RAPCHA afunguka kuhusu bifu yake na Dizasta Vina, adai yeye na Young Lunya ni amani sasa!

  Рет қаралды 6,955

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

9 ай бұрын

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Subscribe kwenye channel yetu ya WhatsApp
whatsapp.com/channel/0029Va84...
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 37
@lucasthomas188
@lucasthomas188 8 ай бұрын
Ila vina du, dizasta ni noma noma noma, yule jamaa ni international level. Pamoja na kutumia kiswahili da, yani yule jamaa ukae kumsikiliza na unatamani kila siku atoe ngoma
@BigZhumbe
@BigZhumbe 8 ай бұрын
Rapcha The Kid 99. Goma la #Uongo lamoto sana 🔥🔥🔥🔥
@miscous
@miscous 8 ай бұрын
Rapcha...Disaster ni mfano wa askari monument😂😂
@stevenkaaya6495
@stevenkaaya6495 8 ай бұрын
Kama unafanya betting huwez mwelewa dizasta😅😂😂
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 8 ай бұрын
Achia Jala by Dizasta vina ft Kaa la moto is out
@dismasmushi9328
@dismasmushi9328 8 ай бұрын
Rapcha nakukubalii chali anguu ila kwa dizasta utakaanga sodaa
@user-xk7kq5ep8u
@user-xk7kq5ep8u 2 ай бұрын
Kiukweli ukimtaja dizasta vina unaongelea dunia rapcha ni kimtaa
@brianjulius255
@brianjulius255 8 ай бұрын
Rapcha now kimashairi wamoto sana, 🔥
@rusinaflow7239
@rusinaflow7239 8 ай бұрын
King 99
@poisongumzo1909
@poisongumzo1909 2 ай бұрын
Na ubisho wote unaitwa cosimas😂😂😂
@user-tu8tb3zq8t
@user-tu8tb3zq8t Күн бұрын
Anamjuwa dizasta ninan uyo dogo kituo chamistar dizasta dg kaa mita mia
@Deadskytz
@Deadskytz 8 ай бұрын
Cosmas anahekaheka huyu 😂
@NdituTV
@NdituTV 8 ай бұрын
😂😂😂
@msakatonge.
@msakatonge. 7 ай бұрын
😂😂🙌
@dulladulayo2735
@dulladulayo2735 7 ай бұрын
Uyu jamaa mbona bwiga follows kazaa ameanza kujiona bierber😂😂😂
@danielkenedy4357
@danielkenedy4357 8 ай бұрын
Tribulation
@ismailmaulid1616
@ismailmaulid1616 8 ай бұрын
Vina
@Goalscorer12
@Goalscorer12 8 ай бұрын
Go master your bets coz u don't flow proper 😂
@lucasthomas188
@lucasthomas188 8 ай бұрын
Unajua ni nini kitakachotokea😅😅😅 unaelewa dogo mnyama, na umekubali kuachia Jala
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 2 ай бұрын
Toka akuchane Jini aloshindikana dzst ahh umepotea dogo
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 8 ай бұрын
Mtaje dizasta uone kitakacho kukuta mtaje whozu na bonge la nyau ndo level zako usimtaje jini aloshindikana vina%
@BigZhumbe
@BigZhumbe 8 ай бұрын
Dizasta hamna kitu kwa Kid 99. Mziki ni biashara sio falsafa ya kukusanya mineno migumu ya kihistoria 😂
@stevenkaaya6495
@stevenkaaya6495 8 ай бұрын
Dizasta Moto mwngne
@danielkenedy4357
@danielkenedy4357 8 ай бұрын
@@BigZhumbe hujamsikiliza dizasta vina
@BigZhumbe
@BigZhumbe 8 ай бұрын
@@danielkenedy4357 Namsikiliza kila siku. Kuimba ugumu sio ubora
@edmondjr17
@edmondjr17 8 ай бұрын
@@BigZhumbeEti Mineno migumu. Ukiwa na IQ ndogo uwezi kumuelewa dizasta. Rapcha bado sanaa kwa vina 😅
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 8 ай бұрын
Hawez kumtaja Vina, yule jamaa ni hatari
@user-cq5ys3zl9f
@user-cq5ys3zl9f 7 ай бұрын
vina alimwambia kumutaja yeye ni kujalibu kujiua
@user-cq5ys3zl9f
@user-cq5ys3zl9f 7 ай бұрын
vina alimwambia kumtaja yeye nikujalibu kujiua
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 8 ай бұрын
Achia jala dogo%
@mathayobmasunzu278
@mathayobmasunzu278 8 ай бұрын
Achia Jala dogo...!?
@aronboy1
@aronboy1 8 ай бұрын
Dizasta ni myamq jmn wamuache2
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 8 ай бұрын
Wasio mjua Rapcher wanamchukulia poa ila bnafs namkubal sana aseeh
@msakatonge.
@msakatonge. 7 ай бұрын
COSMAS na pama ni kama mcheza Amapiano😂😂
@cosbytz2370
@cosbytz2370 8 ай бұрын
Hawezi kumtaja vina anajua dogo achia jala 😅
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 40 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 5 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН
Dizasta Vina - What an IQ of 200 Looks like
4:43
The Diary of The Mad Man
Рет қаралды 6 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 40 МЛН