Rayvanny X Harmonize - SENSEMA (Official Dance Video)

  Рет қаралды 2,627,558

Rayvanny

Rayvanny

14 күн бұрын

Follow Rayvanny On:
Twitter : / rayvanny
Instagram : / rayvanny
Snapchat: Rayvanny chui
Tiktok: www.tiktok.com/Rayvanny_chui/
Follow Harmonize
Instagram: / harmonize_tz
Twitter: / harmonize_tz
Facebook: / harmonize255
TikTok: vm.tiktok.com/JYFv7PN/
For Bookings:
Email: rayvannymanagement@gmail.com
#rayvanny #harmonize #sensema #music #new #NextlevelMusic
Copyright ©2024 Next level Music. All rights reserved.

Пікірлер: 2 900
@HamisiChipotele-fl8xo
@HamisiChipotele-fl8xo 11 күн бұрын
Jamani mbona nyie mnapata likes me sipati 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@emmanuelruben3690
@emmanuelruben3690 10 күн бұрын
Goma safi ila ndo mmepita nakastail ka babaenuond kuchezesha miguu..lakin safi nyie familia
@emmanuelruben3690
@emmanuelruben3690 10 күн бұрын
Kastail ka mond kuchezesha miguu lakin saf kaz nzur
@ashaali7154
@ashaali7154 6 күн бұрын
​@@emmanuelruben3690Sio stail ya Mondi na yeye pia kaiga kutoka kwa wenye amapiano yao.
@RayblessRaybless
@RayblessRaybless 3 күн бұрын
Umereject kwanza??
@user-xf3rt6xt6n
@user-xf3rt6xt6n 2 күн бұрын
@@emmanuelruben3690 rahaaaaa
@abubakarimsere
@abubakarimsere 12 күн бұрын
Kama unamkubali harmonize Fundi tia Saini hapa😂😂🎉
@Tipaptz
@Tipaptz 12 күн бұрын
😂😂
@Sofiathefirst-255
@Sofiathefirst-255 11 күн бұрын
​@@Tipaptz😅😅😅😅😅ni fundi kwel
@ZitoJose-cl3pt
@ZitoJose-cl3pt 11 күн бұрын
Yani huyo harmonize ni hatari sana
@REMMY171
@REMMY171 11 күн бұрын
Kashakwambia hkuna mmakonde mshambaaa😂😂😂🎉🎉🎉
@Sofiathefirst-255
@Sofiathefirst-255 11 күн бұрын
@@REMMY171 😂😂😂😂😂
@EresiaShedraki
@EresiaShedraki 7 күн бұрын
Safi kabisa tembo na chui naona mmeingia mbugani sasa lkn mcumizane pls
@BrianTawayi
@BrianTawayi 2 күн бұрын
Hamjasema mpaka mseme na mtasema 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@NdakhiSusu-qz9md
@NdakhiSusu-qz9md 12 күн бұрын
Mashabiki wa Chui na Tembo tujuane kwa kulike hii comment🇹🇿💯
@simcoolkenya3079
@simcoolkenya3079 12 күн бұрын
kzfaq.info/get/bejne/mraTo5OLvrWqcqs.htmlsi=nPyi5zp4K7FzZjgH
@user-zz8id3yh1x
@user-zz8id3yh1x 11 күн бұрын
🎉
@REMMY171
@REMMY171 11 күн бұрын
Ati nani kipita tumpige teke😂😂😂😂😂😂😂🎉
@NdakhiSusu-qz9md
@NdakhiSusu-qz9md 11 күн бұрын
Mangikimambi
@AhmedNajla
@AhmedNajla 10 күн бұрын
😂😂​@@REMMY171
@AnoldiMachinda
@AnoldiMachinda 12 күн бұрын
Wale tunaokipenda kipande cha harmonize 😅 gonga like kama zote
@ZitoJose-cl3pt
@ZitoJose-cl3pt 11 күн бұрын
Huyu jamaa ni hatari
@Kiba-iz9fp
@Kiba-iz9fp 8 күн бұрын
nnnomaaaa
@Chiunda-eh8lt
@Chiunda-eh8lt 8 күн бұрын
Mh
@Guccishootphotography6019
@Guccishootphotography6019 8 күн бұрын
Bien cordialement
@salumbaa7378
@salumbaa7378 6 күн бұрын
Hata iweje mondi amefanya jitihada kuleta hawa vijana mjini💥💥, bonge ya jiwe hili aisee
@FidelSimon-yy6vl
@FidelSimon-yy6vl 5 күн бұрын
Konde moto 🔥🔥 kbs anaye ampenda konde boy anipe like yangu nihondoke nayo
@Saiditofikisaidiramadhan-mk2xi
@Saiditofikisaidiramadhan-mk2xi 12 күн бұрын
BOMBA CLASIIOII😂😂😂 SENSEMA NIPENI LIKI 5 TU KONDE BOY NA CHUI 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RashidiJuma-rr9lu
@RashidiJuma-rr9lu 9 күн бұрын
Komasava
@MahadiChilumba
@MahadiChilumba 9 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥
@benazzmusic
@benazzmusic 12 күн бұрын
Nooooooomaaaaah yaani 🔥🔥🔥🔥🔥 showing love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipeni likes za Chui na Tembo jamani
@kensamusiqofficial254
@kensamusiqofficial254 10 күн бұрын
Tazama huyu msanii anyeshinda wasanii wote east africakzfaq.info/get/bejne/jp-brNii2NPThmg.htmlsi=nIm5J7i41i6pQ9fH
@BoyAkimu-kp6fb
@BoyAkimu-kp6fb 6 күн бұрын
Hila maneno ya Harmonize hime tisha sana kila hambaye hame hirudiA mara mbili naka likes hapa😂❤😊
@user-im4in8gi6b
@user-im4in8gi6b 9 күн бұрын
Mnapenda kucheza na ukristo mbona msitumie uo uisilam wenu acheni kuaribu jina la Yesu
@derricknyangena2245
@derricknyangena2245 18 сағат бұрын
Sawaa karani wa yesu
@MosesKyaviro
@MosesKyaviro 12 күн бұрын
mimi wa kwanza toka. Congo DRC 🇨🇩🙏💋. nipeni like zanguu kama unaamini nyimbo itakuwa hit songs 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@thierrybisimwa3312
@thierrybisimwa3312 12 күн бұрын
Director kauwa, ma dancers wame elewa assignment, Angle nyigu katisha sana big up guys, this is taking Africa next level again💥💥💥
@GiseleKahindo
@GiseleKahindo 10 күн бұрын
Pole kwa walio ingiliya bifu yao 😂😂😂waliozani wataendeleya na bifu mpaka mwisho 😅poleni jamani.Asanteni Rayvanny na Harmonize kwa ngoma kali
@donaldmwachongomwamburi4722
@donaldmwachongomwamburi4722 10 күн бұрын
Jeshi akiua utajua tu. Utafkiri nyimbo kaiimba mwenyewe. Dah!. Jeshi.. Bombo claaaat!.
@abdoulmazeya5485
@abdoulmazeya5485 12 күн бұрын
Wa Congo 🇨🇩 fans Harmonize 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 12 күн бұрын
Jamani Leo nimekuwa Wapii kukomenti msinseme Na marumbe Wimbo wa Taifa Chui Ft Tembo Hakuna machinga mshamba 💯💥💥
@raphaelmsafiofficial
@raphaelmsafiofficial 12 күн бұрын
Vipi dj
@HelderMariofielTekume
@HelderMariofielTekume 5 күн бұрын
1:33 wooooooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ Hakuna M'makonde nshamba
@Projectendless854
@Projectendless854 8 күн бұрын
Hii nayo lazima ingepua trending number 1 na lazima ingie top 100 noma sana
@tigejuma9865
@tigejuma9865 12 күн бұрын
Wenye wana watch na kusoma comments tujuane apa Kwa likes za tembo na chui 😅
@DearNaah-st2nx
@DearNaah-st2nx Күн бұрын
sitak unisemee vituu😅😅
@gideonkithungi3393
@gideonkithungi3393 12 күн бұрын
Kitu mwakemwake 🔥 from kenya 🇰🇪 need ya likes,number one fan of bongo music
@InnocentChrysanthemumFlo-bd2wf
@InnocentChrysanthemumFlo-bd2wf 5 күн бұрын
Nilisubiri kwa hamu kolabo yao bravooo❤❤❤👏👏👏👏👏
@amosnyinge8475
@amosnyinge8475 4 күн бұрын
Team chui na konde mikono juu
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv 12 күн бұрын
Kiukweli Hii combination inatakiwa iwe hivi nakumbuka mbali enzi wapo WCB now wapo wenyewe na ngoma zipo za moto hapa mafundi wamekutana kama unawakubali gonga likes za kutosha...🎉🎉🎉
@poshbabe99
@poshbabe99 11 күн бұрын
Soon utawaona wakiwa watatu NYIGU haendi popote Diamond asiposema
@SammyNdungu-mt5ko
@SammyNdungu-mt5ko 10 күн бұрын
Angalieni bwana huyu mkali kuliko wasafi👇👇👇 mzimakzfaq.info/get/bejne/jp-brNii2NPThmg.htmlsi=nIm5J7i41i6pQ9fH
@Kiba-iz9fp
@Kiba-iz9fp 8 күн бұрын
🎉
@mutuielija
@mutuielija 8 күн бұрын
Kenyans gather here😊
@mutuielija
@mutuielija 8 күн бұрын
I love how you acknowledge God💯
@danatimusic
@danatimusic 12 күн бұрын
American🇺🇸,Nigerians🇳🇬,South Africans 🇿🇦, Tanzanians🇹🇿, burundians🇧🇮, Rwandans 🇷🇼,kenyans🇰🇪,ugandans🇺🇬, Zimbabweans🇿🇼, Canada🇨🇦, ghananians🇬🇭,cameroonians🇨🇲, togonians🇹🇬, Congolese🇨🇩, my wicked landlord and I approve HARMONIZE xRAYVANNY this is a hit
@user-fl6cx8yv4z
@user-fl6cx8yv4z 12 күн бұрын
Togolese
@TonyWonder643
@TonyWonder643 12 күн бұрын
And Mozambique
@user-gv2uv6zp3i
@user-gv2uv6zp3i 11 күн бұрын
Present family 🙋‍♀️🙋‍♀️🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬❤ 😊
@Bernazbz
@Bernazbz 11 күн бұрын
She angolanos 🇦🇴 too
@EmmaPlacide-zx8qx
@EmmaPlacide-zx8qx 11 күн бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@khadijamwamlandi
@khadijamwamlandi 8 күн бұрын
konde na chui wamepatana leo🤔🤔🤔
@groovehubkenya
@groovehubkenya 8 күн бұрын
For the books...big vibeeee🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MikeClassic
@MikeClassic 12 күн бұрын
On behalf of alll Kenyans well represented 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@symochanji6896
@symochanji6896 12 күн бұрын
Konde boy ni King 👑 wa Amapiano Tanzania,kama unamkubali nipe like.much love❤ from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@stephenmwakasonda892
@stephenmwakasonda892 12 күн бұрын
Huo ni uongo😅😅😅
@yassirswaleh7127
@yassirswaleh7127 12 күн бұрын
Uwongo uwongo 😂
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 12 күн бұрын
Naomba na wasanii wa Kenya watoe mapiano jamani!
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 12 күн бұрын
​@@stephenmwakasonda892Ukweli ni upi sasa?!🤔
@user-gz4qb9wz3d
@user-gz4qb9wz3d 11 күн бұрын
Ukwel
@official2kbill650
@official2kbill650 5 күн бұрын
Apa konde vile aliingia tu waah noma sana
@BusquetsJanviernasibu-xw8qq
@BusquetsJanviernasibu-xw8qq 2 күн бұрын
Awa wanaijua kazi vizuri nawapenda sana toka Congo 🇨🇩
@ModansirOffical
@ModansirOffical 12 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥 chui na tembo nyie ndy mlioshindikana
@HotLyrics272
@HotLyrics272 2 күн бұрын
Walio shindikana kweli ndo hawa
@NDAbruncetz
@NDAbruncetz 12 күн бұрын
Wanangu wa chui🐅na tembo🐘 kwahiyo sensema nikwet nipeni like nying❤🇧🇮💯🇨🇦
@MishellNafula
@MishellNafula 11 күн бұрын
So fine song
@user-hd9mx4nm9j
@user-hd9mx4nm9j 7 күн бұрын
Harmonize weee ameweza ❤ napenda mziki wenu saana
@victoriavantacia4986
@victoriavantacia4986 10 күн бұрын
Kwanza ukichati safi ukiwa umelewa mbaya iyo nipeeni likes zangu from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@tovinent1414
@tovinent1414 12 күн бұрын
hii ndio tunaita brotherhood sasa much love from 🇰🇪
@InnocentAmpire-hp1yp
@InnocentAmpire-hp1yp 12 күн бұрын
Wa Congo 🇨🇩 fans harmonize 🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🔥
@wamu7878
@wamu7878 5 күн бұрын
Kwa kweli I never saw this coming, Rayvanny x Harmonize, Kali sana, undugu ni kufaana,
@gracios_cd_official2147
@gracios_cd_official2147 8 күн бұрын
Je suis le première congolais 🇨🇩 a kiffe ça?
@eliezelrambo2560
@eliezelrambo2560 12 күн бұрын
Love from burundi.ngila kali,vidéo kali.chuiiii n'a tembo Ni moto wakuotea mbali bwana. Kama Niko sahihi ginga liké zako hapa.🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Nipeni hizo like❤
@DeejayClef
@DeejayClef 11 күн бұрын
Kama dj nimeongeza sauti....wapi likes za Chui na Konde gang
@baddy_Wave90
@baddy_Wave90 10 күн бұрын
Nakutambua 🔥🔥🔥
@YdyyttuYsyyyru
@YdyyttuYsyyyru 9 күн бұрын
Chui
@DeejayClef
@DeejayClef 9 күн бұрын
@@baddy_Wave90 asante
@Akili820
@Akili820 9 күн бұрын
Mume tisha sana 🙌🇨🇩🇨🇩☝️
@StephenNjenga-li5wq
@StephenNjenga-li5wq 5 күн бұрын
Bado inazidi kutamba Africa nzima gonga likeeeeeeeee
@Gevcotprogramtv
@Gevcotprogramtv 12 күн бұрын
From Kenya Wapi likes za bongo Tz ❤
@H_youngkenya
@H_youngkenya 10 күн бұрын
Naangalia harmonize nakumbuka akiimba matatizo naskia kucheka na kulia pamoja ❤❤❤
@officialjayactress2546
@officialjayactress2546 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Gerarahia
@bestnidavarezz1247
@bestnidavarezz1247 Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂damn
@nicholaswambua-er1ql
@nicholaswambua-er1ql 9 күн бұрын
Fans wa bongo wanaoishi abroad,lets all gather here tupige like tukisonga❤
@Harmontwo255
@Harmontwo255 9 күн бұрын
hii ngima ni namba ngapi kwenu sisi kwetu ni number 1
@user-xv8es9vu6r
@user-xv8es9vu6r 12 күн бұрын
Mafans🎉 wa Harmonize mko wapi nawaomba likes 50 tu❤❤❤❤twende kazi🎉🎉
@LilianJoseph-nw3hq
@LilianJoseph-nw3hq 11 күн бұрын
Upo
@user-xv8es9vu6r
@user-xv8es9vu6r 11 күн бұрын
@@LilianJoseph-nw3hq Nipooooo
@SmilingCookingApron-fz7wo
@SmilingCookingApron-fz7wo 6 күн бұрын
P
@denniskabarak9209
@denniskabarak9209 11 күн бұрын
From Kenya......jameni mnipee like ya konde boy tembo❤❤❤❤❤
@Moureen-eu8qx
@Moureen-eu8qx 16 сағат бұрын
Ngoma nkali xna sna🔥kwanza hiyo pati ya Rayvanny weeh..... 💜💜💜💜
@DalladaFilms
@DalladaFilms 5 күн бұрын
What kind of sorcery is this... No matter how hard I try not to jam to this... It's like my body is under a spell! Africa! 🔥🔥🔥
@EliasMroki
@EliasMroki 12 күн бұрын
Team harmonize like hapaa🎉🎉
@anordgerase3372
@anordgerase3372 11 күн бұрын
😂😂❤
@MudJumaa-jg2cu
@MudJumaa-jg2cu 9 күн бұрын
❤❤
@MungalaGreen
@MungalaGreen 8 күн бұрын
Mg Zambia nikiwa huku naikuba xn
@SmilingCookingApron-fz7wo
@SmilingCookingApron-fz7wo 6 күн бұрын
Mmbo
@SmilingCookingApron-fz7wo
@SmilingCookingApron-fz7wo 6 күн бұрын
Hi
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx 12 күн бұрын
Team konde hapaaaa ❤❤💛💛💛💚💛💛
@SaidBora-b8n
@SaidBora-b8n 7 күн бұрын
Siku moja 1million 😁😁😁alaf siku tano sio million tano mbona hamsemi😁ila watoto dah
@StevenJunior-nf3yd
@StevenJunior-nf3yd 10 күн бұрын
This song will be over 10 million mwezi moia I guess..hii ni zaidi ya wimbo...tusumbiri Sasa konde bosso
@professor1992
@professor1992 12 күн бұрын
From Kenya am ohangla gospel rhumba kazi safi nipewe likes mukinifuata 😅😅
@M2boytz
@M2boytz 11 күн бұрын
Noma hii kitu
@dr.mirashijr1298
@dr.mirashijr1298 12 күн бұрын
Hit song nimefurah hii collabo mabifu hayana maana
@FlavierBafunyembaka-qp4cn
@FlavierBafunyembaka-qp4cn 7 күн бұрын
Mashabiki wa Tembo n'a chui tujuwane hapa kwetu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩Congo Bukavu Goma Kinshasa lubumbashi napenginepo
@kingmosesofficiel22
@kingmosesofficiel22 5 күн бұрын
Whaooh ❤❤ ni safi sana uko Congo 🇨🇩 tu na zani konde boy awa pangake na chuyi rayvani📢🙏🎙️
@user-fn5us9vn9j
@user-fn5us9vn9j 12 күн бұрын
I guess I'm the first one from Zambia 🇿🇲🔥,,,,, 1K likes
@josphinekawira6748
@josphinekawira6748 11 күн бұрын
Konde gang siku zote 💪💪tatu Bora 🤜🤛
@user-yd8sp4es9n
@user-yd8sp4es9n 23 сағат бұрын
Kama unamkubali rayvany fundi itia saini hapa 😅😅🎉
@DearNaah-st2nx
@DearNaah-st2nx Күн бұрын
Ata sijl mlichokiimb humo ata sifuatilii mziki wenu ila tu cha muhim kilichonifurahisha wallah nikuon tu mmepatana baad y mda mref kuon mkiwa pamoja kwa kazi moja Allah azid ku bless ata ivo leo tupo kesho hatupo nivyem kutokua na chuki mkaendelez undug jmn 🎉🎉❤nimefurah kwaajil yenu❤
@Bradleycarlostawai
@Bradleycarlostawai 12 күн бұрын
Naskia mmeiba wimbo ni wa baddest huu😂😂😂😂 wizi tu, kuoga ahhhh😅
@geomangi6123
@geomangi6123 12 күн бұрын
Endelea kuskia nugu wewe.
@ChristopheYamuremye-fn8fq
@ChristopheYamuremye-fn8fq 12 күн бұрын
Dr iyi braza ukizuba utaoneshwa mjini 😊
@MkomboziSeptroidejeunes2330
@MkomboziSeptroidejeunes2330 12 күн бұрын
Uyo baddest ndo Nani wakike wa kiume na ni msanii wa Inchi gani ?😂😂😂😂
@FiacreTiger-hn8cz
@FiacreTiger-hn8cz 12 күн бұрын
Ila bameiba muzuli sana et😂😂😂😂😂
@NachaKing-nj7cp
@NachaKing-nj7cp 11 күн бұрын
Hauja sema mbaka useme
@KingRemy-vd8rn
@KingRemy-vd8rn 12 күн бұрын
Wa kwanza Léo naomba liké zangu plz 🇨🇩🇨🇩
@MoffatKoshtii
@MoffatKoshtii 8 күн бұрын
Wale walisha wai fumaniwa wapi like zao 😂😂😂😂😂
@oziasnishimwe143
@oziasnishimwe143 10 күн бұрын
Much love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 konde gang for life
@saddamsmasherkiddo970
@saddamsmasherkiddo970 12 күн бұрын
Moto zaidi ya moto...wapi comment za V vannyboy❤
@DEEP-jDEEP
@DEEP-jDEEP 12 күн бұрын
Rwanda likes here 🇷🇼🇷🇼
@RaysafySafyboy-qb3pz
@RaysafySafyboy-qb3pz 9 күн бұрын
Moto hatareeee Yani fire 🔥🔥🔥 konde music worldwide
@KasongoKiza
@KasongoKiza 6 күн бұрын
Sensema by Rayvanny FT Harmonize, bonne collaboration.. Les différences restera du côté fans! Merci pour cette dernière.
@GastonMbaigwa
@GastonMbaigwa 12 күн бұрын
Mmeuwa sana wanangu 🎉🎉🎉🎉
@WamomboComedy-uj3ju
@WamomboComedy-uj3ju 12 күн бұрын
Kenyans confirmed that harmonize and rayvanny are the beast of Amapiano🇰🇪🇹🇿
@GoldBouyNyati
@GoldBouyNyati 9 күн бұрын
Every artist's dream is to have friends who you will always come back together 💯💯💪💪💪. Congratulations to my brothers @harmonize and Rayvanny for putting your differences aside for greater good 👍. Very encouraging 🎉🎉
@Dee_Karisa
@Dee_Karisa 4 күн бұрын
from Kenya kwa kweli konde ni tembo ba ray ni chui
@Mbarack-bn5fr
@Mbarack-bn5fr 12 күн бұрын
Waaaaaah!!! Yani majirani kimziki mnatukimbiza na kubwakubwa Sana,,,, anyway, sio kwamba mziki wenu tunaipenda tu burebure,, una mvuto.🇰🇪🇰🇪💪 Sensema sana
@blockmastory5575
@blockmastory5575 12 күн бұрын
WA KWANZA leo nipeni like zangu 🇨🇩
@zakayokipingi7963
@zakayokipingi7963 10 күн бұрын
Hili ni la ki south kabisa Yan heeee safii kabisa ❤❤
@digdemkingodi7282
@digdemkingodi7282 10 күн бұрын
The numbers are crazy🔥🔥🔥🔥🔥✅we miss the wasafi ya kitambo.jeshi and Ray.🔥👍 If Simba was on this song inge🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅
@paulzacharia5897
@paulzacharia5897 12 күн бұрын
sijawahi kupata hata like 50 kwa ryvany ngoja nione leo❤❤
@simcoolkenya3079
@simcoolkenya3079 12 күн бұрын
kzfaq.info/get/bejne/mraTo5OLvrWqcqs.htmlsi=nPyi5zp4K7FzZjgH
@claudeyuma406
@claudeyuma406 12 күн бұрын
🇨🇩 samaani wa Tanzania, mpelekeni Harmonize hospitalini, kikoozi chake kina kuwa kia malali, ana umwa. sikilizeni vizuri iyo fasi
@aminata3702
@aminata3702 9 күн бұрын
😂😂😂😀Wewe Bamutu bakongo unatuchezea Wabongo 🇹🇿
@cullstudios
@cullstudios 7 күн бұрын
aaahhh braza..hii ponge la ngoma..big love❤
@ClassicChibu
@ClassicChibu 9 күн бұрын
Hii ngoma itaa fika Bali mwaka huu wa 2024
@bundemafilms
@bundemafilms 12 күн бұрын
Bombooclat🎉🎉🎉🎉
@iteritekabenjos-xr7yv
@iteritekabenjos-xr7yv 12 күн бұрын
Harmonize never disappoint me Kama unampenda like me🙏🙏🤟🔥🔥🔥🌹🇧🇮
@Ibrah-ij4ih
@Ibrah-ij4ih 9 күн бұрын
Konde boy kumi number one!! Ray-vanny boy !!!!! Show boys
@MwambaMatabishi-cu4ug
@MwambaMatabishi-cu4ug 9 күн бұрын
Na penda iyi ngoma sana. Ebwane lazima kieleweke. Teacher Konde akiwa Na Rayvany, ngoma kali saaaaana aija wayi kuonekana.
@official_python.oglife2154
@official_python.oglife2154 11 күн бұрын
Tokea pindi wana vita vya wanawake, naelewaga kuwa ni wazi Rayvany anamkubali Harmonize..... i can see the happiness in his face
@frankadam8361
@frankadam8361 10 күн бұрын
Oi konde noma nyie ivi mmemsikia lakin ambae una niunga mkono nipe like apa
@hantarewi
@hantarewi 5 күн бұрын
mapiap
@user-yd8sp4es9n
@user-yd8sp4es9n 4 күн бұрын
Chuii 🐅🐅na kode🦍🦍
@gladysmwangi865
@gladysmwangi865 9 күн бұрын
Mtu anaweza like aje mara kumi coz this song damn 🎉🔥🔥🔥 moto sana .....my love for harmone is on another level ❤❤❤
@mwakajilatv7680
@mwakajilatv7680 10 күн бұрын
Apa penyewe full utamu❤❤ 🎉🎉 wajipange uko
@PeterEkolongNasurobai
@PeterEkolongNasurobai 12 күн бұрын
Team Kondee Gang 🎉🎉🎉
@Mungapatient81
@Mungapatient81 12 күн бұрын
Mlikuwa wapi kutowa bonge la surprise kama iyi hein chui x Tembo Namipa like zangu kwa Roh moja 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@JuvePro257
@JuvePro257 4 күн бұрын
Chui wangu nawapenda sana
@Cherish550
@Cherish550 9 күн бұрын
Representing all the Zimbabweans who loves TZ 🇹🇿 finest musicians
@luckyluchano1
@luckyluchano1 12 күн бұрын
Wakenya🇰🇪 mko wapi muone bonge moja la collabo🔥🇰🇪🇹🇿
@BuzaTV-sn2ft
@BuzaTV-sn2ft 12 күн бұрын
Chui🐅🐅🐅🐅🐅tembo💪🏿🍷
@katambomangale2185
@katambomangale2185 10 күн бұрын
Sina mengi yakusema lakini naona Grammy yanukia sasa❤
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 11 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥.... Bora mmeacha mambo yenu ya kishamba, mnagombana mnachogombea hakieleweki... Ona sasa Bongo flavour inavyopendeza, na nyie mnaoleta sijui team chui, sijui team konde mnazingua sana
Mbosso - Kunguru (Official Video)
4:14
Mbosso
Рет қаралды 1,6 МЛН
Final muy inesperado 🥹
00:48
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 19 МЛН
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 177 МЛН
Mona Songz - Erkelesi (Lyric video)
2:41
Mona Songz
Рет қаралды 62 М.
V $ X V PRiNCE - Не интересно
2:48
V S X V PRiNCE
Рет қаралды 705 М.
QANAY - Шынарым (Official Mood Video)
2:11
Qanay
Рет қаралды 199 М.
Serik Ibragimov - Сен келдің (mood video) 2024
3:19
Serik Ibragimov
Рет қаралды 736 М.
Saǵynamyn
2:13
Қанат Ерлан - Topic
Рет қаралды 2,4 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
2:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 5 МЛН
Райымбек Нысанбек - Сүйдім аруды
3:39
Райымбек Нысанбек
Рет қаралды 78 М.