RC CHALAMILA APIGWA SWALI TATA NA MDADA, SAKATA LA MADANGURO

  Рет қаралды 223,895

Mbengo Tv

Mbengo Tv

8 ай бұрын

Пікірлер: 465
@khadijaawadhi6576
@khadijaawadhi6576 8 ай бұрын
Allah azidi kukubariki kwa KAZI nzuri Baba safisha kote
@annamussa185
@annamussa185 8 ай бұрын
Chalamila safi sana yani ulikuwa ukisoma zamani madanguro yapo mpaka umeajiliwa umekuja kuyaondoa kweli wewe ni mfano wa kuigwa vijana someni kwa bidii mtuondolee uozo ulobaki chalamila Mungu akubariki sana 😍
@shebatimathayo8471
@shebatimathayo8471 8 ай бұрын
Safi kabisa Rc piga kazi usiogope ili jiji liwe na heshima na nchi nzima iwe hivyo.
@user-mq6se9dg5u
@user-mq6se9dg5u 8 ай бұрын
Salute kamamda komesha na utokomeze kabsa hakina mtu atabakwa
@massudidadi679
@massudidadi679 8 ай бұрын
Hakuna Dini yoyote inayokubali biashara hii kwa iyo tuiyunge mkono serkali kwa hili Kazi nzuri
@BigZhumbe
@BigZhumbe 8 ай бұрын
Wakati dini zote mitume yake ilikua watumwa waliokuwa wanawatumia kingono. Mfamle Suleimani alikua na michepuko 300
@huseniaidani6470
@huseniaidani6470 8 ай бұрын
TafuTa hela kwa namna yako usiseme dini kweny maisha iulize nafc yako katika utaftaj wako hujawah fanya kitu ambacho dini ako imekataza Hao unaowaunga mkon Wanayajua madanguro makubwa ya hadh na miongon mwao ni sehem zao za kutuliza stress kwa undan Zaid ulizia bar inaitw escrow ipo maeneo ya kisiwan matenkin_kigambon jumamoc Kuna Ben bat wanawake wanatembea uchi na polisi wanalinda
@massudidadi679
@massudidadi679 8 ай бұрын
Kwa iyo ww ujiumba mwenyewe hauna dini
@mamyomar1241
@mamyomar1241 8 ай бұрын
​@@BigZhumbepumzi hizo zinakuhadaa. Mche MMungu.
@BigZhumbe
@BigZhumbe 8 ай бұрын
@@mamyomar1241 Kwaivo unamaanisha nimedanganya kuwa Mfalme Suleimani na mitume wengine walikua na michepuko?
@Jayhood28
@Jayhood28 8 ай бұрын
RC Chalamila..Nimejifunza Hekima.Mungu Akubariki!
@isaacopolot2027
@isaacopolot2027 7 ай бұрын
My man Chalamila. Nakushangilia kutoka Uganda. We ni mchapa kazi mkweli. Nakukubali sana yaani
@user-zw5km8kl9l
@user-zw5km8kl9l 8 ай бұрын
Mungu akubari mzee wetu
@user-et2ci1rl1y
@user-et2ci1rl1y 8 ай бұрын
Chalamila Yuko sahihi wakuu wote wa mkoa wangekua kama huyu Tanzania mzima tungepata maendeleo makubwa sana huyu anafaa pia haya mambo yangefanywa na wakuu wote wa mikoa Tanzania mzima kuvunja haya madanguro nikumuasi mungu hongera chalamila mungu akubariki nawakuu wa mikoa yote Tanzania nzima waige Kila mkoa wakague madanguro kwani kuzini hivyo ni kumuasi mungu mungu tuepushe na zinaa
@user-ug6pj6dn2y
@user-ug6pj6dn2y 8 ай бұрын
Uko vizuri mkuu. Mungu akutangulie❤
@user-tw5me8up5t
@user-tw5me8up5t 8 ай бұрын
Mkuu wa mkoa hongera kwa kazi nzuri
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 8 ай бұрын
Nafurahia sanaaaa hiii mungu awe nawe hiii nimeipenda sanaaa❤❤❤
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 8 ай бұрын
Safiii sana RC wetu piga kazi
@mwamvuamagongo8163
@mwamvuamagongo8163 8 ай бұрын
Mbakaji anaweza kubaka hata mwanawe hiyo ni hulka ya mtu, RC kazi iendelee.
@errydeo8865
@errydeo8865 8 ай бұрын
hilo sio jibu;serikali inabidi iwe na jibu la swali la huyo dada
@Allybinamour
@Allybinamour 8 ай бұрын
mkuu wa mkoa umeongea ponts kabisa,huku zanzibar hayo madanguro yapo na watoto kila siku wanabakwa.na wala sio sahihi kama madanguro yanaondoa ubakaji huyo dada anaonesha na yeye ni katika hao wenye biashara.big up mkuu wa mkoa.
@YohanaChalamila-or4qp
@YohanaChalamila-or4qp 8 ай бұрын
Hongera mkuu wa mkoa daresaalam mana kizazi kinahalibika kwakwel mana mtot akishatazama vitu hvy ndo bs Tena akigoma shule anaona hiyo ndo kazi ya mwisho fikra zake zote zimeishia hapo
@marianguli7994
@marianguli7994 8 ай бұрын
Huyo dada bila shaka na yeye anajiuza toka lini dhambi ikaondolewa kwa dhambi???? Toka lini ubakaji ukaondolewa na madanguro?? Muheshimiwa hongera sana kazi iendelee
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 8 ай бұрын
Mkuu safi sana mtu kamahajatoshekana halali halamu haiwezi mtosha
@huseniaidani6470
@huseniaidani6470 8 ай бұрын
Ety halali haramu wew unaijua haramu au halali uliona kwa Nan mnakaa mnazurumiwa rasilimali zen kisa kutokuwa na maelimu umeme haki yako unaunganishwa laki 3 na bado wanakupangia mara leo wakate kesho wawashe wanakula hela wanajiuzuru hamsemi wakija kuwarudisha nyuma wananchi wenzen kimaisha mnaunga mkon ety haramu unafikir ukiwapa hzo hela wanazokula ao mnaowaunga mkon unafikir wangejiuzaaa wewe
@hemediswaibu5199
@hemediswaibu5199 8 ай бұрын
Mziki nayo muiangalie vizuri aina maadili kabsa na inapingwa kiolela
@geeva99
@geeva99 8 ай бұрын
Point kubwa sana
@zuberimohamedi5761
@zuberimohamedi5761 8 ай бұрын
Safi
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 8 ай бұрын
safi sn RC charamila 💪💪💪
@SamirLudovick
@SamirLudovick 8 ай бұрын
Safi sana , zoezi lifanyike nchi Nzima kahama pia tatizo
@justinemaganga4139
@justinemaganga4139 8 ай бұрын
Kahama na shinyanga mjini sugu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
​@@justinemaganga4139akaa mpaka hukoo
@tvstation6472
@tvstation6472 8 ай бұрын
Kwa kahama ndugu hapana ,hapawezekani,had nguo hawavai???!
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
@@tvstation6472 hee mtihani hawavai nguoo hao wanaojiuzaa serekali haioni hilii
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 8 ай бұрын
Kwel kahama wamejazana had kero
@Twosides1
@Twosides1 8 ай бұрын
Uteuzi mzuri big up sana
@user-xo6rf8lu6x
@user-xo6rf8lu6x 8 ай бұрын
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Ndg.Albert Chalamila wewe ni mtu wa Mungu kwa wakati huu naomba uzidi kusaidia Taifa usipolipwa duniani utalipwa na Mungu,Bado madawa ya kulevya yanauzwa kama karanga nguvu kazi inateketea Baba.Mama tunahitaji watu kama Chalamila wanao.
@ramadhanmohamed3261
@ramadhanmohamed3261 8 ай бұрын
Great Hon RC DSM. On the other side of the coin, am critically thinking this problem why? RC DSM is a public figure and can influence a governmental institutions to reframe their committment to social services.We may think these women and men in these ghettos are committing guilty in hidden areas No, this is a total public rot, a terrible social problem to count AND the impact is at large not only at Mwananyamala, tandale,buguruni, kinondoni, sinza, mbagala,and other cities all over Tanzania. RC PLEASE, MAKE A NEW PLAN TO ALLEVIATE POVERTY IN DSM AND TZ AS A WHOLE.
@rehemamajaliwa
@rehemamajaliwa 8 ай бұрын
Kazi nzuri muheshimiwa👍👍
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 8 ай бұрын
mtu ana mke wake na anambaka mtoto wake,kama alivyosema mkuu wa mkoa kuwa mbakaji ni mbakaji tu tafteni kazi za kufanya vunja madanguro yote.
@yohanalukindo3737
@yohanalukindo3737 8 ай бұрын
Siku akibakwa mwanao au ndugu yako utajua tamu yake kuzuia madanguro ni ngumu sana watu wanaunda madanguro Hadi mitandaoni hii inch Ina majanga mengi yakutatua sio kupoteza muda na madanguro
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 ай бұрын
​@@yohanalukindo3737HIYO KAULI YA HII NCHI FUTA KICHWANI MWAKO KILA NCHII DUNIANI MATATIZO YAPO LEO WAKUU KAZI NI HIYO NA MENGINE SIKU INGINE USILETE SABABU ZA KISHAMBA HAPA.
@Mpakauseme
@Mpakauseme 8 ай бұрын
siku akibanduliwa mke wako ndio akili itakuka sawa
@LinusEdward
@LinusEdward 8 ай бұрын
​@@Mpakausemekwaiyo nawewe unasapoti madangulo yawepo au
@huseniaidani6470
@huseniaidani6470 8 ай бұрын
​@@salimmalaka256unaona mawazo ya mwenzak ya kishamba kumbe wew ndo mshamba na maheruf yako makubwa hiv unakaa chin unasifia madanguro kuondolewa hayo sio madanguro hzo ni nipe nikupe madanguro yanamilikiwa na watu wenye pesa na wanaoenda kweny madanguro sio sis hatuna hela Ila Hao wanaojifanya wanazuia hzo biashar miongon mwao ndo sehem zao za kupunguza stress Kuna madanguro Yana VIP na VVIP unafikir wa naingia mbwa kachoka wakina PRO. DR. MHE. KMND. hayo hauwez Yaona kweny Kamera yakizalilishwa anaweza akafukuzwa mtu kazin kuuumbua stare he za wakubwa wako wakaz
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 ай бұрын
WENYE NYUMBA HIZO WASHITAKIWE KWA KOSA LA KUSAMBAZA UKIMWI MAKUSUDI NA KUIDHOFISHA NCHI.
@reginameitavan4032
@reginameitavan4032 8 ай бұрын
Good work Rc
@reginameitavan4032
@reginameitavan4032 8 ай бұрын
Vyumba vinatia kinyaa hatari,kuna starehe gani hapo kama sio ufirauni,bomoaaa
@zulfahaji91
@zulfahaji91 8 ай бұрын
Yaani ilo jibu limenigusa
@ntegrity277
@ntegrity277 8 ай бұрын
RC NAKUAPIA UKIKOMESHA UNDANGURO DAR YOU WILL BE THE BEST ZINZA JE!
@ummySheikh72
@ummySheikh72 8 ай бұрын
Huyu mama naona kama mmoja ktk hao madada powa? Anahasira hatari😮😢
@IdarousPossy
@IdarousPossy 8 ай бұрын
Umeonaeee hata mimi nimeliona hilo Yan mazungumzo yake tu inaonesha alikua mmoja wao
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 8 ай бұрын
Upo sahihi maneno yako
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 8 ай бұрын
Ni kweli kabisa huyo atakua dada poa tena ana hasira sana.
@GeofreyWilliam-ev7qd
@GeofreyWilliam-ev7qd 8 ай бұрын
Lakn mkuu wa mkoa kashindwa kujibu swali 😂
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
ndiyeee ukimuangalia tu macho keshaathirika kwa mboo mia moja kwa siku
@lakisuleimani9112
@lakisuleimani9112 8 ай бұрын
Mungu azidi kukufungua uyaone mengine zaidi ya madagulo hongera sana
@rehemamajaliwa
@rehemamajaliwa 8 ай бұрын
Mbakaji ni mbakaji tu mamaeee
@huseniaidani6470
@huseniaidani6470 8 ай бұрын
In fact of life hakun cha kusifiwa utendaji wa kazi wew maisha yapo kwa matabaka sisi hali ya chin tutaend kweny madanguro ya uswahilini wenye hela wanaend kweny madanguro ya hela na hauwez Ona madanguro wanoingia watu wenye vpato vya juu yanaendewa na Kamera na kuonesha utendaji mzur wa Kaz kmy kmy koz wanaend vgogo lakin huku ambapo serikali hainufaiki weeee chap
@valenakomba9218
@valenakomba9218 8 ай бұрын
Siyo kweli. Ubakaji ulipunguwa tuu, sababu ya Rais Magufuli alikuwa mkali. Na wengi walikuwa wanaogopa sababu Rais Magufuli alikuwa hana mchezo.
@victorkivuyo6126
@victorkivuyo6126 8 ай бұрын
HONGERA BABA, MR BOB SOSY AKA KATIA WA ARUSHA MURIETI JIRANI KABISA NA MHESHIWA GAMBO
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 8 ай бұрын
Bwana wewe watu Kila siku watu wanabaka wanalawiti kwani hai wadada hawakuwepo tumuogope Mungu yaani mtu unachochea Kabisa dhambi ya uzinzi hapana
@huseniaidani6470
@huseniaidani6470 8 ай бұрын
Wew hujawah zini au ndo kweny MITANDAO kazi iendeleee utaftaj wa hela wa mtu usiwe karaha kwako we ulitakiwa ujiulize kwanin wanajiuza kwa sabab Kuna wanunuaji we unahisi Kuna shda hapoooo
@JoanithaManyama
@JoanithaManyama Ай бұрын
Safi sana swali zurii kabisa
@Worldunite
@Worldunite 8 ай бұрын
Mheshimiwa, tambua kuwa mama wa maasi ni POMBE, piga marufuku vilabu,mabaa,vigrocery na pombe/ulevi wa aina zote HAKIKA TUTAISHI KWA AMANI. Nakupongeza kwa hatua ya kupiga stop madanguro lkn wakti huohuo piga STOP pombe na mahala panapiuzwa pombe na ulevi, hata vitabu vitakatifu vinakataza mambo hayo
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 8 ай бұрын
Wenye tamaa na ngono waoe waolewe ivi.binadamu wa sasa hataki.kuoa na kuolewa.Tanzania tuogope hukumu za Mungu
@delapitoresavage3746
@delapitoresavage3746 8 ай бұрын
Mujenge na barabara kama mnavyofanya iyo kazi nchi itakua kwa kasi 😃💪🏾
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 8 ай бұрын
hahaaaa ww chamila mhuni kweli mbakaji abomolewe Yani kwakifupi nayy abakwe ww siumesema ivo subil ss dar watu wanajua kuitikia wito watashuhulikiwa mno
@annamussa185
@annamussa185 8 ай бұрын
Huyu mama anaeuliza swali ningemchapa makofi mshenzi kahaba kama makahaba wenzake
@Mpakauseme
@Mpakauseme 8 ай бұрын
Wewe umajuaje kama kahaba ? echa unafiki wewe kwann umuhukumu mtu husiyemfahamu
@annamussa185
@annamussa185 8 ай бұрын
@@Mpakauseme pumbavu malaya mbele na nyuma kaa kimya tuliza Domo lako chafu baya kaa ngozi ya mikundu ya kuku jinga kabisa
@huseniaidani6470
@huseniaidani6470 8 ай бұрын
umetukana matusi kibao sehem ambayo hukutakiwa kutukana sasa cjajua yule mama na wew Nan kahaba maaan yey kaonesha sio tu hasara za danguro na faida ake ni hii ina punguza vitendo vya ubakaji ni kwel sasa wew umemwita Malaya mwanamke mwenzio anaejihadhirisha kwaajil ya Familia yake kesho ije imuokoe katika biashar hzooo
@annamussa185
@annamussa185 8 ай бұрын
@@huseniaidani6470 wewe na yeye ndo makahaba
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 8 ай бұрын
Ukimaliza hapo uende Manzese uwanja wa Fisi,uende pia Buguruni kimboka halafu ukamalizie Tandika hayo ndo maeneo makubwa wanapokaaga hao wasenge wasenge
@KuluthumuHaji-vi9hn
@KuluthumuHaji-vi9hn 8 ай бұрын
Umefanya vizur. Maana watoto we2wame haribika sana
@prince.eric_msemwa9732
@prince.eric_msemwa9732 8 ай бұрын
Hoja ya kishenzi sana ya uyo dada
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 ай бұрын
HAYO MABANDA YABOMOLEWE KABISA HATA KAMA NI NYUMBA YA NANI ILI WAWE NA ADABU NA SERIKALI NA ANAEKUJA KUDAI AFUNGWE MWAKA MMOJA SHENZISTAN HAWO.
@malikally2253
@malikally2253 8 ай бұрын
Waje na huku sinza mori muda huu wanejazana kibao nje ya nyumba zetu mpka kitambaa cheupe
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 8 ай бұрын
KWA KWELI JIJI LIMEHARIBIKIWA SANA KILA KONA MADANGURO MATUPU.
@jaydon3361
@jaydon3361 8 ай бұрын
Serekal mnawivu sana, kule sisi wanaume tulikua tuna enjoy kwa buku mbil
@jumarajabu6236
@jumarajabu6236 8 ай бұрын
Hongera sana .
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 8 ай бұрын
Mungu awaongezee morali
@georgewinford2809
@georgewinford2809 8 ай бұрын
Chara Master Acha Kazi Iendelee.
@producerema291
@producerema291 8 ай бұрын
Nimeishi Dar es salaam sikuwahi kujua kuna maeneo kama haya
@farajimgunya6468
@farajimgunya6468 8 ай бұрын
Kiongozi umekosea Sana omba radhi hakun mwanamke wa hovyo dunian please please please waombe msamaha hawa ni mama zetu sote
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 8 ай бұрын
Uyo dada aseme ukweli na yeye ni muuza mbunye aseme atasaidiwaje na maisha
@suzancharles1639
@suzancharles1639 8 ай бұрын
Kabisa hilo lidada nilidangulo halafu mawazo ya kijinga eti
@gooleserviceyoutubescandar3450
@gooleserviceyoutubescandar3450 8 ай бұрын
Kazi Nzuri Kabisa, M/Mungu Awalinde Katika Hili.
@user-qy7he6cl8w
@user-qy7he6cl8w 8 ай бұрын
Kati ya mambo yasioweza kudhibitika ni pamoja na hili ....Hata mfanyeje biashara itaendelea tu..Kikubwa kuwaombea wanaofanya ivo Mungu awasaidie ..waokoke
@PeterJohn-sg4oe
@PeterJohn-sg4oe 8 ай бұрын
Mayor kazi ya kuelezea ni ya DC tulia basi!!
@katunzijasson5410
@katunzijasson5410 8 ай бұрын
Kwani hayo maji wanayokuuliza siyo kero au ni fuvu lako gumu unachagua mzigo wakubeba......kero zote majibu yanatoka kwako toa danguro toa maji watu wakaishi walau kidgo maisha yanayoendana na unakoishi ww
@estonmnthali3719
@estonmnthali3719 28 күн бұрын
Mh Safi sana
@user-vu9vx4mf2o
@user-vu9vx4mf2o 8 ай бұрын
Uyu mkuu wa mkoa naona hajielewi tafuta miundombinu ya kuwapa watu ajira kwisha uwakataze kujitafuta wawo Kam wawo me naiman ata Hao wanao fanya iyo beshara ya kuuza mwili so kupenda kwao Bali nishida na umaskini ulio kidhiri 😢😢 pole Sana dada zangu najua nyie wengi ndo masingo mother am sorry for that but I min
@YohanaChalamila-or4qp
@YohanaChalamila-or4qp 8 ай бұрын
Kuhus kubakwa kwa mtot wake inawezekan ni malezi mabovu alompa mtot anajiwekaje na anaishije nae vp mtot kama mtot huwa anakutazam vitu unayofanya na anapitia humohumo inabid wew uwe mlinzi au mtoa elimu kwa wazazi mtot asivae nguo fupi hata akikutana n mwanaume ajikute yupo huru kwasabu mtot anabakwa kulingana alivojiweka
@user-xc6bb9nn6d
@user-xc6bb9nn6d 8 ай бұрын
Wakibaka sweka ndani wakijikusanya kwenye danguro sweka ndani....wakilawiti sweka ndani Cha msingi police fanyeni kazi imeisha hiyo
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 8 ай бұрын
Uwii hapo ndo wanakolala hao wadada mungu aawasamehe waja wako c mujishuulishe uza ata karanga upate mia ni yako ama olewa atlist mtasaidiana na mume maisha ngoja nioshe vyoo vya warabu huku mie wanangu wasome😔😢😢🥴😭😭😭
@user-gg2yf3zl3l
@user-gg2yf3zl3l 8 ай бұрын
Maana ilikuwa buku tatu UNATOA upwiru sasa ITAKUWAJE wabakaji maana NYETO nayo inachosha
@NkubaStar
@NkubaStar 8 ай бұрын
safi sana hii iwe kwa inchi nzima wanahalibu tabia za mabinti waludi waolewe tu
@hasamjebe4685
@hasamjebe4685 8 ай бұрын
Mhhh kazi kweer kweri hawa wapo mpka siku ya kiyama , uwezo wa kuwamaliza wewe hauna hata kidogo wapo tangu na tangu na wataenderea kuwepo ,mm ushauri wangu kwako ,watafutue ajira au wape misingi ya bihashara utapunguza kidogo
@eminenceboy8386
@eminenceboy8386 8 ай бұрын
Ivi kati ya mashoga na hao wanao jiuza ni wapi wa athari katika jamii zetu,
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 8 ай бұрын
Wotewote
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 8 ай бұрын
Ni woooooote.
@FredChaki-jb8zj
@FredChaki-jb8zj 8 ай бұрын
Ni wote 😂😂😂 tu kurwa na doto baba mmoja mama mmoja
@jazilambaji2789
@jazilambaji2789 8 ай бұрын
Haiuna cha kusema madanguro yakivunjwa watu watabakwa sana hakuna kitu km hicho mtu akitaka mtu wa kumaliza shida zake binafs aoe 'kuzini mungu kakataza
@hasamjebe4685
@hasamjebe4685 8 ай бұрын
Leo unazuia umewawezesha au ndio kila mkuu wa mkoa anakuja na miamko.yake?? Wape mitaji alafu wafatilie huu ni ushauri bora sana kwako
@TununuMotors
@TununuMotors 8 ай бұрын
Safi sana
@credomwenda8518
@credomwenda8518 8 ай бұрын
Hlf pia ,,wakimaliza kwa hawa madada,,wahamie kwa mashoga,,,mashoga ni wengi hii nchi
@elioimer8423
@elioimer8423 8 ай бұрын
Nawashangaa watz kushangilia matatizo ya wenzao. Sijui wengine wetu Tukoje.
@producerema291
@producerema291 8 ай бұрын
Maji na madanguro bora nn😂
@geeva99
@geeva99 8 ай бұрын
Mbengo tv kuna battery mbovu kwenye vifaa vyenu kuna mic zinapiga kelele
@gyeong5972
@gyeong5972 8 ай бұрын
Tatizo sio sheria kuwepo tatizo sheria zenyewe hafatwi
@jessemathew4696
@jessemathew4696 8 ай бұрын
Mkuu wa mkoa hujajibu swali... Yaani kiuhalisia watoto hapo mtaani watabakwa kweli kweli. Kesi zitaenda mahakama wakati mtoto wa masikini kabakwa
@abdulhamidbasha2108
@abdulhamidbasha2108 8 ай бұрын
Suluhisho walipe kodi tuu kwa kila anaefanya biashara hiyo
@finiaskalist747
@finiaskalist747 8 ай бұрын
Aseee nyumba ni mbovu mnooo
@bornmwambemba8497
@bornmwambemba8497 8 ай бұрын
Big up rc
@maryringo2239
@maryringo2239 8 ай бұрын
Wenye haya maeneo wakamatwe kwa kuruhusu biashara haramu iwe fundisho kwa wote .
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 8 ай бұрын
Ni kweli wakamatwe kama buguruni kwa madenge zile nyumba serikali ingezitaifisha, mtu ana nyumba anapangisha zifanyiwe ujinga . Zinaleta laana ktk nchi .
@Mpakauseme
@Mpakauseme 8 ай бұрын
Huyo dada full confidence yupo vizuri sana , Mjomba haujatoa jibu unabwabwaja tu eti mbakaji mbakaji oh mara mwanamke mzuri aisee huyo mkuu wa mkoa hana akili kichwani tantalia yani ameshindwakulijibu swali kichwa kibovu mara mwisho kama kuna bia 🤣
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 8 ай бұрын
Acha kumtetea mjinga mwenzio mkuu yuko sawa
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 8 ай бұрын
Hiyo biashara ni yawenye nyumba na viongozi waserikali za mitaa, wakishabanwa tu hao watu , hiyo biashara inaweza kufa ila kama mnatumia njia zamripuko kama hizo hapo mnapoteza muda wenu bure hiyo biashara siyo yakuiendea kisiasa kama hivyo taifisheni hizo nyumba hizo
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 8 ай бұрын
Wazituletee Sonoma na ngomora kwenye inch yetu washindwe kbs
@allymachejo2996
@allymachejo2996 8 ай бұрын
Mimi: Kwaiyo hatuwaoni tena? RC. : Kote mwanang tumepiga lock Wananch wenzangu : kicheko 😂😂😂😂😂😂😂 🙌🙌🙌🙌
@rehemamajaliwa
@rehemamajaliwa 8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@user-wj4gl5ly8r
@user-wj4gl5ly8r 8 ай бұрын
😂😂😂😂 umejua mwamba Mimi mwenyewe nilicheka kwa kweli
@EthanPerfect-gb5fv
@EthanPerfect-gb5fv 8 ай бұрын
Umejibu vzr mkuu wa mkoa
@estonmnthali3719
@estonmnthali3719 28 күн бұрын
Kazi zuri sana Mc
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 8 ай бұрын
Anachokisema mama huyu ni kua kwa vile walizoea kuosha mikono yao kwa kutumia haja ndogo si bora waachiwe tu waendeleee kunawia maana watabaki wakiwa na uchafu mikononi
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 8 ай бұрын
Uchaguzi ukikalibia wote wanaludi mnatuchezea mchezo tu hapo
@braviuscosta1430
@braviuscosta1430 8 ай бұрын
Kama itawezekana upite mfagio wa ukiwakuta wauawe kimyakimya Rc good job nakubali baba naona wanapanga chumba kimoja wanalala 9
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 8 ай бұрын
na mafisafi ambao wanaiba wabako hai, kwasababu hao wawili wanaofanya wamekubaliana. basi tupitishe sheeia ya kunyinga wala rushwa kwanza
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental 8 ай бұрын
Jaman swali hili angeulizwa mwenye nguvu za kiume ata kibaka akipata chaka moja awes enda kwingine
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 8 ай бұрын
Maji na madanguro bora nini 😢
@petermsangi2701
@petermsangi2701 8 ай бұрын
Ungeanza na mashoga bana,hai madada poa muwasake muwape mitaji maana kujiuza ni ziki hakuna anayependa kufanya hivyo ni umaskn,Narudia wapeni elimu yabiashara then muwape mitaji.
@georgemovieproduction1842
@georgemovieproduction1842 8 ай бұрын
Acha ilo la huyo dada Sasa ngono zembe na maradhi yanarudi kwa spidi..mkoa isio na hao madada ukimwi ni mwingi sana magetoni dry sana..kama kweli hawatakuwepo hao mtasema tu
@salumsamata6500
@salumsamata6500 8 ай бұрын
🎉🎉🎉 congratulations
@jacksonmtazama2821
@jacksonmtazama2821 8 ай бұрын
Huyo dada kaulizwa swali LA msingi San sema tu kwavile 🤭🤭🤭 anyway ila kama kwel mmedhamilia kusomesha basi mkomeshe na Kule Whatsapp
@wamoyothenumberone4356
@wamoyothenumberone4356 8 ай бұрын
Chalamila nakukubali sana unajua naunajua teena
@user-if8nd9cg7w
@user-if8nd9cg7w 8 ай бұрын
jonas manyika njoo umsikie Mh Chalamila anasema m'bomoaji Ame bomolewa
@yordanyona1234
@yordanyona1234 8 ай бұрын
uje Na Banana eneo airwing .....yamejaa pembeni ya bar 。。。。tunaogopa hata kupita mkato unaweza onekana umetoka huko
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 8 ай бұрын
Wanao watetea hao hawana akili kwani mwanaume siwaoe watu hawatoi kwa sababu yahao watu
MWIJAKU ALIVYO PEWA PESA NA CHIEF GODLOVE, ONA VURUGU ZAKE
9:31
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 6 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 23 МЛН
CHALAMILA : NIMEOA ILI NIYATUMIKIE HAYO MAPENZI WANAYOSEMA NAPENDA
8:18
Gangana Info Channel
Рет қаралды 29 М.
MREMBO WA OMAN YAMKUTA MAZITO, AFICHUA UCHAFU WA MPENZI WAKE
21:03
RC CHALAMILA AVAMIA DANGURO MWANANYAMARA, AWAFUKUZA MADADA POA
12:49