Kuna story za kiki na story za kweli lakin hii inaonesha n ctory ya kweli....
@rashidyasser9423 Жыл бұрын
Hii ndio raha ya simulizi za Davista hawekagi viporo ....Ongera kazi nzuri
@janethkagya7544 Жыл бұрын
My fevorate KZfaq channel 😘❤️
@heritier5119 Жыл бұрын
Shetani Mdogo mdogo kwa mbaali utamu wa pesa za bure, ukinoga wanakukosesha masharti, Ili uwafuate wanakuongezea masharti hivyo hivyo mwishoni lazima utoe ndugu zako
@captainndoxy5769 Жыл бұрын
Baada ya miaka mi3 Leo nakuwa wa kwanza kuview
@anjelomsafi7133 Жыл бұрын
Naipenda
@mwami_the_don_ Жыл бұрын
Daah afadhar leo wa kwanza
@faidhamkoga5071 Жыл бұрын
Upo vizuri kaka.
@Mpakauseme Жыл бұрын
Hakuna utajiri wamazingaombwe mara nyingi ni ubatili tu pole sana mdogo wangu
@anjelomsafi7133 Жыл бұрын
Sawaa kbsa
@chifuthedoni8889 Жыл бұрын
Kwani matajiri wanaanzaje? Kila mtu huanzia chini!
@donathamwangobe2776 Жыл бұрын
Hii story tamu
@rerisamba Жыл бұрын
Waa masharti ni mepesi lakini umeshindwa waa vya shetani bAlaa tupu