VIDEO: BABA LEVO Atoboa SIRI nyumba ya MWIJAKU/Sio yake/Kanyumba KEMBAMBA

  Рет қаралды 89,821

Rick Media

Rick Media

7 ай бұрын

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------

Пікірлер: 158
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 7 ай бұрын
Hamjajua Hawa majamaa wanaakili Sana ni kuchezatyu na akili zetu😅😅 B Levo anajua Nyumba ya mwijaku
@uwimana6533
@uwimana6533 7 ай бұрын
Kabisa 😂😂😂
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 7 ай бұрын
Hahahaha 😆
@zainabwage4658
@zainabwage4658 7 ай бұрын
Ni kwer
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 7 ай бұрын
Ndio Teknik ya kupata kipato chao,,,hadi kuweza hata kujenga
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 7 ай бұрын
Wao wanajuana.
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 7 ай бұрын
He he heeeeee,nichekw.mie,nilikua nataka baba levo ucheme, chema zaidi broo bado ujachema😂😂😂😂. Nakupenda sana baba levo Kwa niaba ya Diamond 😂😂😂
@allybobsaith
@allybobsaith 7 ай бұрын
Kwa haraka haraka hio ni nyumba ya BABA LEVO mnakorogwa akili😂😂😂
@EmmmaTembo
@EmmmaTembo 7 ай бұрын
Hawa jamaa baba levo na Mwijaku ili kazi zao ziende vizuri lazma wapingane na siku wakikubaliana au wateteane lazma kazi zao zitapunguwa
@rerisamba
@rerisamba 7 ай бұрын
Hizo nyumba za juu mnaxipenda lakini ukizizoea zina kusinya inafika mahali kupanda stairs inachosha
@CarorinaJohn
@CarorinaJohn 7 ай бұрын
Binadamu kulizisha kaz sanaaa
@karloladislaus45
@karloladislaus45 7 ай бұрын
Hati sio issue kubwa. Nyumba yangu nimehamia 2016 hati ya kiwanja nimepata 2023
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 7 ай бұрын
Yaan uhamie 2016 af hati ya kiwanja 2023 😂😂 ulijenga kweny kiwanja ambacho hakina hati? Kilikua cha nan? Hat ya kiwanja na nyumba nitofauti em tuache
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z 7 ай бұрын
Kweli peter msechu kiukweli ana nyumba
@hamadmakame6040
@hamadmakame6040 7 ай бұрын
Jengeni nyumba akhera
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 7 ай бұрын
Acha majungu baba revo
@donkaloza6985
@donkaloza6985 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂et gorofa Modo😂
@oneplustv3862
@oneplustv3862 6 ай бұрын
😂😂😂 uyu jamaa bhana ety gorofa modo
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m 7 ай бұрын
hahahahaha baba levo mbwaaa ww we yko ikwapi bongo noma
@djmosikahayo
@djmosikahayo 7 ай бұрын
levo ❤😂🇨🇩
@user-jw2mo1oj6d
@user-jw2mo1oj6d 7 ай бұрын
Uyuu baba levooo atafiaaa mdomoo
@user-to3uq1ct6d
@user-to3uq1ct6d 7 ай бұрын
Kwa milioni 125 nakubaliana na baba Levi
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Ila babalevo
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 7 ай бұрын
Baba leo kichwakogum😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hanifamziray277
@hanifamziray277 7 ай бұрын
Nyieeeeee eti kisima😂😂😂😂
@user-zl8ls4dw6w
@user-zl8ls4dw6w 7 ай бұрын
Baba levo umeongea haki
@user-il1kv9zv9j
@user-il1kv9zv9j 7 ай бұрын
Ukweli baba levo nyumba no modo
@user-rm6ph3sm5j
@user-rm6ph3sm5j 7 ай бұрын
hahaha hawa wanajuana...mimi wananifurahisha tu
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 7 ай бұрын
Wivu en!
@user-jb2zg5cp7j
@user-jb2zg5cp7j 7 ай бұрын
Kamali😂😂
@nishawangaiwangai9765
@nishawangaiwangai9765 7 ай бұрын
Imagine babalevo aongea kaukweli pahali😂😂
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 7 ай бұрын
Nilichogundua baba level anapenda sana kuitaja namba 3😅😅😅😅
@newttechog75
@newttechog75 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂mmae
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 7 ай бұрын
Umesema ukweli ningeshanga Kama nipesazawo bilamukopo but it’s OK☺️
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 7 ай бұрын
😂😂😂😂 eti Gorofa modo daah
@ISMAILNASHON-zh3sg
@ISMAILNASHON-zh3sg 7 ай бұрын
Hii nimeipenda kwa hawa jamaa,"" mtu anapokosoa kazi yako ndo vizuri maana anakufanya ujione bado hujafika
@joycemlay5762
@joycemlay5762 7 ай бұрын
Ety ana hipsi kubwa😂
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 7 ай бұрын
😂😂😂
@user-ho1ho2uk9n
@user-ho1ho2uk9n 7 ай бұрын
Mwambie huo mama
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 5 ай бұрын
Baba levo umezakiwa na kipaji cha komedi kweli
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 7 ай бұрын
Nyumba ya mke wake.. huo ndio ukweli
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 7 ай бұрын
Wanajuana hawa
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 7 ай бұрын
huyu baba levo ni mkongoman sio mtz anavibali kama hana mpelekani congo
@mwajemisalum8277
@mwajemisalum8277 7 ай бұрын
Baba levo wacha maneno fanya kweli na wewe
@EminathaKombotela
@EminathaKombotela 7 ай бұрын
Kuchangia tim gan
@-KINKAU
@-KINKAU 7 ай бұрын
Acha roho mbayaaaa sio kila kitu Uwe unapiga Uwe unakubali hayaa tunasubiri ya kwako
@ernestelias7889
@ernestelias7889 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 babalevo bwana awa jamaa waacheni2 wanajuana wenyewe
@beatricewmussa4049
@beatricewmussa4049 7 ай бұрын
Jitu zima wivu wa kitoto khaaa!
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 7 ай бұрын
hawa wanajuwana naww 😅
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 7 ай бұрын
Kama umeona baba levo anajinusa makwapa yake nipe like yako
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 7 ай бұрын
Baba Level mbona unajichanganya, mala nyumba siyo yake sasa unampongeza kwalipi🤣🤣🤣🤣
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 7 ай бұрын
Uwusiyo😂😂😂
@jaywellprince5369
@jaywellprince5369 7 ай бұрын
Anampongeza tu kua kashirikiana na mkewe ila anaamini mwenye hati miliki ni ya mkewe
@muhirefiston83
@muhirefiston83 7 ай бұрын
​@@jaywellprince5369 😂😂😂😂 wivu tupu kk Ako nao😅😅😅😅
@kalungamabrucki61
@kalungamabrucki61 7 ай бұрын
Hebu acheni kuongea madudu huku Marekani na canada watu wanaoishi magorofani ni maskini matajiri wanaishi kwenye Villa za chini uliza sisi wabeba box wote huku tunaishi magorofani sasa acheni ulimbukeni
@josephlorri431
@josephlorri431 7 ай бұрын
Umeongea ukweli... hata boss hakai seat ya mbele​@@kalungamabrucki61
@user-wi2iu1yw7g
@user-wi2iu1yw7g 6 ай бұрын
Huna jipya fala were,ya kwako iko wapi?
@anitarafa
@anitarafa 7 ай бұрын
😊😊😊comments ndio zinabamba......i don't want pics i what problems 😂😂😂😂😂
@leecode6135
@leecode6135 7 ай бұрын
Hiyo inaitwa Tinny house ndio style ya siku hizi
@user-bf2qe3zk4s
@user-bf2qe3zk4s 7 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@JacksonJohn.
@JacksonJohn. 7 ай бұрын
😂😂baba levo. Foundation) slab) finishing milion 100 akil yenu kubwa xna nyie
@user-es7cw2zi3j
@user-es7cw2zi3j 6 ай бұрын
eti modo
@user-gq9im9tu3d
@user-gq9im9tu3d 7 ай бұрын
Bab levo
@user-wy6tv5uq5c
@user-wy6tv5uq5c 7 ай бұрын
Acha wivu
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 7 ай бұрын
😅😅😅 eti gorofa modo
@Ammarloliso
@Ammarloliso 7 ай бұрын
😂
@bbanyikwa
@bbanyikwa 7 ай бұрын
Hahahahaaa😅😅😅😅😅99
@stratega03
@stratega03 6 ай бұрын
jamaa domo kaya😂😂😂
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 7 ай бұрын
Umejileta mwenyewe baba Levo na domo lako kubwa la kimbea. Wewe la kwako liko wapi? Kazi kuhongwa gari na Mondi
@estarsaidi9110
@estarsaidi9110 6 ай бұрын
😂😂😂
@ZainabuIsmail-fm2ey
@ZainabuIsmail-fm2ey 6 ай бұрын
Ki ukweli ata mm nakua na wacwac yuko mtu nyuma ya mwinjku mtu mzito ataki ajulikane kama nyuma ni ya kwake anaogopa kutumbuliwa lakini kama nyumba ni ya kwake nampa hongera cna wala sio kinafki🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-ff4zm3hk7b
@user-ff4zm3hk7b 7 ай бұрын
We nae mke wa diamond una matatizo....name jenga yako Acha ufala😅😅😅😅😅
@athumanmbululo3980
@athumanmbululo3980 7 ай бұрын
Wahuni hawa
@merinakassembe118
@merinakassembe118 7 ай бұрын
Mnajuana nyinyi wenyewe
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 7 ай бұрын
😅😅😅😅😅 HIKI KICHWA
@onesmomlinga2739
@onesmomlinga2739 7 ай бұрын
Wewe mbona hueleweki ila nmegundua ninyi mnaelewana
@akidakombo259
@akidakombo259 7 ай бұрын
We shoga mwenzio yupo kwake ww na mabinti zako chumba kimoja😂😂
@doreenmsafari2945
@doreenmsafari2945 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Qs3557
@Qs3557 7 ай бұрын
Nyumba Kama ya sungura
@zainabukabura9876
@zainabukabura9876 7 ай бұрын
🤣🤣😂😂
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 7 ай бұрын
Futa kwanza hiyo kauli,kwamba alisimamisha nchi kwa ajili ya uzinduzi wa nyumba.Hii nchi yetu kweli ukute ni chanel ya vituko mbinguni.
@user-eb3hf1lm9e
@user-eb3hf1lm9e 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅 jmn
@edustudiotz3879
@edustudiotz3879 7 ай бұрын
Mh!
@PHARIDUNASORO-oi7bs
@PHARIDUNASORO-oi7bs 6 ай бұрын
Dar kwer we chawa Tena chawa wakutokea kigoma wabwawe
@morjanoman5181
@morjanoman5181 7 ай бұрын
Apo kashaweza Tu iwenyembamba ila kapata
@salamamamashenge5493
@salamamamashenge5493 7 ай бұрын
Ila Babalevo na Mwijaku nilikua nazani ni marafiki 😅na tena alikua anajipanguza nini 😂😂😂
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 7 ай бұрын
Ananusa pafyumi aliyojipulizia kwapani
@kingkongchest-rv5rf
@kingkongchest-rv5rf 7 ай бұрын
Vizuri tunataka wasanii wabunifu kama hawa Tz
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 7 ай бұрын
Hapo kwenye ngazi hujaongopa hata mimi nilishtuka hasa usalama kwa watoto
@user-ny3de2qq6r
@user-ny3de2qq6r 7 ай бұрын
Ni kweli
@lulu24peter24
@lulu24peter24 7 ай бұрын
Me nikichokion apo lazm nianguke hasa huko.juu swiming pool
@shariffmcleja9533
@shariffmcleja9533 7 ай бұрын
Nyie waandishi ndio mafala mko na video za ile nyumba kama ni mbaya ndogo nzuri au kubwa lakini paka Babalevo atoi maoni yake kuihusu ndio mjue
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 7 ай бұрын
Wasoma comment relax wanajuana hawa
@user-bq8hj9ci5f
@user-bq8hj9ci5f 7 ай бұрын
Duuu wanaweze kuchez Naakir zawatu
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 7 ай бұрын
Hawa wanajuana
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 7 ай бұрын
Kauli hizi vipi?! "...nyumba sio ya kwake...halafu tena ninafahamu gharama yake tangu wanatafuta mirunda, cement na mke wake...tena nampongeza amenyamazisha watu, mara akikosa marejesho benki itachukua halafu gharama halisi ni kadhaa...sasa lipi la kweli...?!.
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 6 ай бұрын
Gorofa 123m Jenga uone kama inatosha
@user-rf7ni6tr2o
@user-rf7ni6tr2o 7 ай бұрын
Wewe ndio msemaa kwer wandish wengine mabubu awajui kuriza mashwari kwa mwijaku
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py 7 ай бұрын
Huyu nae hasadii kwerii yeye yake iko wapii anaumia ndani kwa ndani unafurahisha watu ndani unamaumivuu utakipa kod mpak ukomee hat inahusu nin na mitandao
@Eliya-vv1jp
@Eliya-vv1jp 7 ай бұрын
et gorofa la modo
@user-lq1yg9mk1i
@user-lq1yg9mk1i 7 ай бұрын
Mtu mwenye nyumba yake anajua Kila kifaa alichonunua ile si nyumba yake
@FadhiliMesha-pd2th
@FadhiliMesha-pd2th 9 күн бұрын
ukisikia kabila limbukeni ndio la mwijaku nawashabasana yaani anawakilisha kabira lake jinsi walivyo ukisikia ushamba ndio huo
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili 7 ай бұрын
Wivu mkubwa
@Tiffany340
@Tiffany340 7 ай бұрын
Nyumba kama ofisi za chama buana 🤣🤣🤣, ila apo kwa mondi abadilishe furniture zake kwanza tangu enzi za tanasha walipokuwa wapenzi abadilishe 😂😂
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 7 ай бұрын
Hamna ghorofa ya billion pale 😂😂
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 7 ай бұрын
Aloo interview tuu inashika trend kwel machwa niwamooto
@user-yh4ge7gc3o
@user-yh4ge7gc3o 7 ай бұрын
Ila baba levo na mwijaku wanajuana 😂😂😂😂
@AliyMbega-yy7gi
@AliyMbega-yy7gi 7 ай бұрын
Gorofa modo
@chrisantushokororo8450
@chrisantushokororo8450 7 ай бұрын
Hapo kwenye bafu umetudanganya mbona kaonesha bafu ni kubwa sana acha uwongo
@brunokassim4599
@brunokassim4599 7 ай бұрын
Acha unafiki onyesha ya kwako
@vero57
@vero57 7 ай бұрын
Toa hiyo wood mzee!!
@user-lq1yg9mk1i
@user-lq1yg9mk1i 7 ай бұрын
Pili anaishi maisha ya bongo kitasa anasema milioni kumi nane 18mil alafu wanakuja tena kusema kitasa Mara ya pili tena milioni nane point tano 8.5mil anadhani sisi wambumbavu tusio na akili au umakini.
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 7 ай бұрын
Machawa😂😂😂Kama kawaida Yao kupondeana
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 7 ай бұрын
Ni sehemu ya kazi yao, wanajuana wote na wanafanya kazi pamoja.
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 7 ай бұрын
Apo kwenye milioni 100 ndugu umedanganya watu na ni dhahiri wewe ni muongo😂😂😂😂
@yusuphyuda-jq1xy
@yusuphyuda-jq1xy 7 ай бұрын
Inawezekana
@yusuphyuda-jq1xy
@yusuphyuda-jq1xy 7 ай бұрын
100m unajenga gorofa
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 7 ай бұрын
@@yusuphyuda-jq1xy unahisi watu wote ni wajjnga au mimi kwenye ujenzi nishakaaa na naujua ujenzi
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 7 ай бұрын
Wewe wewe unasema nyumba sio yake weweweee unasema unajua jinsi alivyokua ana hangaika na mirundi.nyumba ya mwijaku na amejitahdi sana Kwa levo yake.wacha b levo Domo wewe kawaida yako.haya mara unampongeza we miyeyusho
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 7 ай бұрын
wanaume huu ni umama badilikeni ndio maana mukaitwa wa bongo
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 29 МЛН
MAKAMPUNI 7 KUJENGA NYUMBA YA BABA LEVO KIGOMA
2:30
SEVEN MEDIA
Рет қаралды 1,9 М.
как пройти скулбоя за 36 секунд?
0:22
Holy Baam
Рет қаралды 810 М.
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
0:54
火影忍者一家
Рет қаралды 32 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
0:12
Jojo Sim
Рет қаралды 20 МЛН
КЕПКА КОМАРОВ
0:16
KINO KAIF
Рет қаралды 16 МЛН
#starman #superman #viral #shorts
0:28
Starmaan
Рет қаралды 28 МЛН