President Uhuru has won our hearts Tanzanians with his respect and humility... His silence during the adhan was just unexpected. We Tanzanian Muslims salute you Sir...
@lkem13103 жыл бұрын
That happens in Kenya during funerals.
@kenyandamu3 жыл бұрын
Asante jirani 👍🏼👍🏼👍🏼
@josephmaina7979 Жыл бұрын
Nawapenda waislam wa Tanzania kwa kua hamna ukabila wowote
@beatricekarisa24153 жыл бұрын
rais wetu wa kenya mungu akubariki akupe moyo huo huo umewakilisha kenya yetu thx dady🙏
@brabusmk3 жыл бұрын
Stopped his speech out of respect of the call of prayer at a mosque nearby! Respect all races and religions! ✊🏿✊🏾✊🏽✊🏼✊🏻
@waryaawariiri18123 жыл бұрын
Why did this channel cut that part?
@johnmohblaxta3 жыл бұрын
as an atheist, niko na haki ya kutoheshimu dini zote coz your beliefs are absurd and at times very stupid
@salhsalma90093 жыл бұрын
Nice speech,,,,shukran sana n hongera kwa kuonyesha heshima wakati wa Adhaana Allah akuzindishie hikma katika maisha yako yote,, asante kwa kutuwakilisha kwa ndugu na jamaa zetu watazania
@nellykatrina79013 жыл бұрын
Maneno mazuri kutoka kwa rais wetu..hongera muheshimiwa Uhuru Kenyatta 🇰🇪
@artisthusnatalal30993 жыл бұрын
*Mr president I SALUTE YOU for respecting the Islamic call for prayer. MUNGU AKUBARIKI!*
@othmanmrutu81423 жыл бұрын
Tanzania tuna kuelewa Sana Rais Uhuru kenyata ,mungu akutangulie katika kazi zako,
@jaycodestz13043 жыл бұрын
Mwamba Uhuru Kenyatta we as Tanzanians we love u 🙏💚🙏
@roxannegekonge17363 жыл бұрын
You can tell he has given this speech with a passion n from his heart.Poleni TZ na Africa kwa kumpoteza shujaa ila tuna tumaini yakua tutamwona siku ya Ufufuo.Amina.🇰🇪🇹🇿
@valentinekenyangal97183 жыл бұрын
Thank you Mr. President kwa Kutuwakilisha vizuri, indeed very nice speech...even u went ahead nakuheshimu sala la waisilamu...God bless you
@AwesomeExperiencez3 жыл бұрын
First gentleman
@zuhuramwawimo56973 жыл бұрын
Nafurahii baba kufika tz upendo daima inshaallah🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@princekaniiyah44663 жыл бұрын
Hiii ifikie uhunye,,,kila wakati unapoongelesha nchi yetu ya kenya sio lazma uzungumze lugha ya kiingereza,,,,,,hongera kwa kuwaongelesha kwa kiswahili hata sisi tunataka siku moja utoe hotuba kwa kiswahili
@briankayembe26543 жыл бұрын
Congolese tunaompenda Rais Uhuru Kenyatta nipeeni likes 👍👍👍
@MissKiiru3 жыл бұрын
Ahsante kwa kutuwakilisha mheshimiwa uhuru.🇰🇪🇰🇪 RIP maghufuli
@halimashaib91023 жыл бұрын
Asante Sana kwa kutuwakilisha wananchi wote wa Kenya. Shukran zaidi kutoa heshima kubwa kwa adhan.
@RoroRoserororo3 жыл бұрын
Ahsante kwa kutuwakilisha raisi wetu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Africa tumepoteza legend rest internal peace magufuli
@hadijandope69913 жыл бұрын
Asante sana Rais wetu kwa kutuwakilisha kumshindikiza Marehemu Rais Magufuli. Na sisi tunamlilia sana. Poleni ndugu zetu ila na sisi pia tumefiliwa. Allah aipe familia yake subra na watanzania wote kwa jumla.
@EchateGeneration3 жыл бұрын
This was an awesome presentation. Thank you Mr President.
@stux11433 жыл бұрын
Who knew Uhuru had this amazing Swahili in him...lol... Shukrani za dhati Mr. President kwa kutuwakilisha mbele ya watanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla
@angieblessed3 жыл бұрын
Swahili swafi
@aaloweni20683 жыл бұрын
Myself I’m shocked😂
@kajikaone3 жыл бұрын
Uhuru has always spoken good kiswahili remember even his late father mzee Jomo Kenyatta spoke commanded English and swahili very well.
@mutongoria3 жыл бұрын
He represented Kenya well in the the farewell journey of one of Africa's greatest son.
@full_ArmourOfGod3 жыл бұрын
Most people educated past primary and especially secondary school in kenya do speak very good Swahili.
@fahadelmagnificient67323 жыл бұрын
Great speech Mr Prezo well done ✅ Condolences to our brothers and sisters
@t1910j3 жыл бұрын
Beautiful speech. Asante sana rais Kenyatta wa Kenya 🇰🇪🇹🇿
@josephinewanjiku3843 жыл бұрын
Ahsante kwa kutuwakilisha raisi watu HE Kenyatta🇰🇪🇰🇪,,,,RIP magufuli,,,, watanzania tupo pamoja twawapenda
@jedidahbintidaudi82413 жыл бұрын
asanteni sana jirani. Mungu bariki ninyi
@ericmuthurimaitethia80443 жыл бұрын
That was a worderful speech from our Kenyan president rest I peace president john pombe magufuli u were a rare breed of leader may the almighty God rest u in peace
@nancymuricho3 жыл бұрын
Thanks to our president Uhuru Kenyatta for representing Kenya, RIP Magufuli.
@johnmusyoka42593 жыл бұрын
Asantee kwa rais wetu; ukiwa hapo umetuwakilisha
@victoriakinuthia17243 жыл бұрын
Thanks our President, we love you and thanks for representing us , you love your continent Africa
@alenseli75733 жыл бұрын
Receive our condolences 🙏💔. RIP Magufuli.🇰🇪🇹🇿
@rosemarykhasungu28323 жыл бұрын
Kazi nzuri rais mtukufu wa Kenya Hon . UHURU MWIGAI KENYATTA kufikisha rambirambi zetu Sisi WAKENYA......lalasalama rais JOHN POMBE MAGUFULI
@angieblessed3 жыл бұрын
That my president, Uhuru Kenyatta..Kenya well represented..Tz poleni sana 🇰🇪
@alexandermutune6131 Жыл бұрын
Uhuru Kenyatta was very comfortable giving a speech in Swahili, the EAC language.The predecessor should also follow suit & avoid colonial languages as his favourite.Watu waongee Kiswahili hapa Africa mashariki.
@graceschwill27753 жыл бұрын
Ahsante my President Uhuru Kenyatta to take our condolences to our neighboring country Tanzania 🇹🇿 . watching from Deutschland. May you rest in peace, Dr. John Pombe Magufuli😭😭😭😭😭😭😭😭
@wambuitracy44873 жыл бұрын
Bendera zote za taifa letu la Kenya zinapeperushwa nusu mlingoti. Poleni sana Watanzania
@cynthialevron4823 жыл бұрын
Thanks our beloved president for presenting our condolences,God bless you .RIP mchapakazi Magufuli.
@kiki168053 жыл бұрын
Uhuru u have good Swahili 👏👏u represented us well.
@ashleykaruga40453 жыл бұрын
May God give the people of Tanzania peace we love you nd we are sending you awa condolences from Kenya... Poleni watanzania
@biaysha85533 жыл бұрын
Asante mpenzi
@jpmugishapps3 жыл бұрын
Kenya ndugu zetu, mungu ibariki Africa 👑❤
@evangelistkateshichehi30893 жыл бұрын
Pongezi ndugu uhuru bibilia unaitambua hapo sasa brother.Mungu akujaalie🇰🇪
@jedidahbintidaudi82413 жыл бұрын
huyu Rais wa Kenya ni bomba sana. Asante sana Rais Kenyatta kwa maneno ya faraja. Mungu Akubriki na nchi yako ya Kenya. Kenyatta oyeee!! Magufuli oyeee!! Ruto Oyee!! Mama Samia Oyeee!! Tanzania oyee Kenya oyee!!
@TheForgivenman3 жыл бұрын
RIP Sir you were one of the great ones 🇹🇿🇰🇪
@jamesgathaiya64503 жыл бұрын
Asante kwa kuonyesha tuko pamoja na Tanzania rip pombe
@alexandrinejuma53343 жыл бұрын
Wow happy to hear from our president
@DRIPPINGPAIN3 жыл бұрын
.. REST IN PEACE... REST IN POWER MAGUFULI 😭😭😭😪😪😪😪😪 WE STILL LOVE YOU.. .
@watsembalydia20363 жыл бұрын
Waaa sisi Uganda president m7 hakuja kuzika, this is so bad bambi. President uhuru your the best not like ours in Uganda.
@carolinengina71903 жыл бұрын
Thanks for representing we Kenyans
@johnndungu28993 жыл бұрын
Such a nice speech...kiswahili nayo
@marynjokimacharia40053 жыл бұрын
God bless you president wetu uhuru🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@meshmesh18403 жыл бұрын
My president. I love you
@joycekariuki33903 жыл бұрын
May his soul rest in perfect peace AMEN.
@firercollo90403 жыл бұрын
Amazing speech indeed nakupenda rais wetu
@maryshiku43103 жыл бұрын
Our President never disappoints,God bless you Uhuru kenyatta, RIP Magufuli
@millicentayangokunting37283 жыл бұрын
Uhuru u'have made my day with widely smile for agood speech.
@yokiboy3883 жыл бұрын
Asante kwa kuheshimu athana
@justusbanda62973 жыл бұрын
Asante kwa kutuwakilisha Kenya HE Kenyatta...rest in Peace Maghufuli
@wacundirangu16613 жыл бұрын
Tunakushkuru Rais wetu Mheshimiwa Rais UMKenyatta kwa kutuwakilisha na kufikisha rambirambi zetu Tanzania. Fare thee well Dr. Magufuli.
@dominickariuki53383 жыл бұрын
Beautiful 1 Mr. President!
@user-qe1nh3ip2y3 жыл бұрын
RIP our beloved president Magufuli, you will always be remembered for loving your country 😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🙏🙏
@kaberiastephen12553 жыл бұрын
Receive our condolences people of Tanzania,we are feeling with as members of this home and large community for this bad loss,we are escorting him and you together in spirit of social Culture,that two are greater than One.🇰🇪🇰🇪☺️
@jedidahbintidaudi82413 жыл бұрын
thank u Kenya. God bless u loads
@Ronald-gh6jl3 жыл бұрын
May his soul rest in peace 😢😢😢🇹🇿🇹🇿
@joycekariuki33903 жыл бұрын
A great speech your highnesses Mr. President.
@charlesbii67493 жыл бұрын
I hope Uhuru will follow the footsteps of Magufuli in steering the country in the right direction;free of debts.
@maulidwhyder88483 жыл бұрын
Baadhi ya raia wanazingatia kuvaa barakoa hongereni sana vaeni barakoa nikwa mujibu wa afya zenu wapenzi wa mungu
@maulidwhyder88483 жыл бұрын
Mungu anatuambia jikingeni nae atawakinga
@calvinadid51973 жыл бұрын
I love u my president my guy Mwigai
@lizzannet77593 жыл бұрын
Asnte kwa tuwakilisa raise wetu uhuru, go well mangufuli
@therealafricana13723 жыл бұрын
Hongera Uhuru..heshima yako kwetu wakenya na majirani zetu ni wa kipekee. Wanaofikiri Rais ni wa kuchezea,take one good look and you wil see a natural born leader..Loans anazochukua anajua atakavyolipa.ndio maana anajua nani hafai kuwa rais wa Kenya.Hongera Uhuru M Kenyatta na poleni ndugu zetu wa Tanzania. God loved him more,it is well Mzee. Rest in peace
@solomonebitu64003 жыл бұрын
Bravo H.E Uhuru kenyatta for the Moving Eulogy, May JPJ Magufuli R.I.P!!
@user-de7qf5hj6r5 ай бұрын
My best president uhuru, I miss your speach
@bakarymbega63203 жыл бұрын
Great speach willenhance solidarity of east africa beyond religios borders
@rachaelmuthoni82393 жыл бұрын
Jembe la kenya,,,prezoo oiyeeee👍👍👍👍
@kaloleniacrobats30153 жыл бұрын
A powerful speech from PRESIDENT UK.
@humanity91583 жыл бұрын
President Kenyatta gave the best solidarity speech among all the Presidents.
@lilylilian87293 жыл бұрын
Hongera Uhunye❤️❤️❤️
@maulidwhyder88483 жыл бұрын
Tumepoteza bingwa Rais wa ma Rais pombe magufuli amani iwe nae huko aendako mbele ya haki alie na deni na mwendazake au chuki amsamehee mwendazake ili akapewe kitabu chake kwa mkono wa kuume lnsh.... A kenyan here love u all wanaeast Africa kwa kweli mioyo ytu soteni inaugua kumpoteza jembe la ma jembe ila mungu yunasi lnsh.... La kuskitisha ni lile la huyu msanii ajiitae afande sele tungependa achukuliwe hatua mara moja afungwe jela iwe funzo kwa wengine alikosea pakubwa mno tuelewavyo siku zte kazi ya mungu haina makosa Asalam Aleykum wapenzi wa mungu pamoja sana daima wana East Africa one love
@maureeniminza46923 жыл бұрын
Great speech presso wisdom
@calebisaiah38913 жыл бұрын
Raisi wangu Uhuru kenyata ameniwakilisha poleni Sana Joshua usiwe na hofu
@lasallsa34803 жыл бұрын
This is why i love the engloxason culture compared to the french one. They have much respect for cultural diversity. Love from Mali🇲🇱
@peterdaniel31623 жыл бұрын
Nice speech Prezzo Uhuru
@updiphatahofficial86023 жыл бұрын
More respect our president 🙏🙏❤
@veronicahokemwa65873 жыл бұрын
Thank u our Excellency . umetuwakilisha vizuri.r.i.p rais was Tz.
@levinwaswa88053 жыл бұрын
🤗👏👏👏👏
@lovecorridor60393 жыл бұрын
Asante rais wangu kwa kuonyesha heshma kwa adhani na JPM
@mercyonaya34253 жыл бұрын
Thanks U K
@hosearioner36373 жыл бұрын
Rip hero of our time.
@allyady40453 жыл бұрын
My president ❤
@KIM-xl6zs3 жыл бұрын
My president right there
@yusufrashid40913 жыл бұрын
🙏👏
@sportsnews2783 жыл бұрын
Bravo Muheshimiwa
@naidaathman58853 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@frankmogaka98783 жыл бұрын
Kazi mzuri Rais Wetu Mtukufu Mungu Akujalie
@evelynwambua11433 жыл бұрын
That was awesome uhuru. President.
@alexina48703 жыл бұрын
I want to assume hao wote hawajavaa mask ni Tanzanians!! Thank you My President kutuwakilisha vyema.. and yes, barabara imefunguliwa.. karibuni Watanzania. Hapa ni nyumbani pia.
@fahadfaraj64743 жыл бұрын
Magufuli has taught us a big think ndo mana people sees us like crazy ila tunajua ukweli I'm a medical doctor at first skumuelewa magufuli but eventually njia tulochukua against Corona is a smart move
@priscaanaelurio32143 жыл бұрын
Respect
@roseapiwa64173 жыл бұрын
Rip.
@naidaathman58853 жыл бұрын
👏👏👏👏
@mohammednassor30813 жыл бұрын
Thanks Mr Uhuru for your supporting exactly you are best leader
@biaysha85533 жыл бұрын
Daah,hili pigo ni gumu kulisahau 😱😭
@clemencianyaboga89463 жыл бұрын
Poleni Tanzania yote kwakumpotesha shujaa😭😭😭
@feruziabdusalamkhan62523 жыл бұрын
Why are you cutting the part where the president stopped his speech ?