MCH.DANIEL MGOGO AFICHUA SIRI ZA DIAMOND,,,SIWEZI KUVUMILIA HATA KIDOGO,,,TAZAMA HAPA...

  Рет қаралды 684,617

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

Күн бұрын

#mchungajidanielmgogo #diamondplatnumz #attitude

Пікірлер: 358
@mapendoimani2462
@mapendoimani2462 2 жыл бұрын
Huyu Mchangaji ni Jembe ni kweli kabisa baba.Ua way of teaching is amazing.Mungu akutie Nguvu
@saidipara4134
@saidipara4134 2 жыл бұрын
Dahhh mimi ngoja nitie like .sina neno la kuongezea hapo .huna baya pastor 👍👍
@rosenamenge7891
@rosenamenge7891 3 жыл бұрын
Be blessed pastor Daniel continue telling the people the truth, Mungu amekuita kwa ukweli l like your preachings🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sironyotoppy9265
@sironyotoppy9265 3 жыл бұрын
Truth pastor.I love your preaching coz that's the reality.🇰🇪
@kituadaniel5222
@kituadaniel5222 3 жыл бұрын
𝑫𝒂𝒏𝒊𝒆𝒍 𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒄𝒉𝒂 𝒂𝒊𝒕𝒘𝒆 𝒎𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒋𝒖𝒖 𝒚𝒂𝒌𝒐
@beatricejoseph7435
@beatricejoseph7435 3 жыл бұрын
Pastor you are real.
@faithakinyi2548
@faithakinyi2548 2 жыл бұрын
Mzee wa nondooo mwenyewe,much love and watch you from Washington DC USA
@rosepeter8996
@rosepeter8996 3 жыл бұрын
and i'll always clap 👏👏👏👏👏kwa huyu pastor.abarikiwe sana;...frm KENYA ..salute.🙏✌
@ankolichris3487
@ankolichris3487 2 жыл бұрын
Asante mchungaji walah umeniponya sina nma ya kukushuru ila mungu azidi kukupa hio neema pia akupe uzima wa milele
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 3 жыл бұрын
Mimi ni Muislam lakini bwana Mchungaji nimekukubali sana. Mafundisho yako yanapita elimu kubwa sana.
@zanzibarst2205
@zanzibarst2205 2 жыл бұрын
nenda kanisani kwake utamuelewa zaid
@jesuslovesyou6568
@jesuslovesyou6568 Жыл бұрын
Njoo kwa YESU Kuna raha zaid🙌🔥🔥
@delhidarling4285
@delhidarling4285 3 жыл бұрын
One of my best Pastor from Tz. Much love to you 💘💘😍💘😍
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 3 жыл бұрын
Amen and Amen be blessed Man of God, much Respect Prayers and Love from 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
@queenpesh6828
@queenpesh6828 3 жыл бұрын
I too love listening to pst mgogo here in kenya
@jenelomsambwa811
@jenelomsambwa811 3 жыл бұрын
Sasa hapo Siri ya diamond ni ipi, waandishi bwana, aibu yenu.
@jwkkiko8230
@jwkkiko8230 3 жыл бұрын
Well said Pastor Daniel Mgogo, Much love from 🇰🇪🇰🇪
@selfaakinyi2986
@selfaakinyi2986 3 жыл бұрын
You made to realize my sins and to repent, thank you Pastor mgogo, babaa wa nondo. Continue healing our family. Be blessed.
@marymlewa7459
@marymlewa7459 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa mchungaji hatuna cha kukulipa ila mungu atakulipa
@jeanclaudematabishi8382
@jeanclaudematabishi8382 3 жыл бұрын
Asante Sanaa mchungaji mungu aendelee kukupa kile ambacho tunakiitajii
@carolinemusimbi9232
@carolinemusimbi9232 3 жыл бұрын
Huyu pastor nampenda msema kweli when I visit Tanzania lazima I visit his church
@dinahshirima6356
@dinahshirima6356 2 жыл бұрын
Mimi muisilamu lakini namfatilia sana
@dishonsaenyi7724
@dishonsaenyi7724 3 жыл бұрын
Pat mungu akubariki sana, imefufua makanisa mingi, roho za watu na ndoa,,,, asante sanaaaa
@nellynelly8796
@nellynelly8796 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen Pastor more Grace,i love you my spiritual dad,may God continue to give you wisdom
@celiakombo5173
@celiakombo5173 2 жыл бұрын
I love your preaching teaches alot abt life,may God Bless you more and more.Thank you Pastor
@hamstonamani1414
@hamstonamani1414 2 жыл бұрын
True dear
@sheilamjune1233
@sheilamjune1233 3 жыл бұрын
Asante sana pastor may God continue blesse you more ❤❤❤❤🔥🔥🔥☝️☝️☝️🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@evamanyama8268
@evamanyama8268 2 жыл бұрын
Aminaa
@manirakizasandra2872
@manirakizasandra2872 2 жыл бұрын
Past asante sana mungu akuzidishiye kwenye huduma,zako
@irenewasike8669
@irenewasike8669 3 жыл бұрын
Following.. may God bless you abundantly pastor mgogo .. always feel blessed
@paulondiek1345
@paulondiek1345 3 жыл бұрын
May you have a long prosperous life ahead my beloved pastor
@user-hz5mo9tz9o
@user-hz5mo9tz9o 8 ай бұрын
Mchungaji ongela sana unatuponya
@justinamautice9730
@justinamautice9730 3 жыл бұрын
Nakukubali sana Pastor Mgogo "Mzee wa Dozi" MUNGU azidi kukuinua katika utumishi wako.
@omanmwajabumbeguoman8642
@omanmwajabumbeguoman8642 2 жыл бұрын
Wee baba mchungaji mungu akulinde kwakweli unamafundisho mazuli kwakweli mungu azidi kukupa nguvu
@thomsonwekesa5102
@thomsonwekesa5102 2 жыл бұрын
Mchungaji kazi nzuri mungu aendelee kukupea nguvu kwa hyo huduma
@user-iv7dw6cd2e
@user-iv7dw6cd2e 3 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu. Utufundishe mengi maana nimejifunza mengi karibu baba marawi na marawi tunakusikia baba
@paulayionda2999
@paulayionda2999 2 жыл бұрын
My all time pastor,I love ur teaching
@petermulei9383
@petermulei9383 2 жыл бұрын
My all time pastor🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@paulinaululu3348
@paulinaululu3348 2 жыл бұрын
God bless you pastor,🇲🇿🇲🇿🇲🇿 from Mozambique
@geofreythomasi2710
@geofreythomasi2710 2 жыл бұрын
Mozambique 🤔
@priscillahbakari5185
@priscillahbakari5185 2 жыл бұрын
I think I know you Pauline Ululu
@mariamkitekha9233
@mariamkitekha9233 3 жыл бұрын
Mm ni mwislam lakini napenda Sana mahubiri ya huyu mchungaji
@abdallasaleh2303
@abdallasaleh2303 3 жыл бұрын
Ni kwel hata mm muislam lkn huyu mchungaji ana hekima na busara sana maneno yake matamu sana mashallah.
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 3 жыл бұрын
Nendeni church tu
@juvenalyzacharia5059
@juvenalyzacharia5059 3 жыл бұрын
Safiii
@dianaradislauc6649
@dianaradislauc6649 3 жыл бұрын
Yesu anawapenda
@episonfelician7670
@episonfelician7670 3 жыл бұрын
Pastor kweli umenena Mungu Akupe Neema ya ushindi katika maisha na Huduma YAKO ya mafundisho
@claranewaho1251
@claranewaho1251 2 жыл бұрын
Anatumia nguv kubwa Sana kuongea ila miwatu ndo migum kuelewa
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭mchungsjii manenoyako yananiumizaa sana hayondio yamejaa kwenye jamii ahsante sana mchungajii mgogo
@venancendangali6496
@venancendangali6496 2 жыл бұрын
Kwa huyu mchungaji japo anasaidia ndoa nyingi pia amekuwa burudani hongera sana paster
@micahmuturi6154
@micahmuturi6154 3 жыл бұрын
God bless you pastor...nafuatilia mafundisho toka saudi arabia
@nalyanyarogers3750
@nalyanyarogers3750 2 жыл бұрын
Thank you man of God Long live to help nations
@felisterndulu5192
@felisterndulu5192 2 жыл бұрын
Be blessed I love your preaching
@ramak.9587
@ramak.9587 3 жыл бұрын
Mm binafsi ni muislam lakini Daniel mgogo namfatilia mwanzo mwisho. Uyu mzee ni moto wa kuotea mbali. Hua namfananisha na #Dida wa masham sham kwa kuipa jamii mabomu ya wazi wazi. Mungu awajaalie
@veronicakasau7602
@veronicakasau7602 3 жыл бұрын
Well said pastor support you 💯
@wilisonjuma8375
@wilisonjuma8375 3 жыл бұрын
Namkubali sanaa mgogo huyu Tz tulikua nao wawili tu wakutuaMbia ukweli ni daniel mgogo na sheh nyundo mmoja zanzibar mmoja tanzania
@williamkeitha1262
@williamkeitha1262 3 жыл бұрын
Kweli but nyundo Ndio katangulia mbele za khaki ALLAH amrehemu
@abdallasaleh2303
@abdallasaleh2303 3 жыл бұрын
Huyu mchungaji kiukweli haya mazungumzo yake nime yaelewa maneno mazuri ya kweli mashallah Allah amuongoze na amtie ktk dini ya uislam heshima kwako mchungaji.
@danfordmilagiro1836
@danfordmilagiro1836 3 жыл бұрын
Mungu anaangalia moyo siyo dini kokote tu kikubwa umche Mungu wako kwa roho na kweli
@norahmakrean525
@norahmakrean525 3 жыл бұрын
Dini ni dini
@susanejd7775
@susanejd7775 3 жыл бұрын
@@danfordmilagiro1836 ni kweli maneno yako. Mm ni muislam lkn napenda sana kusikiliza mahubiri ya huyu pastor. Kuliko wengine kwa kweli. Allah amlinde na amzidishie elimu
@uwimanamadohkhan1098
@uwimanamadohkhan1098 3 жыл бұрын
Insha Allah
@dianaradislauc6649
@dianaradislauc6649 3 жыл бұрын
Yani nyie waisilam huwa mnataka vitu vizuri viwe vyenu wakirisitu Wana mungu Alie hai na hawatangazi dini wanamtangaza mungu Alie hai Wala hawapiganii dini
@Queen580
@Queen580 3 жыл бұрын
I love this Pastor God bless him
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
Daniel mgogo saluuuuut nakufuatilia sana mchungaji
@sallygrace1495
@sallygrace1495 3 жыл бұрын
Very well said man of God. God bless 🙋‍♀️👏👏
@hamisinyondo161
@hamisinyondo161 2 жыл бұрын
Long live pastor
@richgambi6694
@richgambi6694 2 жыл бұрын
Mgogo upo vzr Sana mungu akusaidie uwe na maisha marefu sana ujumbe umefika safi sana
@aminajuma1215
@aminajuma1215 3 жыл бұрын
Well said pastor, more congratulations from Miss upcoming HR.
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Amina Amina,amani ya mtu iko kwenye familia🙏🙏
@angelsylvester4795
@angelsylvester4795 3 жыл бұрын
Baba mie ninakukubari sana Mungu azidi kukutumia kwa kiwango kikubwa zaidi🙏🙏🙏
@emmanuelyohana8787
@emmanuelyohana8787 3 жыл бұрын
Hongera sana mch daniel mgogo Mungu akubariki sana
@user-ly9pq3xx6u
@user-ly9pq3xx6u Жыл бұрын
May God bless you pastor keep moving forward
@rachellwetimo700
@rachellwetimo700 2 жыл бұрын
Fundisha mchungaji unabariki sana🙏🙏
@jeanmariemushagalusa1338
@jeanmariemushagalusa1338 2 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa kumujua mtumish Daniel Mgogo, Mungu akubariki
@davidimkayula2317
@davidimkayula2317 3 жыл бұрын
Barikiwa mchungaji
@carinemapendo2022
@carinemapendo2022 3 жыл бұрын
Much love from D.R.C 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@thomasmuyya7221
@thomasmuyya7221 3 жыл бұрын
Huduma ya kuponya ndoa na kuwaandaa vijana waheshimu ndoa na kujiandaa kuitika wito wa Mungu ni muhimu kwa sababu ndoa ndio taasisi kwanza aliyoianzisha Mungu. Ni takatifu kwa sababu aliyeanzisha ni Mtakatifu. Taasisi ya kwanza kabla ya anguko la mwanadamu. Ndio msingi wa jamii na mataifa. Kuanguka kwa familia ni anguko la jamii na taifa. Kutokana umuhimu huu na kusudi takatifu la Mungu, Shetani anapiga vita ndoa hataki iwepo. Na halali akiona ndoa yenye msingi wa upendo wa Mungu. Anaharibu amani na uaminifu ndani ya ndoa anazuia wazazi kuwapa watoto upendo, ulinzi na kuwajengea maadili ya kumcha Mungu. Tendo la ndoa si takatifu kama alivyotupa Mungu kwa ajili ya uzao na umoja wa mtu mume na mtu mke kuungana kuwa mmoja. Siku hizi hakuna seclusity na fidelity, kijana anafanya ngono kabla ya makubaliano ya ndoa, na wenye ndoa hutoka nje kutembea na wengine. Ukweli ni kwamba ngono haifanyiwi majaribio; ndio maana kuna ubikira; kwa sababu tendo hilo linaunganisha wawili, mwanamke na mwanamume katika wito na huduma ya ndoa ambapo mwanadamu anatakiwa kutii mpango wa Mungu. Kwa bahati mbaya wanadamu tumemwasi Mungu; sasa tendo la ndoa limegeuzwa kuwa biashara au kazi ya kipato. Wengine ni mradi kuajiri mabinti kufanya ngono kwa malipo. Ni unyanyasaji wa kiroho kisaikolojia na kimwili. Kwa wanaume wengine ni ngono ni starehe kwa hiyo hayuko tayari kwa matokeo ya mimba wala matunzo na malezi. Wasichana hawafundishwi kuthamini na kujivunia ubikira wao. Kwa sababu hii wako tayari kuingia agano la kumwaga damu na mtu ambaye hataishi naye. Ndoa sio mkataba bali ni agano. Na hakuna agano pasipo damu. Wanawake wengi ndoa zao hazina amani kwa sababu hazikufungwa kwa agano la damu, waliimwaga kwa haramia mpita njia. Kwa hiyo ni muhimu kuhakikisha kuwa vijana wanaoingia makubaliano ya ndoa inapasa kwanza kutubu kwa Mungu na kila mmoja kwa mwenziwe, maana waliuharibu ubikira na kusababisha kuimwaga damu ya binti(fulani) nje ya ndoa na kuruhusu kumwaga damu ya agano (na mvulana fulani) Suluhisho ni Lazima wote wafanyiwe deliverance na mtumishi mwenye Roho Mtakatifu ili kuondoa pepo la uzinzi na ugonjwa wa premarital sexual syndrome ambayo isipoondolewa kuna uwezekano wa kukosa uaminifu (seclusity na fidelity) yaani kuwa mwaminifu na kutosheka na mume wako mmoja na mke wako mmoja si kwenda nje. Wawili hao wakifanyiwa ukombozi hakutakuwa na tatizo la kutofurahia tendo la ndoa. Tendo la ndoa ni ruksa kati ya mwanamume aliyefikia muda wa kubeba jukumu la familia na kuwa na upendo ulio wa kimungu na Mwanamk e aliyefikia umri wa kujipambanua na kuwa mke/mwenza; mama wa kusimamia familia atakaye jenga maadili ya watoto watakaokuwa raia wema na kuwa utukufu kwa Mungu na fahari kwa jamii. Shetani anaondoa dhamani na utaķatifu wa ndoa. Ameleta kwa kasi roho ya usodoma yaani wanaume kuoana, kutoa mimba, kuzuia kuzaa na ndoa za mwanamke kwa mwanamke. Huu ni uasi; ni kwenda kinyume na Mungu. Tuiponye jamii tuwekeze kwa watoto na vijana wetu.
@yusuphyogopeni2412
@yusuphyogopeni2412 2 жыл бұрын
Nc
@vugutsadickson487
@vugutsadickson487 3 жыл бұрын
Favourite pastor ever👍
@sisterolivia9874
@sisterolivia9874 3 жыл бұрын
Ukweli mtumishi.. Nakufuata from Doha qatar.. Mimi mkenya
@omahe1
@omahe1 3 жыл бұрын
God with you pastor amen 🙏
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 2 жыл бұрын
Loving you so much according to your preaches🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@myahudi6951
@myahudi6951 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 huyu pastor nimemkubali sana point konki
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Et konki🤣🤣🤣🤣🤣
@paulmwakilembe4573
@paulmwakilembe4573 3 жыл бұрын
Nakubali mchungaji Sana kariakooo natamani nije nisali hapo sijui misa ya kwanza inaanza sangapi
@edethkekekeke910
@edethkekekeke910 3 жыл бұрын
Facts pastor..like it from kenya
@martmstaarabukyeshe3760
@martmstaarabukyeshe3760 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana mchungaji mungu akubariki Sana🙏
@gabriellanchimbi3154
@gabriellanchimbi3154 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji.
@suzanne9517
@suzanne9517 2 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu
@selafinlisiely6009
@selafinlisiely6009 3 жыл бұрын
Dunia imefungwa katika mafumbo mengi,, Maneno ya Mzee ni mafumbo ,,,,na tabia ya watu ni kusifia mambo mazuri ila wamefichwa kujua yalio mema mbele za Mungu ....Behold Yeremia 4:22 Mungu atusaidie
@geoginawabululu32
@geoginawabululu32 3 жыл бұрын
Barikiwa sana pastor kwa ukweli 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@jasminmike4349
@jasminmike4349 3 жыл бұрын
Nakupeda kusema ukweli,Mbinguni hatutafika kama huku duniani hatupedani🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wanadamu hawapedi ukweli🙏🙏🙏
@boniphacesaimon8358
@boniphacesaimon8358 2 жыл бұрын
Hongera mtumishi kwa kazi ya bwana
@davidelias6730
@davidelias6730 2 жыл бұрын
Hiki kichwa ni computer aisee🤣🤣🤣 Mungu akulinde mtumishi nakukubali sana mafundisho yako kwangu ni elim tosha
@johndeus577
@johndeus577 3 жыл бұрын
Safi sana Paster Mgogo
@user-gs5rp1xg2v
@user-gs5rp1xg2v 2 ай бұрын
Baba apo kwenye kuushi na kiumbe bila polisi wala magereza hapo ndipo tunahitaji mungu atupe kibali ubarikiwe myumishi
@twinklecaroy9624
@twinklecaroy9624 2 жыл бұрын
Mungu akutangulie pastor wangu
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 3 жыл бұрын
Umenena pastor Mungu akupe afya...
@jeanmariemushagalusa1338
@jeanmariemushagalusa1338 2 жыл бұрын
Nakupenda sana nikiwa jamuhuri YA kidemocrasia YA Congo goma.
@keflennzella9313
@keflennzella9313 2 жыл бұрын
Barkiwa sana mchungaji
@jacobwaliuba8840
@jacobwaliuba8840 3 жыл бұрын
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@pazimazongera4934
@pazimazongera4934 Жыл бұрын
Mchungaji yupo vizuri sana
@praxidesetyang7737
@praxidesetyang7737 Жыл бұрын
I always admire to be your student
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Yaaani nikweli kabisa unayo ongeaa mashallah 👏👏👏👏👏
@maimunaabdalla7146
@maimunaabdalla7146 3 жыл бұрын
Wakanza diamond limbukeni wa pesa kizipata tu akamtupa alo mlea tokea tumboni🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@musajdalugo2555
@musajdalugo2555 2 жыл бұрын
Mwinue mungu hujaponya ndoa za watu bali uvuvio wa Mungu kupitia roho wake otherwise unamsukumo binafsi
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
Amen washidwe wenyekuchezeyawatu
@abdullahalkindi9673
@abdullahalkindi9673 3 жыл бұрын
Diamond hata asaidie ulimwengu mzima hana radhi ya baba yake ni lazima kwanza akaombe radhi na amsaidie mzee Abdul mzee Mkanye sio babake wala hafanani nae.
@esthermramba9395
@esthermramba9395 3 жыл бұрын
Hongera sana pastor unanibariki sana
@annajustine3414
@annajustine3414 2 жыл бұрын
Nakukubali sana baba yangu Mzee wa kuchana
@magdalenajohn6564
@magdalenajohn6564 3 жыл бұрын
Mhh .Cha kuhubiri wachungaji wa kweli wanapewa na Mungu
@mlasinyongolo3256
@mlasinyongolo3256 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 жыл бұрын
Hahahaaaa mchungaji umenifurahisha sana
@sadamkuntukumu3672
@sadamkuntukumu3672 Жыл бұрын
Namuelewa sana mchungaji mgogo
@winnyrocha1361
@winnyrocha1361 3 жыл бұрын
God bless you pastor
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 4 ай бұрын
Mimi binafsi mwezi huu naomba mungu nikutafute nikupatie japo hata ya maji mchungaji sina kikubwa bali hata hiki kidogo tu maana kisu kimegonga kwenye mfupa ni kuvumiliana tu iri mambo yaende
@chrisbrownfans3451
@chrisbrownfans3451 Жыл бұрын
nice pastor
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 3 жыл бұрын
Yaani mchungaji ni konki
@ashasanga7552
@ashasanga7552 2 жыл бұрын
Baptist ina mwalimu bora sana ;
@pirisieliud5391
@pirisieliud5391 2 жыл бұрын
Mhubiri nakushukuru kwa kuelimisha jamii, umenifanya nielewa binadamu mwenzangu
@furahiarichard2726
@furahiarichard2726 2 жыл бұрын
nakukubali sana pastor mgogo
@nickomlimbila217
@nickomlimbila217 3 жыл бұрын
Nakukubali sana mzee baba
@martinbruno9071
@martinbruno9071 3 жыл бұрын
Nakupenda sana Mgogo.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 41 МЛН
123 GO! Houseによる偽の舌ドッキリ 😂👅
00:20
123 GO! HOUSE Japanese
Рет қаралды 5 МЛН
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.
MCH DANIEL MGOGO - JIFUNZE KUTUBU (OFFICIAL VIDEO)
1:02:27
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 1,3 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 41 МЛН