Рет қаралды 6,772,016
Kwaya ya Mtakatifu Maria Magdalena kutoka kigango cha Mtakatifu Luka Mwinjili,Olmatejo Parokia ya Roho Mtakatifu - Ngarenaro Arusha.Wanatukaribisha kushiriki kutazama na Kusikiliza wimbo huu wa Kumshukuru Mungu.Wimbo huu ni utunzi wake Ray Ufunguo. Audio na video vimefanywa na RAJO Productions. Please support www.patreon.com/bePatron?u=77...
#rajoproductions #miminaneema #rajoproductions #asanteyesu