
Mmmm Noma Sana ja jamaa kashakufa tiari duh!!!
@wilsonchishomi10833 жыл бұрын
Mr. facts you are the best of the best.. yaani ujawahi kukosea umezifanya siku zetu kuwa nzuri kwa simulizi na story za kusisimua.. kwa kweli sikukosea ku-subscribe kwenye channel yako...
@highnesseverest36193 жыл бұрын
Daaaah kweli hii dunia ina mambo ukiona wewe upo salama jitahidi kumshukuru Mungu
@moteyussuf39513 жыл бұрын
Good stuff nice story I can't wait for 15
@evishorts45433 жыл бұрын
Davistar we noma aise hiyi story ni bola zaidi 😂😂😂
@saidabdalla89963 жыл бұрын
Huyu jamaa kweli noma
@zettyhassani22443 жыл бұрын
Dunia ina watu wabaya Sana,Kaka wew nishujaaa
@joycedzuya23303 жыл бұрын
Show iko 🔥 🔥 🔥
@happykajeli54533 жыл бұрын
Safari ya gamboshi sasa ndo picha linaanza Kuna Mahali nacheka sana lkn Kuna wakati naumia sana na story yako pole sana kaka yangu
@fatumamohamed86453 жыл бұрын
Haki ulipitia mengi sana bro, Dooooh! Duniani Kuna Mambo kweli🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@aishahassan98123 жыл бұрын
Pole sana jaman😭😭😭 umeteseka sana jaman
@rasjamal98543 жыл бұрын
Naona Davistar Mata una cheka mbavu zako 😁😁Zabron hila umepitia mitihani mingi na still upo strong mungu mkubwa
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaa
@kibibi78263 жыл бұрын
Sema kuisubiri sana jaman
@pilimusa77703 жыл бұрын
Sana tena. Anatufanyia kusudi
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Teenaaa🤔
@idanysedrc12003 жыл бұрын
History ndio borAa kuliko story zote ulizowahi apld!!
@pilimusa77703 жыл бұрын
Jamani ziko na nyingine nzuri tu
@idanysedrc12003 жыл бұрын
@@pilimusa7770 ni kweli ila mie huwa sio mpenzi wa hz stry za dizain hii huwa namfuatilia kuhusu issue zakinakiduku na wenzie😃😃😃ila hii imenigusa
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@idanysedrc1200 kiduku ndiyo nani
@idanysedrc12003 жыл бұрын
@@pilimusa7770 😃😃😃rais wa north korea
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@idanysedrc1200 kim 😂😂😂😂. Ahaa sawa
@farhathamdansalum97253 жыл бұрын
Subhanah Allah, kichwa kinazunguka pole sana aisee Zabron
@abbyadams86913 жыл бұрын
Hahaaaa 😅😂😅😆 Marehemu ulitisha
@rashidkamundi52063 жыл бұрын
Dah stori nzuri sana kaka DaVita💟💟
@mashamramba34613 жыл бұрын
Kkkkkkkkkk !! Mbona zablon umeteseka sana
@officiallsalmatz69633 жыл бұрын
🤣🤣🤣 naitwa marehemu nachunga ngo’ombe 😂🤣🤣 uwiiiii
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Hoiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@wilsonmatunda49373 жыл бұрын
Hii story ni tamu sana! Wachawi, Misukule na Vivuli!! Inafaa kugeuzwa kuwa sinema! Nitanunua hicho Kitabu! Well done Davista. Keep up the good work!
@joycekelvin54343 жыл бұрын
Nimecheka km mazuri
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo
@nurudaud39932 жыл бұрын
et naitwa marehemu😂😂😂😂😂😂daaaa yaani nimeishiwa pozi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂aaah bro be blessed 🙌 can you imagine mtu anajifanya chizii daa umepitia magum sana😢😢😢
@carolinewanza26483 жыл бұрын
Ety naishi makaburini ....what🙄🙄🙄🙄🙄🙄aya twende kazi........ila ili ni bonge la story whaaaaaa....🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@nehemiakamwela72013 жыл бұрын
Daaaaaaah huyu jamaaa ananikumbusha mbali sana
@jangombeboys45363 жыл бұрын
Big up bro 💪💪
@somoeawadh77743 жыл бұрын
Barikiwa sana bro Davistar 🙏
@evishorts45433 жыл бұрын
😂😂😂😂 iyi kali aise
@learnselfdefense7653 жыл бұрын
Davistar bhana 😇 unanikosha mie
@esthermaluko56213 жыл бұрын
Jesus christ, umejuwa kuigiza, you should replace Steven Kanumba 😃😃 nimecheka adi najikuta nalia😂
Niko kenya nahitaji kitabu zimulizi nzuri kweli bro
@kanyangezafaraniddi65183 жыл бұрын
Eee kaka pole saaan umepitiya magumu saan chanzo ni bibi yko mzaa Baba duh wachawi walaaniwe🇨🇦🇨🇦
@barakamakongo61843 жыл бұрын
Am the first today
@1zuwena553 жыл бұрын
Huyu jamaa hajamaliza tu atahadithia mpaka mwisho wa maisha yake
@maryamumapenzi12573 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@pilimusa77703 жыл бұрын
Yani hatari.
@khadijaomari93443 жыл бұрын
😃😃😃😃
@pilimusa77703 жыл бұрын
Mbavu zangu mimi uwiiii.😂😂😂😂😂😂
@mayaalmahrooqi13453 жыл бұрын
Tunaendelea
@nellyrhn43493 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣☝☝🤣🤣🤣yani leo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥katika story zote niliwahi kusikia apa iyi nibala kabisa
@pilimusa77703 жыл бұрын
Bora alivyojifanya chizi. Maana kateseka sana
@aiyamhassan13213 жыл бұрын
Safari ya gamboshi imeanza hapooo dada story ndo hii
@allysaleh65513 жыл бұрын
Pamoja sana
@sharifusaidi4613 жыл бұрын
Uyuuu jam yup vzriiiii
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Unabadilisha viatu ati ujifanye chixi😂😂😂😂😂😂😂😂😂lkn kwann bangi huwa mwaisingizia jamani mana bangi nivile umeivutaa naukaisemezea🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haha chixi kumbe unajifanyisha ilituu usepe kivuli chakusumbua
@Blackie_blackie93273 жыл бұрын
👍
@ezekiaandrew84203 жыл бұрын
Leo kdg nimewah
@mcheshcomedy58093 жыл бұрын
MARA YA KWANZA LEO NACHEKA!!!
@mcheshcomedy58093 жыл бұрын
🏃🏃😀 et nakunywa kuku Mrija🏃🏃🏃🏃🏃
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
Wallah nimecheka leo naitwa marehem naishi makabulin yebo sim dooh hatar sana me mbavu sina mbavu huku
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Ata Mimi nimecheka adi mbavu zangu zinaumaaa atari sana
@violinenyakara50283 жыл бұрын
Nilijua davista utaleta saa nne 😊 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka leo Yebo Yebo kugeuzwa simu Davista bora iende saa nzima, hivi hadi kesho jamani
@pilimusa77703 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@violinenyakara50283 жыл бұрын
@@pilimusa7770 hivi tungoje hadi kesho na vile imeishia pazuri
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@violinenyakara5028 tayar 💃💃😍😍
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 🤣🤣🤣🤣
@pazimazongera49343 жыл бұрын
Hapo chacha
@mamskiumbe40573 жыл бұрын
Watu wap fast
@allykibabe81823 жыл бұрын
Duuuh htr
@aishahassan98123 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣kipengel cha kujifanya chuzi jaman 🤣🤣🤣mbav zang🔥🔥
@shakiraabbas75383 жыл бұрын
Yaani nimecheka mimi daaaa😂😂😂😂kuwekwa lokapu si mchezo bora uchizi ulikuokoa😂😂
@mawananasoro44053 жыл бұрын
Hii kiboko
@dotosalim50903 жыл бұрын
Zaidi ya kiboko
@justerinnocent70143 жыл бұрын
Jamn davister mbona dk umepunguza jamani😓
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisa yani.
@mwitawakimara36493 жыл бұрын
Daaa leo nimewai bg hap
@angelmilele47303 жыл бұрын
mh atali sana
@haridtk31993 жыл бұрын
Mko faster wadau
@pilimusa77703 жыл бұрын
Sanaa.
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
dav hapo kwa eboebo umecheka hatari tembea kenya
@lizzybeth63443 жыл бұрын
Tunateseka na story robo robo ladha inapotea kabisaaa,
@shukridjibril68483 жыл бұрын
Kweli kabisa.
@wildatmsellem75313 жыл бұрын
Hahaha eti kikwapa hajawahi kuskia
@sailakemuma51293 жыл бұрын
umenichekesha sana we ukajifanya chizo
@frankyfranky76393 жыл бұрын
Wakwanza Leo. Wa kenya mkooo
@pilimusa77703 жыл бұрын
Wa tanzania tuko pamoja na wewe pia. Tunawapenda kenya
@mcheshcomedy58093 жыл бұрын
Nakusubir Kwa hamu ep.15
@kimandoro74323 жыл бұрын
💯💯
@evancemoevt85973 жыл бұрын
Hàpo sàsa ndo Safari ya kuelekea Gamboshi imeanza.
@neemaomar763 жыл бұрын
Nilijua leo hatotuma tena nkajifanya kupotezea kuingia you tube 🤣 ila nmefrahi nmeikuta kwa kweli siku mbili hizi wallah bando langu linatumik fasta kuliko kawaida 🤣🤣🏃🏻♀️
@zuhuraimran36593 жыл бұрын
Wa 31 kukoment😃😃
@pilimusa77703 жыл бұрын
Zuhura jamani umechelewa sana khaaa😂😂😂😂😂
@apolinemalungano91553 жыл бұрын
Jama huyu alipitia mengi Mwenyezi Mungu azidi kumsimamia
@hadijashabani8903 жыл бұрын
Bado nipo na dav pande za dubai nakupata vizur sana
@salisali37383 жыл бұрын
Davistar irefushe story kdg
@luciamutongore7993 жыл бұрын
Naitwa marehemu, naishi makaburini, 🤣🤣🤣🤣.....haya kila mmoja avue ndalaa, kiatuu, tupige simu😆😆😆😆😆🔥🙌
@mwajiranimesalimu55093 жыл бұрын
leo ndo nimecheka teba kwa sauti
@rastamabuki1853 жыл бұрын
Aiseee kuchele kidogo watu wamewahi
@susannyamwitha13543 жыл бұрын
Haaaa nakufa mama 😃😃😃😃
@farhathamdansalum97253 жыл бұрын
Dhuuuu, kumbe mauzauza alikuwa anaona pekw ake
@neemaomar763 жыл бұрын
Kesho naomba utupostie mapema jmani plz 🙏
@mariammgombayeka18243 жыл бұрын
😅😅😅😅😅jamani humu kuna ambaye hajacheka kweli???
@jeaninemugisha63953 жыл бұрын
Zabroni nimeriya ju yahiyi story aki nime riaya sana