RAPCHA AJIBU KIUME BIFU LAKE NA DIZASTA VINA, DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI IMENIONGEZEA WATU

  Рет қаралды 13,012

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Жыл бұрын

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 57
@fredrickf.8525
@fredrickf.8525 Жыл бұрын
"Shave and clean your dreads man your not pretty..." Amenyoa rasta 😃
@andrewmulongo3087
@andrewmulongo3087 Жыл бұрын
Huna mashairi ya kubato na dizasta
@Kev__opp
@Kev__opp Жыл бұрын
Disasta ni legend 🐐🐐
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 18 күн бұрын
2024 watching
@Kingazi_stories
@Kingazi_stories 7 күн бұрын
By the way alipoambiwa anaandikiwa mashairi akashindwa kuendelea "...sa nikudiss wewe, au nimdiss alokuchorea verse...😂😂😂
@nyilawilabernard7268
@nyilawilabernard7268 Жыл бұрын
Dizasta Vina ni moto sana hila mlichangamsha game
@bainolatino3412
@bainolatino3412 Жыл бұрын
Rapcha kajitahidi kumvaa con boi ktk kujibu masali halafu kampata kinoma noma yani
@ombenimesso5119
@ombenimesso5119 Жыл бұрын
Rapcha mkali ila kwa Dizasta bd sana
@MbetoAthumani
@MbetoAthumani 10 ай бұрын
❤❤
@pascaltesha7329
@pascaltesha7329 Жыл бұрын
Bora hata angemdiss mtu ambaye wanaweza kubatle kuliko kumtarget vina
@bashiriwilliam5982
@bashiriwilliam5982 Жыл бұрын
Mwee D kakafanya kawe kapooleee🤣
@MariamMfaume-kr7pb
@MariamMfaume-kr7pb Жыл бұрын
Tuseme ukweli tu lapcha anajua ila kumfikia dizasta kikweli Bado sana Kwa mana anaupungufu wa mashair
@hamzerErasto
@hamzerErasto Жыл бұрын
😂😂😂 lazma amsikilize role model wake
@jamesmatula7249
@jamesmatula7249 11 ай бұрын
Ungejitoa ufahamu useme jambo ungefatwa na mawe kutoka kwa mnyama vina himself Mungu wa lap 🔥🔥🔥
@boyflany2836
@boyflany2836 Жыл бұрын
99🔥
@barakamangula
@barakamangula Жыл бұрын
Dizasta alisema utazama maji kweli umezama
@eddsonjeremiah6669
@eddsonjeremiah6669 Жыл бұрын
Mwepesi mno
@jamesmatula7249
@jamesmatula7249 11 ай бұрын
Kwanza futa candy Crush kwenye simu 🤣🤣🤣
@bizzleadam9895
@bizzleadam9895 11 ай бұрын
Huyu Dogo Jamaa alimwambia atampoteza abaki Jina km KONKI FIRE..." Naona kweli kampoteza kweli na kabaki Jina
@omboiobed_scar
@omboiobed_scar 8 ай бұрын
Kampoteza wap
@rashtz2785
@rashtz2785 Жыл бұрын
Rapcha aliumizwa😂
@nyotamy3678
@nyotamy3678 Жыл бұрын
😂😂
@emmanuelpius6387
@emmanuelpius6387 7 ай бұрын
Label imekubeba na unasinzia road
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Hawezi kuongelea hiyo biff na Disaster sababu aligalagazwa mbaya😂
@Daniel_ivan.
@Daniel_ivan. Жыл бұрын
Ni beef sio biff
@nyotamy3678
@nyotamy3678 Жыл бұрын
😂😂😂
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
@@Daniel_ivan. Hahaha ni kituko acha ujuaji unazungumzia beef ya ng'ombe au
@Daniel_ivan.
@Daniel_ivan. Жыл бұрын
@@warakawayohana2896 hio inaitwa homonyms mshamba ww ......... Neno moja lenye maana mbili tofauti. Alf ata Ivo beef ni slang kwaiyo linaweza likawa na maana ya nyama na ugomvi at the same time,
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
@@Daniel_ivan. Sasa unazngumza nini? Au ulikuwa unakosoa nini kama unajua biff ni slang mduanzi kweli wewe mimi nilikuwa sizungumzii nyama umezaliwa 2003 unaleta ujuaji
@eliqiula
@eliqiula 8 ай бұрын
Mwamba rapcha waache utan
@amosithomas4714
@amosithomas4714 3 ай бұрын
Mbona huyo dizasita naonaga anaongea ongea tu arafu watu nimegundua wanafata mkumbo tu
@ibraheemSaeed-wi8px
@ibraheemSaeed-wi8px Жыл бұрын
Dizasta yuasifiwa bure ila hamna ki2 ulegend sio kitu mm msanii anayetoka kwa bongo records najua kakua
@jameskahemele6209
@jameskahemele6209 11 ай бұрын
😂😂😂 unajua mziki mzee? Ule moto wa dizasta ni hatari kubwa sana
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 Жыл бұрын
Rapcha dizasta amekuuwa kabisa ata albam yako Haina mboga mitandaoni alivokuchana jamaa jina lako toka uchanwe ukwel limefifia#
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Жыл бұрын
Aaaha we umuez vna, k hukumbuk! Mwana michano Zaid ya kwenu!!!!
@LomatakopaoBadboy-nl4uj
@LomatakopaoBadboy-nl4uj Жыл бұрын
rapcha nakukubali sana uyo disaster simujuwi nikiwa congo 🇨🇩
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 Жыл бұрын
Congo lumbar not real hip hop😂😂
@majirabonphace
@majirabonphace Жыл бұрын
Haumjui wakati umemtaja
@rickierunyota3613
@rickierunyota3613 Жыл бұрын
Congo masebene hip hop unaijulia wap bwn lo matako pao
@LomatakopaoBadboy-nl4uj
@LomatakopaoBadboy-nl4uj Жыл бұрын
🤣🤣rapcha ni kiboko na mujuwa kwenye lile ngoma lake la monalisa alihuwa kinoma tatizo nikutobowa uku kwetu na ndo kwamana tumemjuwa
@felixnando9434
@felixnando9434 Жыл бұрын
Mtafute na Dizasta vinna,, ana content, anatoa story telling lakn inakupeleka uone kama movie flan hvii lakn ni maisha halisi ya Wa Tanzania.. Anza na Hatia 1,2,3 kanisa, nobody is safe, 1, 2, 3 , confession of a mad teacher, mad philosopher, mad son, mad man, alafu malizia na wimbo usio bora😮😮😮😮😮😮,,
@abbymwangomile392
@abbymwangomile392 Жыл бұрын
😂 dizasta vina
@felixnando9434
@felixnando9434 Жыл бұрын
Huyuu kijana mtafutieni kazi hataa ya umachinga,, Pigen promo ya Dizaster vinna,, anajuaa kupanga maneno, na punch line ndio tunataka, huyuu kaambiwa tuu anyoe rasta kanunaa,, anajifanya 99 sijui ndio makolokolo gan,,
@youngkidy213
@youngkidy213 Жыл бұрын
Ujui music
@wishjrtz
@wishjrtz Жыл бұрын
@@youngkidy213 ana stress
@omboiobed_scar
@omboiobed_scar 8 ай бұрын
Comment ya kisenge kwel
@Nyamko-christmas
@Nyamko-christmas Жыл бұрын
Ndio tatizo la kudiss mtu aliekuzidi mwisho interview yako unaulizwa kuhusu DIZASTA VINA
@kwoma_tz3334
@kwoma_tz3334 Жыл бұрын
Dulla hiyo line ya ngosha inapatkana kwenye ngoma la propaganda
@emmanuelpius6387
@emmanuelpius6387 7 ай бұрын
Propaganda
@kihombobadman938
@kihombobadman938 7 ай бұрын
Dogo inabid atulie t kwa dizasta dogo pia anajuw akn amuach d
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
EastAfricaRadio
Рет қаралды 717 М.
DIZASTA VINA ALBAM YANGU IKO TAYARI BADO JINA BADO ,,MZK INFO
11:13
Mzee Wa Mikito TV (MZK INFO)
Рет қаралды 3,9 М.
Dakika 10 za Maangamizi   Toxic
10:58
Toxic Fuvu
Рет қаралды 22 М.
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
MSASA PODCAST
Рет қаралды 59 М.