No video

RAHA YA UKE WENZA NI KUSHINDANA KWA TUNGO

  Рет қаралды 13,077

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 39
@guyogalora2736
@guyogalora2736 8 ай бұрын
Masha Allah shukran jazeelan somo zuri sana
@zaynaothman6505
@zaynaothman6505 4 ай бұрын
Masha Allah,kwa somo zuuri,,.somo mtoto samahani, km unaweza kuvaa gloves it's better ukazivaa henna yako inavutia mnoo Masha Allah.
@azizaali8506
@azizaali8506 4 ай бұрын
Subhan Allah ndugu yangu mbona mapambo yako hadharani hivooo
@user-gu1lg2zr8s
@user-gu1lg2zr8s 2 ай бұрын
Dimonso lugha zake za kiuni sana.. Anyway nimejifunza jambo la maana sana. Shukran
@latifahud4336
@latifahud4336 11 ай бұрын
Hayajakukuta weyeeeee,mie siutak kbsa uke wenza wanawake n washirikina sana unaeza rogwa buree
@mwanashaali1109
@mwanashaali1109 10 ай бұрын
Alikurogaaa jukumu lake,Ikiwa Aliolelewa Aisha Bint Abubakar (R.A)Sie ni kina Nani ??Usisema Kujikitaa Keshoo Sije Ukawa Massul Kw Allah Kumbuka Ni maandishii Na Kitendo Cha Kuwa Sunnah Ni Kwa Sababu Manabiii Waliyafanyaaa
@ZahorMohamed
@ZahorMohamed Жыл бұрын
Sawa
@IdrisaIsmail-mt3ks
@IdrisaIsmail-mt3ks 11 ай бұрын
Huo urembo ni wachumbani kwa mmee wako.
@user-ky7uu2uv2f
@user-ky7uu2uv2f 7 ай бұрын
Ila ht mm nashangaa alitakiwa avae jelibabii ndo igekua sahihi
@muhammadhussain449
@muhammadhussain449 Жыл бұрын
Jamaani tufate maneno yake sio vitendo vake
@latifahud4336
@latifahud4336 11 ай бұрын
Afu vaa hijabu we dada hinna zako kwa mumeo
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Ugefinika mapambo yako basi kabla ya mafundisho ya ndoa
@UmmyLubna-rp6rv
@UmmyLubna-rp6rv 2 ай бұрын
Mumeo ana wake wangapi?
@issazalala4907
@issazalala4907 Жыл бұрын
Assalam aleykum ndugu zangu naomba kuuliza huyu mdada ameolewa
@user-wh1vq7gi3m
@user-wh1vq7gi3m Жыл бұрын
Kwa nini usijihifazi
@JumaKasimusuleiman-pr9bj
@JumaKasimusuleiman-pr9bj Жыл бұрын
Wewe ukhty funika mapambo yako ili dawa yako iwe na radhi za Allah sio unafundisha watu haliyakuwa ww upo uchi
@zainabnoor2278
@zainabnoor2278 Жыл бұрын
Uchi upi aloonyesha hapo sasa acha kuangalia wake za watu kwa macho ya uhasidi wewe jifunze uelimike amri peleka kwa mkeo na wanao yeye ana mumewe anaejielewa dunia haiendi unavyotaka wewe jua kutofautisha mambo
@saidkhamis9507
@saidkhamis9507 Жыл бұрын
@@zainabnoor2278 Allah amesema:wanawake wasidhihirishe mapambo yao ispokuwa kwa waumezao au kwa waliowamiliki,suili je hapo anaonekana na wangapi!je ww utaweza kulikwepesha jicho lako bila yakumuangalia?
@zainabnoor2278
@zainabnoor2278 Жыл бұрын
Pambo lipi alilodhihirisha hapo labda
@saidkhamis9507
@saidkhamis9507 Жыл бұрын
@@zainabnoor2278 inavyoonyeshea mapambo hauyajui?
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Жыл бұрын
Ona Sheikh wawatu macho yake yapo chini kabisa anaokoa kuinuwa sura mapambo ya hina yanaonekana nguo zinamsogelea mapaja,labda umja wapo hapo ndiye mme wake,Ila napenda maongezi yake tu ,ushauri wake mzuri .
@azizaali8506
@azizaali8506 4 ай бұрын
Na hawa anaokaa nao kwenye hivi vipindi si ni mashekheee mbona wameridhia namna hii huyu ndugu yetu adhihirishe mapambo yake namna hiii na mitandio ya hakiamungu namna hiiiiii
@user-yq1tv1kr5c
@user-yq1tv1kr5c 11 ай бұрын
Jistiri kwanza uko na wanaume kati kati haifai ulivyo jiachiya
@yumnamohamed5149
@yumnamohamed5149 Жыл бұрын
ukewenza una raha haswaa ikiw munajielew
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
😂😂😂😂. Akili kitu mhim xana ukiikosa hata ukiambiwa kula mavi utakula na utayasifia
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Mm ukewenza ndan ya nafs siutaki mana mambo ya kuja kurogwa siyawez, in shot na bahat mbaya hii nilionayo sisubut uke wenza stafuti mabalaa mie
@hijrakassim304
@hijrakassim304 Жыл бұрын
Muombe Allah akuepushe nao mana sio wote walouingia wameutaka hiyo nimipango ya Mungu
@asalkhan9168
@asalkhan9168 Жыл бұрын
Allah akunusuru na kuamini sana uke wenza ni shirki
@asalkhan9168
@asalkhan9168 Жыл бұрын
Sasa je ukitokezea uo uke wenza umefanyika kwako utafanyaje
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 Жыл бұрын
Ukiamini kurogwa utarogwa bila hata ya ukewenza
@saidkhamis9507
@saidkhamis9507 Жыл бұрын
Ni imani yako mbovu tu na sifikirii kama kuna mume wa mke mmoja
@user-yq1tv1kr5c
@user-yq1tv1kr5c 11 ай бұрын
Sisi wailslamu tumeitwa uma Bora kwasababu tunamrishana mema na tunakatazana mabaya ww dada iweje huyo mdada asikumbushwe kuhusu dini yake unasema tufate esh
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
Kamati za ufundi utatafuta tu ukizidiwa
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
Unaongea hivyo hayajakukuta
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
Unaongea hivyo hayajakukuta
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
Unaongea hivyo hayajakukuta
@shakhsy1374
@shakhsy1374 Жыл бұрын
Pambe
HII NDIO TAMU YA MAPENZI BAINA MKE NA MUME (HUBBUL HALAL)
19:09
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 2,2 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 14 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,1 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 160 МЛН
HISIA ZA MWANAMKE ZINAKUJA AKIHUDUMIWA
20:52
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
UKARIMU UNA MIPAKA (HUBBUL HALAL)
30:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,3 М.
UHURU BILA MIPAKA KATIKA NDOA NI FUJO
18:31
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,2 М.
KIDANI EP 47:-SIRI YA KUISHI NA MKE MWENZA MWENYE HEKAHEKA
56:31
Kidani Show
Рет қаралды 15 М.
HUU NDIO UTOFAUTI WA MWANAMKE ALIYEFUNDWA NA ASIYEFUNDWA CHUMBANI
22:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4 М.
MECHI YA KITANDANI INANOGESHWA NA HAMASA
17:30
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 9 М.
Ujue uke wenza Sehemu Ya 1 - Ukht Fatma Mdidi
1:40:03
Kalamutz
Рет қаралды 80 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 14 МЛН