No video

PART4:BILIONEA ALIEMCHINJA DADA YAKE NA KUUA WATU54 KILA MWEZI/NIMESOMEA UCHAWI VETNAM NA MAJINI 880

  Рет қаралды 25,200

Davistar Mata Media

Жыл бұрын

MTU WA MUNGU KARIBU KATIKA CHANNEL YETU YA DAVISTAR MATA MEDIA KWA AJILI YA KUSAIDIA SADAKA YAKO JUU YA KAZI HII IENDELEE KUFANYIKA
Tunatanguliza shukrani kwako na ubarikiwe sana kwa kusaidia kazi hii ya Mungu tunaomba mchango wako wa kila mwezi kwa ajili ya kazi hii iendelee kufanyika kwa sababu inagharama kubwa zilizo nje ya uwezo wetu,bonyeza link moja kati ya hizi chini kwa kiwango chako ambacho ungependa uwe unachangia kila mwezi
KUCHANGIA TSH.3000 KILA MWEZI BONYEZA CHINI HAPA
chat.whatsapp.com/CzAdv2Oz6DzKc0r3pdjpzh
KUCHANGIA TSH.5000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
chat.whatsapp.com/JIOM7fCw6ku7NXg60jMqIn
KUCHANGIA TSH.10000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
chat.whatsapp.com/EB2MniPbnK3EIroMrhVNbI
KUCHANGIA TSH.20000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
chat.whatsapp.com/EBTDphDFIty3822iaCCrBQ
KUCHANGIA 50000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
chat.whatsapp.com/G6iDBmB63I3GwhQGETwmTm
tafadhari tuma kwa njia ya Mpesa kwa namba +255743053804 jina litakuja Dotto Mataluma/Tigopesa 0672923092 jina litakuja Dotto Mataluma na Airtel money jina litakuja Dotto Mataluma

Пікірлер: 108
@saadamartin8866
@saadamartin8866 Жыл бұрын
Nampenda Yesu, mbabe kweli kweli
@peterngeri9442
@peterngeri9442 Жыл бұрын
Mubarikiwe nyote mulio wezesha ushuhuda huu kusikika ulimwengu mzima kwa jina la YESU KRISTO
@camillekitimukulu1094
@camillekitimukulu1094 Жыл бұрын
💃Simba wa kabila ya Yuda...YESU ♥️
@marympemba6378
@marympemba6378 Жыл бұрын
Asante joyce mtoto mtumishi wa Mungu, umefanya kazi nzuri sana.
@samjosh12
@samjosh12 Жыл бұрын
Nguvu ya sadaka, inajenga uhusiano mkubwa na madhabau ya Mungu aliyehai. Yrsu Kristo asifiwe sana 🙏
@kelvin_Songea2023
@kelvin_Songea2023 Жыл бұрын
Amina
@cyantess8423
@cyantess8423 Жыл бұрын
amen
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Lakini Mungu ajibu kupitia sadaka tu uangalia factor zingine
@stejasatv7349
@stejasatv7349 Жыл бұрын
Yesu bana mwaaaahaa mwaaaahaa 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 Kwa yesu Kuna Raha asikuambie mtu jamani
@sweetlisious
@sweetlisious Жыл бұрын
YESU KIBOKO YAO
@EzekielTv49
@EzekielTv49 Жыл бұрын
Utukufu kwake Yesu milele yote
@rachelsika9588
@rachelsika9588 Жыл бұрын
Ewe Mwenyezi Mungu msimamie huyu kaka,aendelee kufundisha ili tukujue wewe zaidi,,Amina Amina
@marianaduncan6330
@marianaduncan6330 Жыл бұрын
Nampenda sana BABA yangu wa mbinguni YESU KRISTO, atukuzwe milele na milele,
@marympemba6378
@marympemba6378 Жыл бұрын
Asante sana kwa kuelezea kuhusu ulokole, sio kwenye dini au zehebu, ni kuacha maovu na kumuamini yesu na kumtumikia yesu kwa ukweli, au kumuamini yeye ktk roho na kweli.
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w Жыл бұрын
Manake kuna wapentecosto wanataka toa binadam wenza roho
@sweetlisious
@sweetlisious Жыл бұрын
YESU NAKUPENDA.😀😇😇😇 proudly to be born CHRISTIAN..
@evachuwa3809
@evachuwa3809 6 ай бұрын
YESU KRISTU UNIHURUMIA DAMU YAKO TAKATIFU IFUNIKE UZAO WANGU MILELE
@santamerra4552
@santamerra4552 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi davistar kutuletea vipindi hivi vyaushuuda mikasa
@samjosh12
@samjosh12 Жыл бұрын
Muislamu akimjua Yesu Kristo, hamchezei kabisa. Mtumishi anachambua Bibilia bila ya kigugumizi.
@elizabethmuia9839
@elizabethmuia9839 Жыл бұрын
Nakubaliana na wewe kabisaa
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Жыл бұрын
@@elizabethmuia9839 Mimi ni, muislamu pia, na hizi shuhuda Nathalia kila siku na nipo Huku Brazil, ila ndugu zangu watoa comments, msituhukumu waislamu, huyu jamaa kasema vizuri kabisa kule nyuma, yani dini ni sawa na vyama vya, siasa tu, mungu anadili na mtumishi mzuri wa kile chama, kwahiyo ndugu zangu watoa comments, msituhukumu waislamu hiyo sio kazi yenu, Mimi natarajia nianze kwenda kanisani pia, ndugu yangu, MR DAVISTER MATER, amani ya mungu iwe nawe, nimejifunza, mengi kupitia wewe, ombi langu mtafute mtumishi, wakuitwa meshaki alikufa na sasa hivi yupo kazini hapa duniani, BALIKIWA, na mkono wa bwana wetu, yesu Cristo AMEEN.
@salamalugono6876
@salamalugono6876 Жыл бұрын
Waislam tunamjua yesu kuliko ninyi mnavyo mjua..
@samjosh12
@samjosh12 Жыл бұрын
Hahahaaaa, karibu sana
@jacklinekhayechia4362
@jacklinekhayechia4362 Жыл бұрын
Wonderful testimony ,the powerful name Jesus Christ
@aimeranceseko1042
@aimeranceseko1042 Жыл бұрын
Mtumishi Mungu akubariki sana kwaku fafanuwa kitu kanisa nakitu ulokole amen nimebarikiwa sana na kufunguliwa kiroho
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 Жыл бұрын
Mungu wetu MUUMBA MBINGU NA NCHI aendelee kuwatunza ushuhuda mxuri sana. Nimependa sana ushuhuda wa Joyce. Napenda kujua yupo hai joy?
@samwelmwigicho3092
@samwelmwigicho3092 Жыл бұрын
Davista kazi nzur,VP sehem ya 5
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 Жыл бұрын
Asante Bwana Yesu Kristo, naimani kukubali kukuishia, niko upande salama
@florencerose859
@florencerose859 Жыл бұрын
Kweli kabisa Yesu ni mfalme
@jacklinekhayechia4362
@jacklinekhayechia4362 Жыл бұрын
Wonderful testimony, Jesus Christ is the powerful name
@syprasjackson8063
@syprasjackson8063 Жыл бұрын
Hongeraaa kwa kazi davistar mata Mr Dm Mungu akijalieee kipindi chetu kizidi kusongaa mbeleee
@elizabethmuia9839
@elizabethmuia9839 Жыл бұрын
Alikuwa analisha na Mungu, alikataa katakaata vyakula vya kusimu
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Abiria yeyeto hata mmoja tu akifanya maombi safarini basi halitolewi kafara. Maombi ulificha basi lisionekane kwenye radar za wachawi
@kelvinyacobo705
@kelvinyacobo705 Жыл бұрын
Leo n wapili ongera bro kwa ushuhuda wenye kujenga
@elizabethmuia9839
@elizabethmuia9839 Жыл бұрын
There's God in Even, hio guvu ya Eunice na ipokea kwa jina la yesu 🙏
@jamesswai6583
@jamesswai6583 Жыл бұрын
Mwendelezo...imefika patamu.
@flm1530
@flm1530 Жыл бұрын
YESU mtenda miujiza
@pericymnyamoga3859
@pericymnyamoga3859 Жыл бұрын
Napenda kuuliza je Joyce alivyokuwa kuzimu kwa muda wote huo alikuwa anakula nini
@samjosh12
@samjosh12 Жыл бұрын
Mtoa ushuhuda naye alikuwa anamshangaa Joyce tangu awe kuzimu, hakuwahi kula chakula chochote kwa miaka yote.
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Vipi ukiwa kuzimu au ukitekwa na wachawi, kumbukumbu ya kukumbuka jina la Yesu unaweza kuwa nae
@elizabethmuia9839
@elizabethmuia9839 Жыл бұрын
Kwa nini mtu kichukuliwws ki uchwi anawekangwa nyumba ya mlango, Ebu mchugaji atueleze Niko hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Wanamficha kuwapima ninyi mtamkomboa au mtaacha
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Shetani hawezi ogopa mafuta anayowapa watumishi wake, shetani anaogopa maombi. Mimi maombi yangu huwa ni makali ni ya kuua, kuchinja na kuteketeza nikisikia hali tofauti kiroho ni lzm niwapelekee moto
@paullwangili2235
@paullwangili2235 Жыл бұрын
Simulizi kubwa Sana hii na msimuliaji anasimulia vzr na mswali anijbu vizur Hana mbwembwe ila Davistar maswali mengi na yanaboa punguza maswali,hii sio interview.
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM Жыл бұрын
Umesema maswali anajibu vizuri sasa angejibu vipi hayo maswali unayosema amejibu vizuri kama sitauliza
@paullwangili2235
@paullwangili2235 Жыл бұрын
Tunaipenda kazi Yako nilichosema mm punguza ila usiache kuuliza.
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
@@DavistarMataMediaDM davistar unafanya vema sana hauna maswali mengi mbona kazia hapo hapo !! Come on man
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Uliza maswali tupate kujua
@mikejohn9699
@mikejohn9699 Жыл бұрын
Amina bwana atutetee
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Sio mnacomment tu kumbukeni kutoa michango ya kipindi Ili kizidi kuwa hewani
@lilymwasi1221
@lilymwasi1221 Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏🙏
@dianamdaku9802
@dianamdaku9802 Жыл бұрын
Nakuelewa mtumishi
@petermangale9314
@petermangale9314 Жыл бұрын
DAVISTA umetukomboa wengi sana
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Changeni sadaka Ili kufanikisha huduma sio kusikiliza tu
@christinaalexander1213
@christinaalexander1213 Жыл бұрын
Amen
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
Shuhuda ni nzuri lakini zikitiwa chumvi sana uharibu dhamani yake. Kaua watu 54 kila siku ina maana kwa miaka yake yote ameua watu laki ngapi??? Kuuwa kila siku sins ubishi lakini idadi aliyoitaja peke yake tu sikubaliani na hilo.
@Philipoupdates
@Philipoupdates Жыл бұрын
Askofu gwajima uwaga Yuko sahihi kuita misukule
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w Жыл бұрын
Nampenda bure mbona anamafunzo we pale kwake hata mtoto wa mwezi hachukuliwi
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
@@user-me3ee4fu8w inshallah!! Kweli kwa gwajima ni motooooo
@emojongtv3995
@emojongtv3995 Жыл бұрын
Tuekee part 5 tumalize hii story Ndio twende kwa ingine
@madinajamada9180
@madinajamada9180 Жыл бұрын
Watu hawatakagi kujifunzq pesa za uganga sio pesa nikujitafutia dhambi tu
@janewadelanga5653
@janewadelanga5653 Жыл бұрын
Yesu tusaidie
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Жыл бұрын
Yesu mnazareth
@catemacharia8499
@catemacharia8499 Жыл бұрын
Davista kama unaweza kutuletea huyu Joice atoe ushuhuda wake na jinsi anavyo pelekana na Yesu pia,kwa sababu lazima awe amepitia mengi sana kwa kuwa shetani hachoki kuwida wale watakatifu wa kiroho na kimwili kwa kweli
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Singida Morogoro na Mbeya hii mikoa ndio maalumu kwa ajili ya kafara
@tracyirene8917
@tracyirene8917 Жыл бұрын
Duhh Hatari kweli 😢Mbona hivi hizi sehemu huwa zinatajwa Sana na Watu wengi wanaotoa Story zao Sana hapa Ajali nyingi Tuu hufanyika hizi sehemu..
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
@@tracyirene8917 ndio milango mikuu ya kwenda kwa Lusifa
@Neemakilimba
@Neemakilimba Жыл бұрын
Mungu itunze singida yangu
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
@@Neemakilimba iombeeni Ili hilo lango la kuzimu linalomaliza watu barabarani lifungwe, pelekeni moto wa Yesu hadi yauachie
@noeldaudi590
@noeldaudi590 Жыл бұрын
Acha sifa unaharibu kipindi Stori umeadisiwa pembeni lakini bado unauliza Mwache atiririke
@kunsah2
@kunsah2 Жыл бұрын
Muhojaji una hitajika umuachie muelezaji amalizie maelezo.
@noeldaudi590
@noeldaudi590 Жыл бұрын
Punguza maswali usenge tu Sisi tunatumia mb zinaisha bila hata kipindi kuisha
@samjosh12
@samjosh12 Жыл бұрын
DM, naomba umuulize swali huyo aliyekuwa Mzee wa kazi, Je, kuzimu zipo ngapi kwa hapa Nchini kwetu. Maana Wazee wa kazi wengine wanasema alikuwa kuzimu ya Gamboshi, wengine kuzimu ya milima ya Uluguru, wengine kuzimu ya ziwa Tanganyika nk.
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Kuzimu zipo nyingi kuna ndogo na kubwa, kuna ya duniani. Gamboshi, mapango ya amboni, ngende, nyumba nitu zote ni kuzimu pia. Sehemu zingine ni milango ya kuingia kuzimu mfano manyoni singida, kigamboni feri jirani na chuo cha Mwalimu zinapopaki boti za uvuvi ni lango kuu la kuzimu, zilipo ghorofa pacha za Bandari ule pia ni mlango wa kuzimu, bagamoyo ni mlango wa kuzimu, njiapanda ya mwenge mataa ni lango la kuzimu. Ziwa tanganyika ni lango la Kuzimu ni kubwa inategemea unaenda kufata nini kuzimu upako, mafuta, utajiri,
@Philipoupdates
@Philipoupdates Жыл бұрын
Namfahamu huyu rweyabura
@marrymasero2462
@marrymasero2462 10 ай бұрын
Kumbe anaitwa rweyabura??
@pericymnyamoga3859
@pericymnyamoga3859 Жыл бұрын
Wasio kinyume na sisi wako upande wetu
@saidsaleem1732
@saidsaleem1732 Жыл бұрын
Bado yuko kwa Shetani uwongofu ni uislamu
@mbwaggermndali2038
@mbwaggermndali2038 Жыл бұрын
Ni sawa.....lakini Yesu ni Mwamba!!
@salamalugono6876
@salamalugono6876 Жыл бұрын
Kweli kabisa hapo anawadanganya wasio jielewa.
@sweetlisious
@sweetlisious Жыл бұрын
@@mbwaggermndali2038 YESU kiboko ya OMO 😄😄
@janemujuni764
@janemujuni764 Жыл бұрын
Yesu ni Mungu milele yote,
@mbwaggermndali2038
@mbwaggermndali2038 Жыл бұрын
@Michelle Selenge Yeye ni Mungu Mkuu na Mwamba ukijenga msingi juu yake Mwamba huo katika imani uwezi tikisika kamwe!!!
@marympemba6378
@marympemba6378 Жыл бұрын
Miaka yote 8 alikuwa anafanya kazi gani? Au mlimpa kazi gani.
@monicambuva529
@monicambuva529 Жыл бұрын
Kwa simulizi hii tena ya huyu mtoto Joyce hapa nipo namuogesha mwanangu tunaenda kanisani hakiii huu ulimwengu si salama hata kidogo...YESU jina lenye MAMLAKA NAOMBA TULINDE
@babafranco3366
@babafranco3366 Жыл бұрын
We mrangi
@monicambuva529
@monicambuva529 Жыл бұрын
Akuuuu
@babafranco3366
@babafranco3366 Жыл бұрын
Mbona jina la kirangi
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w Жыл бұрын
Tena mnunulie Bibila 2ya kiswahili na kingereza this time hatutaki mchezo na watoto wetu
@monicambuva529
@monicambuva529 Жыл бұрын
@@babafranco3366 I'm not
@kakajoss2464
@kakajoss2464 Жыл бұрын
Naomba aeleze kwa ufasaha mkoa hadi mwingine na jinsi walivyo tekeleza kafara zao.
@noeldaudi590
@noeldaudi590 Жыл бұрын
Wewe davista ni fala au msenge yaani wewe kilakitu hujui au usenge tu umekujaa
@Elizabeth-777-r3p
@Elizabeth-777-r3p Жыл бұрын
Mbona matusi 🤔🤔🤔
@samjosh12
@samjosh12 Жыл бұрын
Mtoa ushuhuda, angetufafanulia vizuri anaposema alikuwa na Shetani. Je, ni Shetani yule aliyeitwa Lucifa? Na je, anafananaje?
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Жыл бұрын
LUÇIFER kafungiwa yeye kazi yake ni, fitisho tu, kama vile sauti, na mengine mengi, wafuasi wake ndo wapo bize, Hakuna alie muona, LUÇIFER kwa sura yake, hata mtu mmoja.
@sweetlisious
@sweetlisious Жыл бұрын
Hatuna haja ya kudownload data ya sura lake huyo unayemtafuta JOSHUA.. YESU ANATOSHA.
@donathamwangobe2776
@donathamwangobe2776 Жыл бұрын
God is good all time
@madinajamada9180
@madinajamada9180 Жыл бұрын
Watu hawatakagi kujifunzq pesa za uganga sio pesa nikujitafutia dhambi tu