Hahaaaa 😅😂.Yani vituko vya Zabron vinachekesha na kusikitisha.Linaisha tukio moja linaanza lingine,haya sasa demu uliyekuwa unamla akakuchomesha😅😅😅😅😅
@AMQarol3 жыл бұрын
1st here,,angusha like inifikie Dubai pap!!
@flubtv3 жыл бұрын
Nko dubai too
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Hongeren sana mie napta Dubai
@flubtv3 жыл бұрын
Aysha uko wapii
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@flubtv Npo jorddan
@theunseen.believe56723 жыл бұрын
😥😥yani umeteseka sana hadi nakuonea huruma ila yote ni amri ya mwenyenzi mungu. Maisha ya binadam ni mtihan hadi atakapoondoka duniani
@bakarimbonjo71823 жыл бұрын
Tunakuhesabia tu,,,chief ushakula kama watano hv 1.yule demu mchawi 2.angle 3.yule demu wa machimbo mwenye gundu 4.wa mgahawani pale kahama 5.wa dsm Adija na wa 6..house girl wa chriss..kimara
Zabron leo umesimulia kwa huzuni sn, mpaka nami nimeumia sn kutokana na changamoto za kitabu zilivyokuwa zinakupitisha.
@asiaside95583 жыл бұрын
Mapito yako yanaumiza zabron 😥😥
@mcheshcomedy58093 жыл бұрын
Kweli zabron umepitia mengi duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!🤗🙏💯💢
@saidhomie33683 жыл бұрын
Zabron Kwa kweli sio mikosi tu, lazima uwe makini katika kila jambo lakini, umepewa mzigo uliza hicho nini, tena hakikiasha nikweli? Tena vizuri ungekabili tu na umueleze ukweli.
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Duuuuu sasa ilikuwaje mpka Cris anakuletea I'd 😢😢😢😢😢sasa siungemwambia tuu pesa imeibiwaa🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️ Cris alikushutukia kitambo sana hadi anakufuataaa bank mybe alikuja kuulizaa kama umedeposte pesa😊😊😊
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Lakin zabron saa zingine we ni careless 😥
@wildatmsellem75313 жыл бұрын
Very true
@didasrichard30683 жыл бұрын
Dope
@hellencerson54763 жыл бұрын
Oh dear pole sana if I know you then, I could have had helped you😢
@annkim26903 жыл бұрын
He is very careless
@cosmaslagat50233 жыл бұрын
Huyu jamaa ni careless aje n Si Mara ya kwanza
@oscarlemamaringo80813 жыл бұрын
Pole sana
@abubakarwadi57733 жыл бұрын
Mzee wamisosi ulikuwa namajangakweli duh kilaktu majanga laki8 aaaaaaaaaaah
@roseuwambe80893 жыл бұрын
Mengine ana tupanga😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅
@chw18673 жыл бұрын
Story kali sana, nitumien kipnd 52,53
@mawananasoro44053 жыл бұрын
Pole sana kaka maisha ni safari ndefu mungu hamtupi mtu
@monicasimpilu62573 жыл бұрын
Duuh mwanangu una mitihani mingi sana mwenyezi Mungu akufanyie wepesi
@mcheshcomedy58093 жыл бұрын
Kiukweli story yako Ina mafunzo mazito Kaka yetu!!!!!!!!🙏🙏🙏💯💯💯
@josephineasiza78883 жыл бұрын
Pole Sana brother
@rasjamal98543 жыл бұрын
Kwa nini usiwe mkweli km pesa umeibiwa Chifu Zabron nalo hilo Tatizo 😁😁 Hila Pole sana na mitihani
@marysteven6053 жыл бұрын
Iweje uendelee kupata majanga na kivuli kimesharud,marasta ni mwanadam sio Mungu
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
Nilikuwa najiuliza🤔
@raheemaraheema54533 жыл бұрын
😄🤣
@mashamramba34613 жыл бұрын
Hilo ndo swali pia mm nimeuliza
@mariamfritsi49433 жыл бұрын
Kweli kabisa
@IANA20303 жыл бұрын
Jamaaaaani Zabron pole sana
@bahatiabdillah53073 жыл бұрын
Top 10 yessssss
@allykibabe81823 жыл бұрын
The story book...!!!
@vellarose25963 жыл бұрын
Nimekuhurimia kwa kweli umepitia maisha magumu sana
@remmymhalla99253 жыл бұрын
Duh! Zabron unamajanga aiseee! Hatari sana.
@aishahemedi78693 жыл бұрын
Jamani pore sana kaka 😭🙏
@maryamevarista94733 жыл бұрын
Yani hadi seansoni ya 49nilicho jifunza kwa zabroni anapenda kuvaa jaman yani kunawakati anasema kabisa hana hela lakin akipata tu pesa ninguo na viatu 😅
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Sasa wewe unapewa kitu namtu badala ushikilie wewe wajiachia tuu hiyo kuibiwaa mara yapili mana pesa yakwaza ulipoteza ukitafuta mtoto wamganga kwa banda la video kama sijakosea😢😢😢😢😢😢😢😢😢laki nani hela ndefu mzee babaz yani ulioshwaa kweli
@hazayusufu75463 жыл бұрын
kila mtu ana mapito yake ila zabroni umepitia mapito mazito Sana ndugu yangu ila mungu ni mwema
Mzee wa misosi, pole sana ulilala na njaa, naona usiku kucha ulikuwa unafikiria msosi, ulikuwa unaomba kuche upesi ili upate kutafuta msosi.
@angelmilele47303 жыл бұрын
Hahahhhhah
@Mimimnyamaaaa3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@zettyhassani22443 жыл бұрын
Part yaleo niyahuzuni Sana pole kaka
@rappertinno41843 жыл бұрын
Wanji wanji 2nasololea mastory
@OmanCom-ky8tn3 жыл бұрын
Lakini zabroni kwann huyo ustazi akusaidie mbona anasaidia watu wengine kwann ww hakusaidii
@mariamripiti21373 жыл бұрын
Dah
@apolinemalungano91553 жыл бұрын
Davistar unabowa unashimama shimama Sana jirekebishe
@johnassilvester16003 жыл бұрын
Ana shimama shimama??!
@mzeerama26893 жыл бұрын
Davistar has to come back to his original footprint.a lot is missed by his fans.a lot is still at stake .so much unfinished business to his funds may result to a downfall
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
Hasa usha rudishiwa kimvuli lakini bado shida zile zile
@mzeerama26893 жыл бұрын
Davistar you have to balance the curiosity of your fans! This zabron stuff has been monotonous.fans are missing the old stuff that you spent time to put them there
@bluebrown55663 жыл бұрын
Hatamimi nimechoka na Zabroni daah!
@jangombeboys45363 жыл бұрын
🙏
@aminaismail42213 жыл бұрын
Daah maisha kabla kufanikiwa utapitia changamoto nyingi sana
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Pili somoe Malima Aiyam Aisha Fatuma Fm morn mimi shem lngu Eric Nguwalo Sileiman cute emmy na sapna Nura Amina na wengineo njooon mambo tayar💃🇪🇭🇪🇭
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Nimefika pamoja sana
@suleymanally47293 жыл бұрын
H🏃🏃🏃
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@suleymanally4729 Nmefurai kukuona
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 Nmefurai kukuona
@suleymanally47293 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 usjl mamy nlikua beach kdg siwajua ten. Miss u🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@shedyjr32273 жыл бұрын
Kati ya episode ambayo inachukiza ni hii??
@denismugisha27 ай бұрын
Zabullon kiasi fulani ulikuwa na ka ujinga ambako pia kakichanganywa na kupenda wanawake hata bila kujali heshima ya ulipokarbishwa
@elizanzula83753 жыл бұрын
Ni kweli umepitia mangumu...but you are too careless.
@robertlinuma60513 жыл бұрын
Nataka dawa ya kuona wachawi mwenye nayo anicheki !!!!!😅,pole Sana zabron c mwita kwa matukio dunia I meng Sana ,,.
@peninahkariuki46793 жыл бұрын
Pole sana Zabloni umepitia mazito sana 😢😢🇰🇪
@mashamramba34613 жыл бұрын
Mmmmmmmhhhhh !!! Broo Zablon una majangaa wewe mungu akueke . Yani katika swala la kutokuwa makini wewe sikui tatizo nini . Very carelessness !
@wantangosaimon52953 жыл бұрын
Oyooooo pamoja sana
@winnyenockwinnyenock69863 жыл бұрын
Duh jamani maisha ya mtihani tu jamn pole sana zablon
@kenyanniggar3572 жыл бұрын
😂 chris akaja na vieti
@pili37503 жыл бұрын
Zabro anamatumizi mabaya ya pesa looh laki2 zote ununue nguo 😂😂😂😂
@dorcaskidoti2493 жыл бұрын
Na mabegi viatuuuu,, hana hata chumba alafu laki mbili kwenye nguo wakati hiyo pesa angelipa kodi na godoro sogo angenunua..alisema hasi 5000 unapata chumba
@mildredmukoshi63813 жыл бұрын
Ukweli kabisa
@venahsithole64633 жыл бұрын
Ulitakiwa uondoke ukapange kukaa kwa watu shida sana tena ni mzigo mkubwa
@mussajuma31003 жыл бұрын
50 please!
@emmanelly68643 жыл бұрын
Locked ......
@twaibumikidadi73773 жыл бұрын
stor imeisha gambosh huku n full madem na misosi
@sebastiannkoha92093 жыл бұрын
Davistar your questions shows ur not following him up.
@Oneofhiskind1233 жыл бұрын
Ila kweli kaka umepitia mengi only God knows
@mariamripiti21373 жыл бұрын
😭😭😭😭
@dinnahw3 жыл бұрын
Jamani namtamani huyu jamaa aje nipakie rangi nyumba yangu huko Madale.. jamani uko wapi mpenzi wewe?
@hamadwaziri1213 жыл бұрын
Nimewah kidogo leoo
@asiaside95583 жыл бұрын
Watu hamkawiii khaaaa
@somoeawadh77743 жыл бұрын
Team kuchelewa 💃
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Pamoja chidada changu 😍😍😍😍
@flubtv3 жыл бұрын
Chris mwenyewe ako wapi hebu ako coment hapa
@IANA20303 жыл бұрын
😂
@colonelghadafi.48063 жыл бұрын
Mombasa 🇰🇪 mtwapa npo mkao wa kula kufuatilia simulizi ya Mr misosi.
@aminaismail42213 жыл бұрын
South coast ukunda tupo makini
@shepherd1x843 жыл бұрын
Hixo dawa zako za kuchajwa zinakuletea matatizo boss
@juliusphabian63363 жыл бұрын
Davister ukitoka story inakua hainog...maana jamaa anakua aneleza bila support
@marthamaligo4583 жыл бұрын
🔥🔥🇴🇲
@godfreyassenga76713 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@shanearmarukusi44633 жыл бұрын
Naurumia nauli yangu na mda kila Siku matatizo nimegairi kuja kwa marasta sasa kivuli tayali kwanini matatizo yasihishe
@asiasalim46343 жыл бұрын
Nimewahi🤣😂🙏
@hellencerson54763 жыл бұрын
Weww na wanawake daa? Na msosi 😄
@mashamramba34613 жыл бұрын
Duuuuu !!! Munguu wanguu ? Yani una majanga
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Alhamdulillah w kwanza 🏃♀️🇪🇭🇪🇭
@suleimanmustapha1013 жыл бұрын
Hongera sana habibatiy❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@suleimanmustapha101 shkuran sana ❤❤
@suleimanmustapha1013 жыл бұрын
Marhabambiki yaa rawhanatiy❤️❤️❤️
@adbulmama50653 жыл бұрын
Pole saana rakini zabron acana namambo ya waganga .kweri Allah hakutosheleze?pia uwace uzinifu kakangu
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@adbulmama5065 umesema kwel
@kurwpaul11343 жыл бұрын
Mpaka ina uma sana ndg 😂😂😂
@shiaochang13353 жыл бұрын
Maaskini nyiiiii
@merycharles27073 жыл бұрын
Du wa 20
@johnassilvester16003 жыл бұрын
Ww ilitakiwa umwambie ukweli dah
@mamskiumbe40573 жыл бұрын
Maisha bn ni safari ndf sna
@godfreyassenga76713 жыл бұрын
1
@chidomar49583 жыл бұрын
Mmh baba😂😂😂😂
@mwajiranimesalimu55093 жыл бұрын
waongea na huzuni kwel
@jamilaokello23403 жыл бұрын
Ohh pole yani mapito yakila aina zabron, nyumba zawatu kuishi zataka moyo sana Mungu atafungua tu baada ya dhiki faraja, twende nalo😒
@euniceeunice76803 жыл бұрын
Ila watu mpo shap 😥
@afterx31723 жыл бұрын
Tupo live
@nancychissamo3793 жыл бұрын
Loh! Nimewaiiiii japo umetucheleweshea hatar
@jotafungo46223 жыл бұрын
Wajanja wamepiga ndole 😂😂😂
@violinenyakara50283 жыл бұрын
Kweli hiki kitabu kimekutesa sana
@salisali37383 жыл бұрын
Mh mtihani ina kufuata tu kila uendapo pole
@bebebebe56773 жыл бұрын
Inauzunisha san
@mildredmukoshi63813 жыл бұрын
But sio poa hivo, umetoroka kwa mganga, umetoroka na simu ya wenyewe, sasa hii tena?🤔 mamaaa wee...