Rasmi: AHMED ALLY ATHIBITISHA CLATOUS CHAMA KUACHWA SIMBA/ KASAIN YANGA/ SIMBA MPYA INAKUJA.....

  Рет қаралды 65,487

BATTLE TV

BATTLE TV

14 күн бұрын

#BATTLETV

Пікірлер: 56
@KwellyRyoba-xp6yr
@KwellyRyoba-xp6yr 11 күн бұрын
Thanks chamade for all the best you done.I as a simba fan will not disregard ,real you are the special legend.Let it be the end with all splendid success there you will be if possible in the coming season.
@JosephKilusu-rd2lg
@JosephKilusu-rd2lg 7 күн бұрын
Cham karbu yanga Bab cc wanayangatwakukaribisha kwakishindo as jamn wanayanga naomben like senu as❤😢🎉😊😅😮❤
@rahmalutengwe2901
@rahmalutengwe2901 11 күн бұрын
Chama yupo Simba sanaaa
@makamelila
@makamelila 12 күн бұрын
Kwakweli Bora aende viongozi ondoa vijeba wote hai waende na maringibyao
@issanangambu1719
@issanangambu1719 10 күн бұрын
Kwani yanga si wamefungiwa 😅
@SmilingHibiscus-tx8qv
@SmilingHibiscus-tx8qv 12 күн бұрын
Karibu wanayanga tunakusubir
@user-jk5qb6sz3k
@user-jk5qb6sz3k 10 күн бұрын
Mwamba bdo simba sana ayonimanenotu ya semaji la CAF
@MachanguMasirori
@MachanguMasirori 12 күн бұрын
Muache aende tu Kwan atafia hpo Simba. Acha aende Kama ameamua kwenda
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 12 күн бұрын
Mtu akimbeza Chama hajui mpira
@GregorySulle-we2zl
@GregorySulle-we2zl 8 күн бұрын
Chama still tunakupenda ila asiende kwa uroporo
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 12 күн бұрын
atoke achie damu changa zifanye kazi mpira wa sasa ni vijana sio wazee hatutaki sisi tena hoyo hapo okhora walimchukua yako wapi sasa wamchukue tu hatunae shida malingo yamezidi sana
@user-vz3bb3ch3z
@user-vz3bb3ch3z 12 күн бұрын
Tutaumia sana akitoka chama kwa sababu pasi za mwisho nimtalam .
@ibrahimmkamba6339
@ibrahimmkamba6339 12 күн бұрын
Mkude ameenda Yanga bila kinyongo chochote na watu wa Simba. Mpaka sasa wengi humfurahia akicheza vizuri huko Yanga.
@rahmalutengwe2901
@rahmalutengwe2901 11 күн бұрын
Hii sio kweli kabisaaa,mbona Ahmed haongei
@clarencemeena1628
@clarencemeena1628 12 күн бұрын
Hakuna mchezaji mkubwa kuliko Simba, nafikiri kama Chama anataka kuondoka aondoke tu maana hapo Msimbazi sio nyumbani kwao
@stanslausmachege2179
@stanslausmachege2179 12 күн бұрын
Kama wameucha wamechanganyikiwa hakuna viongozi
@EmanuelMwambu
@EmanuelMwambu 11 күн бұрын
Hata timu ya taifa Hana namba ,ndiye aliye mharibu hata mosses phiri.aende zake. Rafiki yake mkude yupo huko
@jaywi5681
@jaywi5681 11 күн бұрын
Chama ni mchezaji kwa Mpira wa kizamani usiohitaji Kasi. Tumpeni Mtani atamsaidia sana
@user-uh9db8is8i
@user-uh9db8is8i 12 күн бұрын
Najua mnamia polen sana wanasimba
@Husenimuddi
@Husenimuddi 12 күн бұрын
aondoke tu bwana amesha zeeka bwana tuletee vijana wapige kazi simba ni kubwa kuliko chama
@januarysungura8119
@januarysungura8119 13 күн бұрын
Hawa wendawazimu ndo wanatumika na tu mike twao kuivuruga timu yetu ,hawa ndio maana wenye hasira wanawakamata na kuwafunga machawa hawa.
@abdisalim7900
@abdisalim7900 13 күн бұрын
Timu imekuwa shamba la bibi hakuna mtetezi dhiya ujinga wote unaoendelea,Ni upuuzi wa.kiwango cha lami,wanaojiita viongozi wa Simba wamekuwa mawakal wazuri wa NYUMA MWIKO,lkn naamini usaliti una mwisho wake
@selemanishabani921
@selemanishabani921 12 күн бұрын
Aendezake kwanza ana maringo sana
@frankraphael7546
@frankraphael7546 11 күн бұрын
Imetosha aondoke kafanya mengi mazuri Simba Sasa basi tunashukuru aondoke tu akiendelea kubaki atatuvuruga zaid
@CornenciaFaustine-pd2rc
@CornenciaFaustine-pd2rc 12 күн бұрын
Asepe tu nini chama. Wapo vyama wengine wanaokuja simba.
@SaidMana-dp4et
@SaidMana-dp4et 12 күн бұрын
Aondoke wala hatuna. Plesua mzee huyo tunataka vijana sio wazee tena maringo mengi aende yanga akamalizie mpila wake
@user-dp1td4ij7h
@user-dp1td4ij7h 12 күн бұрын
Aondoke tu
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 13 күн бұрын
Torekodi ya msemaji wetu akisemaaa takoo ni i
@mapambanotv19
@mapambanotv19 12 күн бұрын
Yanga bwana. Wanaume wa shoka
@kassidpandu866
@kassidpandu866 12 күн бұрын
Simba hatuna Maumivu kwa Tunasafisha Wazee sasa wache wamchukuwe huko kuna wazee wenzake kina Mkude
@SwaleheManeno
@SwaleheManeno 8 күн бұрын
Hatujafurahi bado tuone badili yake
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in 12 күн бұрын
Aende Hana jipya auliuza mechi hyo ,hatufahi
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 12 күн бұрын
Chama alitakiwa awe amesepa zake tangu msimu uliopita.
@konradkowa6668
@konradkowa6668 12 күн бұрын
Simba sawa na mbwa tu
@petromwashusa9948
@petromwashusa9948 12 күн бұрын
Amechoka enzi zake zinaishia
@mbwigamwakipesile5024
@mbwigamwakipesile5024 12 күн бұрын
Aende tu wapo wachezaji wazuri zaidi yake afrika kwanza umri umeenda
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 12 күн бұрын
Anajua kucheza lkn km anataka pesa nyingi wenzie walipwe nini? Aende tu bwana kila kitu kina mwisho walbeza Yanga sasa wanamtaka hahahah msiwe mnawasikiliza
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 12 күн бұрын
Aondoke tu, hatutaki
@kassidpandu866
@kassidpandu866 12 күн бұрын
Chama ni Mzeee bwana ha utoporo wamesema hayo kila siku juu yake
@drvaxminja2133
@drvaxminja2133 12 күн бұрын
Haha 😂Yanga wametaka kuwathibitishia kuwa ni wakubwa zenu
@ELIAChires
@ELIAChires 8 күн бұрын
Humu tuuu
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 12 күн бұрын
Viongozi wajitafakari kwa hilo
@abdisalim7900
@abdisalim7900 13 күн бұрын
Ni uongozi wa kizembe tu ndio unaoweza kuruhusu mchezaji wa aina ya Chama aondoke kizembezembe tu,.Visingizio vya umri ni kuhalalisha dhambi yao na naamini msimu ujjao kwa viongozi hawa mzigo tutalia tena sn.SIMBA tuna bahati mby sn
@kassidpandu866
@kassidpandu866 12 күн бұрын
wazee wa Nini chama wa leo sio yule unataka acheze akiwa na miaka 49 simba? wazee wezake wako utoporo
@seifntandala9137
@seifntandala9137 12 күн бұрын
Atakapo anza kugawa dozi msiumie tulieni tu ukiona mchezaji kachukuliwa na yanga jiulize malambili
@raymondmulumba9391
@raymondmulumba9391 12 күн бұрын
Hata kama anataka kukamua mpaka damu? Kwani walipomsajili walikushirikisha?Au kuna kitu ulichangia? Walimleta wameamua kumwacha sasa unabeza nini? Ya ngoswe mwachie ngoswe.
@taseleli9181
@taseleli9181 12 күн бұрын
Mabadiliko katika maisha ni jambo la kawaida sana wacha aende atakako huwezi kumlazimisha mtu kufanyakazi nawe wakati yeye hahitaji watapatikana wengine.
@HajiHija-od2db
@HajiHija-od2db 12 күн бұрын
Ao wazee ndo walowadhalilisha nyinyi vijana goli tano ​@@kassidpandu866
@oswaldbukuku2776
@oswaldbukuku2776 12 күн бұрын
Aondoke chama anaringa mnoo
@hanifamziray277
@hanifamziray277 12 күн бұрын
Mh
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 12 күн бұрын
Safisha virusi vyote ili simba ibaki ikiwa safi
@user-pt5we2gu4l
@user-pt5we2gu4l 11 күн бұрын
Aende tumechoka namboyake
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,5 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 9 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 98 МЛН
Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Neymar jr, Celine dept#football #youtube #youtubeshorts
0:33