PART17:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 21,305

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 281
@dearlaviee4051
@dearlaviee4051 3 жыл бұрын
Aki I like the story Davistar big up brother form kenya
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Jamaa alie umba dunia wala mtoto wake alie kuja kufa duniani 😍😍😍😍😍😍👌👌alafu una kuta kijitu ànaseka Mungu ana mtoto aya mmesikia?kasema bible ni takatifu aya anaambiwa kuzimu na sio clubs..jamani eehh akuna kama Yesu akuna
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Kuzimu akuwah lala ila dunia alivyo fika alilala kidogo ndo mjue Mungu jins gan anatupenda Sisi wanadamu..apa duniani upo uhuru ole wako ww usie mjua Yesu..
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 3 жыл бұрын
🤔Ce témoignage doit être traduit dans les autres langues ! Nous croyons avoir souffert, mais , kuko watoto wanatesa kweli ! MUNGU anisamehe na kuliyakanya nilikuwa nayo, kusikiya iyi ushuuda nadjifunza mingi ; HUMILITY... Aksanti sana kwa team yako yote Davista... May GOD blessed you forever...
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
Nimewahi namm Leo hongera davistar kz nzur
@egospeltz9486
@egospeltz9486 3 жыл бұрын
Hii simulizi ni super itatuponza unasubiria, kama mlinzi aingojavyo asubuhi. IIa kwa mimi imenifunza sana the power of our Jesus💃💃🎉
@mwanzandaki786
@mwanzandaki786 3 жыл бұрын
#Davista umekumbuka yule mzee wa kisesa alikuambia dawa za kuona wachawi sio nzuri na wachawi wakijua unawaona wanaweza kukuua kabisa sasa saizi ndio naelewa kwanini alisema vile
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 3 жыл бұрын
Nimekumbuka aisee
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
Yaap alimwambia tena kwamba zile dawa za kuona wachawi si nzuri
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 3 жыл бұрын
❤️Merci à toute l'équipe pour ce témoignage très édifiant ! Anadjuwa kweli ku report uyu ndugu!.. Aksanti kwa kazi muzuri munafanya..MUNGU awakumbuke na yote tunadjifunza!
@beatricekweka6683
@beatricekweka6683 3 жыл бұрын
Nilimiss hako ka back ground music aisee...🔥🔥🔥💥😇😇😇 Duuhh tusisahau kuomba Mungu kwa kweli kwa Kila Jambo tunalolifanya looh 🙌🙌🙌🙌🙌
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
Jaman leo nimewai ilaa nimeipenda sanaa hii story sana sana hapo davista anapomuuliza zabron kwa nn hakuchagua mama kubwaa haha😂😂😂 davista mzee wa mama kubwaa
@marymary6758
@marymary6758 3 жыл бұрын
Hahahaha unapenda wamama dav
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
Na ww umeligundua iloo mary
@violinenyakara5028
@violinenyakara5028 3 жыл бұрын
Santa davista, nimekwama you tube hii story 🔥🔥🔥
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaa.
@zettyhassani2244
@zettyhassani2244 3 жыл бұрын
Du mungu mwema ,tuvumbue macho Kaka zablon
@neemalambo9790
@neemalambo9790 3 жыл бұрын
Davistar upo juu, story inafululiza bila kukawia, na kila kipengele ni kirefu cha kutosha,,🔥🔥🔥
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 жыл бұрын
Leo msilalamike mmepewa kitu mchana kweupe, Lakini kuna watu wako fasta na simu balaa
@butondodavid2105
@butondodavid2105 3 жыл бұрын
Wapenda shombeshombe tujuane davistar anapenda miphantom hatar
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 жыл бұрын
Pole kaka tutajua mengi kupitia kwako
@ibrahimmohamedi4498
@ibrahimmohamedi4498 3 жыл бұрын
Unatak kuvunja mashart ya kunawa maji du let's wait next episode what gone happen???? Congratulation DM
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Wap daa pili somoe violine mtoto mimi mimi cute emmy riziki💃💃 njooon mambo tayariiiiiiiiiiii🙄🙄🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭💃💃💃
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Ndiyo nimefikaaa. Asantee.😂😂😂
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 karbu chidada changu 🤣🤣😍😍
@zuriethbashir438
@zuriethbashir438 3 жыл бұрын
Davista nunua Mike ndogo unapata shida
@alitoufik5477
@alitoufik5477 3 жыл бұрын
Weweeeeeeeeeeee Zabron na halfcust twende kz Davistar kz nzr tunakusubiria leo leo hata km SAA 6 usiku lkn 18 utuekeeee leo
@sultanaswaleh4708
@sultanaswaleh4708 3 жыл бұрын
Poaaa
@estermarua167
@estermarua167 3 жыл бұрын
Dav unakera tupia hata vitatu unaboa ni saw na unatupa dawa
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
@@estermarua167 😂😂😂😂angefanya dozi kutwa mara 3
@kibibi7826
@kibibi7826 3 жыл бұрын
Tunasubiria sana jamani...Asante davista
@salumbunga240
@salumbunga240 3 жыл бұрын
Davistar kijan wako hp mtu mweny utu wang
@kanyangezafaraniddi6518
@kanyangezafaraniddi6518 3 жыл бұрын
Jamanii mm niko saa kumi usiku silale mpak niimalize🇨🇦🇨🇦
@semwandambaza2184
@semwandambaza2184 3 жыл бұрын
Davista naomba Hilo Sweta....nimelipenda,,,,stori nzuri sana
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Aaah make miaka hyo gamboshi inavuma ndo kulikuwa na skendo ya wachuna ngozi au ndo hao walikuwa wanazipeleka huko?
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 жыл бұрын
asante mungu kwa huyu kiumbe wako naelimika kupitia shuhuda yake 🙏 asante mr davistar mata kwa kutusogezea mambo mazur😊
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Jamani eehh tujue baada ya kifo kuna maisha mengine ya milele..njia ya kwenda mbinguni ni moja tuu Yesu kristo..kama auna uyo basi ww ni bureeeeeee..tumkubali Yesu tumkatae shetani na majini wake wotee na waganga wake wotee na wachawi wake wotee ..akuna mganga aliye tumwa na Mungu akunaaa..mganga anae ongozwa na Mungu ni wa hospital tuu ndio maana kuna shule..ila aho wengine ni wachawi tupu ..Mungu alivyo muumba mwanadamu pale eden akukua na magojwa..alie leta mateso magonjwa ni shetani baada ya ile zambi..sasa nyinyi mnao swali na majini cha moto mtakiona nyinyi mnao enda kwa waganga cha moto mtakiona nyinyi mnae mpokea uyo mganga na sumu zake cha moto mtakiona...kuzimu kupo na shetani anaingiza watu kila siku kila second..alie mkubali Yesu awezi enda kuzimu maana ana nguvu ndani yke...bible mchawi jini shetani agusi iko kitabu...unakuta mtu anasema eti bible ni gazeti...gazeti then shetani aogope???au mnazani shetani ana nguvu??shetani Ana nguvu apa duniani tena kubwa..ndio maana Yesu alikufa kwa ajili yetu?ile ni sadaka ya damu kwa ajili ya mwanadamu...zamani ukifanya zambi lzm utoe sadaka ya damu ya mnyama au ndege...ndipo unasamehewa zambi zako...baada ya damu ya Yesu akuna tena kuua mnyama maana tuna damu ya Yesu..ndio silaha kubwa ni jina la Yesu na damu yke..ivi amjiulizi kwann kwa shetani ni damu na nyama za binadamu ndizo zinatumika amjiulizi???Mungu amekataza mwanadamu kula au kunywa damu ya mnyama maana uhai wa mnyama upo ktk damu...tuokoane jamani tumpokeee Yesu kristo..
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Maneno ya Yesu..Ndimiii ndie njia ya uzima na kweliii!!!!! Hakuna aendae kwa baba yangu ila kupitia kwangu!!! Atakae nikana mbele zawatu naami ntamkana mbele za Baba yangu,, anamanisha huko mbinguni nae atakukana.
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Maneno Ya Yesu..chochote muombacho ombeni kwa jina langu naami ntamsihi Baba yangu wa mbinguni atawapa!!!! Je kati yenu ninani mwanae atamuomba samaki akampa nyoka?? Au yai ukampa nge??? Siwezi bila Yesu mimi si chochote bila Yesu.
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 ooh sawa saiz nimekuelewa..bila Yesu ni bureeeeeee..watu wanapuuza
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@euniceeunice7680 kabsa
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 жыл бұрын
nimeweza leo tena💺💺🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@aminsalimali793
@aminsalimali793 3 жыл бұрын
Safi sana davistar Mungu akubariki
@oduoratieno2613
@oduoratieno2613 3 жыл бұрын
OmG every step of this story is so painful and made my tears drop
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 3 жыл бұрын
It hurts really. Hope every parent will think twice before leaving the child behind
@nusaebahkeis6774
@nusaebahkeis6774 3 жыл бұрын
Aliesikia viuno 2 tuungane
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 3 жыл бұрын
duh dakika 2 tu watu kama wote
@chazgunda5823
@chazgunda5823 3 жыл бұрын
Camera man ni kilaza kwel kwel kila sku anaelekezwagwa kitu kimoja tu🥴
@adamnasango1743
@adamnasango1743 3 жыл бұрын
😅😅😅😅
@tonywambua9505
@tonywambua9505 3 жыл бұрын
Still following up no matter what
@kautharmickidad1698
@kautharmickidad1698 3 жыл бұрын
Namba 3
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera
@shristinangitu2607
@shristinangitu2607 3 жыл бұрын
Stor hinasisimuwa sana
@susannyamwitha1354
@susannyamwitha1354 3 жыл бұрын
Watching from Kenya, came Kenya tujuwe kama Kuna wachawe
@sultanaswaleh4708
@sultanaswaleh4708 3 жыл бұрын
Kenya hatuamini mambo hayo.japo yako huko vijijini,sehemu za likoni.kuendelea hadi tanga.loo ¡ lkn TZ mwisho...story INA bamba
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
@@sultanaswaleh4708 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣likon tena tobaaaa mbona Niko hapo nasioni jamani
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
Ukitaka utaona tuu .
@peterdaniel9050
@peterdaniel9050 3 жыл бұрын
Afrika yote inauchaw ila kunakuzidiana
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
@Aida Khamsa hakuna inch ambayo hakuna uchawi dunia ximaa Kuna uchawi
@reubenlameck6225
@reubenlameck6225 3 жыл бұрын
Sehem ya 18 please
@oscarlemamaringo8081
@oscarlemamaringo8081 3 жыл бұрын
Mambo ni moto hii story ni nzuri
@badymsuya6093
@badymsuya6093 3 жыл бұрын
Dah yeah
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
Eeeeh hatariiii na nusu davista asante sanaaa
@alexjos7625
@alexjos7625 3 жыл бұрын
dah inakata sehemu tata tata sanaa..dah
@joycedzuya2330
@joycedzuya2330 3 жыл бұрын
Davistar tiririsha story baba usijali kuhusu bundles tumeweka Wi-Fi kwa ajili yko wacha kutubania
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Leo mapema mapema kabla ya uxingizi🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭😍😍🙄🙄😍😍
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaa. Leo davistar kajitahidi
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 kabsa 💃💃😍😍🤣🤣
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@saadiaali5609
@saadiaali5609 3 жыл бұрын
Magharubi swala ya saa moja
@hamadwaziri121
@hamadwaziri121 3 жыл бұрын
Blessing davista
@jamesngalijah3710
@jamesngalijah3710 3 жыл бұрын
Tupo pamoja mr mata
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Davis's anapenda mijimama hahahaaa uwiiiii
@justooluoch2468
@justooluoch2468 2 жыл бұрын
Ukosefu wa 'atmospheric pressure' ndio inasababisha kutosikia njaa. Inje ya sayari ya dunia yani baada ya maili 500 kuenda juu angani haipo na pia ndani ya ulimwengu wa kiroho pia " atmospheric pressure" haipo.
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Genius Zabron
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
davi hapo ndo maana nakupenda frm kenya wacha tuendelee
@marymary6758
@marymary6758 3 жыл бұрын
Muendelezo pleaz davister
@mussamgonda8953
@mussamgonda8953 3 жыл бұрын
stoli imenoga sana kk
@gharibislam1586
@gharibislam1586 3 жыл бұрын
Jamaa yuko sawa na story
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
dav ee kweli jamani ungekuwa ww ungechagua wamama wacha zako shombeshombe tosha
@happinesshezron9862
@happinesshezron9862 3 жыл бұрын
Leo nimewahi wa 10
@faustinaalukungu8511
@faustinaalukungu8511 3 жыл бұрын
🙏
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 3 жыл бұрын
Saa nxingine Zablon wafurahisha ati binti wakishobe
@mariamshabani6853
@mariamshabani6853 3 жыл бұрын
Asente Sana
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 3 жыл бұрын
Davista unapenda ma mmama kumbe
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Sio swala ya saa moja ni swala ya Insha inaswaliwa saa mbili kasoro. By the way kupitia hizi story nimejifunza ni vizuri kuweka kinga ktk nyumba zetu ili viumbe wanabaya wasiingie hata ktk vipando vyetu pia.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Pia kusema bismillah kabla ya kula na kabla ya kuanza chochote. Maana utakula na mashatani
@mariamripiti2137
@mariamripiti2137 3 жыл бұрын
❤❤
@popoali6641
@popoali6641 3 жыл бұрын
To day is number one
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera
@sheikhaalmandhari125
@sheikhaalmandhari125 3 жыл бұрын
Twende kazi
@babyboss2886
@babyboss2886 3 жыл бұрын
Nmefika kwa mpigoooo
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 3 жыл бұрын
davi ungetuma hata 3 dabo
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaa
@allykibabe8182
@allykibabe8182 3 жыл бұрын
Kalikuwa qazur daaah..hii
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Maswali ya Zab kwetu ni faida tunapata darasa kuhusu sir za shetan,
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
Hii story nahisi natazama move Netflix walahi maana na imagination hatar😉😂
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
Munakula Alf muda wa kunya unanawaje wewe 🙊
@ochuboysosman8376
@ochuboysosman8376 3 жыл бұрын
Leo 4
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Huwa siachi kuwaombea wasafiri wote..na wagonjwa mahospitalini na waliopo nyumbani..Damu ya Yesu iwe juu yao.
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 жыл бұрын
Damu yayes ilikua lita ngap?
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
ally nikama chemichemi ya bahari haikauki wa haishiii....Jiulize na ujijibu majini wachawi wanaliogopa jina na Damu ya Yesu ww ninani hadi unalikejeliii??
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@suleymanally4729 😂😂😂😂😂
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 itakua ilikua mapipa elf 10.maan kaaah!! Ntuach kdg kila mmoj kwadam hahah dam ipi hio isiokauka? Mnamuonea t
@bintimrope
@bintimrope 3 жыл бұрын
Ulimwengu na maajabu yake 🙄🙄
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@patrickmngongo6767
@patrickmngongo6767 3 жыл бұрын
Wapili leo
@saidjuma25
@saidjuma25 3 жыл бұрын
kazii ipo poaa sana
@babymkuya359
@babymkuya359 3 жыл бұрын
😍😍😍
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 3 жыл бұрын
Je, ni kweli wale watu wamekatwa ndimi?🤔🤔🤔 Ya tisha!! Mungu atuongoze😓😓😓😓😓
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Hahaaaa twede adi 20 nko sawaaa
@reubenlameck6225
@reubenlameck6225 3 жыл бұрын
Duh hatariiii sana
@reubenlameck6225
@reubenlameck6225 3 жыл бұрын
Mhendelezo please
@aminaismail4221
@aminaismail4221 3 жыл бұрын
Heee nimewahi kidogo watu hamzimi data na wifi
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 3 жыл бұрын
Tuko pamoja bado nafwatilia,ushuhuda mzito sana 🇰🇪
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 жыл бұрын
Kumbe vitu vingi duniani vinatoka kuzimu. Mungu tutetee waja wako.
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Kaka davistar nawee ss amchague mmama wann anachukua saizi yake
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Da vista inaonesha unapenda mijimama .ile minofu nofu mili mikubwa
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo
@mohdnasser894
@mohdnasser894 3 жыл бұрын
tangu mlipo towa story hiyi neipenda sasa
@maryamevarista9473
@maryamevarista9473 3 жыл бұрын
Eti mungu anaitwa jamaa kweli😅😅😅😅😅
@happyoshea
@happyoshea 3 жыл бұрын
Davista safari hii umetuweza mzee baba 😂. Zile story nyingine zilikuwa zina vumilika ila hii na ya Juliana zimetukalisha kimyaa muda wote tupo KZfaq
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@daudimziwanda9536
@daudimziwanda9536 3 жыл бұрын
Ya juliana ni ipo hiyo
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 жыл бұрын
Leo ntalala kweli😭😭😭
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
Sasa davista ingekua wewe unge chukua jimama naakati kuna mabinti😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@jangombeboys4536
@jangombeboys4536 3 жыл бұрын
💪💪💪
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Wachaaa weeee round mbili 🤣🤣🤣😃
@ericklukumay1777
@ericklukumay1777 3 жыл бұрын
Nimekula ugali dagaa nikashushia na story ya gamboshi sasa Niko vzr nasubiria cha jion nishushie na gamboshi nilale
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Duh nakuonea donge.
@djbless6201
@djbless6201 3 жыл бұрын
😋😋😋
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Ooh ndio maama yule mganga akakatwa kofi na kivuli kumbe ndio kilikua kina kusaidia
@halimaaa3860
@halimaaa3860 3 жыл бұрын
😁🔥🔥🔥
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Hadi train inatumia kuni kweli kuna mambo chini yajua
@livefilms4468
@livefilms4468 3 жыл бұрын
apo sasa nlisubiria hio no 18 sana naona imedunda
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Watu wako fast sanaaaa duu zablon kajua kutunyoosha
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Kabsaaaaaa
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@alphonceatanas7863
@alphonceatanas7863 3 жыл бұрын
Wanaita denda
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 102 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 33 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 16 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
0:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
貓咪 小鬼當家🎮🔫🚑 #aicat #shorts #cute
0:41
Cat Cat Cat
Рет қаралды 26 МЛН
Czn Burak vs Argenby Which sigma is better?
0:19
ARGEN
Рет қаралды 14 МЛН
He Used All The Sauce On 1 Slice Of Pizza🤪😂
0:12
BorisKateFamily
Рет қаралды 38 МЛН
Waka waka 🤣 Which video is the best 1,2,3,4? 🤩
0:13
Adani Family
Рет қаралды 6 МЛН