PETER MSIGWA AFICHUA SIRI KUONDOKA CHADEMA/MBOWE MBINAFSI Anaamua analotaka/MADUDU NDANI YA CHADEMA

  Рет қаралды 7,270

 WANANCHI TV

WANANCHI TV

Күн бұрын

#habari #ccm #chadema #mchungaji
🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI?------------------------------
TUTAFUTE Wananchi TV
Contact:
📞 Phone: +255 686 379370
📱 WhatsApp: +255 686 379370
📧 Email: wananchihabari@yahoo.com
-----------------------------------------------------------------------------------
Social Media Links
📸 Instagram: / wananchiitv
🐦 Twitter/X: x.com/wananchitv?s=21
📘 Facebook: share/ff8FJq...
-----------------------------------------------------------------------------------
-- TIMESTAMPS --
0:00 - WANANCHI TV
01:04 - SUBSCRIBE,LIKE NA KUCOMENT.

Пікірлер: 63
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 2 күн бұрын
Njaa mbaya sana
@emmanuelpeter9744
@emmanuelpeter9744 Күн бұрын
Nadhani kwa maisha ya sasa umekwisha tumikia maisha takribani robo tatu na muda mwingi umetumikia Chadema. Unauwezo wa kuongea maneno mengiiiiiiii lakini nafsi yako ya ndani inajua kuwa umeenda kwa sababu ya njaa na ubinafsi pamoja na Kupenda uongozi. Sasa umeamua kufa kifo cha kijamii na kwa bahati mbaya kiistoria ya watu kama wewe huna maisha marefu. ✌️
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 2 күн бұрын
Hongera sana kiongozi tupo pamoja na wewe ulipo tupo wa Tanzania na wana Iringa tupo tayari kukufata CCM.
@yomseyyomsey5114
@yomseyyomsey5114 2 күн бұрын
Huyu na wanasiasa Wengine Ni Maslahi mbele ya UBinafsi na Hana lolote Zaid ya Maslahi mbele Zaid Huko aliko Kunanini Zaid ya NDIYO NDIYO.
@salumjuma3152
@salumjuma3152 14 сағат бұрын
Hongera sn lwa mamuzi yako Kwani vyama vingi msingi wake ni uchague pale unapohisi panakufa na patakuwa na maslahi ambauo unahisi ni sahihi kwa upande wako kwahio mie nikupongeze sana hao wanaokubeza hawajui maana ya siasa ya vyama vingi na demokrasia
@stephenalmas4209
@stephenalmas4209 2 күн бұрын
Kama ulikuwa unaikosoa CCM na huwaelewi CHADEMA, anzisha chama chako ili tuelewe mizizi yako....NJAA tu bro.
@YoabuNdabhaha
@YoabuNdabhaha 2 күн бұрын
Ww nimsaliti Kwa wananchi kwahiyo ccm ndowamefanya vizur saivi Na unaweza kutwambia hesabu za serikali Leo ccm wamezitekeleza Naamin Mungu anamajibu zaidi kwako kulikon sisi enderea kudhibitisha ubinadam wako.
@user-mf6lq7vm3w
@user-mf6lq7vm3w 2 күн бұрын
Msigwe umeharibu sofa zako hata Mimi nilikuwa nakupenda lakin kumbe iko hovyo xaaaaana.
@nehemiahsamsony1085
@nehemiahsamsony1085 2 күн бұрын
Duuu msigwaaa unatuua wananchi acha tamaa😂
@ismailmdoe8616
@ismailmdoe8616 2 күн бұрын
Mlivo wachukia akina mdee...wanawake waliwazidi ujanja mpaka ss wanakula ela ya bunge ...ss ivi ndio unayajua
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 күн бұрын
Safi sana karibu😂
@sosmakanya4901
@sosmakanya4901 2 күн бұрын
Dalili zako kuwa msaliti zilionekana tangu kipindi cha Rais Magufuri. Hatushangai wakati mwingine njaa ni mama.
@giftkalenge418
@giftkalenge418 Күн бұрын
kweli msigwa My guy anakuona Yaani umeamua kwenda kula keki ya mauzo ya Bandari
@danielndam5997
@danielndam5997 2 күн бұрын
Alijoondoa wapi alipigwa chini na jongwe Mr 2 sugu kanda yetu ya Nyasa sasa ipo salama nyang'au msigwa kaenda huko wanako kula bila kunawa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 күн бұрын
Uliiponda ccm na sasa unaiponda chadema.kama ccm ni chafu na chadema kwako pia ni chafu ingekuwa bora uachane na vyama vyote viwili.ungehamia hata ACT wazalendo.Japo una haki kikatiba kuhamia chama chochote cha siasa ila mimi naona njaa ndio inayokutesa.
@erickkaaya7160
@erickkaaya7160 Күн бұрын
Msigwa Sasa Naona umekua mjanja ondoka kwenye iyo sakos ya wachaga chama cha mfalme wakudumu mbowe nakupongeza kaka
@mtafya1977
@mtafya1977 Күн бұрын
Njaa Adui wa haki,ulitaka uwe kiongozi wa kifalume? Wewe nani?
@danielndam5997
@danielndam5997 2 күн бұрын
Msigwa na ccm na hako kadada kapeneza wote wanakula bila kunawa ccm hakuna kiongozi mwenye think ya kuleta uchumi ktk taifa hili wote nyie nikizazi cha panya
@leokamil6284
@leokamil6284 2 күн бұрын
Wabinafsi na wapenda ulaji tupu
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 2 күн бұрын
Wewe chenga sana hauleweki
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 2 күн бұрын
Yaani hata msigwa uongee utakavyoongea haitasaidia ,kumbuka wananchi wengi wameumizwa vibaya Sana kwaajili yako ukiwa CHADEMA kunawalioumizwa nakupata ulemavu wakudumu wakifikiri wewe Ni mtetezi leo unajifanya kuichambua CHADEMA haisaidii endelea na ulichoamua kukifanya.
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 2 күн бұрын
Yuda utaficha wapi uso wako hapa iringa mjini utazomewa kila utakapo pita madaraka na njaa itakuuwa
@user-hz9os1cn5f
@user-hz9os1cn5f 2 күн бұрын
Kwann msigwa anatapa tapa kama tapishi la asbh..nilikuwa napenda sana harakat ya mtu huyu..lakn Leo hii ameenda chadema mwez moja kuchunguza chama kile na kurud ccm kwenda kuutapisha uma wa ccm..alitumwa kwenda chadema akakusanye data kama ngoswe penzi kitov Cha uzembe..
@erickmsigala138
@erickmsigala138 2 күн бұрын
Dhambi ya usaliti ili mfanya Yuda ajinyonge hata wewe umejinyonga kwa tamaa ya vipande vya fedha
@florencejohn6427
@florencejohn6427 2 күн бұрын
Ccm inatenda haki zipi?
@leokamil6284
@leokamil6284 2 күн бұрын
Namshangaa sana toka aseme Wamasai sio Watanzania kwisha habari yake
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 2 күн бұрын
Msigwa umeni let down!
@user-em9vh8wr5c
@user-em9vh8wr5c Күн бұрын
MSIGWA uliposhindwa uchaguzi uliamua kuondoka hivi inaonesha kuwa hukutana ushindwe
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 2 күн бұрын
Umeshndwa uchaguz njaa mbaya
@user-xf7tl8jq9v
@user-xf7tl8jq9v 2 күн бұрын
Yan ww ulitaka uwe mwenyekit wa kanda milele au sugu yupo juu hata kwakupiga kula tena upya
@stephenwakunyala4004
@stephenwakunyala4004 17 сағат бұрын
Yuda huyo, hafai anatamaa ya Madaraka
@josephatmhamiji4886
@josephatmhamiji4886 2 күн бұрын
Acheni uongo turishawachoka ccm
@ismailsanga3233
@ismailsanga3233 18 сағат бұрын
Huyu ni mchungaji wa nn??
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 күн бұрын
Wewe mjinga tu mlarushwa
@JamesMsongole-q7m
@JamesMsongole-q7m 2 күн бұрын
Hakika njaa mbaya sana
@user-jb8bo2qw6r
@user-jb8bo2qw6r 2 күн бұрын
Je,kanuni za kujiunga na CCM zimezingatiwa wakati wa Msigwa anajiunga CCM? Hebu ziwekwe wazi hizo taratibu ili iweze kueleweka kama ametimiza taratibu hizo au laa.
@user-jb8bo2qw6r
@user-jb8bo2qw6r 2 күн бұрын
Kinyonga sii yule mwenye miguu 4anaetembea Kwa kutambaa tu,Bali wapo hata kinyonga wa miguu 2ambao hutembea wamesimama.Huyo ni mfano wa aina ya kinyonga anaetembea wima!Akifika kwenye nyasi za kijani
@user-jb8bo2qw6r
@user-jb8bo2qw6r 2 күн бұрын
Akifika kwenye nyasi za kijani,basi nae anakuwa wa rangi hiyo!
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 күн бұрын
Msigwa oyeeeeee😂
@BenardBwakitare
@BenardBwakitare 2 күн бұрын
Msigwa ni genge hakuna Mungu hapo ni njaa
@FridayMwassa
@FridayMwassa Күн бұрын
Bora ugeenda chama kingine cha upinzani kuliko kwenda kwa wale uliokuwa unawashutumu kwamba ni wezi
@user-ui1cj5re9k
@user-ui1cj5re9k Күн бұрын
Msigwa hafai kwani yeye alikosa chama kingine chakujiungananacho hafaii
@LaurenceSanga-ft7ou
@LaurenceSanga-ft7ou 2 күн бұрын
Duu msigwa njaa umepoteza utukufu wote
@emanuelkeha9054
@emanuelkeha9054 Күн бұрын
Acha njaaa
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 2 күн бұрын
Usajili Kwaajili ya 2025
@AthumanJuma-hg2cl
@AthumanJuma-hg2cl 2 күн бұрын
Wewe ufaikwendazako
@josephatmhamiji4886
@josephatmhamiji4886 2 күн бұрын
Yuda achausaliti wewe mshukuru shetani natamaa ya pesa
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Күн бұрын
Pesa hoeee haibu badaye unaongea jaaaaaa
@jobharry9009
@jobharry9009 2 күн бұрын
Hamna kitu hapo
@eliashagai7920
@eliashagai7920 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@bakariiddy5387
@bakariiddy5387 2 күн бұрын
Njaaaaaaaaaaaaaaaaa
@JamesMsongole-q7m
@JamesMsongole-q7m 2 күн бұрын
😂
@dicksonulotu7427
@dicksonulotu7427 2 күн бұрын
Upendo kumbuka uliko toka.msigwa umefeli
@datiusmartin6040
@datiusmartin6040 Күн бұрын
😅😅😅😅
@ajiaally3269
@ajiaally3269 2 күн бұрын
Njaa wapi umeishuwa nyie mmbwa
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 2 күн бұрын
😂😂😂
@Nicolasmosereta
@Nicolasmosereta Күн бұрын
Usaliti tu kumbe jamaa bwabwa
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 күн бұрын
Acha ujinga wewe umeshindwa uenyekiti wa kanda fedha hizo unatumika vibaya
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 күн бұрын
😂😂😂
@user-xe3fo1bh5s
@user-xe3fo1bh5s Күн бұрын
Pumbavu wewe
@user-bf7sr1cv1g
@user-bf7sr1cv1g 2 күн бұрын
Hana jipya huyo
@johnmamuya548
@johnmamuya548 Күн бұрын
Wajinga wengi njaa zinakusumbua
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 2 күн бұрын
Chadema wamekushtukia . Umeona ukimbilie kwa matajiri wako.
KUANZA KWA MAANDAMANO YENYE VURUGU TZ.
13:03
huduma ya kristo
Рет қаралды 336
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 41 МЛН
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 17 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 95 МЛН
Peter Msigwa Ashusha Tuhuma Nzito CHADEMA | Adai Kuhujumiwa
28:55
🔴LIVE: KABUKU TANGA MUDA HUU MHE:FREEMAN MBOWE, LEMA,
1:02:06
Chadema Media TV
Рет қаралды 5 М.
KIVUMBI! MBOWE AMKATAA RAIS SAMIA AWALIPUA WAZANZIBARI
8:35
Yuhai media
Рет қаралды 28 М.
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 41 МЛН