Rais Samia amtaka Waziri Jafo kushinda Kariakoo, kumaliza changamoto zao

  Рет қаралды 485

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Ай бұрын

Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Seleman Jafo kufanya kazi kwa ukaribu na wafanyabiashara wa Kariakoo na kuhakikisha changamoto zote zilizopo zinatatuliwa.
Rais Samia amesema mgomo uliofanyika hivi karibuni alituma watu mbalimbali kuwahoji kwa nini wafanyabiashara hao wanagoma lakini walijibu hawajui kwa nini wanagoma.
"Nilituma watu kwa siri waende Kariakoo wamewauliza watu kwa nini wanagoma wengi wao wanasema sisi hatujui kwa nini tunagoma, tumeambiwa na viongozi fungeni maduka sisi tukafunga, tumeambiwa msiuze hatuuzi lakini kuna nini ndani yake sisi hatujui. Kwa hiyo ukiangalia kwa undani kuna siasa Kariakoo, sasa ili kuondoa hizo siasa nenda ukawasikilize."
Rais Samia amesema hayo leo Julai 5, 2024 wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni.

Пікірлер: 5
@somoeBakar
@somoeBakar Ай бұрын
ok
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Ай бұрын
Hakuna lolote changa la macho tu matatizo ya Kariakoo yanafahamika aende akashinde Kariakoo anafanya nini!!
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Siasa hakuna IRA Kuna wapigaji hakuna siasa itoke wapi siasa wakati chama ni kimoja tuu Tanzania ni ccm
@somoeBakar
@somoeBakar Ай бұрын
ok 2:24
@somoeBakar
@somoeBakar Ай бұрын
ok
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 10 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 27 МЛН
Mtoto wa Manji asimulia namna baba yake alivyoipenda Yanga
9:02
MBUNGE BWEGE AVUNJA UKIMYA, ATAJA KINACHOWEZA KUIN'GOA CCM IKULU 2025
10:17
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН