PART45:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 14,616

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 215
@rayaally4597
@rayaally4597 3 жыл бұрын
Story hii imevunja record kwa zote zilizotokea big up
@elizabethauma2260
@elizabethauma2260 3 жыл бұрын
Nikweli
@geraldkilowoko7042
@geraldkilowoko7042 3 жыл бұрын
Na jamaa anajua kusimulia
@elizabethauma2260
@elizabethauma2260 3 жыл бұрын
Sana
@rayaally4597
@rayaally4597 3 жыл бұрын
Sana
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 жыл бұрын
Hii story ni funga mwaka kwenye channel yaki Davister. Hongera sana
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
Ilikua kisasi karibu na singida mjini ajali ilitokea 😭😭Pole zabron we are together from Delhi India 🇮🇳
@kelvinluoga5140
@kelvinluoga5140 3 жыл бұрын
Nimetoka huku watano
@herenagetema3920
@herenagetema3920 3 жыл бұрын
Wewe zabron tunaomba namba za malasta tunaitaka pls
@winnyenockwinnyenock6986
@winnyenockwinnyenock6986 3 жыл бұрын
Mtafte wsap yake zablon atakupa namba ya marasta lkn hapa ukute hapitii comment zote
@najmatheearlybird.7162
@najmatheearlybird.7162 3 жыл бұрын
Mm pia ningependa kupata hiyo namba jamani
@kareemalamoody6345
@kareemalamoody6345 3 жыл бұрын
Yuko gambush ya Jamaica
@vellarose2596
@vellarose2596 3 жыл бұрын
Nimelia😭😭😭😭 coz of Angel aki may her soul rest in peace!!!
@zettyhassani2244
@zettyhassani2244 3 жыл бұрын
Wazaz wa enjo waongo et Bora ungekuwa nae wkt adi mlimsafirisha😉
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
South Africa kwa miguu duuuh??? Kwa bas tu nipalefu balaah,!! Pole kaka Zabron kwa kumpoteza wifi yetu Angel.
@binsaidiabdul6497
@binsaidiabdul6497 3 жыл бұрын
Wa 8 from msumbbiji
@didasrichard3068
@didasrichard3068 3 жыл бұрын
Dope
@omaryramadhan2866
@omaryramadhan2866 3 жыл бұрын
Angel aliungua,hyo ajari niliishuhudia Sngda...that time npo secondary!!
@igurusitv6553
@igurusitv6553 3 жыл бұрын
Nilikua najenga ile barabara ya pale na kampuni ya sietco
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 жыл бұрын
Toka mwanzo stori ilikua inanoga ila hapa pakuungua moto daaar imenikata stimu kinoma sana yaani,
@adamnasango1743
@adamnasango1743 3 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 tukupe ndimu?
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 жыл бұрын
@@adamnasango1743 kwakweli ikibidi
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
@@adamnasango1743 😂😂😂😂😂😂mpe limao
@an6808
@an6808 3 жыл бұрын
Davistar ipo siku utakua juu sana, unaonekana upo fair sana afu upo peace sana
@highnesseverest3619
@highnesseverest3619 3 жыл бұрын
Hila Zablon uwez kupungukiwa hata siku moja maana ni mtoaji na unajali wengine Mungu akubariki mnooo
@doricedaniel3563
@doricedaniel3563 2 жыл бұрын
'Eric shigongo'..Rais anampenda mke wangu ilikiwa fire.. Hongera kwa upambanaji kaka Zabron
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 3 жыл бұрын
Davista mata, kanumba, mirad ago, sky worker, Zabron ni watu sana hawa
@shanearmarukusi4463
@shanearmarukusi4463 3 жыл бұрын
Jamani wanaitaji kwenda kwa marasta Tujuane tupene kampni me najua zabron hana roo mbya atatupeleka tu c unaona ata jana katoka kumpeleka mtu kwa marastar 😂😂 askari kupandishwa vyeo zaid ya vitatu piga kelelee kwa rastake weeuweweeee 😘
@levinaaloyce4219
@levinaaloyce4219 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@shanearmarukusi4463
@shanearmarukusi4463 3 жыл бұрын
Jikupanga tu c tuaze safari
@florencerose859
@florencerose859 3 жыл бұрын
Davita story iendele nizuri sana number 46 47 nangonjea
@oscarlemamaringo8081
@oscarlemamaringo8081 3 жыл бұрын
Davistar nashukuru kwa kutupa hii hadithi nzuri zabron yuko vizuri sana
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 3 жыл бұрын
Pole san Zabron ila ungekua na Angel saiv mngekua na watoto wakubwa ila apangalo Mungu hakuna wa kilipangua
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo jana na leo
@nelsonpatricioestanislaus7144
@nelsonpatricioestanislaus7144 3 жыл бұрын
Pamoja sana. 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@livingwaterchurchmbulukahama
@livingwaterchurchmbulukahama 3 жыл бұрын
Leo wa 13 like zangu plz
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Pole sana broo
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Pole zabron kwamsiba wee mwenyewe sababu uliambiwa ufungishwe ndoa mala baba mala mama mala dada watapitwa
@Zamb90
@Zamb90 3 жыл бұрын
Jamaa anaasila sana na wakina panda ukazibe
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Story pambe kabisa 💃
@tanzaniabestchoice8548
@tanzaniabestchoice8548 3 жыл бұрын
Wa nne nipeni like zangu zabron Kama zabron na davista mtu makini
@aishahemedi7869
@aishahemedi7869 3 жыл бұрын
Sawa kaka
@kusahbrown436
@kusahbrown436 3 жыл бұрын
Wee zabron number ya marasita tunaipata aje
@shanearmarukusi4463
@shanearmarukusi4463 3 жыл бұрын
🤣😂🤣😂🤣😂 tupo weng
@elizabethauma2260
@elizabethauma2260 3 жыл бұрын
Hata mimi naitaka
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Me wa Nyamhoza
@systemnatubukwajinalababam8976
@systemnatubukwajinalababam8976 3 жыл бұрын
Hapo Sasa mzee baba. Utamu ukobado hee nitakuita habibi Sasa. Habibi hapo hapo. Ukigeuka utanihemesha. Miguu juu habibi . Utamu upo hapa.
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
Leo nimechelewa naombeni like zenu wapendwa 😍😍😍
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Ulikuwa wapi na wewe pole
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 ahsante my nilikuwa nimeenda kutembea 😍
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
@@sapnaabdallah1084 Ongera yako sana jamani mimi tangu nije Omani niwandani kama utumbo naona kutoka apa safari ya Tanzania tu
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 jamani pole mm Naona upo Kama maziwa ya kuku Maana uo utumbo muda mwengine unatoka nje
@winnyenockwinnyenock6986
@winnyenockwinnyenock6986 3 жыл бұрын
Duh uko kama mimi naelekea mwaka wa tatu sjawah kwenda hata popote nipo ndani tu mpk nahisi akiri inachoka😂
@aminamrope1797
@aminamrope1797 3 жыл бұрын
Shukrani sana
@qelseykenya3933
@qelseykenya3933 3 жыл бұрын
Best STORY in DAVISTAR MATA CHANNEL AWARD WINNING STORY👏👏👏👏
@elizanzula8375
@elizanzula8375 3 жыл бұрын
Pole sana kwa kupoteza sweet wako angel your lover. ..God will reple the gap
@venahsithole6463
@venahsithole6463 3 жыл бұрын
Pole sana mzee baba kwa kifo cha Angel
@rehemalaizer7123
@rehemalaizer7123 3 жыл бұрын
wa kwanza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃😃😃😂😂😂😂😂😃😂😃😃😃😃😃😃😃😃
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
Hongera
@jacksonnyange5334
@jacksonnyange5334 3 жыл бұрын
Kama umejua story inaanza kuwa mbaya nipe like
@popoali6641
@popoali6641 3 жыл бұрын
Thanks
@petermwantole9433
@petermwantole9433 3 жыл бұрын
Dah,,kweli zablon uko real,,,Rodgers (baharia) alikua best angu ni mtu Tanga alikua ,kweli hiyo story ya south alinisimulia hata kabla ya kipindi ,na kweli alitoa kitabu jamaa,,,mara ya mwisho nlikutana nae Morogoro jamaa
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Masikini kumbe ndokuliendagaa hadi Angel kufariki pole sana kwahapo pia
@fatumakubo9463
@fatumakubo9463 3 жыл бұрын
Mm napenda upole wa zabron na davistar hadi raha natamani mngekuwa ndg zangu ningeenjoy sanaa
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Pole sana zablon kwa mikasa iliyo kufika
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Mbona nime miss neno misosi hua yanongesha sana hii story
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Duh pole xana mzee walikutosa ila wew bado ulikuwa na upendo wa kweli kwao
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 3 жыл бұрын
Nipo shem.wangu pole sana ww ni shujaa nakwambia
@francisgaudence511
@francisgaudence511 3 жыл бұрын
Nice story
@babymkuya359
@babymkuya359 3 жыл бұрын
Wow leo 26 like zangu plzz
@adamnasango1743
@adamnasango1743 3 жыл бұрын
Sintosahau: unasimulia matatizo yako unaenda zako
@sheikhaalmandhari125
@sheikhaalmandhari125 3 жыл бұрын
Nime wahi sana leo
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 3 жыл бұрын
Umeludia tena shat duu wewe nishida brothers pole
@rafiakinyoa4247
@rafiakinyoa4247 3 жыл бұрын
Na mm nimewah 💕
@nancychissamo379
@nancychissamo379 3 жыл бұрын
Nimewaiiiiiii🤩🤩🤩🤩
@philipmbaabu6169
@philipmbaabu6169 Жыл бұрын
Ile ilirisi ya kupumua niliipenda sana.
@miriamngosha6856
@miriamngosha6856 3 жыл бұрын
Weka 46 bro fasta hurry up
@stivenmgonja5908
@stivenmgonja5908 3 жыл бұрын
In the building as usualy
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 жыл бұрын
Pole san zabron umepamban san
@evalynclemens2861
@evalynclemens2861 3 жыл бұрын
Nimewai wa 22💃
@KariukiRoysambu
@KariukiRoysambu 3 жыл бұрын
Safi
@bintimanazil9249
@bintimanazil9249 3 жыл бұрын
Huhuuu following
@janendzadze7179
@janendzadze7179 3 жыл бұрын
Jamani namba ya marastar Davistar
@ezekiaandrew8420
@ezekiaandrew8420 3 жыл бұрын
Nipoooo
@shakiraabbas7538
@shakiraabbas7538 3 жыл бұрын
Leo afazari nimekua wa 88 Alhamdulilah😂
@caimedia
@caimedia 3 жыл бұрын
Ilikuwa ni Airtel kipindi hicho ilijulikana kama Zain, ukiweka vocha ya 2000/- unapewa nyongeza ya 2000/- na kuanzia SAA sita usiku ilikuwa free
@allykibabe8182
@allykibabe8182 3 жыл бұрын
Daaaah
@winnyenockwinnyenock6986
@winnyenockwinnyenock6986 3 жыл бұрын
😂😂😂south africa kwa minguu😂😂😂
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 жыл бұрын
Siku nyingi sikuwa hewani niliishia part 28.
@titinmbega4128
@titinmbega4128 3 жыл бұрын
Hii story ni tamu kimbia...u sikilize🥰😂😂
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Karibu tena
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 shukrani
@jamesngalijah3710
@jamesngalijah3710 3 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌
@carolinetev2631
@carolinetev2631 3 жыл бұрын
Sifa sana vitu fine
@aishahemedi7869
@aishahemedi7869 3 жыл бұрын
Sawa
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🇴🇲🇴🇲
@geraldkilowoko7042
@geraldkilowoko7042 3 жыл бұрын
Kuna sehemu umeiruka ulivyoenda Chini ya ziwa tanganyika .... ulichinja mbuzi na. Kikatokea ....
@rappertinno4184
@rappertinno4184 3 жыл бұрын
Wanji wanji 2nasololea mastory
@becatemba9830
@becatemba9830 Жыл бұрын
Bro zeb ni mara yk ya pili kupanda boti una kumbuka baada ya kutoroka na wachawi kidogo uliwe nyama ukatoroshwa umepitia meng pl xn tuko pa moja mkuu
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
Heri ulitoka migondini sababu ulikua ukufe
@abdulrahimdaniel785
@abdulrahimdaniel785 3 жыл бұрын
Leo nimewai Wa 5
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
histor ya lodger nlshaiskia n noma safar ya Afrika ya kusin zaid ya mara 3 n nomaaaa ya historii hiyoooo.
@salmajumanne8914
@salmajumanne8914 3 жыл бұрын
Mapema nimekua wa 20
@remigjohn4843
@remigjohn4843 3 жыл бұрын
Leo hujaelezea biryan ulilopikiwa akwa mama enjo
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Amesaau baada ya kumkumbuka enjo wake Jamani
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Wabongo wabaya aisee 20000/=😂😂😂
@husseinmhajam7106
@husseinmhajam7106 3 жыл бұрын
Leo wa sita jaman
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Alhamdulillah nmekua wa kwanza 💃😍🙄🇪🇭🇪🇭
@aminamrope1797
@aminamrope1797 3 жыл бұрын
Hongera🥰🥰
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@aminamrope1797 shkuran chidada changu 😍😍
@nguwalofakhr5965
@nguwalofakhr5965 3 жыл бұрын
Ndiooooo 😂🤣🤣😂
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@nguwalofakhr5965 🤣🤣🤣🤣🤣
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 hongera Yako 😘😘
@magdalenaselestinmbawala9373
@magdalenaselestinmbawala9373 3 жыл бұрын
Namkumbuka uyo kaka nasimulizi yake nili sikiliza rojaz
@aliaalooya3896
@aliaalooya3896 3 жыл бұрын
Leo nime wahi🤣
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Kweli ukimsaidia mtu nawe utasaidiwa na ukimpenda mtu nawe utapendwa ndo mfumo wa maisha ulivyo
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 жыл бұрын
Ukimsaidia mtu basi potezea usitegememee utarudishiwa fadhili tenda wema uende zako basi.
@philipmbaabu6169
@philipmbaabu6169 Жыл бұрын
Hii ajali bila shaka hikuwa ya kawaida.
@salmasalma8203
@salmasalma8203 3 жыл бұрын
Asnt kw muendlez
@shanizshanta7787
@shanizshanta7787 3 жыл бұрын
Nilikuwa wapi jamani🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Uliacha na kuuza nguo mzeee WA MISOSI
@systemnatubukwajinalababam8976
@systemnatubukwajinalababam8976 3 жыл бұрын
Ukicheka tu wanikamata sana
@mloladavid5573
@mloladavid5573 3 жыл бұрын
Mimi wa kumi natatu
@awadhrajab9527
@awadhrajab9527 3 жыл бұрын
Piga Kazi
@hamadwaziri121
@hamadwaziri121 3 жыл бұрын
Pill. Ukujee huku
@abdallahahmedussi5962
@abdallahahmedussi5962 3 жыл бұрын
Story Nzuri Sana, inahuzunisha, inafunza, inatia moyo, inatia ujasiri we Hali ya juu, Katina maisha Hakuna Kimaya tamaa
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Ndiyo nimefika. Asantee
@hamadwaziri121
@hamadwaziri121 3 жыл бұрын
Haya mama
@greatness254
@greatness254 3 жыл бұрын
Ati akasema "yes good idea"😆😆😆😆😆
@hamisihassan2620
@hamisihassan2620 3 жыл бұрын
Zabron watoto wazuri wazuri wapita hapo nyuma yako do something bhana.
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
santa dav
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 жыл бұрын
Zabron kwa hyo Sasa hvi umeoa Mzungu au?? Make nimeona una kitoto cha mixer ya kizungu na Umesema ni wako.
@karrolleschon3986
@karrolleschon3986 3 жыл бұрын
🇰🇪🎤🎤🎤
@ceciliastanslaus6862
@ceciliastanslaus6862 3 жыл бұрын
31 jamani
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣pole jamani kufungua akaunti unatumiwa 20000🤣🤣🤣🤣ilasikuizi haina ajaya kuhangaika unatumiwa xpress mone kwa jina unachukua benk
@igurusitv6553
@igurusitv6553 3 жыл бұрын
Wa 67
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Somoe pili Aisha Aiyam Amina Shem lngu Eric mimi blessed Nura sapna violine cute emmy Nguwalo Fm morn Hamix Fatma nawengineo njoooooooon mabo tarar🇪🇭🇪🇭😍😍
@nguwalofakhr5965
@nguwalofakhr5965 3 жыл бұрын
Ndiondio Aysha 😂 leo umewahi unatamba
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Mm hapa sweetheart, Nahisi pia mm sina kivuli 😂😂😂
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
Nimewasili kipenzi chng
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@nguwalofakhr5965 umeonaeeee🤣🤣🤣🤣
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@somoeawadh7774 🤣🤣🤣🤣🤣
@maryamumapenzi1257
@maryamumapenzi1257 3 жыл бұрын
Yani tuna saidia watatu watatu
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
South Africa miguu kweli ulikuwa mzima kweli??mana chixi ndohutoka mfano Mombasa hadi Nairobi chix😄i mtu naakili zake uongo mybe utembee mwezi😂😂
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 3 жыл бұрын
Inawezekana kabisa, maana sio mfululizo. Kulingana na Google mwezi mmoja mfululizo kutoka Mwanza hadi Johannesburg, sasa mpe mtu mwenye afya mwezi na nusu, akiwa na kupumzikapumzika njiani.
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 8 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 181 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 93 МЛН
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
Would you recognize your soul mate by smell?
0:14
Den Done It
Рет қаралды 19 МЛН
Czn Burak vs Argenby Which sigma is better?
0:19
ARGEN
Рет қаралды 15 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН