RAIS MAGUFULI ATEMBELEA GEREZA LA BUTIMBA..JULAI 16,2019.

  Рет қаралды 47,247

ITV Tanzania

ITV Tanzania

5 жыл бұрын

#MUBASHARA.

Пікірлер: 47
@washingtonmoren4733
@washingtonmoren4733 2 жыл бұрын
My name is Washington Moren Wasonga I'm akenyan, Rip Mr John pombe makufuli, we loved you bt God loves so much than as
@johnkieru6347
@johnkieru6347 5 жыл бұрын
Mimi mkenya na kwa hakika watanzania mna bahati sana kwa kumpata rais magufuli,, kwa hakika ni rais wa kipekee na ninampenda kwa ujasiri wake na hekima ya uongozi. yeye ni mcha mungu na anajali haki za watanzania.. MUNGU azidi kumbariki na ampe maisha marefu
@RomwardWM
@RomwardWM 5 жыл бұрын
Magerezani kuna laana nyingi na maswaibu mengi mm, nakumbuka mzee wangu alikamatwa na kuhukumiwa miaka mitatu au fain ya laki nane , namshukuru Mungu tulifanikissha muda huo huo ,, na mzee wangu anakwambia gerezani kubaya sana
@adammwita3150
@adammwita3150 5 жыл бұрын
Daah! haijawahi tokea Mkubwa kumkumbuka mdogo, Mh. JPM Mungu AKUPE MAISHA MAREFU
@miramuya1590
@miramuya1590 5 жыл бұрын
Mambo mengi sana yamejificha sana. Kwa mtindo huu kila kitu kitajulikana
@nyauskobies5522
@nyauskobies5522 5 жыл бұрын
You are a leader of all Africa
@eddymbezi8261
@eddymbezi8261 5 жыл бұрын
JPM hakika ana moyo wa pekee. kuna watu wanapewa uongozi, hata kata moja wanashindwa kuzungukia mpaka kipindi chao kinaisha
@ngederemkatamkaachuwakineg5239
@ngederemkatamkaachuwakineg5239 5 жыл бұрын
Gerezan ni kesi nying za kupewa aisee na kuna mateso sana
@lugangosebastian5637
@lugangosebastian5637 5 жыл бұрын
Nimeyaona mazingira ya ndani ya gereza la butimba hakika nimekumbuka mbali sana maana mimi pia ni miongoni mwa watu waliowahi kuingia na kulala nikiwa kama maabusu nililala siku 5 lakini nilihisi kama nimeishi miaka 6 nikiwa humo, wema uliniponza nilitenda wema kwa mtu asiye mwema akanihujumu nikaonekana mwizi wakati sijawahi hata siku moja katika maisha yangu kuiba cha mtu, nilisamehe na kumwachia ALLAH lakini niliyo yaona humo ndani hakika naapa sintoweza kuja kuyasahau abadani kifupi jela pasikie tu usiombe yakukute.
@natyvan4071
@natyvan4071 5 жыл бұрын
Pole sana
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 Жыл бұрын
Heee pole sana ndgu
@Paplick9
@Paplick9 5 жыл бұрын
Hili gereza kesi nyingi za kupewa .
@zainabumsigwa1886
@zainabumsigwa1886 5 жыл бұрын
Mungu awatokee hawa hadi huruma
@rachelasubisye5311
@rachelasubisye5311 5 жыл бұрын
Rais wa wanyonge
@robertjunior9916
@robertjunior9916 3 жыл бұрын
Dah aseee 🤔
@sendekakimani3825
@sendekakimani3825 5 жыл бұрын
Yan inahunzunisha kweli.ndo maana yahana batinzaj aliwaambia msimsinginzie mtu makosa ya uongo.ndo haya
@faidamasegenghe3379
@faidamasegenghe3379 5 жыл бұрын
Kweli kabisa mhhhh jamaa anaogea had I huluma
@thelistener8357
@thelistener8357 3 жыл бұрын
Doh kusema kweli nilikua simjui huyu raisi lakini sasa ninampa heshima. Handanganyiki na wala hataki upumbavu. Anawajali watu na nikipiga kura lazima nimpigie huyundie raisi wa kisawasawa
@petersconsolatha9783
@petersconsolatha9783 5 жыл бұрын
👏👏👏👏
@Paplick9
@Paplick9 5 жыл бұрын
Duuuh hi nchi hiii atari san
@paulmalambo1748
@paulmalambo1748 5 жыл бұрын
Allkib
@muqrinmuya9609
@muqrinmuya9609 5 жыл бұрын
Duuuh, Hatari sana hii
@tanzania463
@tanzania463 5 жыл бұрын
VARDA ARTS NEW SONG ABOUT OUR RAISI @ZCp4
@edwinekwabe9167
@edwinekwabe9167 5 жыл бұрын
Duh sio poa salut mjomba magufuri
@josephmremi1335
@josephmremi1335 5 жыл бұрын
big up mzee mkubwa, chid alishawahi kusema viongozi wafanya magereza ni mahali pazuri kwa sasa maana hata wao wanajaweza kuwa wafugwa wa baaae, mdogo wangu mkuu wa mkoa ule mkubwa Tanzania uweke kichwani hilo
@ibel4lf
@ibel4lf 3 жыл бұрын
Huyo mlemavu kaniacha hoi eti nilisingiziwa nimetomb... hivi kweli unaweza tamka hilo neno mbele za watu akiwemo raisi nimecheka sana Magu alivyomjibu kwa hiyo wewe ile kitu nyingine inafanya kazi
@RomwardWM
@RomwardWM 5 жыл бұрын
Dunia hii ina mengi 😥😥
@johnmagembe7621
@johnmagembe7621 2 жыл бұрын
Baba pumzika kwA amani
@muqrinmuya9609
@muqrinmuya9609 5 жыл бұрын
Kama itakuwa hivyo kila wakati. Mabo mengi sana yaliojificha yatajulikana
@RomwardWM
@RomwardWM 5 жыл бұрын
Wale wenye kesi ambazo hazina ushahidi basi waachiliwe
@hawahashim7034
@hawahashim7034 5 жыл бұрын
Kwakwel rais imekuzidia bey
@user-ec6sp6tm3g
@user-ec6sp6tm3g 11 ай бұрын
W
@yohanaissaya1594
@yohanaissaya1594 5 жыл бұрын
Muwe muna sogeza maik vzur hatusikii
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 5 жыл бұрын
Rais wa watu hajawahi tokea
@ramadhanjuma265
@ramadhanjuma265 5 жыл бұрын
Haki itendeke .. Atembelee na wanawake maana uko uZalishwa pasipo wanaume je hiZo mimba wanapewa na nani
@muzungunamalwalinet9537
@muzungunamalwalinet9537 5 жыл бұрын
True
@sammwasomola953
@sammwasomola953 5 жыл бұрын
Wakina sangari wapo wengi saana
@shijakaneleja6741
@shijakaneleja6741 5 жыл бұрын
Wafungwa hawaruhusiwi kushika? microphone hahahaha
@uwezo86
@uwezo86 4 жыл бұрын
Duh mtu unafungwa miaka 30? Duh
@khalmandrojr.5537
@khalmandrojr.5537 5 жыл бұрын
Jamaa anasisitiza tu Rais aondoke na Afsa Usalama😜
@stephanodevisi9403
@stephanodevisi9403 5 жыл бұрын
mtetezi wa wanyonge tunakutegemea wewe waokoe wanyonge wako
@muzungunamalwalinet9537
@muzungunamalwalinet9537 5 жыл бұрын
Ati kuinuliwa 😂😂😂😂😂😂🇰🇪
@mudimaarifa9394
@mudimaarifa9394 4 жыл бұрын
acha mambo yaki kuma unacheka nn mwamba nenda jela na ww uyaone maisha
@faidamasegenghe3379
@faidamasegenghe3379 5 жыл бұрын
Rais uko makini sana jari watu wako wengi hawana makosa
@iambaizo
@iambaizo 5 жыл бұрын
amenipora karanga zangu afu yeye ana muhuli wa ikulu 😂😂😂
@RomwardWM
@RomwardWM 5 жыл бұрын
maskari hawa 🤔🤔🤔ety amekuja ili umuinue 😤😤😤😤
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, Agosti  06, 2024
1:00:06
ITV Tanzania
Рет қаралды 8 М.
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, .. Agosti 06, 2024
30:20
ITV Tanzania
Рет қаралды 8 М.
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
🔴Habari za Saa, Saa Mbili na Dakika 55, 06 Agosti 2024
4:31
🔴MEZA HURU - Waliopigana Vita ya Pili ya Dunia, Agosti 06, 2024
1:25:12