PART24:MCHAWI HASSAN TOKA KIGOMA ALIEUA WATU NA KUWAFANYA MISUKULE NA KUIUZA/NYAMA ZA WATOTO/NIMEUA

  Рет қаралды 8,677

Davistar Mata Media

2 жыл бұрын

Пікірлер: 161
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 2 жыл бұрын
Amina Amina Mchungaji Meshack, Jina la Mwokozi Yesu ndo jiya ya Uzima peke 🙏🏾🙏🏾🙏🏾♥️🇰🇪
@elizabethmbugua7701
@elizabethmbugua7701 2 жыл бұрын
I like this guy May the Lord keep him and watch over him.
@jacquelynegaspar2865
@jacquelynegaspar2865 2 жыл бұрын
cgjmb,m,c
@damarisnjeri7820
@damarisnjeri7820 Жыл бұрын
Amen
@happytz6190
@happytz6190 2 жыл бұрын
Damu ya Yesu ikufunike meshack sikù zote za uhai wako tuombe uzima sikù moja nitatafuta unihuburi habari njema
@irineochieng2455
@irineochieng2455 2 жыл бұрын
Mungu wetu aachilie ulinzi ju yako uendapo uingiapo! Hakuna mipango ya giza itafaulu ju yako Meshack🔥🔥
@linetm5356
@linetm5356 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka Meshack kwa kutuelimisha na pia sheby thank you for whatever you're doing may God protect you in all ways.
@happynesskimt6249
@happynesskimt6249 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ukimuomba kwa lugha yoyote Ile anaisikia;Na Sio kiarabu pekee, nazan I tumeelewana 😇
@deodatusmaliti7790
@deodatusmaliti7790 2 жыл бұрын
Amina Meshack asante sana tunajifunza mambo makubwa sana atukuzwe Yesu Kristo aliyekupatia wokovu wake.
@jossyayielo7576
@jossyayielo7576 2 жыл бұрын
Mungu akuwekee ulinzi wa kutosha......tuelimishe zaidi.....asante🇰🇪🇰🇪
@timjones6344
@timjones6344 Жыл бұрын
Jehovah awalinde watu wa Mungu mnapoendelea kujuza watu elimu ya kiroho.
@emmyfountain6825
@emmyfountain6825 2 жыл бұрын
Acheni Yesu ajivunie watu wake Mungu tulindie Mtumishi wako Meshaki.
@dallasabinchar5128
@dallasabinchar5128 2 жыл бұрын
Cheikh yusuf diwan ame weka wazi tena step by step uongo wa uyu jamaa naomba watu wataka kuelimika kweli wa endeni channel KZfaq ina jina lake ni cheikh yusuf diwan
@upendoluv7197
@upendoluv7197 2 жыл бұрын
Hyu mwamba Ni Mashine Aisee nahisi Namuelewa ngoja niendelee kumsikiliza
@drnow1528
@drnow1528 2 жыл бұрын
Shetani ana uwezo wa kuanzisha madhehebu
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Siku za mwisho Siri za giza zitawekwa wazi Ili wengi wajue
@veronicaseiyo4057
@veronicaseiyo4057 2 жыл бұрын
Davistar munguvakuzidishie na akufanyie wepesi kwa hii Kazi. Hii ni kujitolea kuokoa watu kwa neema ya mungu tu
@farahmohammedpretty8281
@farahmohammedpretty8281 2 жыл бұрын
Safi mr davista no moja likes zije basi
@linahmwende8397
@linahmwende8397 2 жыл бұрын
Pamoja sana Meshack na David
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
👍
@harunsarafu508
@harunsarafu508 Жыл бұрын
Kwa Maana hiyo Islamic sio Dini ya Mungu ni ya Majini wana takiwa kukombolewa kwakweli na Damu Ya Yesu kristo kiboko ya Majini
@africaauntheticcivilizatio6985
@africaauntheticcivilizatio6985 2 жыл бұрын
Meshack no msomi Sana Mungu alimuandaa kwa ajiri ya kukomboa watu
@josephkibona7921
@josephkibona7921 2 жыл бұрын
Mjadala ni mkali! story inatuongezea maarifa namna ya kumfahamu mungu
@admerarobert3485
@admerarobert3485 2 жыл бұрын
Bwana YESU akubariki Sana Mtumishi meshack nakukumbuka Mahonda Zanzibar ulipokuja kutoa neno kwenye kuchangia Kanisa letu
@damarisnjeri7820
@damarisnjeri7820 Жыл бұрын
Davistar asante kwa hii.platform yako lakini ukweli usemwe Yesu ndio njia ya pekee
@winifrida8641
@winifrida8641 2 жыл бұрын
Wakwanza🔥🔥
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 2 жыл бұрын
Roho wa Mungu ataachiliwa juu ya ulimwengu na kila lililoko kwenye ngiza litawekwa wazi hakuna mafumbo ambayo yatabaki tumbu na kuiamini injili ya Yesu Kristo kiama kipo karibu
@marianachriss2444
@marianachriss2444 2 жыл бұрын
Haleluyaaaa Haleluyaaaa litukuzwe milele Jina la YESU KRISTO
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 2 жыл бұрын
@@marianachriss2444 Amina
@linetm5356
@linetm5356 2 жыл бұрын
Amen and glory be to God
@lydiaedwin3998
@lydiaedwin3998 2 жыл бұрын
Mara nyingi nasikiliza story za watu Ila Leo nimebaini umuhimu wa hiki kipindi . Mungu awalinde Meshack na Dav
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 Жыл бұрын
Meshack mdogo angu fungua kabisa bas💚💚
@oduoratieno2613
@oduoratieno2613 2 жыл бұрын
Wow l learn a lot through this channel
@estasage498
@estasage498 2 жыл бұрын
Mishale yao waadui kwa ajili yenu iwarudiye kwa damu ya mwana kondoo. Amen
@mahomamahoma775
@mahomamahoma775 2 жыл бұрын
Aisee nachukia sana jmaaa anaelezea vituu,wew una interrupt,anaachaa kuelezea anachoelezea anaanza kukujib ww tena ww unampoteza, tulia jamaa aongee,ukitaka kuuuliza andika maswali utayauliza mwishon,lengo lako unataka ubalance stori lakini sio kwa hivyo unavyoenda,kwa dizain hii itaenda mpka episode ya 200,soma comment zetu
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Uneona eee. Yaani Davista anaenda nje ya topic sasa anamchanganya huyu kaka. Uliza maswali mwishoni jamani Davista please
@jamesrichard54
@jamesrichard54 2 жыл бұрын
Nakubari kama unamwelewa mechack Naomba like zenu twende sambamba
@jeffmulei8895
@jeffmulei8895 2 жыл бұрын
hanaye mpinga yesu ndiye kaviri
@drnow1528
@drnow1528 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe
@upendoluv7197
@upendoluv7197 2 жыл бұрын
Ni kweli Majini wanaingia Msikiti..Munakumbuka Mnyeshani aliambiwa akitoka tu msikitini aite Jina mwenye jina ataitika amsaidie ambae Ni jini
@nickolousrajabu5001
@nickolousrajabu5001 2 жыл бұрын
Mungu akulinde akutunze mchungaji meshaki
@linkreuben3108
@linkreuben3108 2 жыл бұрын
Jamaa anaelimu kubwa hadi raha! Waislamu wamepigwa changa la macho; wanamwabudu lusifa bila kujua!! ASANTE YESU KWA KUOKOA MAISHA YANGU! AMENI, I!!
@marrypius576
@marrypius576 Жыл бұрын
Yesu apewe sifa
@dearmassawe58
@dearmassawe58 2 жыл бұрын
Hivi ni kwaninii watu wengi wanaosimuliaga kuhusu hayo mambo ya kichwawi huwa wanabehua😂😂
@peterngeri9442
@peterngeri9442 2 жыл бұрын
mutumshi ubarikiwe zaidi hufatilia mafundisho mazuri una ufahamu mkumbwa ukiongozwa na Roho mtakatifu uliovu muelezea yesu na Roho mtakatifu MUNGU kwa umbo la mwanadamu ndio maana YESU akasema na kondoo wangu ninao wasiokuwa wa zizi hili
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 2 жыл бұрын
Tangu umeanza Mikasa sijasikiza Mkasa mzito na unamafunzo mazito na yamafunzo kama haya real eye opener
@abeidmohamed2100
@abeidmohamed2100 2 жыл бұрын
وَٱلَّذِيٓ أَوۡحَيۡنَآ إِلَيۡكَ مِنَ ٱلۡكِتَٰبِ هُوَ ٱلۡحَقُّ مُصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيۡهِۗ إِنَّ ٱللَّهَ بِعِبَادِهِۦ لَخَبِيرُۢ بَصِيرٞ (Ali Muhsin Al-Barwani) Na hayo tuliyo kufunulia kutoka Kitabuni ni Kweli yenye kusadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Hakika Mwenyezi Mungu kwa waja wake ni Mwenye khabari na Mwenye kuona. -Surah Fatir, Ayah 31
@oduoratieno2613
@oduoratieno2613 2 жыл бұрын
Thank u mchugaji
@driftdumper8927
@driftdumper8927 2 жыл бұрын
Huyu Meshark anaelewa uislamu nje ndani sidhani Kama Kuna mtu anaweza kumshinda!! Maana anauchambua vilivo
@marianachriss2444
@marianachriss2444 2 жыл бұрын
Tena Sana , BWANA YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli na hapana mwingine Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa
@asiimweperfect7053
@asiimweperfect7053 4 ай бұрын
Damu ya yesu ikufunike meshack
@violinenyakara5028
@violinenyakara5028 2 жыл бұрын
Nimetazama vipindi vingi vya Davista moto, ila ya Meshack ni moto zaidi, sababu anaeleza ulimwengu wa kiroho vizuri na kwa uwazi, ananukuu vifungu kwa Bible na Quran vizuri kabisa Mungu akwezeshe uendeleze injili mbele Kila ulimi utakiri Yesu ni Bwana, wasiojua washike hilo
@zakiarama9842
@zakiarama9842 2 жыл бұрын
Sio kweli mungu ukimuomba kwa lugha yoyote anakulinda maaana hata hizo lugha kaleta yeye
@igurusitv6553
@igurusitv6553 2 жыл бұрын
Sasa kwa nini uislamu ni lazima ibada ifanyike kwa kiarabu tu?
@igurusitv6553
@igurusitv6553 2 жыл бұрын
@@benjathekingofficialshows 🤣🤣
@beatricearon6439
@beatricearon6439 2 жыл бұрын
Uje uwahoji wote mazige na meshark💪
@macamezunguzungu5584
@macamezunguzungu5584 2 жыл бұрын
Namba 3 bora💪
@matukicmagere3331
@matukicmagere3331 2 жыл бұрын
Yes
@benedictormaduhu9041
@benedictormaduhu9041 2 жыл бұрын
Davista unaforce Sana kuongelea uislam uliza mwaswali yatakayoleta majibu ya maisha aliyoishi akiwa mchawi na maisha yake baada ya kuokoka unamyumbisha Sana
@peninahmwangi5098
@peninahmwangi5098 2 жыл бұрын
and the truth well set you free
@drnow1528
@drnow1528 2 жыл бұрын
Tuwe macho ndugu zangu
@amiruwezo4960
@amiruwezo4960 2 жыл бұрын
Waulize Wenye elimu sio huyo sawa
@florencerose859
@florencerose859 2 жыл бұрын
Ndulele kumbe inakazi nyingi sana😃😃
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 2 жыл бұрын
Sana mkuu hata Mimi nimeitumia sana kwenye biashara wakat huo ni mdgo naniliambiwa nikinga dhid ya chuma ulete naniliamini ina fanya vzur
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Juma Njemba alikuwa mchawi Mkubwa sana kigoma
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Davista andika maswali uulize mwishoni kama unavyofanyaga acha mtumishi atupe ushuhuda maana tunapoteza story mara unapomuingilia. Note that
@plastidiacasmiry2234
@plastidiacasmiry2234 2 жыл бұрын
Mmh ... nazidi kujifunza!
@sakshidijadijajuma2714
@sakshidijadijajuma2714 2 жыл бұрын
ndiyo wape ya kwao meshack sheh gani badala ya kuelimisha et anatukana alafu hajibu hoja yeye ankosoq matamsh tu kumbe hoja ndo izo izo mung akulinde
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 2 жыл бұрын
kuna mtu anaitwa sheikh, diwani msearch hapo youtube uskie anavokosoa mtumish mesharck, na anadai kuna baadhi ya maneno mesharck anayatamka lakin hayo maneno hayapo katk lugha ya kiarabu wala hyo kuran, sasa yy anayatoa wap, ingawa mwisho nmemdharau huyo shehe kwa kusema kuna majin mazuri na majin wabay a
@sakshidijadijajuma2714
@sakshidijadijajuma2714 2 жыл бұрын
nilisha mskiliza we mskilize vzr ansem hytamkwi ivyo ila n hyo hyo alfu hpngi hoja ankosoa matmsh
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 2 жыл бұрын
💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hillarykirui4257
@hillarykirui4257 2 жыл бұрын
bombshell
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 2 жыл бұрын
kurudi kwa Yesu
@peter-tj6oo
@peter-tj6oo 2 жыл бұрын
Huyu kweli balaa
@mercylynmasila1258
@mercylynmasila1258 2 жыл бұрын
Leo ni mechelewa but tuko pamoja mbarikiwe
@reisezone4574
@reisezone4574 2 жыл бұрын
sasa ndio nimeelewa kwanini uwa mayai huwa yanatumika kwenye uchawi kumbe ndio maana yake hiyo duh aisee balaa
@sabinakawembe601
@sabinakawembe601 2 жыл бұрын
6
@MishiPapalan
@MishiPapalan 2 жыл бұрын
Dav umeishiwa sasa ivi huna kazi ndio mana unaleta udini
@saidessry9942
@saidessry9942 2 жыл бұрын
natoa challenge kwa wakristo wote wanipe dalili inaonesha quran ukiisoma unakuwa karibu na mashetani au ni kitabu cha mashetani pili dalili kwamba uislamu si dini ya mungu kisha wanipe dalili inayoonesha biblia ni kitabu cha mungu dalili inayoonesha ukristo ni dini ya mungu dalili kwenye biblia yesu anasema yeye ni mungu
@saidessry9942
@saidessry9942 2 жыл бұрын
Ndio mana wanajifanya kama hawajaiona waache wakaulize sijui lini watapata jibu
@bantusworshipingpraisingan4294
@bantusworshipingpraisingan4294 2 жыл бұрын
Davista unampoteza mtumishi wa Mungu kuongea hunampoteza Aki flow kile anachoongea. Jifunze kuonji vizuri please. Jamaa yupo vizuri sana. Please mwache aongee atiririke vizuri husimkatishe.
@amosjblack9614
@amosjblack9614 2 жыл бұрын
Wa 12 leo 🇰🇪 🇦🇪
@saadahiddy8789
@saadahiddy8789 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uyu jamaa mungu amsameeh dah
@rab792
@rab792 2 жыл бұрын
Huyu Jamaa Mtaftie Mazingee Kishkii sio Saizi Yake
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 2 жыл бұрын
alikuwa mchawi uyu ajajificha kwenye dini
@lilhydon452
@lilhydon452 8 ай бұрын
Huyu jamaa ni mwarabu mweusi alieokoka
@raphaelkirumbi1342
@raphaelkirumbi1342 2 жыл бұрын
Sorry kwamba Mhojiwa yuko vizuri sana ila anayehoji ni Shiiidaaaa
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 2 жыл бұрын
Davistar mbona wamakonde wamekukaa Sana
@godlovem7139
@godlovem7139 2 жыл бұрын
Davista kuna MTU anasema unatumia maji ya Ray eti kweli??
@kingmayadhamuke
@kingmayadhamuke 2 жыл бұрын
Kila msilamu ana malaika mwenye anamlinda nasio jinni
@angel-eg8ig
@angel-eg8ig 2 жыл бұрын
Brother ungeongelea zaidi kuhusu uchawi wako na uokofu wako ungefurahisha wengi, haya mengine unajichanganya na kutuchanganya hadhira
@deodatusmaliti7790
@deodatusmaliti7790 2 жыл бұрын
“Ukiwa msomi sana wa Qur’an utakuwa karibu sana na maruhani”-Shekhe Meshack. Asante shekhe…
@saidessry9942
@saidessry9942 2 жыл бұрын
nipe ushahidi ukisoma quran unakuwa karibu na Allah nakupa ushahidi hakika tumeiteremsha hii quran kuwa shifaa na rehma kwa waumini..... hakika ya allah yupo karibu na waja wake wema wapi quran inasema ukiisoma unakuwa karibu na mashetani kinyume chake ukiisoma quran ina kuweka mbali na mashetani
@joycemushi725
@joycemushi725 2 жыл бұрын
😁😁😁
@deodatusmaliti7790
@deodatusmaliti7790 2 жыл бұрын
@@saidessry9942 Shekhe Hassan ameweka wazi sana jambo hilo, njooni kwa Yesu kuna uzima wa milele.
@brendajadevera9597
@brendajadevera9597 2 жыл бұрын
Jee na ukiwasha tuu ubani for fun does it means unajiconnect na majini?
@johalisemalima6979
@johalisemalima6979 2 жыл бұрын
Khadith sahih Muslim 2814a book 52 hadith 62.... kila muislam anajini shetani.... khadith hiyo hapo
@jumajuma831
@jumajuma831 2 жыл бұрын
Mmmmmmmmmmh
@sasamama7934
@sasamama7934 2 жыл бұрын
Ahli adiyar ni watu walio fariki ndio wanaitwa ahli diyar sio watu wa mwisho
@interiorpaintingdesign9307
@interiorpaintingdesign9307 2 жыл бұрын
bana mtumishi meshark itabidi nikutafute maana kuna mwislamu ambae nilimfanyia kasi na tukasumbuana sana tangu wakati huo nasumbukana sana. mara mikosi hasara.
@MishiPapalan
@MishiPapalan 2 жыл бұрын
Uisilamu ni dini na dola ukirsito ni dini na firmasoni nenda kacheza kwaya kanisan unaelekea unajuwa sana kunengua hasani
@igurusitv6553
@igurusitv6553 2 жыл бұрын
Pinga hoja kwa hoja, unatofautishaje uislamu na Dola? Jifunze usiwe mahamuma 🤣🤣🤣🤣
@rebound2179
@rebound2179 Жыл бұрын
Kweli kabisa, Quran ilikuja miaka elfu kukanusha Biblia, na kutunga hadithi mbadala(za uwongo) ilhali waandishi wa Quran hawakuwa hata wamezaliwa matukio ya Biblia yakitokea!😂😂😂😂😂😂😂
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 2 жыл бұрын
kama huyo mchawi mkubwa alikufa Yesu anamlinda vip na pengine kaenda jehanamu
@millyaketch4968
@millyaketch4968 9 ай бұрын
Asifiwe yesu davisttar,uyu jamaa yuko sawa ,lakini ywaa zunguka sana mpaka ywatoka injee ya story,the story don't flow totally,
@khadijabintmohammadbintmoh8026
@khadijabintmohammadbintmoh8026 2 жыл бұрын
Huyo kapotea anataka nakupotea umma .mchawi mkubwaa
@joycemushi725
@joycemushi725 2 жыл бұрын
😁🤔
@admerarobert3485
@admerarobert3485 2 жыл бұрын
Amini Khadija maana huyu anasema yaliyoandikwa jifunze sio kusema hivyo
@abeidmohamed2100
@abeidmohamed2100 2 жыл бұрын
Biblia imetangulia kabla ya Quran ni kweli .lakin haikuja kuipinga biblia Bali kuswadikisha yaliomo.hizo
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 2 жыл бұрын
Huyo paster ni muongo Muislam siyo lazima uombe kiarabu tu hata luha yoyote unaomba huyo anataka tu sifa
@paulgaramangonyo8023
@paulgaramangonyo8023 5 ай бұрын
Ni wapi uliskia swalaa kwa msikiti kwa lugha nyingine
@florencerose859
@florencerose859 2 жыл бұрын
Huyu Hassan ni mwurabu anakielewa hii lugha sana 🤣
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@saidessry9942
@saidessry9942 2 жыл бұрын
anasukumiza tu
@benedictormaduhu9041
@benedictormaduhu9041 2 жыл бұрын
Tunatamani Sana kusikia matukio aliyopita na namna alivyookolewa wewe unamuuliza kuhusu uislam tena
@katembotv9896
@katembotv9896 2 жыл бұрын
Numéro téléphone wastp
@johalisemalima6979
@johalisemalima6979 2 жыл бұрын
Davista kwani?? Yule shekh wa mkoa wa dar alipomwambia yule shekh waliokuwa wanagombana kuwa marehemu shekh alisoma akapindishwa mdomo... je??? Yule shekh..alikuwa hasomi dua???? Jibu alikuwa anasoma.... jibu alimzidi kafara
@jamesngalijah3710
@jamesngalijah3710 2 жыл бұрын
Kule upande mwingne jamaa kasema anakupga na radi ujue
@winifrida8641
@winifrida8641 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Mungu mkubwa Mungu mkubwa
@winifrida8641
@winifrida8641 2 жыл бұрын
Kweli waarabu uwa nawaona wanasalimia kushoto na kulia pia ubani kufukiza asubuhi na jioni kila siku yani sasa mimi naelewa mana mengine nimjionea mwenyewe japo sikuwa najua nini maana
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
Utalogwa
@winifrida8641
@winifrida8641 2 жыл бұрын
@@credo7837 kumbe piya mshale umekugusa
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
@@winifrida8641 aaawap sipo huko nakuhitaji bado nakupa tahadhari😂
@winifrida8641
@winifrida8641 2 жыл бұрын
@@credo7837 🤣🤣🤣shukran ila hawawezi naamini waliwahi kunijalibu sana mwisho wa siku yule mzee wa kiarabu yeye akapata koma ghafala tu na walinichukia sana wakawa wananiita mimi mchawi wanasema kuwa usiku uwa natoka naenda tanzania basi hapo ndo nilijua jinsi gani mungu ananificha mimi
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
@@winifrida8641 🤣🤣🤣acha uongo
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Davista jamani Hebu sikiliza, yaani huu ushuhuda ni mzuri ila una maswali mengi yako nje ya topic. Kama wataka jua kati ya biblia na quraan basi hudhuria ile mikutano ya wakristo na waislamu. Acha tuenjoy ushuhuda bana. Too much non topic questions
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 2 жыл бұрын
Huyo ni njaa zinamuuma Uislam ndiyo Dini ya haki hata ukikashifu Allah tayari kisha itakasa
@tututz100
@tututz100 2 жыл бұрын
MCHAWI HASSAN
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Quran iliandikwa uislamu ulianzishwa na mapadre watano waliuacha ukatoliki sababu ya kupinga utaratibu wa kutoa mke. Historia inasema hivyo
@francismwamboi6553
@francismwamboi6553 2 жыл бұрын
Davistar huyu jamaa anakudanganya katika hizo aya..tafsiri hiyo ni ya urongo
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 207 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 35 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 102 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 16 МЛН
Difference of girls and boys when eating sweets 😂😬
0:35
VovaLika Family
Рет қаралды 13 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
0:19
PAVLOV
Рет қаралды 19 МЛН
Waka waka 🤣 Which video is the best 1,2,3,4? 🤩
0:13
Adani Family
Рет қаралды 6 МЛН
Waka Waka 😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 27 МЛН
КАРОЧЕ НЕУДОБНАЯ СИТУАЦИЯ😱🔥 #shorts
0:45
ПОПОВИЧИ
Рет қаралды 7 МЛН
Моя Жена Босс!
0:40
Petya English
Рет қаралды 9 МЛН