PART58:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

  Рет қаралды 11,864

Davistar Mata Media

Жыл бұрын

Пікірлер: 237
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 Жыл бұрын
In the Name of Jesus Christ wanaotazama channel hii wote wamjue Yesu na waokoke. Nakushukuru sana Wamayo kwa kutambua mchango wangu kwako. Nami bado nitakurudia kukupatia support. Hakikisha kuwa haipiti siku bila kukabidhi maisha yako kwa Yesu.
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
Ameeeen
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen Жыл бұрын
Amen 🙏
@favouredbygod4163
@favouredbygod4163 Жыл бұрын
Amen
@Monika-cp2gk
@Monika-cp2gk Жыл бұрын
Amen
@kogalupemba6990
@kogalupemba6990 Жыл бұрын
Ameeen
@laoiyadi1176
@laoiyadi1176 Жыл бұрын
Mpaka hapa ninakili ya kwamba MUNGU yupo haijalishi unapitia wakati gani mgumu au shida gani jipe moyo na Imani kuwa MUNGU Anakuona 🙏kama wamayo pamoja na kuuwa watu lakin Mungu kamsamehe na kimtokea live ,sio rahsi itoshe kuamini huu Ushuhuda na itujengee Imani Ameen🙏Ubarikiwe mno wamayo 😊
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 Жыл бұрын
Kabisa Kabisa 😢😢huyu jamaa ushuhuda wake dah waonhyesha Mungu yupo haki Amungu
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 Жыл бұрын
Wamayo Ushuhuda wako mkubwa sana .Dhahiri umethibisha Yesu Mungu yupo,❤❤❤ haijalishi unafanya nini na unapitia mambo gani Ahsante roho wa Mungu Yesu Kristo❤❤❤
@kthomasbyarugaba5737
@kthomasbyarugaba5737 Жыл бұрын
Asante Sana bwana Davista,na bwana wamayo kwakutupatiya cakutuhelimisha,SASA nakuomba bwanaDavista,otafute muwandishi wavitabo watoto wapate kujuwa kwamba mungu ndio balabala peke yake yaku ishi ndio mwenye kila kilicho duniani na mbinguni, Amen.Jesus Christ , " Alpha and omega" Sory for my writings in Swahili, but my saviour Jesus Christ makes me speak many languages,I am an East African from Uganda but staying in Innsbruck Austria EU ,I thank you for the good job your doing. ( Let the peace of God that passes human understanding be with you and your family now and forever Amen)
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen Жыл бұрын
Mbona shetani anatesa mwanadamu 😭😭😭mateso hayo yote wamekupa na bado hawalidhiki😢😢😢 nimeumia Sana moyoni😌 bola kwenda tu kwa Mungu
@mysskibe
@mysskibe Жыл бұрын
Where is my hanky, I think I'm going to cry 😭😭 The goodness, mercies, and love of our Lord Jesus Christ never ceases to amaze me. This was such a beautiful experience ❤❤❤❤ Thank You Jesus 🙏🏾 hakuna we kufanana na Wewe
@martoo539
@martoo539 Жыл бұрын
I have too cried 😭😭
@mysskibe
@mysskibe Жыл бұрын
Guys, let us be our brother's keeper and support this man roho safi. He needs our financial and even spiritual support. Baada ya kumpa hela, tumuweke kwa maombi sana
@martoo539
@martoo539 Жыл бұрын
Enyewee nmelia sana
@happsamwita7381
@happsamwita7381 Жыл бұрын
Am crying 😭😭😭😭😭😭 ...Mungu yupo Mungu anatupenda,Mungu anatuwazia mazuri Asifiwe Yesu kristo Asifiwe Yesu kristo
@martoo539
@martoo539 Жыл бұрын
Asifiwee manze nmelia sana😭😭😭
@RosemaryPius-cs5lh
@RosemaryPius-cs5lh Жыл бұрын
AMEEN
@Inkubutembo7779
@Inkubutembo7779 Жыл бұрын
Pole sana Wamayo. Ila nikufundishe kitu, Mungu aliacha upitie huko ili uwe ushuhuda kwa ulimwengu. Kubwa zaidi anataka umtumikie kama wengine waliopitishwa huko.
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 Жыл бұрын
Usisikitike sababu ya uchumi ,maandiko yanatwambia tutafute kwanza ufalme wa Mungu hayo mengine Ni nyongoza tu,,Ukiwa umemtafta Mungu Ni utajiri tosha,,,Itoshe tu kusema Mungu yupo na anatupenda sana tujitahidi kufanya Yale yanayompendeza Yeye tu.Amen
@puritynkirote5097
@puritynkirote5097 Жыл бұрын
Wamayo njikaze na kazi na nakuomba mungu usitengemee mishahanda ya wanadam saana jifunze kutengemea mungu zaidi ya yote
@benedictkitsaochengo6505
@benedictkitsaochengo6505 Жыл бұрын
Kusema kweli mimeuatilia simulizi hii tangi mwanzo...nimeguswa sana ma kujifumza mengi sana...Pole sana Wamayo ma usikate tamaa..Mungu yuakupenda sana....Davistar hongera sana kwa kazi yako,,,,barikiweni
@benedictkitsaochengo6505
@benedictkitsaochengo6505 Жыл бұрын
Lakini pale kwa kupiga show na maiti na fish pamoja na magazine palinigusa sana
@eladymwakanyamale
@eladymwakanyamale Жыл бұрын
Amen, huu ndio Mwisho niliokua nautarajia,,, Simama imara,mtumikie YESU kwa nguvu zako zote na kwa akiri zako zote,, kazi yoyote unayotaka kufanya fanya Kwa moyo BWANA ni Mwaminifu atakushangaza.... Wamayo YESU Bwana anakupenda sana ndio maana watesi wasingeweza kukuua...
@winniemuchai280
@winniemuchai280 Жыл бұрын
My God what a testimony
@adijasuleimani4941
@adijasuleimani4941 Жыл бұрын
Ongera Sana wamayo mwenyezi mungu nimwema,tuombee nasisi wamayo.
@archdauzanliwenga
@archdauzanliwenga 10 ай бұрын
Furaha katika yote ni kuona kwamba Mungu amejidhihirisha kuwa yeye ndiye Alpha na Omega..Pole sana Wamayo kwa yote uliyopitia, tunakuombea Mungu afanye nuru na uwe ushuhuda katika kuwaokoa binadamu wengine. Ndugu tumchangie Wamayo apate maisha.
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc Жыл бұрын
Wamayo anaongea kw hurum maskini 😢 ndugu zangu tumsaidie apate kazi
@AceneyPoal-ql1wc
@AceneyPoal-ql1wc Жыл бұрын
Mungu nimwema na mpk hapo ww nimshind hongera pole kwa changamoto ulizopitia
@user-tb5jy3oe3v
@user-tb5jy3oe3v Жыл бұрын
Kumbe mungu anasamehe 7 mara 70 praise the lord wamayo
@happyness-bs3tr
@happyness-bs3tr 10 ай бұрын
AMINA! JINA LA BWANA LITUKUZWE MILELE YOTE. Anko wamayo Mwenyezi Mungu akubariki sana
@kazinzangonda230
@kazinzangonda230 Жыл бұрын
Asante sana bakari nimejifunza sana mungu akubalik sana
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
😭😭😭hii ilibidi mpaka Bwana aingilie ilikua kali sana Wamayo ni mkweli coz sauti zao viumbe vyote vya rohoni anaxijua kweli Bwana Yesu alimtokea
@marianchamba3898
@marianchamba3898 Жыл бұрын
Ameen Mungu ni muweza wayote wamayo
@cyantess8423
@cyantess8423 Жыл бұрын
asante yesu jina lako litukuzwe 🙏🏾
@azizabuyonde8368
@azizabuyonde8368 Жыл бұрын
Ulimwenguni nihatari, tushikamane na Yesu, Ulimwenguni ni hatari
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 Жыл бұрын
💔💔💔💔😭 Wamayo anahitaji msaada sana tumsaidie jamani
@emojongtv3995
@emojongtv3995 Жыл бұрын
Mungu mwenye fedha na dahabu sasa ampe wamayo utajiri halali 😢🇰🇪🇰🇪
@emmis4361
@emmis4361 Жыл бұрын
Gone through so much but is able to narrate it with easy and a smile. God continue protecting and opening closed doors.
@MartinyMaryogo-nt6xg
@MartinyMaryogo-nt6xg Жыл бұрын
asee hii epsod imenipa somo sana juu ya marafik na wat tunaokaa nao asee
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen Жыл бұрын
Eeeh Mungu msaidie wamayo aishi maisha malefu mpka nimelia😭😭😭😭anapitia shida nyingi Sana 😢 PA kulala hadi kula 😢🙆‍♀️ lakini usikate tamaa Mungu yupo pamoja na wewe nikipata pesa nitakutumia alafu nitakuja pia mimi kukusalimia hapo kwako nikija mwanza
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
Asante sana ndugu davistar mungu akuinue kwa hakika mungu akuinue,kwa hakika unafanya kazi nzuri
@stejasatv7349
@stejasatv7349 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mungu nimkubwa
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
Wamayo mungu anakupenda sana shetani angekuuwa
@princemwanamolo452
@princemwanamolo452 Жыл бұрын
Amen, Amen...Mungu akubariki Davista kwa kazi ambayo unafanya kwaku elimisha jamii..., wamayo usiwe na hofu ,ule Mungu ambaye amekutosha ndani ya nguvu za giza ata shughulikiya maisha yako ...tutazidi kukuombeya , Mungu atubariki ili tukujiye msaada wakipesa ...asante... PRINCE MWANAMOLO kutoka DRC Congo(goma)...Mungu atubariki
@laoiyadi1176
@laoiyadi1176 Жыл бұрын
Asante kutuwekea no ya wamayo haya wadau tumchangieni wamayo wetu sasa✌️
@billyisadia5651
@billyisadia5651 Жыл бұрын
Tunashukurru Mungu na Mwanawe Yesu kwa kutupea watu kama Wamayo ambao wana usimulizi mzuuuri wenye ufasaha ambao wanatutolea siri za shetani kule ambako wanapangia mipango yao mibaya dhiidi ya binadamu na kuharibu kazi za Mungu. Shetani ashindwe kila wakati.
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
Mungu huwa hapendi shortcut. Ebu ona wamayo anaanza moja.
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 Жыл бұрын
Wamayo Mungu aendelee kukutunza Yesu kristo ni mwema sana mwingi wa huruma usiludi nyuma Yesu yupo pamoja na wewe hata kuacha 😢pole kwa yote
@azizimaliki4253
@azizimaliki4253 Жыл бұрын
Duh Leo wa kwanza, Davista Muulize yule rafiki yake yule mwizi alishawahi kimtafuta
@leahchelagat2782
@leahchelagat2782 Жыл бұрын
Asaaante!!! Yesu,niling'ocha sana,saidi uokofu wa Wamayo. Wamayo,Mbunguni utaliona wewe ni wa Mungu,Milele usirudi nyuma.ubiri injili...shditani ashindwe!!!!! Uta kuwa tajiri wewe naona mimi,mungu kani onitsha.. karibu KENYA 🇰🇪 Tunakupenda
@divinahobiri4999
@divinahobiri4999 Жыл бұрын
Kwa shetani hakuna amani,am from kenya and i feel bad for this guy😭😭😭he needs help
@florences8087
@florences8087 Жыл бұрын
Even me I'm from Kenya and I have felt alot of pain for this man and the way he's so humble 😭😭
@othmanmulendelwa9622
@othmanmulendelwa9622 Жыл бұрын
Jamani tumsaidie wamayo kwahali namali msema kweli ni mpenzi wa mungu
@stanleyndosi9388
@stanleyndosi9388 Жыл бұрын
Wamayo ukiwa ndani ya Yesu hakuna jaribu la kishetani litakalokudhuru
@veronicaatieno6160
@veronicaatieno6160 Жыл бұрын
Wamayo baraka zake Mungu hazina majuto
@zenachristopher5596
@zenachristopher5596 Жыл бұрын
Duuuh... Mapito nimengi, kumbuka kutoka fungus la kumi... Linamaajabu sana ndani yake
@farusaimon3490
@farusaimon3490 Жыл бұрын
Pole sana ndugu yetu Wanayo! Historia ya maisha yako ni fundisho tosha kwetu. Tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu mwenye enzi akulinde kwa kuwa yeye ndiye aliye kuokoa kutoka katika mikono ya mashetani. Ushauri wangu kwako; 1. Endelea kumfuata, kumtafuta na kumtegemea Mungu wa kweli. 2. Endelea kujibidiisha katika kutafuta na kufanya kazi halali, hata kama ni ndogondogo. 3. Endelea kutubu dhambi ulizozitenda, Mwenyezi Mungu atakusamehe na atakupatia marafiki wa kweli wengi. 4. Jipende, kuheshimu, jithamini, jikubali na jione kuwa wewe ni mkosaji kama sisi wengine wote. Jiweke karibu zaidi na Mwenyezi Mungu aliye hai. Amina!
@Teacher_01
@Teacher_01 Жыл бұрын
Glory to Jesus
@shiquolike7274
@shiquolike7274 Жыл бұрын
Amazing, safari ya mshindi. Mungu ni pendo Amenda wote. Jina ya Yesu litukuzwe amekutendea. Usichoke kuomba
@alfayomwasile8894
@alfayomwasile8894 Жыл бұрын
Asante davista mata + wamayo mungu yu mwema daima napenda an kazi mfanyayo naamini unamtumikia mungu kwa namna ya pekee xn ubarikiwe
@favouredbygod4163
@favouredbygod4163 Жыл бұрын
Wamayu mkumbuke sana Yesu aliyekutokea na kukutoa kwenye makucha ya shetani. Mungu hawezi kukuacha, usirudi tena misri Mungu atakupa ndugu wengi zaidi mimi nitakuwa partner wako ktk maombi na kusaidiana. Isiogope uko mikono salama
@immaculateforchrist3518
@immaculateforchrist3518 Жыл бұрын
Na mimi pia najiongeza hapo KWA intercession
@user-fn3tz4cw9e
@user-fn3tz4cw9e Жыл бұрын
Mwanaume kama mwanaume safi and sana huwu ndo ushuhuda wakusimu liya jami
@delvinmogere-wt7il
@delvinmogere-wt7il Жыл бұрын
Indeed God is every where
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Muunganishe na mtumishi wa Mungu Amiel katekela plz
@mshammazengo6272
@mshammazengo6272 Жыл бұрын
Kwel hapo ataludishiwa nyota yake
@ruthcosmas5019
@ruthcosmas5019 Жыл бұрын
Mungu wako anakupenda sana wamayo
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht Жыл бұрын
AHIMIDIEWE BWANA YESU KWAAJILI YAKO WAMAYO ,NAMTUKUZA YESU SANA HAPA KUNA KIJANA MUISLAMU NAYE ANAKILI YESU NI MWOKOZI
@charlesjackson6183
@charlesjackson6183 Жыл бұрын
Umetusimulia stor yako nzur inatufundisha na kutuaminisha mungu yupo,unavotusimulia kwa mungu ni toba tosha,mungu akulinde na akukinge na shetan muovu ulomuaibisha kwa mabaya yake🙏
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Sasa nimeanza kupata Picha Lile Jua la Zumaridi aliona mwanga ni Kweli, Vijana matumaini mmepata somo hapa hakuna kitu cha bure lazima uteseke 😢
@ahmedomary2474
@ahmedomary2474 Жыл бұрын
Wa kwanza leo
@shamiriyonah7723
@shamiriyonah7723 Жыл бұрын
Mungu awe nawe wamayo polee kwa yote uliopitia mungu hamtupi kamwe mja wake .nimejifunza mengi sanaaa kwenye story yako mungu akubariki 🙏🙏🙏👋👋👋
@JaneDoe-hf3zy
@JaneDoe-hf3zy Жыл бұрын
Jina LA mungu liabudiwe milele wewe ni alifa na omenga mwanzo na mwisho Asante mungu Kwa kumuokoa mtoto wako maana wewe ni mungu wa haki yote hayo aliyo yafanya lakini wewe ume husamehe jameni tujifunze kusamehe kama mungu alivyo msamehe wamayo Asante mungu wa wamayo Kwa matendo haya makuu huu ni ushuhuda
@mildredakinyi9855
@mildredakinyi9855 Жыл бұрын
Inauzunisha sana pole sana ndunhu wamayo
@JaneDoe-hf3zy
@JaneDoe-hf3zy Жыл бұрын
Kwa sasa Niko na mazishi ya bibi yangu ila Niki maliza Nita kutumia japo kidogo kaka yangu
@leahchelagat2782
@leahchelagat2782 Жыл бұрын
Ongera! Wamayo..Nilinkoja sana yesu akuone..... please kaa kwa yesu.
@fearlessdinah6611
@fearlessdinah6611 Жыл бұрын
Kama kuna mtu mpaka sasa hamuamini kristo,basi tena hatuna la kumwambia
@laoiyadi1176
@laoiyadi1176 Жыл бұрын
No mojaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
Masha Allah Mungu yupo anaweza Kila kitu...
@HellenDaniel-gi7pk
@HellenDaniel-gi7pk Жыл бұрын
Yesu Ni Bwana
@ruthochieng468
@ruthochieng468 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@anithamageni2962
@anithamageni2962 Жыл бұрын
Dah!!! Pole sana kaka wamayo ..
@AngelMathias-lp5jy
@AngelMathias-lp5jy Жыл бұрын
Mungu azidii kukupiganiaa na kukutetea
@debrightystartz4139
@debrightystartz4139 Жыл бұрын
Saaaaaafiiiii nyinyi ndio nawataka 😂😂😂😂 wamayo jau sana mshikaji wangu 😂😂😂😂😂
@kazinzangonda230
@kazinzangonda230 Жыл бұрын
Vifaa vyote gharama yangu kila kitu
@huberttemu2205
@huberttemu2205 Жыл бұрын
Mungu awe nawe Wamayo hadi mwisho wa safari🙏
@JoyfulGod
@JoyfulGod Жыл бұрын
Glory to God.....yesu anaweza yote live for him forever.
@elizabethleonce1089
@elizabethleonce1089 Жыл бұрын
Haleluyaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu amejiinua
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Жыл бұрын
Jamanii tumchangye wamayo asirudi tena nyuma 😢
@zipporahmugowhatagoodmessa1238
@zipporahmugowhatagoodmessa1238 Жыл бұрын
Yesu ndio njia
@user-vi8st7et2g
@user-vi8st7et2g Жыл бұрын
Jaman me ndo namaliza hiki kisa nimejifunza mengi sana na mungu wetu n mungu wa kweli, wamayo na mimi nipo mwanza nitakutafuta
@Jack-ly3bt
@Jack-ly3bt Жыл бұрын
Mungu ndio kila kitu
@catherinejosephjoseph6268
@catherinejosephjoseph6268 Жыл бұрын
Asante mungu kwakumkoa mja wako haukujali kakukose mara ngapi wewe ni mwema kwetu kila siku 🙏🙏
@shamiriyonah7723
@shamiriyonah7723 Жыл бұрын
Amina
@Monika-cp2gk
@Monika-cp2gk Жыл бұрын
Yesu anaweza yoteee
@fidelaloyce
@fidelaloyce Жыл бұрын
ubalikiwe Sana bro davista wamayo ningekua mwanza ningekufundisha ujasilia Mali kaka ila Mungu akuinue kwa namna anavyo weza ndugu yangu
@evachuwa3809
@evachuwa3809 Жыл бұрын
Wanadamu wenzangu tujuwe tu yakwamba MUNGU YUPO HAI yupo MUNGU NDUGU ZANGUNI tusali daima
@janewamboi1013
@janewamboi1013 Жыл бұрын
Glory Groly to God kwa yes dio Mambo yote 👇🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@happytemu963
@happytemu963 Жыл бұрын
Mungu tunakushkru kwa wema wako, hatimae wamayo ameokoka na kuutambua ukuu wako baba 🙏
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
Amen
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 Жыл бұрын
Halafu nadhani hii ni episode ndefu zaidi kwa sasa ktk DM . Wakati fulani ile ya Zabron ilikuwa ni ndefu ila hii imevunja rekodi pia. Lakini pia content iko vizuri hasa pale mwishoni mwa yote mshindi ni Yesu : Alpha na Omega. Inasikitisha kuwa hata Shekhe akawa ana miliki majini na kukuingiza huko zaidi kuzimuni. Jamani hizi dini hizi tuwe macho nazo. Shetani atakuwa anaweka dini zake uchwara hapa duniani. Tuwe macho sana ktk hili. Ndiyo maana mara zote Yesu huwa mkombozi hakuna mwingine
@jobuish
@jobuish Жыл бұрын
NATAMANIIIII NINGEKUA NA HELAAA YA KUTOSHAAA NINGEFANYA MUV NA WAMAYO KWA KUPITIA MAISHA YAKE NI STORY NZUR NA YENYE FUNZO KALIIII
@frankinspired6486
@frankinspired6486 11 ай бұрын
Yesu akamtokea alipojikana na kusema liwalo na liwe... God is merciful!! He gave his son Jesus Christ to die for us, thats how much He loves us. There is no sin He wont forgive us if we believe and call on Jesus!
@kassianwilliam8257
@kassianwilliam8257 Жыл бұрын
Ameen Ameen, hakika MUNGU amevuna zao lake baada ya mapito yote hayo.
@agneswangeci1926
@agneswangeci1926 Жыл бұрын
Following from Kenya
@youngking4shoo
@youngking4shoo Жыл бұрын
Imeisha daah 🥲 wamayo endelea hata kutudanganya tutasikiliza tu
@ericapiyo263
@ericapiyo263 Жыл бұрын
Mungu asifiwe!
@ShipolaJohari
@ShipolaJohari Жыл бұрын
Mungu yupo
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 Жыл бұрын
Daaah Bado kidogo tu!!!!
@lilianwafula102
@lilianwafula102 Жыл бұрын
Glory to God
@christophersagilo93
@christophersagilo93 Жыл бұрын
Mungu nimwema sana
@janetgeorge7009
@janetgeorge7009 Жыл бұрын
Wamayo endelea kusali sana kaka yaani ukirudi nyuma watakumaliza wewe kaza buti tu sali sana,Yesu Kristo amekuhurumia na ndio mshindi wako usimuaibishe.
@lilianmukola806
@lilianmukola806 Жыл бұрын
Turn to God and he will carry all your burden
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
poleni kina dada poa elewenindo maisha
@user-cb7ln2ix8z
@user-cb7ln2ix8z Жыл бұрын
Leo wa kwanza
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 494 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 180 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 34 МЛН
БИМ БАМ БУМ💥
0:14
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 2,4 МЛН
БАТЯ И ЗОМБИ АПОКАЛИПСИС , МИРУ КОНЕЦ?
20:52
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 3,4 МЛН
Would you recognize your soul mate by smell?
0:14
Den Done It
Рет қаралды 19 МЛН