KWANINI HAVITOKEI KWA WAKATI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 30,274

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

Mathayo 25:1-12
Kuna aina mbili za wanawali katika hii mistari.
(a)Wanawali wapumbavu
(a)Wanawali werevu
Wanawali wapumbavu ni wale ambao hawakubeba mafuta ya ziada,na wale werevu ni ambao waliobeba mafuta ya ziada.
Wanawali wapumbavu hawakubeba mafuta ya ziada kwa sababu walipiga hesabu ya muda ambao bwana arusi atafika na muda harusi itatumia yale mafuta waliyobeba yangewatosha.Kwahiyo hawa wanawali hawakuwa na kosa.
Wanawali werevu hata kama walijua muda ambao bwana arusi atakuja na harusi itatumia,walijiandaa kwa lolote na ndio maana wakabeba mafuta ya ziada.
Kitu cha kwanza kutokea ni bwana arusi kukawia,hii inamaanisha kuna kitu kilitokea kikamchelewesha kufika.Na ukimuuliza atakupa sababu ya kimwili kabisa.Bwana arusi anaingia kwenye matatizo kwa sababu kuna watu ambao amewaalika ambao shetani hataki wafanikiwe.Kuna vita ambazo tunapigana sio kwa sababu shetani ana shida na sisi bali watu ambao tumewaingiza kwenye maisha yetu.Unapigwa wewe kwa sababu msaada ambao unataka kuwapelekea shetani hataki msaada uwafikie.
Kitu cha pili wanawali wakalala usingizi.Neno linasema wakasinzia wote.
Ukisinzia unaanza kutokufahamu kile kinachoendelea katika eneo ambalo una changamoto(unazubaishwa).Unaweza kujua kabisa hilo eneo una shida lakini hufanyi chochote kutoka kwenye hiyo shida.
Ukishatoka kwenye kusinzia unafuata hatua ya kulala.Ukifikia hatua hii unaweza kuwa kanisani na somo linalofundishwa linakuhusu kabisa,lakini kila ukisikiliza unamuona mtu mwingine unayemjua kuwa hilo somo linamhusu na hujioni wewe.
Ukifika hatua hii jua umelala kabisa.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZfaq: kzfaq.info/love/67L...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz

Пікірлер: 26
@loyceyahya2622
@loyceyahya2622 9 ай бұрын
Amen Amen nazidi kufunguliwa Kwa hizi jumbe zako Mtumishi wa MUNGU uishi maisha marefu uzidi kutufungua zaidi
@FadhiliMaganga
@FadhiliMaganga 28 күн бұрын
Ubarikiwe baba Mungu akutunze sanaa❤
@catherinemwakibinga2285
@catherinemwakibinga2285 2 жыл бұрын
Nakupenda sana baba yangu..🙏🙏🙏 Mafundisho yako yana nijenga.. Ubarikiwe zaidi na Mungu..
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@malaikalihuda2831
@malaikalihuda2831 Жыл бұрын
Amina amina mtumishi
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 2 жыл бұрын
Asante sana kwa masomo mazuri ila naomba unieleweshe huu mstari unachanganya wengi. Amina KUMBUKUMBU LA TORATI 22:5 Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
@mwlwilibaththomas6936
@mwlwilibaththomas6936 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana baba, umekuwa daraja kubwa kwangu kupitia masomo yako ninayofuatilia na hili somo limeniongeza sana.
@user-qo8tm4sn3s
@user-qo8tm4sn3s 9 ай бұрын
Asante kwa ufahamu huu
@LuluJuma-mt2dh
@LuluJuma-mt2dh Ай бұрын
Thank
@claranewaho1251
@claranewaho1251 2 жыл бұрын
Nakuelewaga Mimi had basi
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi Жыл бұрын
Amen 🙏 mtumishi kwa hili somo umenifungua macho yangu ya kiroho 🙇‍♀️
@giftmollel7788
@giftmollel7788 2 жыл бұрын
Kwakelii ni tusubirii kwa Yesu
@jojoba2633
@jojoba2633 2 жыл бұрын
This series has been a blessing to me to understand the massage 'coz it's been horrible histories of my life thank God for I've got the answer thank you for sharing
@suleimandaugd892
@suleimandaugd892 2 жыл бұрын
Upo vizuri mtumishi wa mungu ubarikiwe sana na beans yesu
@josephmuhindo7393
@josephmuhindo7393 Жыл бұрын
Amen ameeeen🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi Жыл бұрын
Mungu atusaidie
@danstonecool1734
@danstonecool1734 2 жыл бұрын
neno limenitia nguvu zaidi
@mariamsiwale9636
@mariamsiwale9636 2 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mungu akubaliki
@eliyalucas2188
@eliyalucas2188 2 жыл бұрын
Be blessed Pastor, what a powerful revelation.
@carolinengondo2698
@carolinengondo2698 2 жыл бұрын
Pastor nimebarikiwa.I reside in Kenya 🇰🇪. Pray for me,my marriage, and my workplace. I need a break through.
@aminaalid9745
@aminaalid9745 Жыл бұрын
Nimependa sana hili somo
@user-gt8ys2cl2u
@user-gt8ys2cl2u Жыл бұрын
You open my eyes man of God...be blessed
@elinemchome9067
@elinemchome9067 Жыл бұрын
Mafundusho mazuri yamenipa kuelewa maana ya mameno ya Mungu nimepata kitu.
@meclinanyamwihura3748
@meclinanyamwihura3748 2 жыл бұрын
Mh
@doreengaspar6772
@doreengaspar6772 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@asifiwemjujulu8884
@asifiwemjujulu8884 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie
TAMBUA CHANZO CHA TATIZO UNALOPITIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
17:01
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 33 М.
KWANINI HAVITOKEI KWA WAKATI (XI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:07:49
Reality of Christ Church
Рет қаралды 8 М.
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 16 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 23 МЛН
MATESO YA FAMILIA (SEHEMU YA TATU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
51:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
Faida ya Kukaa Kimya -  Pastor Sunbella Kyando.
20:06
Chomoza Tv
Рет қаралды 121 М.
FINANCIAL TRANSFORMATION  (DAY 1 ARUSHA) - Pastor Sunbella Kyando
59:38
Reality of Christ Church
Рет қаралды 16 М.
MWISHO WA UCHAWI BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:45
Reality of Christ Mwanza
Рет қаралды 4,8 М.
NYOTA IKIHAMISHWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
19:53
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 26 М.
MATESO YATOKANAYO NA VIFUNGO VYA FAMILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:01
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 41 М.
GHARAMA YENYE FAIDA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
21:47
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 15 М.
SEHEMU ULIYOPO  INAVYOWEZA KUHUSIKA KUPINGA MAFANIKIO YAKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:41
HOW TO MAINTAIN DELIVERANCE; BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:04:04
Reality of Christ Church
Рет қаралды 13 М.
MIGUU ILIYOHAMISHWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
58:50
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 41 М.
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15