PART32:TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI AELEZA ALIVYOZIPATA/KILA MWEZI NAUA WATU/NIMEMUOA MAMA YNGU/MSUKULE

  Рет қаралды 22,421

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 267
@stephenkariuki8974
@stephenkariuki8974 3 жыл бұрын
Every part of this story ends in a dilemma.... Very educative big up men Davi!!
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Na tungereza twako😹
@stephenkariuki8974
@stephenkariuki8974 3 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 So what freaky in so 'tungereza'
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
@@stephenkariuki8974 😹😹😹😹😹😹😹so pain without enough English
@stephenkariuki8974
@stephenkariuki8974 3 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 mind your life and leave mine. If you don't, i'm sure something heavier than the American Rapper Rick Ross will soon fall on you....you are too tiny for me to embark you on a shopping bag and go by chewing my cane
@kingalyeko7576
@kingalyeko7576 2 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 😂😂😂😂😂😂😂
@elizanzula8375
@elizanzula8375 3 жыл бұрын
Mzee wa bakora uwanjani safi saana..
@bintkijangwa4305
@bintkijangwa4305 3 жыл бұрын
Hii dunia ina mambo kweli huruma ya Allah inahitajika
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Sana
@monirangerera7155
@monirangerera7155 3 жыл бұрын
Sana Yani asahivi ndo tunayajuwa mengi asahivi wenyewe waropoka subwanalah
@frankrobertkomba2318
@frankrobertkomba2318 3 жыл бұрын
namba 29 had 32 nmejifunza ktu,kulipza kisas sio poa kabsa unaweza kujiingza mtegon kwa mambo ya vsasi
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 3 жыл бұрын
kwel hata mm najfnza mamb meng kiukwl
@fredmramba6612
@fredmramba6612 3 жыл бұрын
Yani story hii ni nzuri Sana Ila ushetani mwingi umefanyika humu mpaka unweza Julia unwezaje kumtoa mtoto wako kafala sababu ya mali
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Kabsa maana najkuta nkiwa mganga ghafla nakarr kila step
@jamesswai6583
@jamesswai6583 3 жыл бұрын
Yan jamaa una matukio mpaka kero. Kaa Sana na Mungu.
@msalimsali6989
@msalimsali6989 3 жыл бұрын
Sasa ndio matukio yake afanyaje
@user-vb8ck9tt9o
@user-vb8ck9tt9o 3 жыл бұрын
wekeni movie itakuwa yakishua sana .nakusihi plz davister
@gracesinddy9053
@gracesinddy9053 3 жыл бұрын
inabidi tumgeukie Mungu kwa roho na kweli maana Dunia sasa Ina wenyewe mabingwa wa kuangamiza roho za watu aisey inaniuma inaniuma Sana 😢😢
@tatukizunga9107
@tatukizunga9107 3 жыл бұрын
Tumerudi tena na bakora za kimkakatii
@doreenchiragwile3424
@doreenchiragwile3424 3 жыл бұрын
Wa 17 nipeni like zangu
@jacksondanda6067
@jacksondanda6067 3 жыл бұрын
Doreen unaendeleajee kamanda la ushauri
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
hongera
@jacksondanda6067
@jacksondanda6067 3 жыл бұрын
Hebu nicheki watsp 0717410115
@sagaboymsouth
@sagaboymsouth 3 жыл бұрын
Nan kasikia neno hospital ya uongozi😂😂
@mariamnuru9939
@mariamnuru9939 3 жыл бұрын
hehee
@sagaboymsouth
@sagaboymsouth 3 жыл бұрын
@@mariamnuru9939 🤝
@nasrasway7143
@nasrasway7143 3 жыл бұрын
😁😁😁
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 жыл бұрын
Pamoja saana ulipo nami nipo🙏🙏🙏💪🇹🇿
@thewomanofsteel3970
@thewomanofsteel3970 3 жыл бұрын
Nimewahi wa11💃😁,,Tunaendelea na aliekuwa mzee wa kazi a.k.a wa kutembeza bakora za kimkakati
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Mzee wa bakora za kimkakati aangalie asijetembezewa bakora za kimkakati na malkia
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Sasa nasikiaga waarabu wanayo majini huyu dada wa kiarabu alikuwa hana majini
@josephinemumbua159
@josephinemumbua159 3 жыл бұрын
Asante Kwa story yenye mafuzo tele
@brigitharmacha4991
@brigitharmacha4991 3 жыл бұрын
Watching from 🇴🇲 Eeee Mungu tunaomba rehema kwa taifa letu la Tanzania .lete33
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
natamani kujua dereva wake alitembezewa bakora au ali nusulika 😀😀😄😀
@eliasjoel4745
@eliasjoel4745 3 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@hadijashabani890
@hadijashabani890 3 жыл бұрын
Naleo nimechelewa jamani mzee wa bakora anachapa bakora za kimkakati
@Pedeshee01
@Pedeshee01 11 ай бұрын
Yaani mimi nitaenda jamaa keshanipa ramani niwapate warembo niwachape bakora za kimkakati tu utajiri mimi sina mpango nao,wa kwanza nakutaka wewe hadijah nahakikisha nakuchapa haswaa
@lawilawi6800
@lawilawi6800 3 жыл бұрын
Magere Hilo shat la kaz nimelielewa
@agnesssanga5327
@agnesssanga5327 3 жыл бұрын
Hahahaaa
@mariamnuru9939
@mariamnuru9939 3 жыл бұрын
hhehhe
@daudijohni9644
@daudijohni9644 3 жыл бұрын
Hahahaha umejua kunichekesha
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Ukienda tena kwa Mungu bonge msalimie
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Mhindi Naye yakuchoma bakora xilimtembelea bdo anakupeleka kituoni
@ashelizakaria6306
@ashelizakaria6306 3 жыл бұрын
pamoja sana hii stories ata ukiitengenezea movie inakuwa km season hivi
@kisurangusa554
@kisurangusa554 3 жыл бұрын
Kuna bwana misosi, mussa chessa na mzee wa bakora za mikakati hawa watu watatu ni nani zaidi, kwangu naona wote wakali,
@johnassilvester1600
@johnassilvester1600 3 жыл бұрын
Huyu jamaa kazidi duhu
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Huyu noumaaaaa
@swamweliteobady4496
@swamweliteobady4496 3 жыл бұрын
Mzee wa bakola wanifulaisha kweli Kwahyo jamaa lilikua kubwa lkn Hakua na hakili
@mariamnuru9939
@mariamnuru9939 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 haezi sema alivo shugulikiwa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 haezi
@mariamnuru9939
@mariamnuru9939 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 leo umechelewa
@gerardmushi5516
@gerardmushi5516 3 жыл бұрын
haha ha
@IGL-x1d
@IGL-x1d 3 жыл бұрын
@@mariamnuru9939 eeeee😥
@benomwazembe4765
@benomwazembe4765 3 жыл бұрын
Hili balaa, Matengenezo ya gari M 12
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Barikiwa sana bro Davistar 🙏
@mariamnuru9939
@mariamnuru9939 3 жыл бұрын
Devistar yuko poa sana
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
sana
@vicentsandess1115
@vicentsandess1115 3 жыл бұрын
Leo nawaona kama wakondan hv??😂😂😂😂😂
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 жыл бұрын
me nataka zile dawa za kucharaza bakora mtu
@kisurangusa554
@kisurangusa554 3 жыл бұрын
Maisha ikaendelea, maisha ikasonga, wakileta nyodo na matharau wanapigwa bakora za mikakati,
@obillaezra6205
@obillaezra6205 3 жыл бұрын
Chessa na huyu ni Kiboko
@limajblessed7132
@limajblessed7132 3 жыл бұрын
Mzee wa bakora za mkakati
@meckylucy215
@meckylucy215 3 жыл бұрын
Sichezi Mbali story Inafundisha sna
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
Wa mwisho as usually davista big up broo tunaendelea kujifunza mengi kupitia hizi story...
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 3 жыл бұрын
Mwendelezo wa bakora za kimkakati na zakimsisimko 😄 🤣
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
Hasa wee kila mtu mkeo hawara mke mmmh huyo muhindi na jamaa wakahama wameyataka wenyewe kwanza kitendo chakumuona mtu yupo ndani kwako hujiulizi kapitia wapi huyu bado humuogopi tuuh nabado unaendelea kumfatilia
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
@@sweetie6934 👍
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@sweetie6934 kabsa
@shizaarfred4059
@shizaarfred4059 3 жыл бұрын
Hiyo inaitw mwana kulifaindi mwana kuligeti 😀😀
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
@@shizaarfred4059 😂😂😂 ote kawapa bakola zakimkakati sijui kwann alimuogopa mganga siqngemkula nae ngoja tusubiri kwa muhindi namafundi wamuhindi
@shizaarfred4059
@shizaarfred4059 3 жыл бұрын
@@kalssambaboo9932 😂😂😂Aki wataliwa
@msalimsali6989
@msalimsali6989 3 жыл бұрын
Hi real story ni nzur nainafundsha sana
@mahmoudmussa8
@mahmoudmussa8 3 жыл бұрын
Namba 1
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera
@happyfihavango4151
@happyfihavango4151 3 жыл бұрын
Unamshuru mungu yupi mnene?
@marysrevocatus1413
@marysrevocatus1413 2 жыл бұрын
Ila kumjua mke wako ni rahis, umesema anafanya kazi bank mara alifungua saloon kubwa na eneo umetaja, inabidi uwe mwangalifu vile unaexpose watu ambao hawahusiki
@saidhamad533
@saidhamad533 3 жыл бұрын
Dah! Iyo ajali ya hale ya basi la simba mtoto alifariki na shemeji yangu dah! Kwaiyo ulisababisha na kifo cha shemeji yangu😭😭
@aishabeka5562
@aishabeka5562 3 жыл бұрын
Poleee
@monirangerera7155
@monirangerera7155 3 жыл бұрын
@Said Hamad samahani nimecheka Sana ulivyo sema shemeji yako alikuwepo Ulivyo shangaa pole sana ajali nyingi za uwongo umeona sasa aropoka mwenyewe
@miriamngosha6856
@miriamngosha6856 3 жыл бұрын
Dah maskini pole mwaya ndiyo mambo ya wadamu lakini tumsamehee tu
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Shetani tuu mpendwa
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Shida ya nn kupata utajiri wa mashaka.
@idanyahmed8701
@idanyahmed8701 3 жыл бұрын
Tutengenezee grp wtsap tuwe tunalipia😄
@mariamnuru9939
@mariamnuru9939 3 жыл бұрын
hata mm niko n iyo idea
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
Itabidi Nijiunge na Whatssap
@adbulmama5065
@adbulmama5065 3 жыл бұрын
Allahu aca uyitwe Allahu kweri we ni khafuru Rahimu .kweri inasikitisha aca uyitwe Allahu yaa Allah yaa Rahmani tunusuru sisi waja wako 🙆🙆
@gerardmushi5516
@gerardmushi5516 3 жыл бұрын
asante davista
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 3 жыл бұрын
Davista, naona stori inakutesa mpaka hengachifu imelowa jasho
@costavalenci7699
@costavalenci7699 3 жыл бұрын
Huyu jamaa mpaka saa hii bado anaogopesha 🤔🤔💃
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
Anaogopesha saana
@IGL-x1d
@IGL-x1d 3 жыл бұрын
@@sapnaabdallah1084 sana
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Alafu kwel hiyo ajali hata KZfaq ipo😲😲😲
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Mhindi asubiri bakora zamikakati sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣nikama ajali walipata mahalipengine sasa kwakuwa mlikuwa na beef akaona atakupata
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Me nkajua jamaa kaja kuzfata bakola labda alinogewa
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 жыл бұрын
Nangoja kwa Hamu hicho Kipande kingine 🤔! Ngoja Muhindi Tuone Kama Tashughulikiwa 🤣🤣🤣
@mariamnuru9939
@mariamnuru9939 3 жыл бұрын
leo wa 7 Alhamdulilah😊😊
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongera
@vicentsandess1115
@vicentsandess1115 3 жыл бұрын
Hongera my💖
@iadeclementine5604
@iadeclementine5604 3 жыл бұрын
No20 watching from🇬🇦
@ashelizakaria6306
@ashelizakaria6306 3 жыл бұрын
alafu kingine devist muulize huo uwezo wakupotea ulikuwa ndani ya nchi tu au hata nje yanchi alikuw anaweza mfano kutamuka mfano nataka niwe ufaransa
@djmtengwatz1099
@djmtengwatz1099 3 жыл бұрын
Wewe Unatamani Kua mchawi wewe😃😃😃😃ila kweli swali zuri😊 kama unapotea unaweza potea na watu inakua hakuna kupanda ndege😊
@tatukizunga9107
@tatukizunga9107 3 жыл бұрын
Oyooooo kama kawa no 1
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Oyoooooooo
@is-hakayussuf9981
@is-hakayussuf9981 3 жыл бұрын
Acha na mimi ni comment sio nasoma za watu tu
@hillarykirui4257
@hillarykirui4257 3 жыл бұрын
I am delighted to listen to this story I even lack the adjective to explain this happiness.🇰🇪🇰🇪
@happymrema6728
@happymrema6728 3 жыл бұрын
Zambi zako sijui Kama utasamehewa umeuwa Sana
@charleshaule5304
@charleshaule5304 3 жыл бұрын
it is true, the same to me
@kyangwechoma6112
@kyangwechoma6112 3 жыл бұрын
hiro
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 жыл бұрын
Bakora za kimkakati
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 3 жыл бұрын
Movie safi hii,
@jacksondanda6067
@jacksondanda6067 3 жыл бұрын
Nimewacharaza bakora kimkakati
@mariamnuru9939
@mariamnuru9939 3 жыл бұрын
hehhehe bakora daily za kimkakati😂😂😂
@stidejustin1156
@stidejustin1156 3 жыл бұрын
Yani saiv ku comment naona Bora hizo MB niangalie tu 😂😂
@mariamnuru9939
@mariamnuru9939 3 жыл бұрын
hahhaha
@imagepower3641
@imagepower3641 3 жыл бұрын
mzee wa bakora 🙉unatisha
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 3 жыл бұрын
Safi Sana broo.
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
muhindi karudi tena duuh kuna watu sio wahoga moto utamuwakia tena
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Shamba boy, mzee wa bakora za kimkakati 🤪🤪🤪
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Ajali zote zipo youtube
@happykajeli5453
@happykajeli5453 3 жыл бұрын
Kwakweli walikuwa wanajitakia mtu ushapigwa bakora lkn bado tu sijui kwann walikuwa hawaogopi
@aishaally8811
@aishaally8811 3 жыл бұрын
Kabasa etty sijui ndo xhatani anawaxhawixha ungovi uendelee
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 жыл бұрын
Story nzuri sana ✨
@biambarak5298
@biambarak5298 3 жыл бұрын
Baba bora
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 жыл бұрын
Mr bakora za mikakati ulikuwa na nguvu za ajabu sana. Unatoka huko kwenye bakora nanyumbani kama kawaida bakora zinaendelea kwa wake zako duuuh hatari. Ni kweli ulipowaonya watu wasiwageuze watu kinyume na maumbile. Ni kweli kabisa ni sodoma na gomora. Watu waache huo mchezo maana wanaona ni fashion kumbe shetani anawatumikisha.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@shizaarfred4059
@shizaarfred4059 3 жыл бұрын
Alikuwa amepedwa dawa na mzee chibalonza na ndomana ulikuwa akikutembezea hizo bakora za kimkakati ni lazima uzimie au ufe kwahivyo zilikuwa ni nguv za giza
@msalimsali6989
@msalimsali6989 3 жыл бұрын
Tunaendelea kuchapana bakora za kimkakatii 😁👉
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 3 жыл бұрын
hahahahaaaa
@kisurangusa554
@kisurangusa554 3 жыл бұрын
Na nani tena,
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
wa kwanzaa😂😂💃💃💃💃🇪🇭🇪🇭
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera❤❤❤❤❤😘😘😘😍😍😍
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 Asanngu wngu ❤❤❤❤❤😘😘😘😘😘😘😘😘
@suleimanmustapha101
@suleimanmustapha101 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 hongera sana kipenzi changu❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 ongera yako sana
@IGL-x1d
@IGL-x1d 3 жыл бұрын
@@suleimanmustapha101 Asante wngu😘😘😘😘😘
@catherinewanjiru7136
@catherinewanjiru7136 3 жыл бұрын
Nimewahi leo👍👍
@salisali3738
@salisali3738 3 жыл бұрын
Daaa mpaka hale umefika
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
Kwa Hiyo huyu Jamaa Alikuwa Hawezi kupigana anawapiga bakora tu zakimkakati 😁😁
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 3 жыл бұрын
Tuko pamoja san davister na mzee wa bakora
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hujambo wngu 😍😍 vp homa❤❤
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 sijambo mama vp wew
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 miss you sweetheart
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@shamilakalinga437 Alhamdulillah pia mm wngu
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@shamilakalinga437 Hunshndi mm wngu ❤❤❤❤
@thebeautifulone7982
@thebeautifulone7982 2 жыл бұрын
Ili bakora afathali lingeoza likatike shida zingepungua Tanzania
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
😃😃😃😃😃 ilikuwa inalindwa na malkia wake
@maureenmwende3515
@maureenmwende3515 3 жыл бұрын
Keep up davi
@johnassilvester1600
@johnassilvester1600 3 жыл бұрын
Mzee wabakora huyo
@rashidjuma1338
@rashidjuma1338 3 жыл бұрын
Dvistar Mara itaendelea🏹
@apostleshillah5611
@apostleshillah5611 Жыл бұрын
Jesus is number one
@francisgaudence511
@francisgaudence511 3 жыл бұрын
Bakora za kimkakati 😁😁😁😂
@faridamushi1682
@faridamushi1682 3 жыл бұрын
Asee
@nasrasway7143
@nasrasway7143 3 жыл бұрын
Kama vile moves
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Hasa hiyo kazi yako na malikia inamana haina mwisho yani kusema mkataba wengi inaisha hapa mana naona nikuuwa tuuh watu naww watt wako nikuwatoa tuuh
@samaboy2592
@samaboy2592 3 жыл бұрын
Noma sana
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Khaaa mzee wabakora wew nishidq sas😥😥😥
@aishaally8811
@aishaally8811 3 жыл бұрын
Hachoki
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
@@aishaally8811 hatari sanaa yaan anaua balaa
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 жыл бұрын
Kabisa !!Hatari Kweli!!
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
@@tracyirene8917 sanaaa mkorofi
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
@@tracyirene8917 mzim wew
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 жыл бұрын
Muhindi kajiombea mwenyewe bakora za kimkakati kishenzi🤣🤣🤣
@Laila-lz4ij
@Laila-lz4ij 3 жыл бұрын
Atasobwa kuzimu kumtumikia malkiya kama waliotangulia😁
@kingwamaratz6062
@kingwamaratz6062 3 жыл бұрын
Sawa mkuu wakwanza leo
@voodothurday
@voodothurday 3 жыл бұрын
Mhindi inaonesha alizipenda bakora za mikakati, kaenda kuzitafutia sababu tena...
@johanesthobias8742
@johanesthobias8742 3 жыл бұрын
Naona umeanza ng'oma ya hakuna kulala Davista nikama story inakaribia kuisha.
@ashelizakaria6306
@ashelizakaria6306 3 жыл бұрын
Ila RAIA bana mtu kashakuja kwako usku mbele ya mkeo ukafanyiwa unyakuzi kama ule bado akili haizunguki unaende police hujiulizii jmn uyu mtu siyo wakaida apo unatakiwa umuachie mungu tu
@happyoshea
@happyoshea 3 жыл бұрын
Tuendelee 33 💃💃
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Waaoh
@vicentsandess1115
@vicentsandess1115 3 жыл бұрын
Leo wamakaa mageton eti🤣🤣🤣🤣🤣
@aishaally8811
@aishaally8811 3 жыл бұрын
Kuhusu xhati tuxhakata tamaa
@vicentsandess1115
@vicentsandess1115 3 жыл бұрын
@@aishaally8811 😂😂😂
@mashafestusmramba7577
@mashafestusmramba7577 3 жыл бұрын
Lkn mbona kila matukio yana fanyika mwendo wa usubuhi ama mchana kwa kifupi sio usikuu
@rogermomodesty3568
@rogermomodesty3568 3 жыл бұрын
Oyaa
@johanesthobias8742
@johanesthobias8742 3 жыл бұрын
Davista muulize kama mtoto alikuwa na asili gani?
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo
@IGL-x1d
@IGL-x1d 3 жыл бұрын
😘😘😘
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Kwakwel
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
@@IGL-x1d nakupenda pia mwa mwaaaaa
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
@@credo7837 sana
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 pamojaa sana dada yangu
@meenalaza2839
@meenalaza2839 3 жыл бұрын
Number 23
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongera
@bekaleonard8341
@bekaleonard8341 3 жыл бұрын
Noma sana 🙄🙄🙄
@stanleyomary6247
@stanleyomary6247 Жыл бұрын
kweli ulikuwa boyaa boyaa kweli
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 9 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
小蚂蚁那么小气干嘛!#火影忍者 #佐助 #家庭
0:26
火影忍者一家
Рет қаралды 7 МЛН