Mapema kabisa tupo na Mkali James. Davista msaidie kumalizia maneno mengine ambayo anakwama kuyatamka. Tunaendelea kujifunza Mambo ya walimwengu na Ulimwengu 🙏🙏🙏🙏
@pamellahmark48223 жыл бұрын
bro James Mshukuru Mungu sana kwa neema yake huko mzima
@ntulikasunga35483 жыл бұрын
Jamaniii hii dunia 😭😭😭Mungu ni mwema sana kwako kakaangu alikujua,,alikuchagua,mwishie Muumba wako siku zote za maisha yako atakuonyesha kusudi lake lakukuacha hai pamoja na changamoto nzito na ngumu ulizozipitia babaangu
@saidhamad5333 жыл бұрын
Davi uwe unamsaidia kumalizia maneno ndio inamsaidia ata yeye kumaliza neno
@ombeniyohane34303 жыл бұрын
Tupo pamoja toka Cape town
@saramichael3973 жыл бұрын
Jiatahidi kumsaidia kumalizia maneno dav
@saidabdalla89963 жыл бұрын
Kaka Mungu yupo pamoja na wewe
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Alhamdulillah w kwanzaaa😀😀🤗🤗🇪🇭🇪🇭
@mouwanahamisi82163 жыл бұрын
Like zenu Kwa wing sas Leo nmewahi DK za mwanz
@lilianluhasi50533 жыл бұрын
Basi kaka kweli inauma Lakini Mungu wetu aliye hai anakupenda Sana ndiyo maana uko hai, Nisamehe huyo aliyekutupa, na Mungu atazidi kukupa thawabu, Mungu azidi kukubariki kaka katika jina la Yesu Kristo
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
msaidie kumalizia maneno dav
@mamayao98163 жыл бұрын
Kweli ndio maneno iweze toka haraakaa
@mozacc62683 жыл бұрын
Pole pengine wazee wako waslam . kaka mungi akufanyie wepes
@olphamoraa66833 жыл бұрын
Tamaa mbaya sana mungu wangu kakangu mungu anakupenda sana
@hadijashabani8903 жыл бұрын
Da unyama umeanzaa zamani sana pole sana bro
@salmadhiab26933 жыл бұрын
Davista msaidie mie nahisi kama pumzi zinanibana msaidie japo maneno ya mwisho mie nahisi nabanwa na pumzi maskini anapata tabu ww vp hapo davista mie nahisi sitoikamilisha stori ananitia imani sana roho inaniuma nahisi kama anaumia kigugumizi chake kikubwa kunawengine kidogo cha kawaida lakini cha jamaa dah pole kaka ishaallah mungu atakuuondolea amin
@azizahamisi73493 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 pole my ata mm bado niko sehem ya pili bado naumia naona sitamaliza leo
@Sarah-hl9lr3 жыл бұрын
Hii story ikona hisia jamani sijui ni mimi pekeangu
@dotahamad66403 жыл бұрын
Tupo wengi tuu 😭
@Maryam-yt8lw3 жыл бұрын
Pole sana mungu atakusaidia zaidi lakin kaka msaidie mengine anapata tabu jaman huoni huruma
@bebebebe56773 жыл бұрын
Duuh pole san kijana ila mungu bad alikua anakuitaji
@suzansimon52963 жыл бұрын
Ctry yahuyu Kaka nmeupenda Ila naomba niishie hapa simuelewi
@venahsithole64633 жыл бұрын
Mungu acha aitwe Mungu
@twalibunasoro25393 жыл бұрын
Allah atustiri
@rosemarry20203 жыл бұрын
Story ni nzuri sana alafu inatia uchungu sana sanq
@athumanmakale82213 жыл бұрын
Weee achaaa tuu
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Mungu yupo 😭😭
@lilianluhasi50533 жыл бұрын
Hakika kaka Yesu Kristo yupo nawe, anakupenda Sana, usimwache jina la Bwana lihimidiwe
Davi Ebron angeandika tu kisha utusomee ' anapaya tabu sana jamani
@ednajeremiah86713 жыл бұрын
Inauma jamani
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Pole saana bro
@apazmunisi21333 жыл бұрын
MUNGU AZIDI KUKUSAIDIA KAKA JAMES
@tututz1003 жыл бұрын
star
@hdggu67923 жыл бұрын
Mbona kaka Jemsi anafanana na anko mstafuu jamanii mmmmm🤭😔😔
@awadhially37533 жыл бұрын
Mungu mkubwa wa kila Jambo
@moem36283 жыл бұрын
Davista msaidiye maneno uyo jamaaa akikwama swa
@princelb94233 жыл бұрын
pow sana
@kiri58073 жыл бұрын
itakuwa hawa ndio walosababisha ajali ili mama afe . mh uncle mkorofi ajabu . kamuuwa mama sasa anataka kuuwa mtoto .
@princelb94233 жыл бұрын
nice
@reginamrossoa70093 жыл бұрын
Davista muulize kma ameoa
@salmadhiab26933 жыл бұрын
Hili nitatizo kubwa polesana kaka yangu
@jotafungo46223 жыл бұрын
Hatari sana duniani
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@salumsamesame17413 жыл бұрын
MUNGU ALISIKIA MAOMBI YAKO NDUGU , YU PAMOJA NASI
@shenjamamzingi79503 жыл бұрын
💖👂
@pili37503 жыл бұрын
Kila nikimsikiliza nalia 😭😭😭😭😭😭😭😭
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@sweetie6934pia mie😥😥😥😥
@evedoris94693 жыл бұрын
Duuu inasikitishaaaa
@salumsamesame17413 жыл бұрын
MUNGU MKUBWA , AMINI NAYE ATAKUWA NAWE
@karrolleschon39863 жыл бұрын
👍🇰🇪🇰🇪
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
watu wngu njooon mambo tayar❤❤🇪🇭🇪🇭
@bintimrope3 жыл бұрын
Upo fasta sana kipenzi
@IGL-x1d3 жыл бұрын
@@bintimrope Nakwambia wngu🤣🤣❤❤
@IGL-x1d3 жыл бұрын
@@bintimrope za mdaa huu wngu❤❤❤❤🇪🇭🇪🇭
@bintimrope3 жыл бұрын
@@IGL-x1d salama my vipi upo pouwaa weye??
@bintimrope3 жыл бұрын
@@IGL-x1d 😃😃😃😃
@florencerose8593 жыл бұрын
Ukiwa Rev. Sister akuna mambo ya tendo ya ndoa umekiapa
@aminaally8633 жыл бұрын
Mnamkosea sana mungu
@florencerose8593 жыл бұрын
@@aminaally863 kila dini na sheria zake atamungu anajua hilo sheria wameweka kulingana na imani ya wo
@aminaally8633 жыл бұрын
@@florencerose859 nipo adiko liloandikwa kwenye bible watu hawaruhusiwi baadhi ya watu wasizae na wakati imeandikwa nendine mukazaliane dunian muongezeke achani kupotoxhwa na wazung nyie kila
@florencerose8593 жыл бұрын
@@aminaally863 wewe jaza ndunia hakuna mwenye amekukataza pole kila mutu na imani yake ya kidini yake bass tusipite hapo