PATA FAIDA ZAIDI YA TSH. MIL. 2 KWA KILIMO CHA MAHINDI YA KUCHOMA/GOBO

  Рет қаралды 24,073

AGALUS  TV

AGALUS TV

4 жыл бұрын

KILIMO cha MAHINDI ya kuchoma kinafaida.

Пікірлер: 122
@tegemeourassa213
@tegemeourassa213 Жыл бұрын
Masha Allah umealaza vizuri na vp ikiwa ni shamba tuyanyumbani kiyasi maitaji hayauzu kwa kiyasi kidogo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tupo pamoja ndugu.mtaji utapungua sana
@UmmyAhmad-jr9ql
@UmmyAhmad-jr9ql Ай бұрын
Kumbe uchum tumeukaria wenyew ,asante kwa kutupa elim
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Mungu ATUSAIDIE Sana. Barikiwa pia
@mohammediramadhani581
@mohammediramadhani581 2 жыл бұрын
Umesema kwa maeneo ya joto itachukua miezi miwil na nusu adi mitatu na kwenye bardi miezi minne adi mitano hii inategea Aina ya mbgu au mbegu yoyote ile itatofautishwa kwa sababu ya iyo Hali ya hewa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Mbegu, huduma na Hali ya hewa
@CraftWithAnnaya
@CraftWithAnnaya 4 жыл бұрын
nice work keep up the good work.. well done
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Thank you
@marcomugeta3528
@marcomugeta3528 3 жыл бұрын
Asante Sana, nipoBukombe- Geita mbegu gani inanifaa kwa mahindi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Mbegu hutofaitiana eneo na eneo hivyo ni vizuri ukaenda duka la pembe jeo karibu nawe atakushauri zaidi kw eneo ulilopo ni mbegu gani utumie
@FarmingWithJoshe
@FarmingWithJoshe 3 жыл бұрын
Hata nami mapanga kupanda mahindi hivi karibuni,,shukrani sana,,
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Tunakutakia mafanikio mema ktk kaz zako Mungu akubarikk
@user-lv5zf8oh8b
@user-lv5zf8oh8b 2 ай бұрын
Mm nafulaiya uduma tako
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@altafhajji5982
@altafhajji5982 3 жыл бұрын
Asante mkuu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu🙏🙏🙏
@ibrajames6288
@ibrajames6288 3 жыл бұрын
Thanks much
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pa 1 ndugu bt Siku nyingine usifanye kama ulivyo fanya kuweka link za video zako kwenye channel ya mtu. Bila mawasiliano na Muhusika kiukweli umenipa kazi sana kuzidelete link zako. Ni vzuri tukawasiliana. Barikiwa sana🦶🦶🙏🙏
@MWALIMUMBUNIFU89
@MWALIMUMBUNIFU89 4 жыл бұрын
Kazi nzuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 жыл бұрын
Thnx
@danielmwakatuma1438
@danielmwakatuma1438 3 жыл бұрын
Asante kwa kutufundisha ujasilimali.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pa1🤝🤝
@francismua7825
@francismua7825 3 жыл бұрын
Cool
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
🤝🤝🤝🤝
@jumaduba5489
@jumaduba5489 3 жыл бұрын
Nashukuru kwamaelekezo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pa 1
@stanfordshao8436
@stanfordshao8436 4 ай бұрын
Mahindi no aina Gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Mbegu za chotara /hybrid zinazaa. Onana na bwana shamba ktk eneo unalotaka kulima muulize ni mbegu gani ktk eneo langu zinazaa vizuri
@KhalidKhan-ud9cz
@KhalidKhan-ud9cz 4 ай бұрын
Mzuri Sana kweli 💖
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
TUPO PAMOJA NDUGU 🙌🤝
@faridamsangi4416
@faridamsangi4416 2 жыл бұрын
Mimi nipo kilmanjaro wilaya ya hai. Je ni mbegu gani nzuri ya mahindi ya kuchoma na aina gani ya mbolea?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ni vizuri ukawasiliana bwana/ bibi shamba w karibu nawe
@josephinembelenge4578
@josephinembelenge4578 5 ай бұрын
Nina Eka 9 nimejipanga kulima mahindi ya kuchoma msimu huu wa mvua za masika,vipi nitauza mahindi yangu ukizingatia nalimia ndani ndani sio rahisi kupata wateja wa rejareja sana ila ni pwani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Jitahid ufanye savey ya soko kwanza
@mercymichael476
@mercymichael476 6 ай бұрын
Nimepata ujuzi zaidi asante.Niko Arusha mbegu inayofaa ni ipi?kilimo ni cha umwagiliaji.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Hongera Sana karibu ktk kilimo. Kuhusu mbegu c rahisi kukwambia ila ushauri tembelea duka LA Pembe jeo la karibu AU mwone bwana shamba aliyekaribu nawe. AU wakulima w karibu na shamba unalotaka kulima wao WATAKUPA uzoefu ktk eneo lao ni mbegu gani nzuri
@abdulhabibu1011
@abdulhabibu1011 Жыл бұрын
Vizuri kwa somo zuri ila sijasikia gharama za umwagiliaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Apo hutegemea na eneo ndugu
@genytoaquimo1596
@genytoaquimo1596 4 жыл бұрын
good
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 жыл бұрын
Thnx
@MWALIMUMBUNIFU89
@MWALIMUMBUNIFU89 4 жыл бұрын
Safi sana , na hongera sana,
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 жыл бұрын
Thanks
@ramadhankyando3101
@ramadhankyando3101 4 жыл бұрын
Safi mkuu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 жыл бұрын
Thnx
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 жыл бұрын
Thnx
@gracebenjaminnapokeakatika9565
@gracebenjaminnapokeakatika9565 2 жыл бұрын
Ni mbegu gani ya mahindi nzuri ambayo tuitumie
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hybrid 628 kwa kwetu Mbeya
@bashirosman7978
@bashirosman7978 2 жыл бұрын
Mbeegu ipi Ni ndefu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kwa wapi
@chrispinbanzi6960
@chrispinbanzi6960 3 жыл бұрын
Hapo gharamaya viwatilifu haipo.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Ipo ila ni lugha tu nimetumia jina la sumu au dawa za wadudu
@hamisikagunila7272
@hamisikagunila7272 2 жыл бұрын
mbegu gan bora kwa mahindi ya kuchoma?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Upo ukanda upi? Mkoa gani maana mbegu zinatofautiana kulingana na eneo I
@sharifukhalid2065
@sharifukhalid2065 3 жыл бұрын
Napenda sana hili zao
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Karibu. Ndugu
@jamesernest3107
@jamesernest3107 3 жыл бұрын
ILA KIUKWELI MAHINDI NI ZAO AMBALO NI ZURI SANA
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Ni kweli ndugu Ila ukijua tu kulitunza yaan muhindi ni zao vumilivu Sana kw iyo ukuhudumia kidogo tu yatazaa vzur
@anethkaria3792
@anethkaria3792 3 жыл бұрын
Najifunza mengi ahsante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Karibu sana
@jamesernest3107
@jamesernest3107 3 жыл бұрын
Nimeipenda hii
@emanuelimassawe7823
@emanuelimassawe7823 3 жыл бұрын
Je kiteto mkoa wa manyara kunafaa kwa kilimo hicho
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Mahindi ndugu yangu kw tz hii yanalimwa sehemu yeyote ilo somo nikukuonesha tu mahindi yako endapo utauza kw lengo la kuuza mabichi faida yake itakuaje ukilinganisha na makavu pia unatakiwa uyaandae vipi mahindi yako kw sifa za kuuza mabichi
@safiyaramadhan9616
@safiyaramadhan9616 2 жыл бұрын
Namba yako jaman
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Wasap +255765467484
@sospeterwilliam4868
@sospeterwilliam4868 2 жыл бұрын
Vijijini kule kaka ni shida mbolea Aina ya smadi wanayo tatizo hii elimu au wataalamu wa Kilimo hawapo na lembejeo za Kilimo nitatizo mnawasaidiaje kupata huu utaslamu?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Tusadiane kueneza elimu🙏
@FriendsandFamilyVlogsUK
@FriendsandFamilyVlogsUK 4 жыл бұрын
Massallah nice
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 жыл бұрын
Your welcome
@samweliherman3659
@samweliherman3659 3 жыл бұрын
Namba ya.simu ya mnuñuzi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Kuna mbinu tu za kupata soko bt hakuna namba moja kwa moja
@johnmsalluka7530
@johnmsalluka7530 3 жыл бұрын
Mbegu nzuri ni zipi majina yake
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Sorry braza mbegu hutofautiana na mazingira yaan hali ya hewa so ni ngumu kukwambia mbegu nzuri ni ipi
@zawadikalugira2676
@zawadikalugira2676 Жыл бұрын
Naomba kujua mbegu Bora ninunue mbegu Gani? Yaani kampuni Gani? Na mbolea yakaampuni gani mamba Yako tafadhali
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Mbegu utegemea na eneo ni vizuri kumwona bwana shamba aliyekaribu AU duka LA Pembe jeo lililo karibu
@angelinamsemwa5592
@angelinamsemwa5592 3 жыл бұрын
Vipi kuhusu sweet corns kaka? Zinalimwa kama mahindi ya kawaida tu au kuna utofauti?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Kila kila ktu kinafanana izo mbolea pia shida ayo mahindi y corns yanashambuliwa sana na wadudu so udhibiti zaid ya wadudu ni muhimu
@abdallahahmed9043
@abdallahahmed9043 2 жыл бұрын
.
@winnienjau8134
@winnienjau8134 3 жыл бұрын
Hiyo ni mbegu gan inaitwaje
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Hybrid 628
@margaretmkangala7774
@margaretmkangala7774 7 ай бұрын
Hiyo mbegu ya mahindi ya kuchoma inaitwaje?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Tembelea duka LA Pembe jeo WATAKUPA wanayo itumia
@hassanally2743
@hassanally2743 3 жыл бұрын
Mmh
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Hatari
@francismartin2938
@francismartin2938 4 жыл бұрын
Nimeona baba mungu akubariki sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 жыл бұрын
Amina
@charlesmadia5655
@charlesmadia5655 3 жыл бұрын
Ni mahindi aina gani yaani jina lake yanayofaa Kwa kuchoma?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Mbegu hutegemea na eneo ulilopo maana naweza kwambia jina kumbe haifai ukanda uliopo hayata weza kubali
@lugekahibi6883
@lugekahibi6883 3 жыл бұрын
Sina ya mbegu za mahindi ya kuchoma kwa Mia wa Pwani ni zip Mkubwa, pse.
@lugekahibi6883
@lugekahibi6883 3 жыл бұрын
Sina za mbegu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Ngoja tunalifanyia Kaz swali lako ndugu maana mbegu hutofautiana kulingana na Hali ya hewa ya ukanda mfano mbegu za nyanda za juu kusini mikoa ya iringa, mbeya rukwa Ni tofauti na maeneo yenye joto bt umesema kw maeneo ya pwani au
@lugekahibi6883
@lugekahibi6883 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV mkoa wa Pwani, Mkuu.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Ok bt kiukweli Mimi nafahamu mbegu za nyanda za juu kusini uwa natumia hybrid 628 zipo kwenye mfuko wa kaki ndyo nzur kw kúchoma kw upande wetu Sasa kwa uko ulipo nipe muda kdogo tufanye uchunguzi kidogo uku tukisaidiana ndugu lakini unaweza ulizia izi mbegu hybrid 628 Kama zinapatikana
@kornelijoseph4748
@kornelijoseph4748 3 жыл бұрын
kwa mkoa wa pwani mbegu ipi inafaa nipo huku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Sory mbegu siwez kukwambia mbegu fulani ni bora zaid kuliko nyingine cha msingi nenda dukani la pembejeo mchek muuzaji au wakulima wa eneo husika watakwambia mbegu kwa eneo lako
@jurakikiyonjo7041
@jurakikiyonjo7041 10 ай бұрын
Nimisiki.kaka
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Ok
@sirkipingu6721
@sirkipingu6721 3 жыл бұрын
Ivi waeza panda mihogo na mahindi ktk shamba moja na ikastawi bila shida ?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Yaaah japo muhogo ikiwa midogo
@patrickrobison7091
@patrickrobison7091 3 жыл бұрын
Ni mbegu gan nzur zaid hapa zinazofaa?
@marcomugeta3528
@marcomugeta3528 3 жыл бұрын
Mbolea zipi zinafaa kwa kilimo cha mahindi, zitumike muda gani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Mbolea zipo za kupandia, kukuzia na matunda na utumika kwa muda kulingana na wtk husika kuna wa kupanda, kukuzia na kuweka za matunda pia
@patrickrobison7091
@patrickrobison7091 3 жыл бұрын
Ni zipi hizo mbolea kiongoz?
@eyksaz3677
@eyksaz3677 3 жыл бұрын
Zao hili ni AJABU!! Faida mpaka Mil 7, kzfaq.info/get/bejne/g7p6h9iYzLavdKc.html
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Karibu Sana ndugu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Apo ni kuotea soko tu bt kuzaa lipo vzur
@eyksaz3677
@eyksaz3677 3 жыл бұрын
Okay
@josephinembelenge4578
@josephinembelenge4578 5 ай бұрын
Hiyo ni mbegu Gani mkuu?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Iliyolimwa apo AU
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 3 жыл бұрын
Vema nayafanyia Kazi mafundisho yako.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Nashukuru barikiwa sana🙏🙏
@amosikiboko103
@amosikiboko103 2 жыл бұрын
Naitaji mawasliano yako
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Okay
@flevouronlinetv133
@flevouronlinetv133 3 жыл бұрын
Hivi kaka haya mahidi kwel kwenye hekal moj unaweza kupata hay mahid 9000 na je hayanaxhida kwel kuhusu uuuzaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Yaaah ni matunzo tu mahindi unapata ayo yaliyo mazuri . Kuhusu uuzaji ni ubunifu wa ku time soko maana ukivuna msimu wa mahindi yakiwa mengi apo yatakusumbua. Lazima ujue ni msimu gani mahindi yanakua adimu nawe nenda katoe uo muda
@remymavika9976
@remymavika9976 3 жыл бұрын
ko shamba limejilima? mana hujapigia gharama za kulima
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Yawezekana uli skip ilo somo bt gharama ya kulimia shamba ipo apo ndugu fuatilia vzuri
@remymavika9976
@remymavika9976 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV Unanichosha tu, nimerudia sijaona. ni dakika ya ngapi!?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Any way but gharama za kukodi ni inategemea na eneo bt kat ya lak 1 hadi laki na nusu apo
@remymavika9976
@remymavika9976 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV sio kukodi, gharama za kulilima shamba! kukodi umeweka, ukaanza kupigia gharama za mbegu na vibarua wa kupanda bila kulima shamba
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pole sana ndugu naomba usiskip Fuatilia vizur tu ila imetajwa ni 70 elfu kulima. Inapatikana kwenye dk 3 na sekunde 21 Ivi
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 25 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 16 МЛН
JINSI YA KUUA WADUDU  KWENYE MAHINDI
13:35
AGALUS TV
Рет қаралды 16 М.
FAIDA   ZA  MDARASINI/CINAMON/  KWA  KUKU
6:43
AGALUS TV
Рет қаралды 21 М.
PATA ZAIDI YA MIL.  10 KWENYE KILIMO CHA MIHOGO
13:14
AGALUS TV
Рет қаралды 17 М.
KILIMO CHA MAHINDI
28:53
Kilimo Biashara
Рет қаралды 48 М.
#TBCSHAMBANI:  KILIMO CHA MAHINDI
27:45
TBConline
Рет қаралды 29 М.
kilimo cha viazi mviringo/viazi ulaya
10:05
KILIMO PESA
Рет қаралды 22 М.
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН