MZEE WA UPAKO ALIVYO MCHANA PASTOR DANIEL MGOGO NA MCH.HANJA KUSEMA UTAPELI UMEJAA MAKANISANI...

  Рет қаралды 114,735

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

5 ай бұрын

#PastorDanielMgogo #mzeewaupako #harmonize

Пікірлер: 590
@sethadalo3312
@sethadalo3312 4 ай бұрын
Daniel mugogo, Hana siasa, yeye ni munjilisiti hodari na upako wa ajabu . Kenya tuna mpenda sana. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-nw1cd3zp7b
@user-nw1cd3zp7b 3 ай бұрын
Mgogo ni the best anakupa elim mtu ujitambue ❤
@JasinthaAlex
@JasinthaAlex 3 ай бұрын
Daniel Mgogo more life🙏 na kwamba yeye ni comedian it's okay coz iyo iko ndani yake na anacheza na vichwa vya kisasa ndo maana injili yake si ya kupokea na haboi,anakomboa walio potea inampasa aendane nao ata Yesu alipingwa,Daniel chapa injili komboa akili za watu injili yako hata dini za upande wa pili wanaipenda uchagui hubagui huna baya usiogope fanta kazi ya bwana tunakuombea🙏🙏
@gracekambua9836
@gracekambua9836 3 ай бұрын
Imani pasipo na kazi imekufa. Tuwe na imani tuchanganye na kazi..Hata Yesu hakupendwa Kwa hivyo Pst Mgogo continue the Good work Man of God,we need more of you guys
@TabibuGift
@TabibuGift 3 ай бұрын
I love pastor Daniel Mgogo, he preach the true gospel which brings salvation to people. For sure, I real admire him but I don't wants to hear that receive cars or money from other preacher but if am lazy I can't get anything
@user-oe4vp6nk2h
@user-oe4vp6nk2h 4 ай бұрын
Watu wafanye kazi mgogo yuko sahihi
@Maryc2G
@Maryc2G 4 ай бұрын
Kweli kabisa, watu wafanye kazi kabisa. Ukifanya kazi kwa bidii kufanikiwa ni must
@CHILL50440
@CHILL50440 3 ай бұрын
Bible inasema mungu atabariki kazi ya mkono yako
@user-wl8ns6hh8l
@user-wl8ns6hh8l 2 ай бұрын
Mgogo yupo vizuri anatuamsha tuache ujinga
@ronaldkimengich8958
@ronaldkimengich8958 4 ай бұрын
Huyu mzee ajielewi I can Kenya 🇰🇪 we Love Mgogo since he preaches the Truth long live pst Mgogo
@ChemchemiRecords
@ChemchemiRecords 4 ай бұрын
Swahili only, please?
@helencyprian8745
@helencyprian8745 2 ай бұрын
Mgogo yuko vizuri sana ijili za utapeli hazina nafasi
@eliasmyamba4767
@eliasmyamba4767 4 ай бұрын
Nampenda sana pasta mgogo yupo sahihi sana watu wafanye kazi ndyo wapate magali. Wemzee waupako tuache kidogo tafadhali🙏
@user-pp9bv8xs2h
@user-pp9bv8xs2h 3 ай бұрын
Mgogo yupo sahihi kabisa anawaambia watu ukweli.
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 4 ай бұрын
Mgogo mm ninamkubali Sana na yuko sahihi kabisa 🙏🏼 Mgogo na Hananja nawakubali saaana💪🏽✌️👊
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi 5 ай бұрын
Mimi kiukweli Huyu anayejiita Mzee wa upako sina imani naye kabisaaa,isipokua MUNGU TU BASI.
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
@ev.johnkay9383
@ev.johnkay9383 2 ай бұрын
Huyu asije akaokota na bundles zangu pia😂, Namkubali mchungaji mgogo. Watu waganye kazi.
@user-mr6uk3lv1b
@user-mr6uk3lv1b 4 ай бұрын
Mgogo tuko vizuli ufanye kazi na mungu atakunyohosheya mkono
@sinaimissions7554
@sinaimissions7554 3 ай бұрын
🎉
@prudencemushi6948
@prudencemushi6948 3 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nimemwelewa mzee wa upako kabisa na amebadilisha mtazamo wangu kwake... barikiwa
@mwamakaassely2260
@mwamakaassely2260 2 ай бұрын
Mlevi mwenzetu huyu mzee wa upako
@lilyg2134
@lilyg2134 26 күн бұрын
@@mwamakaassely2260 🤣tena lilevi la kupindukia linalotumiwa na wapinzani
@HermanKikoti
@HermanKikoti 2 күн бұрын
😢
@mariosigala8760
@mariosigala8760 4 ай бұрын
Hakuna Baraka za kupokea bila unacho kufanya.
@boazmaobe7245
@boazmaobe7245 4 ай бұрын
Mzee wa upako ana swaggy za kitapeli.unapokea ktoka wapi?? Hayo maokoto ni ya kutoka kwa maskini alf unajifurisha kwa kuwatapeli...fanya kazi mungu alunyooshee mambo yako
@ireneinnocent4128
@ireneinnocent4128 2 ай бұрын
Mzee wa upako umeongea kwa busara sana. Wakristo wako wengi na tusihukumiane. Hao wanaokashifu na kukosoa wengine ni kujiona kuwa wao wako sahihi zaidi. Kila mmoja aamini Imani yake. Usijione kuwa yako ni sahihi zaidi. Mimi mkatoliki na naheshimu ya wenzangu. Tukipingana na kukashifiana ni Ubinafsi sisi wote ni mwili wa Kristu.
@Joycenangonga
@Joycenangonga 2 ай бұрын
Jamaniiiiiiii sio kristu ni kristo kwenye biblia imeandikwa kristo na sio kristu.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Mgogo Mungu akubariki sana waambie ukweli mwambie ukweli mlevi wa Kvant mzee wa Upako
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂duuu
@ntakilutandato
@ntakilutandato 4 ай бұрын
kweli mzee wa upako..tunahitaji kumhubiri yesu na siyo umbea madhabahuni. Tukisema tuanze kuchambuana Dunia haikaliki.
@boazmaobe7245
@boazmaobe7245 4 ай бұрын
Mgogo kiboko na mungu akuzidishie na akupe ufahamu uzidi kutuelimisha
@thobiasfilbert7391
@thobiasfilbert7391 4 ай бұрын
Hana majibu kweli mzee was upako .mgogo anahubri uharisia was maisha yalivyo.
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 3 ай бұрын
Katka maneno ya Mzee Kuna mawe na madini chukua yanayo kufaa kama ni mawe au madini basi 🙏.
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 ай бұрын
Kweri mgogo yupo sahihi Mgogo yupo sahihi kama Mzee Ananja hao ndiyo Waubil sahihi Tanzania
@govinsonlugano9226
@govinsonlugano9226 3 ай бұрын
Hatukatai miujiza Mungu ufanya! Na Mungu ufanya akitaka,wala si sarakasi zakumlazimisha.iyo yakupokea pokea kwani munakuwa waganga? Biblia imasema asietumika asile.pia nitaibariki kazi ya mikono yako.Mgogo injili iko sawa!
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 3 ай бұрын
Daniel Yuko pafect sana ❤❤❤
@KaswarraKabagambe-gu1zm
@KaswarraKabagambe-gu1zm 3 ай бұрын
Daniel juuuu sana ❤❤❤❤
@user-ge3cg4ct9z
@user-ge3cg4ct9z 4 ай бұрын
Vua hiyo Pete ya kishetani ama Bora usicganganye Mungu na mungu wenu anaejifuchia ndani ya jina la Yesu, tu awajua wote mliojiunga chamani mtoke msiwadanganye watu
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 ай бұрын
Vipi na wewe upo chamani?
@noornasir4378
@noornasir4378 4 ай бұрын
Pastor mgongo is the best
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 2 ай бұрын
Mchungaji mgogo ni comedy. Anahubiri kutumia vichekesho. Kama alivyo masanja. Pokea gari, pokea nyumba ni baraka anatoa mchungaji. Kwenye biashara yako Mungu akubariki upokee gari. Mzee wa upako yupo vizuri sana kwenye mahubiri. Namfaham ni smart mzee wa upako chief
@athanase84
@athanase84 15 күн бұрын
Mimi niko.congo huyu mzee yuko vzr mno, Ila watu wametapeliwa kiakiki awamuelewi
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 27 күн бұрын
Mzee Wa Upako wa kiganga. Ni wa hovyo sana huyu. Bora sijawa na ndugu wa kunitia aibu kama hawa. Hajui hata biblia. Nilikua namwelewa sana ila kabla sijaanza kumskiliza ila nilivyoanza kumskiliza nimemuona hovyo sana😢😢😢😢😢 Daniel Mbogo ❤. Alaf mchungaji wa kweli na wa uongo hapa utamjua tu. Mbona maji na mafuta vimejitenga.😅😅😅
@lilyg2134
@lilyg2134 26 күн бұрын
Kabisaa.. yeye na waumini wake vichaa tu
@Vanessa-md2hj
@Vanessa-md2hj 2 ай бұрын
Daniel mgogo all the way 🙏🙏the bible says nitaenda kuibariki kazi ya mikono yako kumanisha utajiri upo mikononi mwetu .hawa wa kutuambia receive receive uongo mtupu hao ni kungoja tuwape hela😂😂
@michaelwanyanga
@michaelwanyanga 3 ай бұрын
Wengine ni wahuni wanaotumia jina la Mungu. Asante YEHOVA-Mungu kwa kuwa upo na unaendelea kuwepo ili kuwapepeta wahuni wote na kuwaengua katika kundi la wacha Mungu.
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 3 ай бұрын
Mungu ambariki sana mgogo ni chombo cha Bwana
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 3 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu luseke lo mungu akubariki watu tumekuelewa vizuri sana barikiwa pastor
@brownaled2576
@brownaled2576 4 ай бұрын
Amna mungu apo ni uvivu wa kifanya kazi halali
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 4 ай бұрын
Watu wafanye kazi Mungu ataibariki kazi ya mikono Yao,sasa Hawa wanauza mafuta ya upako !neno la Mungu ama dam ya yesu ilimwagika Kwa sh ngapi ,tujihadhari na manabii wa uongo ,yesu ana meli ,mabasi ama jeshi .
@sammymwachiro5894
@sammymwachiro5894 4 ай бұрын
Mgogo yuko sahihi, tusidanganyane.
@ZallMarshall
@ZallMarshall 2 ай бұрын
Mgogo is the best hana kazi mbovu yy husema ukweli we love you as Kenyans all the best may you live long mungu akuzidishie neema ya kuhubiri🎉🎉❤
@user-jb3zp9uo7o
@user-jb3zp9uo7o 4 ай бұрын
Mgogo yuko sawa kabisa? Huwezi kuombea mtu amateur gari ki rahisirahisi bila kutoka Jasho.
@Satier47
@Satier47 4 ай бұрын
Napenda saaana MGOGO. huyu Mzee Antony mwamposa wahuni wakubwa tena matapeli wezi hawa😢😢😢
@joyjackson258
@joyjackson258 4 ай бұрын
Kila mtu amnene Yesu na uweza wake . Acheni kuwafanya watu kuyalaanj maisha yao kwa kuwanena vibaya watumishi wa Mungu.
@Joycenangonga
@Joycenangonga 2 ай бұрын
Umesema vyema wajina ndo mana mimi sijataka kucomment maneno meng coz kimsingi wa biblia kuwanenea vibaya watumish ni dhambi na laana maana yesu ndo mwenye uweza wa kuhukumu pekeake.
@donaldmpagaze9803
@donaldmpagaze9803 Ай бұрын
Mungu akubariki mzee wa upako
@almasramadhan9387
@almasramadhan9387 4 ай бұрын
Wa upako umechemka baba mgogo Yuko sawa
@festofute58
@festofute58 4 ай бұрын
Swala siyo kukubaliana Cha kuhubiri,Bali kuifuata Biblia.
@sillahnjau9205
@sillahnjau9205 4 ай бұрын
mgogo yupo sahihi Fanya kazi ndio upate pesa ununue gar tana kwa bidii sio kupekea bila kufanya kaz mgogo saf
@SezaliaOnesmo
@SezaliaOnesmo 2 ай бұрын
Kwa ukweli mgogo endelea kutupa mawe tufunguke akili, hiyo injili ya mwaka wa maokoto hapana biblia inasema tutafute ufalme wa Mungu na mali Mungu atatupa kwa kufanya kazi. Kumbukumbu 28.1ff
@johnkomba4184
@johnkomba4184 4 ай бұрын
So intelligent and knows what he's doing.... congratulations Mzee wa upako....God bless you so much....we need to appreciate each other's religion and opinions... it's all about perceptive and people's minds...
@ivanlyimo6727
@ivanlyimo6727 4 ай бұрын
I do not remember any instance where Rev Mgogo or Rev Hananja had mentioned names of other preachers. What they are doing is to rebuke sinful actions with strongest possible terms of which every serious Christian should do. You can not appreciate an opinion inclined to sin and still remain Christian. Of course you can do that in some political issues since politicians have made it appear as if there is no absolute truth; to them sin is a relative term and that is where the idea of appreciating others' sinful opinions comes in.
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 4 ай бұрын
Msenge sana wewe.... I'm very sorry sijatulana bali umekera...
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 4 ай бұрын
Unafikiri ukiandika kiingilishi ndiyo hatutaelewa kua umeandika pumba
@EnthusiasticAtv-gn6pb
@EnthusiasticAtv-gn6pb Ай бұрын
NIMEMUELEWA VIZURI SANA MZEE WA UPAKO. Kwa kweli hutakiwi kumuhukumu mtu pasina kumsikiliza. Usisikilize upande mmoja ndugu, utakosea.
@joetheone3354
@joetheone3354 4 ай бұрын
Unajua sana Mzee Wa Upako. Ni mchungaji pekee unayeweza kukemea na kupongeza bila kujali ni nani. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu endelea kuikomboa jamii.
@fredfandey222
@fredfandey222 4 ай бұрын
Sio kweli
@donaldchacha3059
@donaldchacha3059 4 ай бұрын
@@fredfandey222ni kweli
@kensniper8079
@kensniper8079 3 ай бұрын
Ww ni kada wake hatuwez kukubishia lkn Mzee wa upako Hana lolote
@KennedyIpereny
@KennedyIpereny 2 ай бұрын
Wote ni watumishi wa mungu ,mgogo anatufundisha namna ya kuishi ukiwa kwa ndoa.mzee wa upako anatufundisha imani kulingana na vile amejieleza.kwa hivyo wote wako sawa wote
@petermwanyondo5370
@petermwanyondo5370 4 ай бұрын
Asante baba mgogo achana nawasaka tonge kwakutumia vibaya jina lamwenyezi
@gracekiondo2541
@gracekiondo2541 3 ай бұрын
Hawa wamewafanya watu wategemee mafuta na maji badala ya kumtafuta Mungu,mtu hajifunzi juu ya Mungu hata hana muda wa sala kazi ni kuamini Upako.huyo Mzee wa Upako maswali anashindwa kuyajibu.
@marykiwoi7821
@marykiwoi7821 4 ай бұрын
Mungu anabariki kazi ya mikono yetu na Mgogo yuko sawa kufingua watu macho
@festokemibala5832
@festokemibala5832 4 ай бұрын
Sawa. Hakuna kufanya kazi kwa bidii hakuna kupokea chochote!!
@josephkmarwa7425
@josephkmarwa7425 4 ай бұрын
Mzee. Wa..upako..nakualewa..sana. nazidi kufanikiwa .kwa kufata. Mahubiri. Yako. Endelea..kutuombea. tunao..amino
@peterbangari4273
@peterbangari4273 4 ай бұрын
Mzee wa upako umeshindwa kujibu swali nikweli huwezi kupokea gari bila kufanya KAZI mgogo na Hanja wako sahihi huyo ni mwongo
@johnthomson5746
@johnthomson5746 4 ай бұрын
Mumuelewe baada ya kufamya Kazi, unatamkiwa kupokea, unaweza ukafanya Kazi, adui akaipiga hiyo Kazi, siyo mbaya kutamkiwa Baraka, baada ya Kazi zako
@donaldchacha3059
@donaldchacha3059 4 ай бұрын
@@johnthomson5746sawa kabisa Mzee wa Upako yupo vizuri tuache ushabiki
@urbanmission3072
@urbanmission3072 3 ай бұрын
MTU ASIYE NA SIRI YA IMANI HAWEZ ELEWA NA HAWEZ KUELEEWA MAMBO YA MUNGU
@athanase84
@athanase84 15 күн бұрын
Wewe msikilize mwanzo mpaka mwisho, mbona mnatanguliza hisia binafsi badala ya kuelewa? MZEE Kajibu vzr mpaka nimeona aibu upande wa Mgogo
@laukhanpaulo4996
@laukhanpaulo4996 3 ай бұрын
Mgogo🔥🔥🔥🔥 nikiboko yao anawafumbua macho walio lala na wanao pigwa hakika mahubiri ya kweli yanasimama daima sio poke nyumba pokea pesa nani kazisahau 🏃🏃🏃
@philipolubuva4102
@philipolubuva4102 4 ай бұрын
Mzee wa Upako uko sahihi ni kweli Petro Alifanya kazi ya kuvua samaki usiku kucha lakini hakupata kitu kwa sababu hakuwa na Yesu lakini alipomkubali Yesu baraka zikamuingia na kufanikiwa kupata samaki wengi hivyo kufanya kazi bila Yesu kufanikiwa ni ngumu unapoombewa pokea gari bila kufanya kazi bila yesu ni kazi bure
@fredymbilinyi6323
@fredymbilinyi6323 4 ай бұрын
Mimi napenda huduma yake mch mgogo
@FarresFedrick-xj3qc
@FarresFedrick-xj3qc 4 ай бұрын
There is big difference between Public speakers and a Preacher of the Gospel which can save and deliver people from sin.
@barakavalencendola1117
@barakavalencendola1117 4 ай бұрын
Mgogo anasema kweli,usizunguke sana
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 2 ай бұрын
Kwenye hii Dunia kila mtu ana wampendao haijalishi unafanya Nini lazima utapata wafuasi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 ай бұрын
Mwilinwa kristo , safi Kila mmoja akae kwenye eneo lake sio mambo ya kunyoosheana vidole
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 3 ай бұрын
Amina
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 4 ай бұрын
Amen, Imani nikuwa na uhakika na hasa km unamjua unaye muamini,kila mtu na karama Mungu aliyo muitia,simama na kumsikiliza Roho Mtakatifu anavyo kuongoza,sisi ni mwili wa Kristo. Ni mekuelewa👍🏽🙏
@user-hl9ee2ve4s
@user-hl9ee2ve4s 2 ай бұрын
Wewe ni mtapeli. Mchungaji Daniel ako right kabisaa na yeye injili yake iko sawa na mafundisho ya kristo.
@user-gg7qi2zm3w
@user-gg7qi2zm3w 3 ай бұрын
Nakuunga mkono sana da uko vizuri
@upendokibuga1434
@upendokibuga1434 4 ай бұрын
Uchumi wa Tanzani uko chini ya matajiri 10 wakubwa. na sio wakristo! Mchungaji mgogo yuko sahihi sana. Hakuna maendeleo, hakuna kutajirika kwa upako na maombi na kufunga na kunene kwa lugha wala kukoroma kwa lugha. Tena injili za hivi ndio zinazalisha maskini wengi. Haya ninyesheni aliyefungua biashara baada ya kuombewa...
@mariaerenest5632
@mariaerenest5632 4 ай бұрын
Namkubari mgogo sana
@athanase84
@athanase84 15 күн бұрын
Basi mgogo asiwe anawaombea wagonjwa, awaagize hospitali, maana bado haelewi halaf yupo kiutoto sana aelewi mambo ya Kiroho
@user-xw4nj8ji2e
@user-xw4nj8ji2e 2 ай бұрын
Mzee wa upako,yafaa ujue kila mmoja ana mwito tofauti,,
@ukuriijambo9418
@ukuriijambo9418 4 ай бұрын
Hubiri injili ya wokovu,acha iyo mafuta ya upako,ni utapeli kweri.Hubiri watu injili ya Yesu
@Saning.oyohanasaitoSaito
@Saning.oyohanasaitoSaito 2 ай бұрын
❤chukuwa mauwa yako Mzee wetu wa upako na Mzee wetu wa kiroho 🎉🎉🎉❤❤
@ericsallu3237
@ericsallu3237 2 ай бұрын
Hana point Mzee wa Upako
@kibelakakunde8238
@kibelakakunde8238 4 ай бұрын
Mgogo ndiye mchungaji mwaposa mganga wa kienyeji
@judicalosika7642
@judicalosika7642 4 ай бұрын
Mchungaji akitaka gari tunamchangia, muumini akitaka gari, pokea pokea pokea Hii haingii akilini
@elegantladieszone7301
@elegantladieszone7301 4 ай бұрын
Upo sahihi sanaaa Bishop Anthony Lusekelo Mzee wa Upako,Chief. Amina sanaaa
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 3 ай бұрын
Amina mtumishi Bwana Yesu asifiwe mpendwa kwa akili ulio nayo.
@kensniper8079
@kensniper8079 3 ай бұрын
Tapeli tu mzee wa upako
@loycep7785
@loycep7785 4 ай бұрын
Pamoja na watumishi wa Mungu wakubaliane tu kwamba ili ufanikiwe fanya kazi ndy upate siyo kushinda makanisani hiyo hela ni ya mizimu Mungu ktk maanfiko hakusema muende kupokea vitu bila kutumika Hata enzi za zamani kipindi cha Musa watu walifanya kazi Acheni kuwachanganya watu kwa mahubir potovu Mbinguni hakuna madhehemu bali ni kumwabudu Mungu ktk roho na kweli
@FrancoiseNyandwi-uo6ds
@FrancoiseNyandwi-uo6ds 4 ай бұрын
Mgogo yuko Sawa isipokua tu mahubili Yake niyakutuamsha na kutukataza uvivu,hajawahi kutukana mtu kama wewe
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 3 ай бұрын
Nimeelewa apo kwamba sisi ni kiungo cha MUNGU katika KRISTO YESU BWANA WETU,Kila mtu ni kiungo cha mwenzake katika KRISTO YESU BWANA WETU!!!!
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 4 ай бұрын
Mchungaji mgogo chapa kazi ya MUNGU usitishwe na maneno ya kuvunja moyo maana hayana nguvu tena ya kusimamisha neno la MUNGU kamwe
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 3 ай бұрын
Wachungaji kama hawa ni matabei tuu ,,ukitambua makosa yako tubu mungu ni mwenye rehema😢atakusamehe ,rudu kwa yesu hubiri injili ya kweli, achana na nguvu za kipepo na hizo Pete za chicho ni uchawimtupu
@mramba1966
@mramba1966 3 ай бұрын
Asante baba mgogo
@ShimaKilairo
@ShimaKilairo 2 ай бұрын
Kweli mgogo tupo sawa we mpigaji tu upako wap
@user-yg1uw7me8y
@user-yg1uw7me8y 3 ай бұрын
Kweli walio wa mungu tunaelewa tu mapema
@josiahbineguro6393
@josiahbineguro6393 4 ай бұрын
Mi naona Mgogo Yuko Vizuri kwani Mahubili ya kitapeli yapo na tumeyaona Tena hata kipindi kile Mzee wa Upako alitumia Mahubili yanamna hiyo ambayo kayazungumzia Pastor Mugogo
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es 4 ай бұрын
Baba mzee wa upako yuko sawa sana ana hekima ya hali ya juu.Haya mambo ya huduma yanahitaji kiwango cha uelewa wa kiroho na hekima.Kwakua watu wako kwenye ibada na tamko la kupokea ni tendo la imani kama sehemu ya ibada mtu anakua anapokea katika ulimwengu wa roho kabla hayajatokea katika ulimwengu wa mwili.Biblia inasema yote tuyaombayo kwa imani tuamini ya kua tumeyapokea na yamekua .
@moshijoramu2616
@moshijoramu2616 2 ай бұрын
Humuwezi Mgogo Hugo ananyoka hapindi pindi
@user-in1on9ip5z
@user-in1on9ip5z 2 ай бұрын
Pastor mgogo yuko vizur ,huyu mzee wa upaka uwa simuelewi MUNGU yupi anayemtumikia!!
@deogratiasrutabana2387
@deogratiasrutabana2387 4 ай бұрын
9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10 Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo. 11 Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. 13 Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnawafungia watu ufalme wa mbinguni; ninyi wenyewe hamwingii, wala wanaoingia hamwaachi waingie. Mtu akishakwenda kinyume na Biblia anatumika na roho wa shetani msidanganyike.
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk 4 ай бұрын
So comedian sisi tunampenda mungu wake na si vingine
@lovenessrichard9969
@lovenessrichard9969 3 ай бұрын
Ubarikiwe mzee wa upako.... Mwakasege na Mwamposa bambam❤❤❤❤😊
@godisable2098
@godisable2098 4 ай бұрын
Uyu haiko Mtumishi WA Mungu WA kweli
@user-nt3re5fp4z
@user-nt3re5fp4z 2 ай бұрын
Daniel MGOGO anemwaga nucele ndo mana mumeanza kununa🇷🇼
@margaretnamubi4565
@margaretnamubi4565 4 ай бұрын
❤❤mwili wa ckristo tuwe kitu kimoja..tuwache malumbano...
@afwililenisaidie9597
@afwililenisaidie9597 4 ай бұрын
Kweli lakn sio kila anaye hubiri ni kristo wengine ni makristo
@gm7045
@gm7045 3 ай бұрын
Makanisa ni matatu 3 tu Muslin for Friday, Wasabato for Sabbath day and Catholic nawatu wao wote wa Sunday
@donaldmpagaze9803
@donaldmpagaze9803 Ай бұрын
Mimi sioni shida iko wapi kuuza yale mafuta shida ni jinsi wewe utakavyo yachukulia chukuwa neno la Mungu omba sawa na neno hilo ukimdai Mungu imeandikwa Yakobo 5:14 mtu wa kwenu hawezi na awaite wazee wakanisa wamuombee na wmpake mafuta nk naye atapata afya wote wanaotumia mafuta ya upako sijawahi ona wakitumia mafuta bila neno lazima watakuppa neno mungu atusaidie
@annakattoa7502
@annakattoa7502 4 ай бұрын
Hongereni nyote sbb wote mnaponya mioyo ya watu kwa namna tofauti the most expensive in Life is PEACE . So nyote mnafu disha na kuwaongoza watu . Uwe comedian uwe Amin dada all people need is PEACE IN GOD Vyote vinafata nyuma MBARIKIWE
@ElisanteEcotone
@ElisanteEcotone 2 ай бұрын
Mgogo ni comedian sio muhubir
@PeterA.Meshack-mu5rw
@PeterA.Meshack-mu5rw 3 ай бұрын
Mgogo kazi yake nikuambia mtu Aache makosa yake
@user-xf8yo1od4n
@user-xf8yo1od4n 3 ай бұрын
Atabariki kazi za mikono yetu haya mambo yakusubilia muujiza na hawafanyi kazi tunakua na Taifa la watu wavivu sana tangu mwanadam wa kwanza alipoumbwa alipewa kazi za kufanya Hivyo tufanye
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 3 ай бұрын
Mungu hana hasira ni mwingi wa rehema wiki nzima upi kanisan na kidogo unachopata unatoa sadaka eti ya kupanda
@user-cv2jf1nu3q
@user-cv2jf1nu3q 3 ай бұрын
Amebarikiwa na Bwana zaidi ya kubArikiwa kwake materials nimeongea, ampingae simwambii amkubali ila minamkubali, pia mafuta ya upako ni biashara naungana namgogo, alafu hiyo kauli yachifu kusema eti nicomedi misimuungi mkono injili yakweli mgogo hafichi,Mungu ampe maisha malefu aendelee kufundisha wengine wjae malaria,,,, ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-yg1uw7me8y
@user-yg1uw7me8y 3 ай бұрын
Nakupenda bure mzee unaongea point baba
@MmHh-rz8kz
@MmHh-rz8kz 4 ай бұрын
fanya kaz kwa bidii na kumuweka mungu mbeleh hkuna cha bure
@ChanceBariziraVital-cv5jx
@ChanceBariziraVital-cv5jx 4 ай бұрын
Pahalimngu awapechakuhubili munaanza jichagulia ninimuhubili mungu awasaidie muokorewe.
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 3 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu lusekelo
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 21 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 60 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
How spiritual is money? || Apostle T. Mwangi
1:36:25
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 487 М.
LIVE :  : NDOTO NA TAFSIRI ZAKE  PASTOR SUNBELLA KYANDO
2:07:21
Reality of Christ Church
Рет қаралды 73 М.
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 21 МЛН