RECAP: HARMONIZE KUITIKISA DUNIA KWA ALBUM YA KOMBE LA DUNIA, ATAFANYA TOUR MAREKANI NA ULAYA, FAIDA

  Рет қаралды 6,390

Bongo5

Bongo5

Ай бұрын

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 60
@Mohaa4309
@Mohaa4309 Ай бұрын
Atajua mwenyewe
@rashidkibavu1863
@rashidkibavu1863 Ай бұрын
Kaaka upo sawa sana
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Kingine kaka remando Criss brown kashamuona Daimond anaupepo na anakitu kwaiyo kampost Daimond kwanza amemkubali Daimond na ameona akimposti Daimond pia itambust kibiashara Zaid kwamana ameshajua Daimond anaupepo na anajua..ila criss nae kafaidika kibiashara is win win situation
@kilimanjarostarlounge
@kilimanjarostarlounge Ай бұрын
harmo baada ya kuskia mond nyimbo yake inaweza kupendekezwa kutumika kombe la dunia yey anatak tention ya kufuatilia uwo upepo yani harmo mi nimshauri asiangaike watu watamchoka kumuon wa kawaida atulizi kichwa ajui ashike wappi aache wapi kashaacha disconect promo ana promo sensema duu
@MohamedAhmed-ns5mi
@MohamedAhmed-ns5mi Ай бұрын
Hana jipia huyo kawazidi wasani ubonge ila kimziki bado sana
@aishamagoshi2852
@aishamagoshi2852 Ай бұрын
Mshenziiiiiiiiii wewe
@JeanLunda-nv5fd
@JeanLunda-nv5fd Ай бұрын
C'est la vérité que tu parle
@davkoofficial4179
@davkoofficial4179 Ай бұрын
Hamna msanii apo alikuwa zaman saiv kabakiza uchokozi to akiacha na uchokozi ndo kaisha😂😂
@AbuuMkabugo
@AbuuMkabugo Ай бұрын
Atabaki kuwa chini
@user-fn5cf1eo5u
@user-fn5cf1eo5u Ай бұрын
W nae
@Busagotz
@Busagotz Ай бұрын
Nomaa sanaa
@AlfroLyd
@AlfroLyd Ай бұрын
Jajifunza kupitia DIAMOND PLATINUMZ 💎 cause we all know how smart is DIAMOND PLATINUMZ 😊
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Huwo ni Huwongo
@Akili820
@Akili820 Ай бұрын
Leo umeongea kama mtu 🇨🇩🇨🇩☝️
@channyanjen9047
@channyanjen9047 Ай бұрын
Uyo ni muhaho anahaha
@AbuuMkabugo
@AbuuMkabugo Ай бұрын
Asi ite wold cup aseme na uefa premia leeg supa cup uroupa yani ligi zote aziite mpaka ligi ya bongo
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Ай бұрын
😂😂😂
@CamweziKarrashnekov
@CamweziKarrashnekov Ай бұрын
Aka nako kafigo kapanya kanatafutaga sifa zenye hakana.upepo wa komasava hamtauzima na mwaka utaisha bado ikiwafinya tu
@EliaPhilimoni
@EliaPhilimoni Ай бұрын
Harmonize ❤❤❤❤
@jacksonhafashimana3603
@jacksonhafashimana3603 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Ukweli ume uongeya kbsaaaaaa😂
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Ай бұрын
Kwer kaka, kuna vingine unaongea facts kbs
@abdulkadirabdalla3630
@abdulkadirabdalla3630 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 Ай бұрын
Sasa huyu anakichaa 😂 album juu ya album 😂😂
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Ай бұрын
Yeah jeshi is genius bro 🙄
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Ай бұрын
Team hamo tz
@flavourboyke
@flavourboyke Ай бұрын
Sasa nani atasikiza io album 😂
@user-fn5cf1eo5u
@user-fn5cf1eo5u Ай бұрын
Uyu nae anatumika mbona alikiba yuko kmy afu amtaji na nimsanii mkubwa😂😂😂
@tomsijohni
@tomsijohni Ай бұрын
apo ndo harmonize ana fell kwa sababu maneno mengi alafu huongo
@Broxnick
@Broxnick Ай бұрын
Title sasa 😂 “Harmonize kuitikisa dunia”
@MellowBoytz-tc9er
@MellowBoytz-tc9er Ай бұрын
Et word cup album tz hi sijui itakua km hii
@Mkombozi255
@Mkombozi255 Ай бұрын
Mwambieni ukweli tu,Album si tako.acheni kumpamba album kila mwezi 😂😂
@georgenzai1355
@georgenzai1355 Ай бұрын
Tafuta pesa
@Mkombozi255
@Mkombozi255 Ай бұрын
@@georgenzai1355 nna pesa mpaka natamani jiteka😜 halafu ukute simu yako ni tekno 😂😂
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 Ай бұрын
Umekula?????😢😢😢
@georgenzai1355
@georgenzai1355 Ай бұрын
@@Mkombozi255 si Tecno nisimu bado au ni Tako🤣🤣🤣🤣
@Mkombozi255
@Mkombozi255 Ай бұрын
@@georgenzai1355 nilijua tu wewe ni timu tekno 🤣🤣🤣pambana ndugu yangu upate simu🤣🤣anyway acheni kumpamba huyo jamaa ,msanii gani kila mwezi anatoa album?🥹🤨
@mlkajr1918
@mlkajr1918 Ай бұрын
Big up harmo🎉🎉
@paizinhosaide-cv9pm
@paizinhosaide-cv9pm Ай бұрын
Mmakonde kaishiwa maneno
@jackmupenda2307
@jackmupenda2307 Ай бұрын
😂😂😂 mtu wa WCB tunakufamu🇨🇩
@mgimbaboniphace
@mgimbaboniphace Ай бұрын
Ila huyu jamaa hua anaongeaga fact
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Ай бұрын
Tatizo harmonize wasanii wake amewatelekeza akitafuta maendeleo yake
@joselynesango4430
@joselynesango4430 Ай бұрын
mbona pako mtanzaniya aisema kama harmonize hana kitu chakuimba na wama recani pako mtangazai aisema hana chakuimba
@rajabuSaid-hj7fm
@rajabuSaid-hj7fm Ай бұрын
Huo ndio ukweli
@abdoulazizalimohamed7995
@abdoulazizalimohamed7995 Ай бұрын
Album ya mama samia yile amechakula mpunga ndio mana ha hangaiki nayo. Alimuachia mama na ccm 😂
@kiatu
@kiatu Ай бұрын
Aachane na politics
@nahimanajo8993
@nahimanajo8993 Ай бұрын
Criss brown kapewa héla na Diamond tuna juwa sana 😅😅
@user-tf2bz8ou1c
@user-tf2bz8ou1c Ай бұрын
Huyu jamaa anataka kila msanii afanye promo😂😂😂
@RajabuMerci-cq4lb
@RajabuMerci-cq4lb Ай бұрын
Disconete zuri tu , inazidia koma sava
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi Ай бұрын
Mond unayemzungumzia Kaz yake ni kubebwa na wasanii wakubwa kusimama yeye km yeye hawez tumupe maua yake konde boy
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 Ай бұрын
Hapa ss ndipo mnapokosea,, utaskia watu wanasema mondi hawezi toa kollabo akiwa yy km yy,,, lazima atoe akiwa amemshirikisha msanii.. Mnasahau kwamba mondi ameshajipata tyr,,, na hata yy alianza kwa kwa kuimba peke yake kwa nia yakuonesha mauwezo yake wakat alipokuwa akitoka
@user-uj5mz7hd2u
@user-uj5mz7hd2u Ай бұрын
Mondi ameanzaje au hamonaiz katokwa kwenye mikono ya nani ww
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 Ай бұрын
Nardia Tena we jmaa hujielewi wallahi 😂
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi Ай бұрын
Nyimbo nzul inajiuza yenyewe siyo had promo nyimbo anazo nyingi xana views anaowapata ni wahalal xiyo marobot
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 113 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 22 МЛН
Kontawa Ft Harmonize  - Binadamu [Official Music Video]
3:59
kontawa
Рет қаралды 1 МЛН
спидран по ютуб шортс 86 | Ушные свечи
0:35
Anxiety panic attack (Inside Out Animation)
0:11
FASH
Рет қаралды 9 МЛН
ПИЩЕВОЙ ВАНДАЛ НАКАЗАН
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 3,1 МЛН