People are passing through a lot 😢💔 Mungu akuweke davistar uzidi kutuletea story za maisha ya watu
@user-nt4bl1hn9wАй бұрын
Tunao comment baada ya kuskiliza story tujuane 😅
@LamaribamJumbe14 күн бұрын
Mie Apo
@deadcrushАй бұрын
Welcome back.
@nurnuryg1525Ай бұрын
Davister juu juu juu zaidi
@josephjames4587Ай бұрын
Ngoja nikae mkao wa kusubil mwendelezo
@Irenes_KitchenАй бұрын
Wa kwanza na mtu asiguse comment yangu😂❤
@emanuelngomano535712 күн бұрын
Jaman, naashaur, tuwe tunamchangia 1000, kila mwezi ili apate furaha kuwa familia tunajali anachokifanya
@naomicharles54443 күн бұрын
Amekwqmbia hana furaha😂😂
@kahindiwanje90Ай бұрын
Welcome back 👊👊
@user-nu3ud7ws9bАй бұрын
😂😂😂😂😂😂ndiyo akarudi bila abilia ndugu yangu
@EdwardMangweАй бұрын
Davista Sauti ya msimuliaji ipo chini
@vinchystyles16758 күн бұрын
Stori ikinoga watu hawatoi commet mbov!
@AgustinoKinyagaАй бұрын
Tafadhari Naomba mawasiliano ya uyo jamaa we have same kesi
@user-op4ue1sm9xАй бұрын
Tuliku mis sana mkuu wetu davista
@joymkenya2359Ай бұрын
❤🎉nice one
@eliyamadey5764Ай бұрын
Great 👍
@bakari-si1pwАй бұрын
Safi sana tuko pamoja
@kilogreekachananawatuwasio4054Ай бұрын
NIMEIKULI STORY MZURI SANA YA KUWAELIMISHA VIJANA WENGINE BRAVO 👏GARAMA ZOTE ULILIPA PESA NGAPI????
@florencerose859Ай бұрын
Fisi alikosa abria akarudi bila🤣🤣🤣Mr facts
@user-hi8le2vb7zАй бұрын
AKILI ZIKIPOTEA KIDOGO UKIONGEZA NA TAMAA..WE BAS TENA....MIAKA 40 50 MI NAKUBALI NIKIJUMLISHA NA UMR WANGU WA SASA MANAKE NAFIA UZEEN SO MBAYA...ILA SIO MIAKA 7