PETER MSECHU AUPONDA MJENGO WA MWIJAKU, ADAI HAUNA THAMANI YA BILIONI ATOBOA SIRI "ANGENITAFUTA"

  Рет қаралды 139,196

Millard Ayo

Millard Ayo

7 ай бұрын

Пікірлер: 316
@user-bk6ue5zl5t
@user-bk6ue5zl5t 6 ай бұрын
Kaka hongeraaa sanaaa umeongea point sanaaaa hongeraaa mungu akubariki ushushe mjengo mwingineee
@enockmlyuka6475
@enockmlyuka6475 6 ай бұрын
Peter umeongea point na Kwa busara. Ni miongoni mwa vijana wachache ambao ni mfano wa kuigwa! Inaonesha kuwa una nidhamu na umelelewa vizuri! Hongera Kwa kumjali mkeo na kuthamini mchango wake ktk mafanikio yenu!
@odiramwamba-fb2el
@odiramwamba-fb2el 6 ай бұрын
Big up !
@boniphacejohn2981
@boniphacejohn2981 6 ай бұрын
Safi sana Peter, point sana na busara nyingi mnoo kichwani
@KUPASteven
@KUPASteven 6 ай бұрын
Safiii Sanaa msechu
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 6 ай бұрын
Peter ameongea fact sana huweZ pata interview nzur yenye ukweli kama hii amini hivo😅😅😅😅😂😂
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 6 ай бұрын
Yaaaan nilikuwa nakusubilia hii interview ya Peter msechu maaana walikuwa wanakutag Sana na nyumba yako Ila umeongea kwa utulivu Sana
@mwakwelisaid3152
@mwakwelisaid3152 6 ай бұрын
Congratulations mr msechu for ur advise
@shafiimwehemba4549
@shafiimwehemba4549 6 ай бұрын
Awali sikuwa namfahamu Msechu, kumbe ni mtu mwenye busara zake! 👏👏👏
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 6 ай бұрын
Alafu ni Msomi pia
@selestinokazumba
@selestinokazumba 6 ай бұрын
Haya ndo maneno yakuongea mtu mwenye akili Big up msechuu
@amaniluhambire5080
@amaniluhambire5080 6 ай бұрын
Big love from Canada. Naomba namba ya Peter Msechu.
@user-qo5vn9xl8v
@user-qo5vn9xl8v 6 ай бұрын
Msechu nimsanii mwenye akiri nahofu yamungu big up msechuumewaelimisha vizuri vijana
@user-qy4vz9tr5n
@user-qy4vz9tr5n 6 ай бұрын
Big up Msechu , you were focused . From +254
@eppiemodest
@eppiemodest 6 ай бұрын
Sikieni. Mwijaku nyumba siyo yake. Mnapoteza mda kuzungumzia. Ya nini kulinganisha nyumba ya owner na mwingine mpangaji tu. 😂😂😂😂.. Mwijaku ni mpangaji tu. Sifieni ya Peter ambaye ni nguvu zake mwenyewe. Hongera brother Peter na mkeo.👏👏👏👏👏👏😇
@felistersanga4207
@felistersanga4207 6 ай бұрын
Mjengo wako naukubali Sana msechu big up mama Lolo
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 6 ай бұрын
Binafsi nimevutiwa sana na nyumba ya msechu ingawa mwijaku nae katu nyoosha🙌
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 6 ай бұрын
Nimeuchukua ushauli wako🙏Hongera sana msechu
@alecheconradninje6183
@alecheconradninje6183 6 ай бұрын
Kaka Msechu weka wazi ndo taaluma ya mkeo kasoma Ardhi university ana degree kali mnooo😂
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 6 ай бұрын
Hongera sana Msechu nyumba yako nzuri sana nimeona kwa nje tu hiyo garden na garbions zimepandisha thamqnivhiyo nyumba sana
@dicksonmutabazi1966
@dicksonmutabazi1966 6 ай бұрын
Msechu kaongea vyema sana, sisi wataalamu wa ujenzi tumemuelewa.
@leaherasto929
@leaherasto929 6 ай бұрын
Nikweli nyumba nifinishing. Msechu nyumba yako nzuri sana Finishing nigharama sana pia Mwijaku honger kwakujenga utakuja kukarabati miaka ijayo
@hawamsangi5590
@hawamsangi5590 6 ай бұрын
Huyu mwijaku nilimbukeni kubali nyumba ya Msechu ina mvuto Hilo ghorofa lake sio standard . Hiyo bathroom tiles za mchina alafu the bathroom is big for nothing kaweka SINK jeusi choo cheupe daah. Peter Msechu is also interior designer tena international designer hiyo ni talent yake. Big up Msechu that is a good house and classic.
@laukhanpaulo4996
@laukhanpaulo4996 6 ай бұрын
Daah Msechu kiukweli umejenga mwanangu kwanza hapo ndani kwako ni 🔥🔥🔥 tunavionaga kwenye TV
@rerisamba
@rerisamba 6 ай бұрын
Lakini. Nyumba ya Msechu imekaa na msingi mzuri
@user-zh2ko6nj5g
@user-zh2ko6nj5g 6 ай бұрын
msechu unajitambua, upo unique...last time tulikutana ktk tukio la mradi wa mwalimu Nyerere....kwel nilipenda style ya music wako ambao upo ktk promo
@othumanomari1589
@othumanomari1589 6 ай бұрын
Congratulations bro kimfaacho mtu nicheke nahakuna kitukibaya urichokitafuta kwa jashorako💪💪
@abedysteven4930
@abedysteven4930 6 ай бұрын
Af pia nyumba ya mzechu Ina gharama kubwa kuliko ya mwijaku!
@deusdedithjoseph7588
@deusdedithjoseph7588 6 ай бұрын
Safi Sana brother una akili sana msechu nafurahi muno kutupa moyo
@Allyabdalah-oj2wc
@Allyabdalah-oj2wc 6 ай бұрын
Very matured
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 6 ай бұрын
Safi sana msechu umeongea kama mwanaume
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 6 ай бұрын
Kusema kweli mi mwenyewe nyumba ya mwijaku siku yielewa japo nami sina 🫠 bora ange jenga nyumba ya chini ya maana
@RaymondNjengo-bq1zc
@RaymondNjengo-bq1zc 6 ай бұрын
Kiwanja kidogo cha Mwijaku kujenga nyumba ya chini,ndio maana kajenga ya juu ili apate nafasi
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 6 ай бұрын
😅😅😅😅
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 6 ай бұрын
Yani wa Bongo kila kitu munacho fanya lazima mukipost kwenye media😢😅😭 this is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 4 ай бұрын
Wanahamasishana, Kwa hili litawakumbusha vijana kushindana ki maendeleo na sio kujirusha wapi na nani, mrembo yupi au kapangisha nyumba ya gharama Gani na maeneo Gani! Vijana shindaneni kumiliki vitu kama hivi.. Hongera sana Msechu, Hilo umeitoa hapo ni darasa kubwa.
@deusntobi6682
@deusntobi6682 6 ай бұрын
Busara zimefunika ufaham wa msechu. Hongera kwake kwa kujitambua kiasi hicho
@fredrickmichael2317
@fredrickmichael2317 6 ай бұрын
Huyu chagga Ana uelewa naongea ukweli si kupata sifa..nyumba ya msechu ina kiwango ina dhamani zaidi
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 6 ай бұрын
Msechu ni Mpare sio mchaga
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 6 ай бұрын
MSECHU NIMEKUPENDA HUWAVUNJI MOXO VIJANA BALI UNAWATIA MOYO NAO WAANZE TARATIIBU.
@NataliaKenny-vb6os
@NataliaKenny-vb6os 6 ай бұрын
Nyota na ing'ae kwako wee nakuombea🎉😊
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 6 ай бұрын
Msechu umeongea pointi safi sana
@RodriguezOdhiambo
@RodriguezOdhiambo 6 ай бұрын
Akili kubwa SANA mwanangu...hongra Petermsechu
@piterfedrick4647
@piterfedrick4647 3 ай бұрын
Hongera sana peter na asante kwa kutufundisha vijana
@mussaally1499
@mussaally1499 6 ай бұрын
Very positive
@aluneanthony3468
@aluneanthony3468 6 ай бұрын
Dah meschu big up
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 6 ай бұрын
Peter umeongea point sana yaan hubabaishi
@starjay3052
@starjay3052 6 ай бұрын
peter msechu umeongea ukweli kabisa ata me najenga naona ela jinsi nnavotumia ela mwijaku muongo peter yupo saii
@ismailjuma6185
@ismailjuma6185 6 ай бұрын
Kaka ww ndo muanzilishi wa hili battle la ujenz wa nyumba big up umetu inspire sanaaa kaka asant saaanaaa
@sabokoMAILA
@sabokoMAILA 6 ай бұрын
Point sana msechu
@AbuubakarMfinanga
@AbuubakarMfinanga 3 ай бұрын
Dah kwel yupo vizur mashalah
@cymioncassian4846
@cymioncassian4846 6 ай бұрын
Msechuu nmekuelewa sana tena mno,maneno Unayosema yamenif undisha sana,mimi mwenyewe kibanda changu nmeanza kujenga 2019 mpka leo sijamaliza na sio nyumba ni kibanda cha kuepuka kugombana na wenye nyumba mjini hpo,tuache sifa mnatakiwa mseme Ukweli ili sisi tujifunze kutoka kwenu,
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 6 ай бұрын
Big nimekupata umejielewa sana
@righitkileo
@righitkileo 6 ай бұрын
❤❤point .❤❤ila hiyo nyumba ya Mwijaku ni ya kawaida sana. Hiyo qarama anayoisema hamna.kama.kiki labda sawa.kawaida sana
@rynerlinuma8484
@rynerlinuma8484 6 ай бұрын
Gharama aloitaja Mwijaku ni kikombelezo tu
@KSACTV
@KSACTV 6 ай бұрын
FROM KENYA NYUMBA YA MSECHU NI KALI SANA KWA WASANI WA TZ VERY DETAILED
@saadarashid8174
@saadarashid8174 6 ай бұрын
So so true 👍 nyumba hujengi siku moja
@user-yq4sn6cq1l
@user-yq4sn6cq1l 6 ай бұрын
Wewe unabusala saana kaka msecu safi sana
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 6 ай бұрын
Msechu anaongea facts
@gidixgillogillo3359
@gidixgillogillo3359 4 ай бұрын
umeniinspire sana brother msechu sana yan sjawai kua inspired namna hii. nami ntajenga zaidi ya hii
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 6 ай бұрын
Nyumba kujenga taratibu ndio inakuwa nzuri coz unadisaign taratibu na kwa uwakika na kupata material yauhakika unakuwa na mda mzuri wa kuchagua
@tingathebest
@tingathebest 6 ай бұрын
Asante peter msechu umetufundisha sana❤❤❤❤❤
@aishatest4451
@aishatest4451 6 ай бұрын
Asante Sana kaka
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 6 ай бұрын
Ooooh kumbe maneno alianza mwijaku 😂😂😂😂😂peter msechu achana na mambo ya mabishano,sio style yako. bora mtu una nyumba jamani ...kwani ni mashindano😮😢🙄🙄🙄
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 6 ай бұрын
nyumba ya mwijaku haizid mlion 500 iyo bi,1.3 akawambie wamasai
@beatricemrisho8431
@beatricemrisho8431 6 ай бұрын
Big up msechu
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 6 ай бұрын
Msechu yko real sannnah.
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 6 ай бұрын
Msechu kwa kweli Mwaka mmoja kujenga nyumba na hela ipo... unaweza jenga nyumba hata mwaka ni mwingii sana .
@edsonDR_90
@edsonDR_90 6 ай бұрын
Nyumba nzuri hata kama una pesa ya kutosha atleast kuanzia mwaka
@yusuphkanyuza1974
@yusuphkanyuza1974 6 ай бұрын
Safi sana kaka kwa ushauri wako mzr
@floramwakyosi9298
@floramwakyosi9298 6 ай бұрын
big up sana Msechu
@user-bi3fw7li3p
@user-bi3fw7li3p 6 ай бұрын
Well said
@peternyambui7492
@peternyambui7492 6 ай бұрын
Safi sana!!
@duncanwanjeri6500
@duncanwanjeri6500 6 ай бұрын
Oyaaa nairobi
@Truly_Afrikan
@Truly_Afrikan 6 ай бұрын
The big brain talking points
@moseskulola6913
@moseskulola6913 6 ай бұрын
Sijawahi kumusikiliza uyu jama peter .ina ni mtu anaakilizake timamu .anaogeha jambo lamahana sana ku usumaisha .kwanza nyumba yake kalisana tena sana Mimi naishi cape town .kuishi kwenye nyumba ya chini dio utajiri gorofa ni style zakimaskini sikuizi matajiri wote wanaishi kwenye nyumba as chini kama nyumba ya peter msechu ...kaka peter usiwe najibu kama ule mwijaku chizi ule .sio muzima ..
@user-hl9xu4vo1q
@user-hl9xu4vo1q 6 ай бұрын
Msechu yupo sahihi sana, nyumba yangu ilikua naijenga haraka sana, inabidi niturie ili nifanye kitu kizur zaidi
@Kissarop
@Kissarop 6 ай бұрын
Mwijaku.I think is crazy person
@user-yw1rq3xj1q
@user-yw1rq3xj1q 6 ай бұрын
Umenene hapo kakaa🎉
@ChiefKisensiOnline
@ChiefKisensiOnline 6 ай бұрын
Fact ☝🏾👍🏿💪🏿
@user-yj5sz9tl2b
@user-yj5sz9tl2b 6 ай бұрын
salute kaka uko wazi bro
@AhimidiweMchau
@AhimidiweMchau 2 ай бұрын
Kweli kabisa brother
@starjay3052
@starjay3052 6 ай бұрын
ata mimi mtani kwangu watu wamejenga magolafa ila me yachini na boma tu ahabali wanayo ✌️💯💯 ipo ivo mwijaku kaongea uwongo me boma mbaka nimekamilika na ni bola la viumba vi 4 ila nimetumia milioni 6 mbaka leo mwijaku muongo
@musamalabeja3670
@musamalabeja3670 6 ай бұрын
Umetisha mkuu, umeongea Kwa data
@Muuzambuzi
@Muuzambuzi 6 ай бұрын
Safii msechu
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 6 ай бұрын
Bro uko sawa kabisa ..busara
@clarencendyetabula3080
@clarencendyetabula3080 6 ай бұрын
Msechu big up umeiongea ukweli mzee ila wale wa makele tunajua wanachikilenga.
@robertevarist1595
@robertevarist1595 6 ай бұрын
Wasanii wote wangeishi ktk ukweli km Msechu, Jamii ingeelimika sana kupitia Muziki wao na Maisha yao binafsi
@ruu6592
@ruu6592 6 ай бұрын
Msechu nyumba yako nzuri sana
@robertmsigalla9259
@robertmsigalla9259 6 ай бұрын
Msechu unaongea kikubwa sana kaka❤
@raimajimoto1122
@raimajimoto1122 6 ай бұрын
Point
@user-ib7kn6fs4x
@user-ib7kn6fs4x 6 ай бұрын
Hata boss wa doto magar ilisifu nyumba ya peter
@jumamohamedi4280
@jumamohamedi4280 6 ай бұрын
Uko gud Sana broh
@lucienkalombo8501
@lucienkalombo8501 6 ай бұрын
Nakubali kaka
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 6 ай бұрын
Nice
@zerochanneltanzania3797
@zerochanneltanzania3797 6 ай бұрын
Hapa ndo utajua kuwa #mwijaku sio mpenda naendeleo kwa wenzake…na elimu yake haijamsaidia chochote. Uwezi kaa mbele ya chombo cha habari ukazungumza shiti… 1.3 billion. “Unaijua ??????” Peter msechu anaongea ukweli..na utainspire vizazi na vizazi. #mwijaku ropo ropo tu…
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 6 ай бұрын
Matured brain
@annasalum4700
@annasalum4700 6 ай бұрын
Anaongea vizuri sana msechu haropoki yani .
@hawamsangi5590
@hawamsangi5590 6 ай бұрын
Nyumba ya Msechu ni nzuri na thamani.na very stand very organized tiles zake ni za Spain sio mchina garden nzuri .ghorofa ya mwijaku ni wingi wa matofali sir nzuri
@cmantz8837
@cmantz8837 6 ай бұрын
Una b moja unajenga mwaka mzima unajenga nini?
@rashidywandwi1543
@rashidywandwi1543 6 ай бұрын
28day you have m25 or 20 according of engneer recomandation but that is 28 day exactly okay
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 6 ай бұрын
Kaongea point sana
@paul1985ization
@paul1985ization 6 ай бұрын
Good
@DM_15
@DM_15 6 ай бұрын
Kweli kabisa finishing yake ni beirahis sana mimi kama mjenzi nina experience hio
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 6 ай бұрын
Afu nikweli nyumba ya mwijaku ni vyumba vilivyobebana TU sio gorofa😂😂😂
@BoniphaceNzumbe
@BoniphaceNzumbe 6 ай бұрын
Kongore sana braza
@lovesallu5292
@lovesallu5292 6 ай бұрын
😂😂Msechu barikiwa❤
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 6 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏👏
@user-ks9ic7ss5x
@user-ks9ic7ss5x 6 ай бұрын
Big up mwijaku
@AhadiMkuyu
@AhadiMkuyu 6 ай бұрын
We ndoumeongea point sio mwijaku mpenda masifa
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 15 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 194 МЛН
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42