Ndoa ikifika hapa ni sehemu hatari sana . Ndio maana wengi wameogipa kuoleka na kuoa talaka zimezidi . Mzee utazoea hapa twaishi ivo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sadahamad61582 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kumbe ndoa zina mambo duh mzee majid asema piga chunu
@yasminhussein74262 ай бұрын
Weee hatari Sana
@amanyali87242 ай бұрын
kaz nzur Sana...🎉🎉
@ZainabSetu-zv3om2 ай бұрын
Mashallah kazi nzuri sana .mungu awazidishie kipaji
@zarohjuma21512 ай бұрын
Kpwani uchimbaka mchenho nkosa! Beka nbakira ye MadikoDiko
@kibibiabdalla14512 ай бұрын
Mzee Majid shikamoo❤❤
@JoyceAngoma2 ай бұрын
Ayo mambo yapo yalimukuta wife yagu kilasiku nilikua naletewa kesi na kakagu siku alipochoka alioa muke wa pili akasahau muke wa kwanza mafundisho mazuri sana😂😂😂
@aishaabdallah45602 ай бұрын
Mzee Majid mwambie kwl nje kuna mafisi hiyo taptap itamtumbukia nyongo
@user-wc9zr6vs5w2 ай бұрын
😂😂😂😂like it's
@HassanHassan-ix7cj2 ай бұрын
I am here as a father isn't it
@HassanHassan-ix7cj2 ай бұрын
Mpe 😅😅
@HassanHassan-ix7cj2 ай бұрын
Piga Chunu na Sauti 😅😅😅
@alimwaduya50432 ай бұрын
Nakubali beka ruga ba Toto basamweni
@mwanajumakomar38312 ай бұрын
Madikodiko nmecheka hapo pa tap tap screen 😂😂😂😂😂😂
@hassantabwara9047Ай бұрын
Mzee majidi nimeuona utu uzima wako wazee kama nyinyi ndio mnaoitajika katika jamii hongera sana
@user-bw8un9ds6t2 ай бұрын
Asantaaa mzee majidi mwambie apige chunuuu😂😂😂😂
@ayshanani2 ай бұрын
Mashaallah mzee mwenye mafunzo na mtoto wake Asema piga chunu 😂😂😂😂😂😂😂😂