PATANISHO : JAFRED - NILIKOSANA NA BIBI YANGU BAADA YA KUMTUSI MAMA YANGU MZAZI

  Рет қаралды 10,964

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

25 күн бұрын

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #patanisho
Subscribe to RadioJambo KZfaq - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Пікірлер: 55
@solomonoduor
@solomonoduor 24 күн бұрын
First coment kutoka Israel wapi likes ❤
@munyanyeful
@munyanyeful 24 күн бұрын
Nimekuona
@bensonngichabe946
@bensonngichabe946 23 күн бұрын
Mimi ni Hamas😂😂
@user-ed1cf9nq5w
@user-ed1cf9nq5w 23 күн бұрын
Umeuwa watoto wangapi Gaza?
@edwardriaga
@edwardriaga 18 күн бұрын
Unafanya nn uko man
@julianamalinda2357
@julianamalinda2357 13 күн бұрын
@@solomonoduor karibu NLD
@julianamalinda2357
@julianamalinda2357 24 күн бұрын
Mimi ni mama but jameni tuwache ku control wake wa watoto wetu lets give them peace,..wewe funga domo the way u talk i feel like grrrrrr
@kaninamargaret8025
@kaninamargaret8025 23 күн бұрын
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@bettyauma349
@bettyauma349 14 күн бұрын
Kabisa
@thomasmwathe8575
@thomasmwathe8575 24 күн бұрын
Mamas boy😂😂
@chullakoi8803
@chullakoi8803 24 күн бұрын
Mm siwezi weka mke wangu kwa mamangu.
@kaninamargaret8025
@kaninamargaret8025 23 күн бұрын
NEVER
@chullakoi8803
@chullakoi8803 23 күн бұрын
@@kaninamargaret8025 watatembeleana wakisalimiana kukaa pamoja zii....
@BridgitNafula-xq7xe
@BridgitNafula-xq7xe 19 күн бұрын
😂😂😂mm nangoja mother in-law apass ndo niolewe ju boyfriend yangu n kitinda mimba...kilakitu n mamake..hata naogopa kumuolekea ju mamake alifukuza father in-law...na mm sasa nitafaulu hayo maisha
@linetkhavugwi209
@linetkhavugwi209 23 күн бұрын
Mama mama mama mama .wangu mpaka tv alikua anauliza mama tununue gani , 😅😅😅
@Ndakui
@Ndakui 16 күн бұрын
Pole
@carloswekesa254
@carloswekesa254 18 күн бұрын
"Akamuliza mama, unapika mboka kani, mama akasema, leo nimeunda mishebebe"..................🤣🤣🤣
@AnnahNzoka
@AnnahNzoka 21 күн бұрын
Hii ndunia ya mungu Ina mambo.
@Ndakui
@Ndakui 16 күн бұрын
Waaah.mimi siwezi tusi mother in law hta afanye aje.mungu uko
@cathynaliaka5285
@cathynaliaka5285 24 күн бұрын
MIL wants to control things but wife hataki ...... truth be told the wife didn't keep quiet pia yeye Ali react
@sekanicanory9915
@sekanicanory9915 24 күн бұрын
👍👍👍👍👍👍👍
@justuskemboi2322
@justuskemboi2322 24 күн бұрын
Mamas boy
@vivianagolla5124
@vivianagolla5124 24 күн бұрын
Mamas boy hahaha
@sekanicanory9915
@sekanicanory9915 24 күн бұрын
yes
@vivianagolla5124
@vivianagolla5124 24 күн бұрын
@@sekanicanory9915 bt mama nae aachane na bibi ya kijana
@charitykamau4785
@charitykamau4785 24 күн бұрын
Mamas boy bure kabisa
@vivianagolla5124
@vivianagolla5124 24 күн бұрын
@@charitykamau4785 nakwambia my dear ni noma saana huuezi ongea mamake Amekufikia wee
@hamisikassimmwatamu7949
@hamisikassimmwatamu7949 24 күн бұрын
Mama ni mama ata kama Ako na makosa ni mama hapewe heshima yake akuna mwengine zaidi ya mama
@sharonelekisha2722
@sharonelekisha2722 19 күн бұрын
But dating mama’s boy is not easy
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 24 күн бұрын
Mother in-law especially wa sai sio rahisi kudeal now ni kama mnacompe now,my sister use to tell me ukitaka ndoa mzuri tafuta penye mama mkwe alishapass😢😢
@softymoha5484
@softymoha5484 24 күн бұрын
wewe ukiolewa...funga mdomo kwa mama ya mtu. coz hata wewe utakuja kuwa mother inlaw....siku moja. wasichana wa sikuhizi hawana heshima na mama za bwana. ju yule mama yule ni kijana wake,,,amekuzalia mume,,,so nilazima ufunge mdomo...huwezi peleka mdomo kwa boma la wenyewe. ju ukitusi tu mama mkwe,,,nawe pia utakuja tusiwa na bibi ya kijana wako
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 24 күн бұрын
@@softymoha5484mawaitha hayo kampe mamako na mkeo na bintiyo,sijakuuliza ushahuri nyoko wewe
@softymoha5484
@softymoha5484 24 күн бұрын
@@user-cg3vf2bl6b sasa matusi ya nini? matusi hayana maana yeyote... duniani sisi wapita njia.... hatutaishi milele,,,so ukitusi mwenzako...kaa chini ujiulize mbona unamtusi bila sababu
@softymoha5484
@softymoha5484 24 күн бұрын
@@user-cg3vf2bl6b sasa matusi ya nini? matusi hayana maana yeyote... duniani sisi wapita njia.... hatutaishi milele,,,so ukitusi mwenzako...kaa chini ujiulize mbona unamtusi bila sababu. mimi nimekujibu kwa sababu uliandika comment...usingeliandika....singelikujibu...bt nimekwambia ukweli....
@marrieann5278
@marrieann5278 24 күн бұрын
​​@@softymoha5484Kwani mama mkwe akukosee heshima anataka akucontrol kwako,what is that? Si ako na nyumba yake hiyo ni yangu,niliolewa ndoa kama hiyo nilitoka unakuta bro na sis inlaws wanakucontrol hadi umepanga nyumba yako wanakuuliza nani amekwambia upange hivi,napewa pesa niende saloon mama ananipiga mkono ili pesa ianguke aone ni ngapi nimepewa then anacomplain eti sio lazima nishuke nywele,hai mabro na masiz wote wanakuja hapo muishi na wao,na mm kumbe kuna wawili walienda mm ni watatu na ni mama na watoto wake wanafukuza,nilienda bila kuangalia nyuma hata mtoto niliacha,saa hii analea kijana yangu hadi kijana yake alimwambia ju ulifukuza beba huo mzigo na ilikuwa makelele na kijana eti ulifukuza bibi yangu,alinifuatilia nirudi nilikataa,saa hii am happy married kijana hana mama wala baba sina stress,huko hata kijana alioa akatoka kwa boma saa hii bibi yuko hawamwongeleshi,kisa na maana eti amekalia kijana yao,sasa hao ndio mnawaita mother inlaw tuwaheshimu ndio sisi tuheshimiwe🙄🙄
@mumbentahthomas9954
@mumbentahthomas9954 24 күн бұрын
I saw this post FB. The wife ako too much. Kumtusi mama ya mtu sio poa. Respect matters alot.
@marrieann5278
@marrieann5278 24 күн бұрын
Kuna evil mother inlaws wanapush mtu kwa ukuta especialky Luhyas,kama hujawai kuwa kwa hiyo shoe you can't judge,wamama wanacontrol mtu hadi kwa bedroom yake,hadi anataka ajuwe nywele umesuka ni pesa ngapi aih shindwe
@lilianambete1361
@lilianambete1361 23 күн бұрын
Mother inlow should have some respect too you can't own your sons wife nop
@MargaretAwinja-ls7hx
@MargaretAwinja-ls7hx 23 күн бұрын
​@@marrieann5278weee c waluhya wote plis😂😂😂😂
@marrieann5278
@marrieann5278 23 күн бұрын
@@MargaretAwinja-ls7hx Majority kwanza mm huyo nakhufiala alikuwa Mluhya mbaya sana alifanya nikachukia wanaume waluhya😂😂😂
@marrieann5278
@marrieann5278 23 күн бұрын
@@MargaretAwinja-ls7hx majority ni wabaya sana,nimeona wakifukuza mabibi za vijana😂😂😂
@florencemutuku6797
@florencemutuku6797 12 күн бұрын
Ukiona mtu ako na kiherehere ya kupinga sim jua yeye ndo mkosaji
@rachelmuch5788
@rachelmuch5788 23 күн бұрын
Hyo sio ndoa wee
@elisabethmbatha4245
@elisabethmbatha4245 19 күн бұрын
Mimi wangu ukitaka kuuuxa mbuzi lasima mama akuambie ni mbizi ngani utauza
@susanmuthoni5482
@susanmuthoni5482 23 күн бұрын
Watafute nyumba yao..otherwise there will never be peace.
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 24 күн бұрын
mwanaume wa aina ii ni punguwani tu
@wakiama9609
@wakiama9609 24 күн бұрын
Hapa dawa nikueka baka gate
@bettyauma349
@bettyauma349 14 күн бұрын
The mother should leave the daughter of law alone.
@bettyauma349
@bettyauma349 14 күн бұрын
Tell your mother to mind her own business.
@Waziri77
@Waziri77 13 күн бұрын
STOP MARRIYING WIVES FOR YOUR MOTHERS, KAA NA WIFE WAKO
@moreh462
@moreh462 22 күн бұрын
Huyo jamaa ndo fala. Unaachia bibiako kazi ya mjengo aje. Stupid
@diackomwansu660
@diackomwansu660 19 күн бұрын
Sikuizi mothers-in-law and sisters-in-law are destroying marriages 😂
PATANISHO :  MKE WANGU ALIMPELEKA MTOTO KUTAHIRI MPAKA WA LEO HAJARUDI
17:15
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 58 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 1,7 МЛН
PATANISHO : SHARON - MUME WANGU HANA 'BRAKES' ANAPENDA WANAWAKE SANA
20:56
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 337 М.
PATANISHO : MELODY - HUYU MWANAUME AKO NA UTOTO SANA,SITAKI MAMBO YAKE
19:03
PATANISHO: Mpenzi wangu sio sponyo! - Lucy amtetea
19:41
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 97 М.
Katta ndanauma acemanitie na muthungu hindi ya rutha arari o matuura 🤣
24:00
PATANISHO :  GIDI SI UMCHUKUE! WACHA KUNISUMBUA
19:21
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 104 М.
Anxiety panic attack (Inside Out Animation)
0:11
FASH
Рет қаралды 9 МЛН
family is everything 🥺❤️ #shorts
0:16
Pop it GO
Рет қаралды 4,6 МЛН
НАЛЕТЕЛ НА БРАТА САНИ🧨
0:36
RFC Fighting Championship
Рет қаралды 344 М.
НАЛЕТЕЛ НА БРАТА САНИ🧨
0:36
RFC Fighting Championship
Рет қаралды 344 М.