PAUL MWANGOSI: NAKUAMINI YESU NAKUAMINI

  Рет қаралды 188,769

Paul Mwangosi

Paul Mwangosi

Жыл бұрын

MOYO WA IBADA.
Hizi ni siku za Mwisho lakini Imani yako umweka wapi
Maana Biblia inasema mwenye haki ataishi kwa Imani
Usiku ule Musa anamsikia Mungu akitoa maelekezo juu ya kupaka Damu katika milango, yamkini kuna baadhi ya Wamisri walisikia, Ila hawakuwa na Imani
IMBA WIMBO HUU PAMOJA NAMI KWA IMANI
NAKUAMINI YESU NAKUAMINI
NAKUAMINI YESU NAKUAMINI

Пікірлер: 154
@goodluckmsuya8994
@goodluckmsuya8994 Жыл бұрын
Nakuamini Yesu wangu bado nitaendelea kukuamini YESU WNGU
@rulebudodo2301
@rulebudodo2301 Жыл бұрын
Umefanya vema sana kaka. Mungu azidi sana ndani yako
@natembeanayesukristo_madha9295
@natembeanayesukristo_madha9295 Жыл бұрын
My brother naomba nifundishe kumtumikia Mungu katika uzuri wa utakatifu wake kama vile daudi alivyosema nitamtumikia Mungu katika uzuri wa utakatifu wake....
@edrozakfashionstylish5500
@edrozakfashionstylish5500 Жыл бұрын
Suwezi hata kuandika zaidi ya kulia Sijui kwanini nishindwe muamini alonitendea ni mengi sana kama ameweza kunilea tangu wazazi wangu waondoke duniani nimekuwa nikilelewa na watu mbalimbali hata hapa nilipo ni neema yake tu. Miaka 22 bila wazazi na sasa niko Europe naishi maisha niliyoyataka why not?😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 I trust you Jesus, I love you Jezu, I worship you Jesu ❤
@augustinenjagi404
@augustinenjagi404 2 ай бұрын
My all time worshiper. One day by God's grace we will meet and plan something. Yesu nakuamini.
@donniemirobo8047
@donniemirobo8047 Жыл бұрын
Kaka Mwangosi nami pia namwamini Yesu pamoja na mlango wote wa nyumba ya baba yangu.
@JoeKaragu
@JoeKaragu Жыл бұрын
This new song "Nakuamini", God gave me the exact same song last year October 22 and I actually recorded a voice note. When I heard you sing it I remembered it immediately. Glory to God for using you mightily!
@SherryEverest
@SherryEverest 2 ай бұрын
Nakuamini Yesu bado Nakuamini wewe Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@marynyambu8886
@marynyambu8886 7 ай бұрын
I want a miracle of healing lord I want to testify your healer name najua utaniponya tu😢😢
@Suzana-cw5cd
@Suzana-cw5cd 2 күн бұрын
NAMI naamin Yesu atatenda Kwa Yale ninayopitia leo kazini kupata haki yangu.
@neemakitasho2305
@neemakitasho2305 Жыл бұрын
Huu wimbo nimeusubiri mno nilikuwa nausikiliza online radio ya Mungu kwanza kila ukipigwa naacha kufanya ninachofanya na hata ukipigwa nikiwa usingizini naamka. Wimbo huu una upako wa aina yake. Barikiwa mtumishi na huduma yako inabadilisha...Mungu aendelee kukutumia kutuvuta karibu Naye.
@dokasimwamlima3550
@dokasimwamlima3550 Жыл бұрын
Ameni ameni aaminiwe aliyeko ju ju ju ju zaidi huu ni wimbo wenye nguvu rohoni hakika mungu azidi kuwajalia nguvu zaid na zaid za kutoa nyimbo nyingi kuweza kulitangaza jina la mkuu alie umba mbingu na nchi hakika hallelujah hallelujah mungu awabaliki Sana nyote mulioshiliki nyimbo hii maana tumepokea kitu ndani yake 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👈
@JBB875
@JBB875 2 ай бұрын
😭😭😭 nakuamini sana YESU nakuamini mnoooo kuliko vyote 😭😭😭🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@user-uf5sz2nk6w
@user-uf5sz2nk6w 10 ай бұрын
Mungu akubariki mwangosi kwa huu wimbo mzuri
@aivanntomi9484
@aivanntomi9484 Ай бұрын
Nakuamini Nakuamini Nakuamini Nakuamini Nakuamini Nakuamini Nakuamini Yesu
@dorcasmaunganya9299
@dorcasmaunganya9299 Жыл бұрын
Amen Amen Huu ni wimbo wa moyo wangu Asante YESU kwa ajili ya Mwangosi nimejibiwa Maombi ,,, NAKUAMINI YESU Was waiting for this miracle may your soul be blessed abandantly...
@RuthKhamali
@RuthKhamali Жыл бұрын
Amina nakuamini yesu hata kama hujanijibu wewe unajibu nakuamini yesu
@devotharaphael9392
@devotharaphael9392 2 ай бұрын
Hata sasa katika haya mapito yanayoendelea bado nakuamini Yesu.😭😭😭😭
@wendebange8580
@wendebange8580 Жыл бұрын
Amina sana mtumishi tupone
@AbigailElius
@AbigailElius 8 ай бұрын
Nakuamini Yesu
@berthabernard622
@berthabernard622 Жыл бұрын
Sioni cha kunitega na wema wako Yesu nakuamini kwako niko salama
@paulinekimani7687
@paulinekimani7687 Жыл бұрын
Powerful song.full of holy spirit.hata Mimi Yesu nakuamini.yote yaliyo mbele yangu.nakuamini 100 percent bila wewe Mimi siwezi.
@felicianamhema9411
@felicianamhema9411 Жыл бұрын
Amina Bwana YESU. Nakuamini na nitaendelea kukuamini bila kujali ni nini kinatokea kwenye maisha yangu. maana ahadi zako ni kweli na kama uliahidi hutaniacha utakuwa pamoja siku zote hata ukamilifu Bwana YESU nakuamini. AMINA, UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU NA MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA KWAAJILI YA UTUKUFU WA JINA LAKE MILELE NA MILELE. 🙏
@johnfilbert5915
@johnfilbert5915 Жыл бұрын
Mtumishi ulikuwa umetutelekeza vijana wako tunaohitaji kumwabudu Mungu katika viwango vya juu,barikiwa sana
@IloveJesus-nd7sw
@IloveJesus-nd7sw 8 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu. I do trust Jesus.
@lucywangui1552
@lucywangui1552 Жыл бұрын
Nakuamini kwa Hili🙌🙌🙌hata kama naona nikungumu nakuamini mungu wangu.time like this I will testify how faithful your timing is🧎‍♀️🙏.
@sallyo6099
@sallyo6099 Жыл бұрын
Baba mwaminifu ......YESU nakuamini!
@marymalingunamulinda1858
@marymalingunamulinda1858 Жыл бұрын
To me this is the song of the year Lord Jesus I know and believe you are alive sitted at the right hand side of God the Father. I trust in you
@christophermuli-jy6qs
@christophermuli-jy6qs Ай бұрын
In seasons and out of seasons,,,ana stahili kuaminiwa milele
@dorcasmaunganya9299
@dorcasmaunganya9299 Жыл бұрын
AM BLESSED MUCH🙏... na Bro Msuya YESU akuinue zaidi.. niliona clip nkataman ata nipate ii nymb since last year was pray for... THANKS MUNGU awakumbuke daima
@PendoJohn-jk5jx
@PendoJohn-jk5jx 11 ай бұрын
Nakuamini Yesu, nisamehe kutoamini kwangu
@Minister_Vinnie
@Minister_Vinnie Жыл бұрын
I will always believe and trust in You Jesus no matter the situation 🙏
@JoyceAkyoo
@JoyceAkyoo Жыл бұрын
Haufananishwi BWANA, wewe pekee ninakuamini YESU❤❤
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 8 ай бұрын
Kama unaamini kuna Watu Mungu anawatumia kubariki na kuinua Imani za wenginegonga like hapa..❤❤🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪
@markpaulmumba5847
@markpaulmumba5847 3 ай бұрын
Nakuamini wee YESU
@elkanakilumbe
@elkanakilumbe Жыл бұрын
Nakuamini Yesu Nakuamini,
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Ameen ubarkiwe mtumish
@tumainimwaitebele8926
@tumainimwaitebele8926 10 ай бұрын
Nakuaminiiii, YESU nakuaminiiii.
@sarahmtindo2373
@sarahmtindo2373 5 ай бұрын
Yesu nakuamini 💯
@amirikitururu9494
@amirikitururu9494 7 ай бұрын
Nakuamini yesu wangu
@oman798
@oman798 6 ай бұрын
AMINA ni YESU tu peke yake Haufananishwi
@namlehufrancis2655
@namlehufrancis2655 Жыл бұрын
Nakuamini Bwana katika haya nikuombayo ipo siku utanijibu Yesu nakuamini😭😭😭😭😭😭
@stellakussaga3537
@stellakussaga3537 Жыл бұрын
Woooow!!!huuu wimbo ni mpya bila shaka!!!kwekweli nakuamini Yesuuuuu shujaa wa msalaba!umegusa moyo wangu!!! upandishwe Kwa viwango vya juu zaidi na zaidi mtumishi Paul Mwangosi!!!
@evelynsalila
@evelynsalila 2 ай бұрын
Nakuamini yesu 🙏
@PendoJohn-jk5jx
@PendoJohn-jk5jx 11 ай бұрын
Nakuamini Yesu ni mengi umenisaidia, nisamehe kutokuamini kwangu
@sitikatembo5835
@sitikatembo5835 Жыл бұрын
Nakuamini Bwana Wangu Yesu Kristo 🙌🙌
@ruthsakipuga3511
@ruthsakipuga3511 Жыл бұрын
Nakuamini Yesu nakuamini
@user-gr4vu2qh9s
@user-gr4vu2qh9s 10 ай бұрын
Mungu akulinde 🎉
@michaelmbena6644
@michaelmbena6644 Жыл бұрын
tunaomba utuwekee na wimbo wa ebeneza huwa naupenda sana
@nurusaidi3642
@nurusaidi3642 Жыл бұрын
Nakuamini Sana yesu wangu ni nini kinitenge na upendo wako dhiki njaa au uchi nakuamini mnooooooo yesu Mungu akubariki Sana Paul mwangosi
@user-vu6vd7re9r
@user-vu6vd7re9r 11 ай бұрын
😭nakuamini Yesu🙌
@sejoko
@sejoko Жыл бұрын
Nasema, Yesu Nakuamini Amina; Baraka na utukufu na shukrani na uweza na nguvu zina Mungu wetu hata milele na milele. Amina.
@richardkayumbo2885
@richardkayumbo2885 Жыл бұрын
Kuna uzima wa milele katika kumwamini Yesu Kristo. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa wimbo wa ibada, ni wimbo unaogusa sana.
@frankanatory6801
@frankanatory6801 Жыл бұрын
Power full groly to the lord God almighty the king majesty
@janetshuma4605
@janetshuma4605 Жыл бұрын
Nakuamini YESU hujanikatia tamaa, najua upendo wako kwangu n mkubwa sana, I need a joyful life from you
@felicianamhema9411
@felicianamhema9411 Жыл бұрын
Nakuamini Bwana Yesu naamini kuwa utakuwa pamoja nami siku zote huchoki kunihurumia na kunitendea na kunitegemeza. Jina lako Bwana Yesu na lihimidiwe. Asante Yesu kwa kila kitu kwa furaha na kwa huzuni, kwa kupata na kwa kukosa, kwa kushinda na kwa kushindwa. Daima wewe utabakia kuitwa Mungu. Asante sana Bwana yesu
@paumtur4822
@paumtur4822 Жыл бұрын
Yesu nakuamini wewe katika Mapito ninayoyapitia nakuamini utanivusha,hakika ntaendelea kukuamin Leo,kesho,hata mile..Amina.😭😭🙏
@neemaelinyari807
@neemaelinyari807 Жыл бұрын
Nakuamini Yesu hujawahi kunia Cha hata nilipojikwaa uliniinua Tena.Asante kwa rehema zako.
@cherry00510
@cherry00510 Жыл бұрын
JINA LA YESU LIIINULIWE SANA
@ianmurengu1540
@ianmurengu1540 Жыл бұрын
I PUT MY FAITH IN YOU LORD GOD!
@Johnsonkayila
@Johnsonkayila Жыл бұрын
Very Powerful 🔥🔥 still am believing in Him
@yunasiulisajaissah8998
@yunasiulisajaissah8998 Жыл бұрын
Hata sasa nakuamini Bwana. Sitachoka kukuamini kwa uaminifu wako maishani mwanangu.
@janetshuma4605
@janetshuma4605 Жыл бұрын
Nakuamini Yesu though nmepoteza watoto utanipa wengi zaidi , this is my cry to you. My name is mom of Nations kwa baraka zile ulizompa Sara
@rosemaryulomi2282
@rosemaryulomi2282 Жыл бұрын
Hakika katika hali zote.Yeye Yesu Kristo anadumu wakuaminiwa,milele na hata milele.
@dogemushi5560
@dogemushi5560 Жыл бұрын
Nakuamini Nakuamini sana Yesu wangu❤❤
@natembeanayesukristo_madha9295
@natembeanayesukristo_madha9295 Жыл бұрын
My brother naomba nifundishe kumtumikia Mungu katika uzuri wa utakatifu wake kama vile daudi alivyosema nitamtumikia Mungu katika uzuri wa utakatifu wake....
@khainzajoan9602
@khainzajoan9602 Жыл бұрын
Wow amen amen amen amen 🙏
@egesatv7997
@egesatv7997 Жыл бұрын
I really love this man of God, I keep praying for you Sir. Hope one time will meet
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 6 ай бұрын
He's a very humble creature one day I met him live, prepare for a conference Dodoma thuandamane I
@rosekandonga6023
@rosekandonga6023 Жыл бұрын
Nakuamin Mungu wimbo umenivusha kwayale nayo kumbana nayo najuwa Mungu nakuamin m balikiwe watumishi Mungu awainuwe zaid
@gwamakamwasongwe8053
@gwamakamwasongwe8053 Жыл бұрын
Nakuamini Yesu Kwa Mtumishi wako Mwangosi Mungu wewe ndiyo Kila kitu kwetu
@emmanuelepafradito3766
@emmanuelepafradito3766 Жыл бұрын
Nakuwekea amana maisha yangu yesuuu🙌
@nawikemwasamboma5510
@nawikemwasamboma5510 Жыл бұрын
Asante kaka mwangosi kwa kunifundisha kitu. Hapa nimeelewa nilikuwa sijui chochote
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
🙏🙏 Amen n amen We miss u mwangosi jmn kwenye semina,duh
@rachelkaymax547
@rachelkaymax547 Жыл бұрын
YESU NAKUAMINI...BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU
@lazaroraphaelmwandosya7010
@lazaroraphaelmwandosya7010 Жыл бұрын
nakuamini Bwana🙏🙏🙌
@marygati4688
@marygati4688 Жыл бұрын
Naamini kwa hilo kabisa
@eliasfijabo4995
@eliasfijabo4995 Жыл бұрын
Amen good songs mungu akuinue kwa viwango sana
@gabrielmwakwenje8924
@gabrielmwakwenje8924 Жыл бұрын
Asante Yesu nakuamini Baba... ubarikiwe sana mtumishi...
@oliveessveedee
@oliveessveedee 6 ай бұрын
Hakika,hakika...nakuamini Sina mashaka na wewe.......
@jannefidelis1364
@jannefidelis1364 Жыл бұрын
Balikiwa sana
@user-tx3ei3gi9t
@user-tx3ei3gi9t 7 ай бұрын
Amina 😢😢😢
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 8 ай бұрын
Hallelujah
@paulwafula1958
@paulwafula1958 Жыл бұрын
To God be the glory ❤
@breakthroughsynagogue2021
@breakthroughsynagogue2021 Жыл бұрын
be uplifted my brother in service and calling.....glory be unto Him who liveth above
@Boniface.
@Boniface. Жыл бұрын
Amen Amen Hakika katika yote tunakuamini Mungu
@merrynmwambene5109
@merrynmwambene5109 Жыл бұрын
Nakuamini yesu
@josephkenya4079
@josephkenya4079 Жыл бұрын
Yesu nakuamini.. this one oooh🔥🔥touches me🙏🙏
@EmmanuelKwayu
@EmmanuelKwayu Жыл бұрын
Amina Sifa na Utukufu kwa Mungu pekee
@ellyraphael6067
@ellyraphael6067 Жыл бұрын
Amen 🙏
@aivanntomi9484
@aivanntomi9484 Ай бұрын
Amen
@janelunanilo162
@janelunanilo162 Жыл бұрын
Nakuamini Yesu thanks Paul Mwangosi
@AshleyNassaryOfficial
@AshleyNassaryOfficial Жыл бұрын
Utukufu Kwa YESU barikiwa sana baba🙌
@vmavindu3803
@vmavindu3803 Жыл бұрын
Nmefurahia kuona hapa mtumishi 🙌🏽
@sarahshibonje1201
@sarahshibonje1201 Жыл бұрын
I wil always trust u Daddy coz in Isaiah 55:11 says no word comes out of your mouth wil come back to u null and void I trust u Jehova Adonai
@nawikemwasamboma5510
@nawikemwasamboma5510 Жыл бұрын
Namuamini yesu maana Kama siyo yeye Mimi nisinge comment
@nsiaussiri1025
@nsiaussiri1025 Жыл бұрын
Nakuamin Yesu wng 🙏🙏🙏
@lilianwere9628
@lilianwere9628 Жыл бұрын
Amen. YESU NAKUAMINI. HALLELUJAH
@marthamwakatobe1596
@marthamwakatobe1596 Жыл бұрын
Woow wimbo wenye upako. Hakika Yesu nakumini
@godfreyezekiel6448
@godfreyezekiel6448 Жыл бұрын
BWANA nakuamini🧎🏾😭
@esther-we1wr
@esther-we1wr Жыл бұрын
ooooh halleluja nakuamini yesu wangu
@ezrakaturitsaofficialtz7873
@ezrakaturitsaofficialtz7873 Жыл бұрын
Amen Holy Spirit is in this Song
@albentinaleonard3679
@albentinaleonard3679 Жыл бұрын
Bwana YESU nakuamini tu
@dhahabujoyce
@dhahabujoyce Жыл бұрын
Powerful..."Ndio nakuamini"
@marlynnecheruto184
@marlynnecheruto184 Жыл бұрын
Powerful song🙌
Christopher Mwahangila  - MUNGU NI MUNGU TU (New Music Video)
8:40
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 1,2 МЛН
WORSHIP SONGS BY LAVENDER OBUYA
1:02:34
Lavender Obuyah
Рет қаралды 596 М.
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 32 МЛН
PAUL MWANGOSI:  Nani kama wewe/worship songs
16:51
Paul Mwangosi
Рет қаралды 170 М.
Kila Siku Kila Saa
10:47
Paul Mwangosi - Topic
Рет қаралды 284 М.
THE BEST OF PATRICK KUBUYA | PLAYLIST
1:49:11
Patrick Kubuya
Рет қаралды 329 М.
Nyimbo Mpya za Maombi
55:46
Spark Music
Рет қаралды 3,8 МЛН
MTAKATIFU BY PAUL MWANGOSI [OFFICIAL VIDEO]
17:15
Paul Mwangosi
Рет қаралды 342 М.
Hakuna Gumu Kwako
10:32
John Lisu
Рет қаралды 19 М.
PAUL MWANGOSI. YESU UNIPENDAE.
6:22
Paul Mwangosi
Рет қаралды 14 М.
Patrick Kubuya - Naamini (Live Recording)
11:05
Patrick Kubuya
Рет қаралды 1,7 МЛН
Best of Eunice Njeri worship songs of all time, 2024 uninterrupted worship
28:50
DEEP KENYAN POWERFUL WORSHIP
Рет қаралды 261 М.
Umeniosha
15:59
Paul Mwangosi - Topic
Рет қаралды 17 М.
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 32 МЛН